Тёмный

SNAKE BOY | ep 7 | SEASON TWO 

CLAM VEVO
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 760 тыс.
50% 1

Follow Me On Instagram
/ clamcris_
Tiktok:
/ clam_cris
Facebook:
people/CLAM-...
#clamvevo

Развлечения

Опубликовано:

 

2 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,7 тыс.   
@gigwamayara73
@gigwamayara73 3 месяца назад
Jaman sijawah pata like nipeni kumi tuu😢😢😢😢 wa kwanza leo
@AbdullAziz-qt3eb
@AbdullAziz-qt3eb 3 месяца назад
Mwambie mamaako anazo
@user-iu8vs3qy4i
@user-iu8vs3qy4i 3 месяца назад
Hizi like huwa zinasaidia nn😅
@Paplick9
@Paplick9 3 месяца назад
Kwani hizi likes zinaliwa
@marwagabrielmwita4947
@marwagabrielmwita4947 3 месяца назад
Uza Basi ama ukule ..... ushauri muhimu 😂😂😂😂
@zulfajamal3166
@zulfajamal3166 3 месяца назад
Utashiba
@saramnzava2275
@saramnzava2275 3 месяца назад
Aliegundua kuwa mwakatobe amenyoa ndevu lkn ndo huyo huy aliebadilik na kuwa baba mdogo wa malkia lkn ndo huyo huyo baba ake mzazi aliegundua Hilo gonga like tuwe pamoja au ni mm tu
@meshack3266
@meshack3266 3 месяца назад
Nawewe ndo vitu vyakuuliza ivyo si vinaonekana
@eldalisboa7403
@eldalisboa7403 3 месяца назад
Mimi nimegundua Tangu mwanzo
@eldalisboa7403
@eldalisboa7403 3 месяца назад
Mimi nimegundua Tangu mwanzo
@eldalisboa7403
@eldalisboa7403 3 месяца назад
Mimi nimegundua Tangu mwanzo
@rhamlaally6930
@rhamlaally6930 3 месяца назад
Sasa hicho ni kitu cha kugundua
@yunusali231
@yunusali231 3 месяца назад
Imagine tangu nimefatilia movie za clam vevo big boss, mistake na na snake boy tangu mwanzo mpaka sasa hii sijawahi pata likes hata moja naomba japo likes kumi
@lavatz
@lavatz 3 месяца назад
Izo like zikufaidishe n nn
@ibrahimboniphace-tm2fe
@ibrahimboniphace-tm2fe 2 месяца назад
Mmmhh jmm
@zulfaayubu4520
@zulfaayubu4520 2 месяца назад
Oy
@costantinelucas8531
@costantinelucas8531 Месяц назад
❤❤❤❤❤❤❤
@makondeshortFilme3
@makondeshortFilme3 3 месяца назад
Sisi watu WA Mozambique 🇲🇿 Mbona atupewi like😢 Saluty sana Clam vevo ❤umeticha
@JohnobedkombaKomba
@JohnobedkombaKomba 3 месяца назад
MTApata msijali cc sote nindugu
@johpadimbe2469
@johpadimbe2469 2 месяца назад
Como está meu conterrâneo?
@jumahajj3148
@jumahajj3148 3 месяца назад
Jamani mbona wenzangu wapata likes mimi sijawai ama venye natoka Kenya.......kama Tz na Kenya ni Ndugu ebu nione apo🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿
@NuruNdegwa-yg2bm
@NuruNdegwa-yg2bm 3 месяца назад
Sawa chukua iyo😅
@MIPASHOCOMEDIAN
@MIPASHOCOMEDIAN 3 месяца назад
Nice❤❤❤❤
@alphonce04
@alphonce04 3 месяца назад
@Jibu-cheka
@Jibu-cheka 3 месяца назад
Ivi wakenya mna matatizo kazi kuomba tu like
@kessyemmanuely7705
@kessyemmanuely7705 3 месяца назад
Acha usenge like za ni unataka
@MTAMBWE1
@MTAMBWE1 3 месяца назад
Jamani kila siku napata like yangu tuuu😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@user-ez8lq7ty4o
@user-ez8lq7ty4o 3 месяца назад
Sio kwaajili ya like ila huyu mshikaji anajua kutengeneza movie na anajua kuwekeza kwenye kazi zake tumpeni maua yake🎉🎉🎉🎉
@katanayeri8952
@katanayeri8952 3 месяца назад
Niko wa elfu na mia nne bt sijachelewa sana wapi like hata tatu nijihisi mwanafamiliya from Kenya
@Yatosher_Der_Golden_voice
@Yatosher_Der_Golden_voice 3 месяца назад
Hivi kama uliweza kumsaliti mumeo ukatembea na rafiki yake utashindwa nini kunisaliti mimi nakutembea na rafiki yangu 😂😂😂😂ZUMBA FOR LIFE
@Alvin_pixels
@Alvin_pixels 3 месяца назад
sahihi
@NuruNdegwa-yg2bm
@NuruNdegwa-yg2bm 3 месяца назад
😂😂
@bulumtofautibulumtofauti1236
@bulumtofautibulumtofauti1236 3 месяца назад
Kabisa
@andrewcb9045
@andrewcb9045 3 месяца назад
a very big lesson for ladies to learn
@sportstartv3781
@sportstartv3781 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@chibwachibwana8832
@chibwachibwana8832 3 месяца назад
Hi leo nimekuwa wamwanzo mwanzo kuiona...woyoooo 😊😊😊😊like basi
@Uwamahoro-fefe.15
@Uwamahoro-fefe.15 3 месяца назад
Nitoe pole kwa mke wa kakoso amekosa kamba Na mbuzi ,sengo umefanya kazi nzuri kumficha kijana nyoka huyo ndie mkombozi wahio imaya yenu ya nzoya🇧🇮
@fredrickanathesarakikya1890
@fredrickanathesarakikya1890 3 месяца назад
Kama na wewe unatami vipande viongezwe muda gonga like apa
@vallesndayishimiye2396
@vallesndayishimiye2396 3 месяца назад
Wa kwanza naombeni like hata tanu🎉🎉🎉from BURUNDI🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤❤
@MelissaUwimana-zn7dy
@MelissaUwimana-zn7dy 3 месяца назад
Ngoja nipeyee link na mimi waburundi
@njutujedeofficial2998
@njutujedeofficial2998 3 месяца назад
Wa Burundi tunao penda hii tamuthiria tufahamiane jamani. Mi niko anga za Muyinga Kobero mpakani karibu na Ngara mkowani Kagera TZ.
@user-to6od3tk9l
@user-to6od3tk9l 3 месяца назад
Nampenda huyo binti zatiti uchezaji wake ana sura ya upole jmn
@NuruNdegwa-yg2bm
@NuruNdegwa-yg2bm 3 месяца назад
Lakini nimsaliti😮
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 3 месяца назад
Pia mm nakapenda ila kasaliti
@mejumaaabuu618
@mejumaaabuu618 3 месяца назад
Kazi nzuri clam,tunakupenda mashabiki zako
@rasheedmbutilo6119
@rasheedmbutilo6119 3 месяца назад
Kazi kubwa congratulation clam na group yako
@judithpendo9985
@judithpendo9985 3 месяца назад
Waliokua wakitegea clam VEVO like apa please 🥺 team strong hoyeeeeeeeeee nawapenda nikiwa Riyadh apa 🇸🇦🇰🇪♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ww unawatch ukiwa wap
@user-lk6ms2py7k
@user-lk6ms2py7k 3 месяца назад
Jeddah
@Iconkee
@Iconkee 3 месяца назад
Team riyadh
@simonjoshua1233
@simonjoshua1233 3 месяца назад
Uvala
@Iconkee
@Iconkee 3 месяца назад
Sii uvala ni ufala
@dorcasnafula5314
@dorcasnafula5314 3 месяца назад
Team albha mpo
@NzeyimanaHawa-mm2sh
@NzeyimanaHawa-mm2sh 3 месяца назад
Jamani leo mm dowakwaz naombeni mawayang
@hawahawa8441
@hawahawa8441 3 месяца назад
Kwasasa tunainjoi sana haikai sana mnatuletea kazi safi
@ImaniMwangoka-lr1lt
@ImaniMwangoka-lr1lt 3 месяца назад
Snake Boy Tamu Afu Tamu Tena Sijui Umeiwekea nn Vevooo??? Yan unapo angalia Una kua Hutak iishe Dahhh!!! ❤❤❤❤ Vevo
@Monystar01
@Monystar01 3 месяца назад
Wakwanza nipewe likes nyingi nashangaa mtawapa niliowashinda
@collothestar9662
@collothestar9662 3 месяца назад
Vevo nipee like msee mm ni fun wako sana kutoka Kenya
@josephmponda
@josephmponda 3 месяца назад
DAKIKA CHACHE SANA DIRECTOR KAKOSO NA TEAM ZIMA YA VEVO IVYO TUNGE OMBA MUONGEZ KIDOGO VIONGIZI AT ZIWE 20 or 19 at list
@gracemtaki2476
@gracemtaki2476 3 месяца назад
Nmependa huyo bubu anavoigiza na alie vaa uhusika wa kakoso 👌👌 wako vzuri sana
@puritykimatu3266
@puritykimatu3266 3 месяца назад
Kakoso woman has played well
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 месяца назад
Maoni yangu hii season two msiweke nyoka yule wa kudownload asiye na maajabu yoyote wekeni action za kutosha kama vile ngumi kwakuwa huyo ni nusu nyoka nusu mtu anaweza kupiga akiwa mtu, kung'ata kama vempaya kwakuwa anasumu ya nyoka aking'ata mtu anakufa, mambo ya vimbola (radi), kupigana mapanga, fimbo n.k film itachangamka na itakuwa na uhalisia kuliko kuvizia vizia nyoka za kudownload. Ona eti Clam kaja mbio mbio anahasira za kifo cha baba yake mala kageuka kuku huu ni ubunifu gani sasa!?. Waliomuua mama yake kikatili eti kawameza mwingine kajinyonga tu. Ilitakiwa pachimbike kisawa sawa mpaka mwakatobe kufa ingekuwa shughuli. Hapo sasa Clam akienda porini ageuke nyoka mala kameza watu kimya kimya... huo utakuwa ni utani mnapoteza ukubwa wa film HAYO NI MAONI yangu TU ❤
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b 3 месяца назад
😅😅😅😅ngumi tena 😅
@hadijaramadhani4801
@hadijaramadhani4801 3 месяца назад
Sasa move inaitwa snek boy ngumi tena vip labda abadili jina mandonga mtu kazi
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 месяца назад
@@user-pw2sw1sk1b wewe unaona film inaeleweka?. Mala kageuzwa kuku kizembe zembe tu wakati baba yake kauliwa. Mala jambazi mkuu kashindwa kufanya maajabu kuku kaondoka kizembe tena bila hata kukimbia na hajamfata.... Hapo ndipo pamefanya film kuwa ya kitoto sana. Ingechangamka mpaka kwenye kipigo ingekuwa kubwa sana
@beatuskazimily457
@beatuskazimily457 3 месяца назад
Tengeneza yako mzee baba tuone
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 месяца назад
@@hadijaramadhani4801 hujawahi kuwa director wala video editor kubali mengine yakupite. Kwani nyoka gani anasoma shule, anatembea kama mtu, anavaa nguo? Huyo nyoka ulimuona wapi?. Huyo ni nusu mtu nusu nyoka. Akiwa nusu mtu anaweza kupigana na akawang'ata watu kwa meno kama vempaya wakafa kwa sumu. Tanzania hatuna ujuzi wa kucheza na 3D animation ya kutengeneza nyoka za bandika. Hiyo nyoka wanayoitumia ni ya kudownload youtube tu. Haina matukio mengi zaidi ya kumeza na kutemvea. Usitegemee kuona nyoka kafanya maajabu makubwa humu ndani...
@LucienmuliriMbuto
@LucienmuliriMbuto 3 месяца назад
Nakumbali clam vivo mungu akuzidishiye 🎉🎉🎉🎉 nakupa mahuwa yako
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 3 месяца назад
Watching from zambia
@user-co2ed6dj6p
@user-co2ed6dj6p 3 месяца назад
Kbsaaa
@ZanaatTv_Vlogs
@ZanaatTv_Vlogs 3 месяца назад
Mahuwa yako??? Doooh
@mariamswaleh5798
@mariamswaleh5798 3 месяца назад
😂😂​@@ZanaatTv_Vlogs
@tuombemamila1364
@tuombemamila1364 3 месяца назад
Hongera sana kwa kumtorosha kijana nyoka wakupe maua yako 💐💐💐💐💐💐🌹🌹🌹🌹✌️
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 3 месяца назад
Hapo ndio utajua kuwa Kila mtu ana umuhimu wake
@upendomassawe7477
@upendomassawe7477 3 месяца назад
Jamani mimi mgeni humu 😂😂nimeipenda snake boy
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 месяца назад
Kamba yk iko wp😂
@kombejimmyartmaspeedy6103
@kombejimmyartmaspeedy6103 3 месяца назад
Wakwanza leo one love from kenya
@fredrickanathesarakikya1890
@fredrickanathesarakikya1890 3 месяца назад
Wa kwanza leo.....,.Acheni mambi yenu yani nimekuwa wa kwanza kabisa alafu like Amna mnazingua alafu mnampa mwingine wmbaye ata yeye sio wa kwanza
@bettyfuraha4796
@bettyfuraha4796 3 месяца назад
Aaaa acha wivu bwanaaa
@bettyfuraha4796
@bettyfuraha4796 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@saadanassor3882
@saadanassor3882 3 месяца назад
😂😂😂
@user-co2ed6dj6p
@user-co2ed6dj6p 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@Kib-jsanley
@Kib-jsanley 3 месяца назад
Like🎉🎉
@elikana_5masks
@elikana_5masks 3 месяца назад
"SHADOWS". Nimependa ubunifu wote unaoendelea wa season two hasa kuwafanya wahusika kuwa vivuli(shadows) kama vile ClamVevo=kuku,Kakoso=Mwasi n.k Bravo!!
@albertmalenge-cs6zy
@albertmalenge-cs6zy 3 месяца назад
Mwakatobe genius aisee unajuwa sanaaa
@fredrickanathesarakikya1890
@fredrickanathesarakikya1890 3 месяца назад
Acheni mambi yenu yani nimekuwa wa kwanza kabisa alafu like Amna mnazingua alafu mnampa mwingine wmbaye ata yeye sio wa kwanza
@EmmyMo
@EmmyMo 3 месяца назад
Mm uwa nawapa dislike mbwa awa😂😂😂
@fredrickanathesarakikya1890
@fredrickanathesarakikya1890 3 месяца назад
​@@EmmyMoau sio
@user-vn6so1hw9n
@user-vn6so1hw9n 3 месяца назад
Izoo like xitakupelek wapii wee matako 😂😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 месяца назад
​@@EmmyMoNa mm ushanifundisha bora niwape dislike mbwa hawa
@fredrickanathesarakikya1890
@fredrickanathesarakikya1890 3 месяца назад
@@user-vn6so1hw9n matako bibi ako
@PoliceNdizeye-rt2ml
@PoliceNdizeye-rt2ml 3 месяца назад
Namani love clam 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 3 месяца назад
Jaman ata km nimechekewa bc like tano to na mm nijione mtu😂😂😂
@user-sf5su8hc7d
@user-sf5su8hc7d 2 месяца назад
😂😂 kumbe we sio mtu
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 2 месяца назад
@@user-sf5su8hc7d 🤣🤣🤣
@Spagles
@Spagles 3 месяца назад
Team VEVO mnapambana sana mungu awabariki muipeleke tasinia hii mbali🙏
@DeusLumambo
@DeusLumambo 3 месяца назад
Dah,hichi kipande kina bonge la funzo,kupitia mke wa kakoso😮
@OfficialCleverYoung
@OfficialCleverYoung 3 месяца назад
Much love from Mozambique, God bless team VEVO 🙏❤️❤️
@officialchizer
@officialchizer 3 месяца назад
Kazi kal sana Vevo Inafundisha meng, binafs kwangu
@victorkobobiojuwang5149
@victorkobobiojuwang5149 3 месяца назад
Zumbaa, "siwezi kuishi na mwanamke wa aina yako, kama umeweza kumsalit mume wako, utashndwaje kunisalit na mim"
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 3 месяца назад
Kwa hii style wanawake wanapaswa kujitafakar sana yaan
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 3 месяца назад
Kuridhika na ulichonacho ni Bora kuliko tamaa za furaha ya mafichoni kingine wanawake kuwen wawazi kwa wenzi wenu kama kitu hakipo sawa ongea na mwenzio na sio kukaa kmyaa ukimya sio dawa
@MoTalentTz
@MoTalentTz 3 месяца назад
Wakwanza leo nipewe like zangu 😂😂😂😂
@mohamedsheealom8745
@mohamedsheealom8745 3 месяца назад
Maliza kuangalia kwanz3
@user-mj7ks1xo1u
@user-mj7ks1xo1u 3 месяца назад
❤❤❤​@@mohamedsheealom8745
@cookwithbelli
@cookwithbelli 3 месяца назад
😂😂 jameni​@@mohamedsheealom8745
@abubakarijuma6870
@abubakarijuma6870 3 месяца назад
Unapeleka wapi like zetu?
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 3 месяца назад
Like ndiyo nini kwani?😂
@SamakilizyChaulembo
@SamakilizyChaulembo 3 месяца назад
O grande homem sucesso sempre em Tanzânia aqui Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@user-bg9ss1lz5v
@user-bg9ss1lz5v 3 месяца назад
ila Clam vevo unakuwa natiya dakika kidogo kabisa niwenu kutokeya Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nahomba like zangu
@tariqmasudi4400
@tariqmasudi4400 3 месяца назад
Kipara kipara shiiiiiiii kipara kwasababu mmbea katambua haraka yule mtoto nyokaa😂😂😂
@user-xn3fd8cf2n
@user-xn3fd8cf2n 3 месяца назад
😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 месяца назад
😂😂😂
@KhadijaWakesho-vt8bc
@KhadijaWakesho-vt8bc 3 месяца назад
Mimi ata niombe like vipi najua hamtanipa😢😢😢😢
@DeokarySafary
@DeokarySafary 3 месяца назад
Nimekuwa wa Kwanza Leo naomba mnipe hata like 100
@kidabunews4751
@kidabunews4751 3 месяца назад
Tigo unatoa au unataka like tu
@BUSHASHASWITCH
@BUSHASHASWITCH 3 месяца назад
Kwahili hali naona mambo yanataka kuwa balabala 🎉 kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 we like you Clam VEVO
@SHANIAlly-xr7ic
@SHANIAlly-xr7ic 3 месяца назад
Nyikaataludimsiofuatajionganisha Masikinikujananyka😢
@Amanijoe
@Amanijoe 3 месяца назад
Clam vipi haliyako baba mimi ni sbk wako ✌️💯 tupe ep ya 8
@ThomasKidiavai
@ThomasKidiavai 3 месяца назад
Clam ur the best in east Africa and even in Africa u deserve it
@samiuhassan8153
@samiuhassan8153 3 месяца назад
Kila siku mnalia na like mi wa kwanza mi wa kwanza kwani waga mnazila hizo like 🥺🥺
@winiemwalongo8779
@winiemwalongo8779 3 месяца назад
Acha makasirko
@EmmyMo
@EmmyMo 3 месяца назад
Wendawazimu utadhan wao ndio waandaaji wa ii series 😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 месяца назад
Bora uwaambie yn na mm mpk saiv nashangaa😂
@sautiyaradiramazani-xv3fr
@sautiyaradiramazani-xv3fr 3 месяца назад
Na wewe wamekupa like 😃😄ila mimi nilifikiri wanalipwa labda zikiwa nyingi
@samiuhassan8153
@samiuhassan8153 3 месяца назад
@@sautiyaradiramazani-xv3fr hakuna cha kulipwa wala hupewi hata Vocha ya jero
@njutujedeofficial2998
@njutujedeofficial2998 3 месяца назад
Mi like nawapa wote milionitangulia vipi Nami mnifanyie hivi hivo kama hamtojari😮
@user-wh7jf1el8h
@user-wh7jf1el8h 3 месяца назад
Wa kwanza kutoka Zambia 🇿🇲. like zangu
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 3 месяца назад
Nimekuwa wa kwanza naombeni like zangu
@Luwihausa1
@Luwihausa1 3 месяца назад
Wa kwanza leo from kenya nipewe like 100 tu
@ifaanifalay5651
@ifaanifalay5651 3 месяца назад
Aiseee ndug zangu lini mtaniacha niwe wa kwanza team clam naomb like bas❤
@crazyshushu
@crazyshushu 3 месяца назад
Yani kila mtu ni wa kwanza! Haya mimi pia ni wa kwanza nipeni likes zangu basi😂😂😂
@aishaabeid8106
@aishaabeid8106 3 месяца назад
Saf sana Zumba umecheza kma Pacome❤❤❤
@mamushker
@mamushker 3 месяца назад
Wa kwanz aleo bla kuchelewa wapi likes za wapenzi wa snake boy
@nurudinijuma654
@nurudinijuma654 3 месяца назад
Ongera. Sana kaka Allah akujaalie afya njema.nawatakia ramadhani kareem watanzamaji wote
@user-jf3qz3il3u
@user-jf3qz3il3u 3 месяца назад
Much love from saudia Arabia like zangu ata mbili jamani wale wa vevo maua kwake❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@AllyMadebe-xs3rx
@AllyMadebe-xs3rx 3 месяца назад
Hellow
@user-jf3qz3il3u
@user-jf3qz3il3u 3 месяца назад
@@AllyMadebe-xs3rx hello
@Kengadimbenjecompany
@Kengadimbenjecompany 3 месяца назад
Só queremos esse tipo de história que o clam vevo está afazer ❤❤❤❤❤
@BiesAgostinhoBiesAgostinho
@BiesAgostinhoBiesAgostinho 3 месяца назад
Vocês vão meter água, nós aki em Moçambique não sabemos fazer histórias....Como os Tanzaniano fazem
@Loidydaleobina784
@Loidydaleobina784 3 месяца назад
😂É verdade, tens que fazerem como eles fazem
@Gregoire-2006
@Gregoire-2006 3 месяца назад
Kazi nzuri sana brother utafika mbali sana ukiwa unatia na kingereza
@mylekaka4630
@mylekaka4630 3 месяца назад
It's a naked truth from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 месяца назад
Kweli kabisa
@maryjoseph2772
@maryjoseph2772 3 месяца назад
Mhm kingereza cha Nn nyie na Mnaona mazingira hayaruhus hyo mzingiea no kijijn
@Gregoire-2006
@Gregoire-2006 3 месяца назад
@@maryjoseph2772 kwa mimi ambaye sijuwi swahili sawa
@elizabethmwinuka2859
@elizabethmwinuka2859 3 месяца назад
Tangu lini nyoka akaongea kingereza😅
@MargaretPendo-uv8xi
@MargaretPendo-uv8xi 3 месяца назад
Much lavuuu from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@user-hb3sd8fh9n
@user-hb3sd8fh9n 3 месяца назад
Sijachelewa jameni like zangu😢😢😢😅
@nzizajovinpaul4955
@nzizajovinpaul4955 3 месяца назад
Fundisho mke wakakoso amelipata Unapenda sana mchepuko.
@rodethazard6598
@rodethazard6598 3 месяца назад
Jamani clam série zako ni fupi sana jamani tunaomba uhongeze dakika kidogo hata 20 tu inatosha
@ngoshanangi8629
@ngoshanangi8629 3 месяца назад
Binti yangu kipenzi hii nyama ni tam nahisi ni kijana nyokaa,nyama nyama nyama nyaaama😊😊 kama unamkubali Deogratius mwakatobe weka like kama zote
@MichaelGarama
@MichaelGarama 3 месяца назад
Wa kwanza leo nipeni likes zenu ok pia wakenya njooo nyuma ya white tent 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@EmeritaNgomango-js2os
@EmeritaNgomango-js2os 3 месяца назад
Mm ni tz
@MichaelGarama
@MichaelGarama 3 месяца назад
Krb hata ww tule bata
@zeitunahmedibrahim933
@zeitunahmedibrahim933 3 месяца назад
Tupo hapa
@EmeritaNgomango-js2os
@EmeritaNgomango-js2os 3 месяца назад
@@MichaelGarama asnte
@kibzafricana7823
@kibzafricana7823 3 месяца назад
Niko hapa 🖐 🇰🇪 naomba likes na subscribers kwa wingi 🙏🏾 😊
@jeanmongobeti7850
@jeanmongobeti7850 3 месяца назад
Nili kuwa na subiri sana Kweli
@azharaliahmed7033
@azharaliahmed7033 3 месяца назад
Mtu muovu mwishoe ni mwisho mbaya ama mwasemaje team snake boys
@FadhiliFadhili-tk4xu
@FadhiliFadhili-tk4xu 3 месяца назад
Clam vevo the king 👑
@yasrisimba6387
@yasrisimba6387 3 месяца назад
Nipen like zangu npo RU-vid na ndo notification yake inaingia first one ❤❤❤❤❤
@sharonfaith01
@sharonfaith01 3 месяца назад
Mnakesha mtandaoni nadhani mimi ndio wakwanza kumbe mshajaa jamani😂😂 ukinipitia nakupitia pia
@allyhija2684
@allyhija2684 3 месяца назад
@user-ze7td7lk4i
@user-ze7td7lk4i 3 месяца назад
Leo wa mwisho naomben like zang
@FatramMakopa
@FatramMakopa 2 месяца назад
Baba mdogo wa malikia na baba mzazi wa malikia ni mtu mmoja kasoro ndevu na kipara 😂🎉🎉🎉❤❤❤❤❤mwakatobe mnajuah bhnmuishi miaka mingi🎉
@user-lg7zp2mj6m
@user-lg7zp2mj6m 3 месяца назад
wakwanza leo npewe zawad😅😅😅
@Mziwandaa
@Mziwandaa 3 месяца назад
Uongo 🤣😅
@gideonngetich8763
@gideonngetich8763 3 месяца назад
Wa kwanza Leo,wapi likes zangu?? Kutoka Kenya
@sarahnjeri-tz8eu
@sarahnjeri-tz8eu 3 месяца назад
Aliyefurahia vile huyo kuku hakupatikana nipee likes😂😂😂 Clamvevo hii nafuatilia ata ikifika episode 50,wakenye tuko pamoja❤❤❤
@nationaltrendingmedia4603
@nationaltrendingmedia4603 3 месяца назад
Wangapi walitegea miujiza katika huo mti bila mafanikio😂
@Faru808
@Faru808 3 месяца назад
Leo nimewahi dakika ya 2 kupost sha fika
@user-ng5hy2tf5o
@user-ng5hy2tf5o 3 месяца назад
Mm wa mwisho xxaxa naombeni like zenu maan kila mtu wa kwanza
@Shafiigraphics
@Shafiigraphics 3 месяца назад
Clam unajitahd sn kak upo vzr Half sjachelew sn naomben like zang❤❤❤
@sophsoph4740
@sophsoph4740 3 месяца назад
Wakwanza hamjawahi kunipa hata like jmn😢😢😢
@lucianaSelemane-oh9vu
@lucianaSelemane-oh9vu 3 месяца назад
Wa kwaza naombeni like
@youthssuccesstv3162
@youthssuccesstv3162 3 месяца назад
Jaman na mm naombeni like kutoa chuga
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 месяца назад
Yn kwa ss clam huna mpinzani hongera sana❤🎉
@user-og9it8my2g
@user-og9it8my2g 3 месяца назад
Wa kwanza mimi apa leo from. South Africa
@sammedia4528
@sammedia4528 3 месяца назад
wa kwanza leo😀
@drought495
@drought495 3 месяца назад
Clam you are genius! You killed it
@mslaysauti
@mslaysauti 3 месяца назад
Mimi wanyuma kabisa najua like Noma kupata Ila wacha na Mimi niongese kitu Kama hii comment like ❤❤
@NolysiRenald
@NolysiRenald 3 месяца назад
Wakwanza leo npen like zang
@user-oj7jv2sf9y
@user-oj7jv2sf9y 3 месяца назад
Yeeee nimesubiri sana nilijua clevo hawezi kufa more ❤️ from 🇰🇪🇰🇪
@OkeyoErick-hq4nq
@OkeyoErick-hq4nq 3 месяца назад
Kabisaa....... Imebamba
@Nassir_Moha
@Nassir_Moha 3 месяца назад
Naombeni like zangu mi wa kwanza😂😂😂
@user-tx7yd4jo2m
@user-tx7yd4jo2m 3 месяца назад
Ila hii movie mmekula sana kuku washenzi nyie😂😂😂😂
@mariammatimbwa777
@mariammatimbwa777 3 месяца назад
😂😂😂😂
@user-gc2rd8ln3v
@user-gc2rd8ln3v 3 месяца назад
😂😂😅😅 sanaaah 😅
@elizabethmwinuka2859
@elizabethmwinuka2859 3 месяца назад
Aaaaaaah
@miyscolletion72
@miyscolletion72 3 месяца назад
WA kwanza Oman like zangu
@jozzytozo
@jozzytozo 3 месяца назад
Wa3 jamen naomben lack zangu
@ShafiiJuma-ni3ou
@ShafiiJuma-ni3ou 3 месяца назад
Kila nikisom comment naon kila m2 anaomba like hiv hua mnaganyoag nn au wenzet mnatoboa kwaajil ya like
@getujackson5346
@getujackson5346 3 месяца назад
Kweli mn hatuelew laik laik nin mnatukwaza
@rodahkahuyah6169
@rodahkahuyah6169 3 месяца назад
Daah... Binti yangu mshangazi...ya moto Leo🔥🔥🔥🔥
@Miriamsanga-wf9si
@Miriamsanga-wf9si 3 месяца назад
Wale tunaomkubali clam usisahau kulike na kucoment 🎉🎉🎉
@StephanoCharles-nq8tf
@StephanoCharles-nq8tf 3 месяца назад
Kwaiyo mwakatobe ni mwendo wa kula kuku😂😂😂😂
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 3 месяца назад
Ili aongezeke mashavu
Далее
SNAKE BOY | ep 8 | SEASON TWO
17:02
Просмотров 723 тыс.
MTOTO WAKICHAWI
8:02
Просмотров 1,3 млн
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Просмотров 4,4 млн
BEST FRIEND | Full Movie |
1:25:54
Просмотров 2,2 млн
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Просмотров 67 млн
MBUZI WA KIJIJI EPISODE /5/
11:16
Просмотров 175
MWANAFUNZI MCHAWI | MWISHO |
12:59
Просмотров 1,4 млн
SNAKE BOY | ep 9 | SEASON TWO
15:01
Просмотров 765 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/15/ #love
50:40
Просмотров 610 тыс.
ZAWADI YA JINI A | SEASON 1 | EP 1- 6
1:09:48
Просмотров 280 тыс.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
0:18
Просмотров 153 млн
Утро в Нью Йорке
0:16
Просмотров 6 млн
Жалко эту собаку 😥
0:34
Просмотров 3 млн
Зачем он туда залез?
0:25
Просмотров 2,6 млн