Тёмный
No video :(

SONGA MBELE (Jikung'ute mavumbi) - Paradise choir Ruanda moravian mbeya 

James Frank
Подписаться 775
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Usitarajie mambo mazuri tu, hata mambo mabaya yatakufika. watakaokutendea ubaya huo ni ndugu wa karibu na wewe, kama neno la Mungu lisemavyo katika "mika 7:6c "adui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake mwenyewe" mathayo 10:36 " na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake.
hivyo huna sababu ya kurudi nyuma.... SONGA MBELE TU.

Опубликовано:

 

10 ноя 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@isackmsomba5688
@isackmsomba5688 9 месяцев назад
Jamani huu wimbo unanibariki sio utani na nauhitaji kweli mweee❤❤❤❤❤❤
@yohanawillimas4154
@yohanawillimas4154 6 месяцев назад
Wimbo bora kabisaaa❤❤
@jumapkasekwa
@jumapkasekwa 5 дней назад
Hongereni sana
@greatprotestant8549
@greatprotestant8549 6 месяцев назад
My favorite choir,,,, kazi nzuriiiii❤
@user-hn3ym9rf6r
@user-hn3ym9rf6r 7 месяцев назад
Nawapenda watu wa Mungu kazi zenu ni njema mbele za Mungu wetu.Mungu awafunike.
@matridampeligwa6415
@matridampeligwa6415 4 месяца назад
Nawakubali sana
@JeniphaMbalanji-sy7qi
@JeniphaMbalanji-sy7qi 6 месяцев назад
Nawakubali sana mungu haendelee kuwapa nguvu na umoja wenu udumu
@user-wk2bt2cg4m
@user-wk2bt2cg4m 20 дней назад
Najisikia raha kila ninapo usikiliza huu wimbo mtunzi naomba ni mjue
@user-pg7fr6nj3p
@user-pg7fr6nj3p 6 месяцев назад
Mungu awabariki nabalikwa sana na hii nyimbo
@tumainkyejo2314
@tumainkyejo2314 9 месяцев назад
Mungu awe nanyi katika huduma mko vizuri sana
@user-uc5ux2wk8l
@user-uc5ux2wk8l 10 дней назад
Mungu awabarik sana
@pumarice2710
@pumarice2710 5 месяцев назад
Naisubilia Kwa hamu video ya wimbo huu jamani mwenyezi Mungu awasaidie❤❤❤❤❤
@davidtusemen2195
@davidtusemen2195 4 месяца назад
Mungu aendelee kuwainua kwa viwango vya juu zaidi
@tizydorcasantony9190
@tizydorcasantony9190 8 месяцев назад
Kwaya yangu pendwa. Nawapenda
@joelmwamlima5686
@joelmwamlima5686 7 месяцев назад
Barikiwa sana
@neemamwakimenya5274
@neemamwakimenya5274 8 месяцев назад
Nawapenda Bure mungu azid kuinua vipawa vyenu mfike mbali
@attubulenge530
@attubulenge530 5 месяцев назад
Aiseee nawapenda sana hii kwaya Mungu awatunze
@WakiliMsomi-xt1fq
@WakiliMsomi-xt1fq 19 дней назад
Amina sana mtunz
@TunsumeMchewere
@TunsumeMchewere 2 месяца назад
Mungu awabariki sana kwa nyimbo nzuri na zenye maana uwa natamani sana kila wakati nisikilize nyimbo zenu
@janekasalile5435
@janekasalile5435 6 месяцев назад
Maumivu ya kusalitiwa yanararua Moyo, lakini kwa uweza wa Mungu na Neema yake inakuwezesha kusonga mbele.
@user-bo1bq2sg6l
@user-bo1bq2sg6l 5 месяцев назад
Amina
@bahatimwaitenga4488
@bahatimwaitenga4488 9 месяцев назад
MUNGU awatunze na awakumbuke
@guadenciamapunda6593
@guadenciamapunda6593 Месяц назад
Wimbo mzuri sana lkn sauti haipo vizuri.
@deborasimon422
@deborasimon422 2 месяца назад
🎉🎉🎉❤
@gracejason5443
@gracejason5443 4 месяца назад
Mubarikiwe sana
@joycecharles2953
@joycecharles2953 4 месяца назад
Kuna mahali huu wimbo umenivusha, Can't wait for the official video..
@user-pq7bj3iz9c
@user-pq7bj3iz9c 7 месяцев назад
❤❤❤
@GrolyFredy-uf1tx
@GrolyFredy-uf1tx 9 месяцев назад
❤️❤️❤️❤️
@tumainkyejo2314
@tumainkyejo2314 9 месяцев назад
❤❤❤❤
@jeniphapoul17
@jeniphapoul17 8 месяцев назад
❤❤
@eliasagrey4987
@eliasagrey4987 7 месяцев назад
Nilikuwa naisubiri kwa hamu video yenye mwonekano murua km hii , barikiwa sana Kaka, huu wimbo nimekuwa nautumia kusonga mbele katika vikwazo mablimbali kwenye huduma, Lkn pia nautumia mara nyingi kuwatia moyo wenzangu, Barikiweni sana
@rosebianchi1998
@rosebianchi1998 2 месяца назад
Jamani huu Wimbo uwekwe audio mack ni Mzuri sana una utukufu
@AswileMwasalemba
@AswileMwasalemba 3 месяца назад
Watumishi nabarikiwa sana kuwepo katikati yenu
@isayambata3866
@isayambata3866 7 месяцев назад
jamniii huu wimbo unanibariki sanaaaah sas video yake inatoka liniii??!
@rufinapetro2496
@rufinapetro2496 3 месяца назад
Yaani hii ni live 😊😊😊😊
@AbelAbbel
@AbelAbbel 2 месяца назад
Nimiongon mwa kwaya iliyobarikiwa
@atuganilelupassa9495
@atuganilelupassa9495 4 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤
@rufinapetro2496
@rufinapetro2496 3 месяца назад
Jamani video bado????? Hii nyimbo nimeipenda sana sipati audio wala video
@danacheroallos9667
@danacheroallos9667 3 месяца назад
Wimbo safi kabisa...where is the video that has clear sound?
@elvilamwambambale950
@elvilamwambambale950 4 месяца назад
Mungu azid kukuinua mwl James
@jamesfrank5703
@jamesfrank5703 3 месяца назад
Napokea, naomb Uendelee kuniombea...
@janethsadock4559
@janethsadock4559 8 месяцев назад
Jamani Kwanini hamtoi albam?mnatukwaza wapenzi wenu
@christiandumalukhy9006
@christiandumalukhy9006 5 месяцев назад
Nimebarikiwa sanq aisee na huu winbo... And i would like to ask kama wewe ndo James Frank wa "Tunamtaka Tabitha"
@isayasinkonde7738
@isayasinkonde7738 8 месяцев назад
Hongereni sana
@victorychoirstars8882
@victorychoirstars8882 8 месяцев назад
❤❤❤
@shereendoreen8411
@shereendoreen8411 9 месяцев назад
❤❤❤
Далее
Unuka simama by Paradise choir Moravian Ruanda Mbeya
18:12
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Big Baby Tape - Turbo (Majestic)
03:03
Просмотров 305 тыс.
Ufunuo Choir -  Maisha Yangu  (Live Performance )
8:20
Просмотров 925 тыс.
Israel Mbonyi - Jambo
9:58
Просмотров 2,9 млн
Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama - Sifa Kwako Bwana
7:32
Tumelibeba (JINA YESU)  Bethlehem choir
11:50
Просмотров 140 тыс.
NENO LA MUNGU
15:41
Просмотров 38 тыс.