Тёмный
No video :(

STEVE NYERERE Amvua nguo MWANA FA "Ubunge wakupewa/Sijiuzulu/Aombe Radhi" 

Rick Media
Подписаться 873 тыс.
Просмотров 161 тыс.
50% 1

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 610   
@hassanimpota5209
@hassanimpota5209 2 года назад
STEVE NYERERE, Ufai kua kiongozi, unapenda sifa sana, Unavigezo ww, Sio unapoyanga tu, Hongea na vifungu vya katiba, sio unasoma tu maandishi ulioandikiwa.
@mcpambe8063
@mcpambe8063 2 года назад
Fuateni Katiba, Kanuni na Miongozo ya Shirikisho. Hizi kelele naona kama mnajivua nguo tuyajue madhaifu yenu ambayo hatukuwahi kuyajua. Steve wewe umepewa tu nafasi hiyo, waliokupa wana sababu zao kwanini wewe. Kama msemaji mteule, omba Katiba ya Shirikisho, isome kwa umakini uielewe. Ukigundua kuna kipengele chochote kinakunyima sifa kuwa Msemaji, wala usipoteze muda, kiroho safi achia nafasi hiyo ili Msemaji apatikane kwa njia sahihi kwa mujibu wa Katiba. Ukigundua sifa na vigezo vyote unavyo; basi kaa kimya, piga kazi. Acha kelele
@khalidawadh9352
@khalidawadh9352 2 года назад
Afuate katiba
@abdiabdi5929
@abdiabdi5929 2 года назад
Namm naunga mkono mana anaanza kuvuka mipaka kusema wanaongea ovyo
@Adeen.1
@Adeen.1 2 года назад
Hii busara sana uloongea 👍 nyingine porojo tu na mipaka ya kesho kiutendaji sababu ataleta chuki kati yao.
@ernestistephen4645
@ernestistephen4645 2 года назад
Pua pua pua hahahahaha
@nassormgeni7994
@nassormgeni7994 2 года назад
Sahihi kabisa
@davinaheven4794
@davinaheven4794 2 года назад
Huna sifa Bwana. Uwezo wako mdogo sana. Ila maneno mengi Andunje!
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Jamaa yuko vizuri... Steve oyeee ! Vijana wa Kitanzania wanakutegemea!
@bobchanda2460
@bobchanda2460 2 года назад
😂😂😂😂
@stanastana3199
@stanastana3199 2 года назад
😂😂😂
@owenmutale6691
@owenmutale6691 2 года назад
Hutakiw unaforce nn
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 2 года назад
comedian uklain ndani ya bongo, yule chawa wa NATO na USA . Huyu comedian wetu chawa wa.........😂😂😂😂🤣🤣🤔
@samuelmwangu3301
@samuelmwangu3301 2 года назад
Mi nakukubali sana Steve , piga Kazi kaka. Hata Yesu walimkataa.
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 года назад
Nakupenda sana kaka yangu huwezi pendwa na watu wote ww piga kazi tuu tupo tunaokupenda🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️
@directorxaimaco5729
@directorxaimaco5729 2 года назад
Fanya kuachia ngazi tu Brother. Haya ni Maisha ya Watu. Shida tunazijua ndani. Fata Sheria tu ni swala dogo tu.
@matekerekurwijira1576
@matekerekurwijira1576 2 года назад
Lugha unayoitumia kama kiongozi moja kwa moja unadisqualify ktk ofisi ya umma,acha kuchanganya pumba zako na viongozi wetu wa umma.
@richardmbugi2746
@richardmbugi2746 2 года назад
Kuna watu wanakera sana,hv kwani lazima ukae hapo mbona unatia aibu ww sijui mhehe wa wapi,yani unaongea useng........ unauzi sana
@josephelius8196
@josephelius8196 2 года назад
ujue hii bongo nimegundua ukiwa unaongea ovyoovyo unapata kitengo sasa uyu nae aya sisi yetu macho weee ongea lakin ipo siku utajikuta ulilala ndani mala uamke uko njee coz unaleta utani kwenye ajira za watu coz wanaendesha maisha yao na familia zao kwa ajiri music mwingine anaamka uko anapewa kitengo duuuh hii bongo bhana kazi sanaaa
@Chemba67
@Chemba67 2 года назад
Huyu anachanganya mambo kweli kweli.......ili apate huruma ya watu . Amesahau au hajui kua FA ni mwanamuziki na alisimama kama mwanamuziki na si mmbunge. ACHA FITINA. Kuna haja gani ya kutaja ACT, CHADEMA na vyama vingine?
@samuellevy2564
@samuellevy2564 2 года назад
Huyu jamaa anamakelele Sanaa ndio maana hawamutaki
@mariamuomari6054
@mariamuomari6054 2 года назад
Pua pua 👃👃👃👃😁😁😁😁
@teddylyimo2296
@teddylyimo2296 2 года назад
Mpuuzi huyu stev anaongea pumba
@mcpambe8063
@mcpambe8063 2 года назад
Ingekuwa usaili, kwa kauli zake angepigwa chini katika hatua za awali kabisa. Amedhihirisha yuko "shallow thinker"; na kwa nafasi aliyoteuliwa ni ngumu sana kwake kuitendea haki inavyotakiwa.
@mazikumange9130
@mazikumange9130 2 года назад
@@mcpambe8063 yeah exactly hana sifa pia lugha ya kuapproach challenges hawez then hawez kuzi control emotions zake!the guy is good at gossiping not persuading people ila acha tuone kip kitafanyika but imekua gafla kuteua mtu ambayo hana professional kabsaa daah haya bn steve mr poor😅
@ahmedimuhamed6267
@ahmedimuhamed6267 2 года назад
Safi. Steve Nyerere. Umeikumbuka. Zanzibar. Asante. Mana hao wote wanaopinga. Zanzibar. Hawaitaji Wala. Hawaisemei
@iwobidesousa5290
@iwobidesousa5290 2 года назад
Bilnass Bilnass 🙏 tuko chini ya miguu yako.. huyu jamaa hawezi anatamba kiasi hiki.
@chealakwealakwe463
@chealakwealakwe463 2 года назад
Ongera mwanafa kwa kumuona uyu kijana uyu sio kiongozi asilete comed kwenye kazi za watu
@KPPKPPkabwendepoultrypro-ue4pe
@KPPKPPkabwendepoultrypro-ue4pe 3 месяца назад
😂
@alhaminyangusi8035
@alhaminyangusi8035 2 года назад
Kwa akili zake hicho kitu hakimtoshi, upeo wake ni mdogo sana ktk kuingiza watu . Nishaelewa kwann alipata kura 1 uchaguzi kipindi kile.
@robertgilbert9453
@robertgilbert9453 2 года назад
Mmmh sema kweli ata sijapenda uwe msemaji unajua ata misingi ya hip hop
@halimmnav9458
@halimmnav9458 2 года назад
Huna baya ndugu wasiokupenda wajinyonge achana nao. Kazi iendelee.
@rsautoservice984
@rsautoservice984 2 года назад
Steve tano TENA daaaaah....tuna kukubali Steve Fanya kazi..
@petermushy9883
@petermushy9883 2 года назад
Hahaha Anajikuta Nyerere 😂😂😂😂
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 года назад
Nimefurahi Sana Mgogoro kama huu ni afya sana maana uundaji wa hivi vitu ulikuwa wa kihuni na kishkaji na mipango mingine ya hovyo kuumiza baadhi ya Wasanii wa muziki
@kwilasacharles1747
@kwilasacharles1747 2 года назад
Haya yote ni kwasababu ya njaa tu🤣🤣🤣
@softsoftbby8013
@softsoftbby8013 2 года назад
Steve Nyerere kachachamaa kweli naona kazi anaweza maana anaowezo wa kujitetea japokua uwezo wake mdogo ila aonekana kazi ataweza wampe mda tuone atawapeka wapi,maana katoa hoja za msingi kabisa unaweza kuwa msanii na usiwezi kuongoza wa sanii na watu walio mteuwa waliona uwezo wake unafaa
@alhaminyangusi8035
@alhaminyangusi8035 2 года назад
Ww nawe kichwa buyu
@kayalaonlinetv
@kayalaonlinetv 2 года назад
Rick media mnatoa sana habari nzuri na halafu nyie mme improve kiukweli
@matukiomedia191
@matukiomedia191 2 года назад
Mzee had maneno ya kusema tu unapiga chabo.....lugha utaweza
@abroadconnectededucationlt5435
@abroadconnectededucationlt5435 2 года назад
Huna shule Steve , huna hela , huna ushawishi , Mwanamke FA shule ipo , Ana ufuasi mkubwa , akili ndogo haijawahi kuitawala akili mkubwa
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 2 года назад
Hiki kijamaa kinaongea kama kimechanganyikiwa, ndo mana wanakikataa, mbona watu unaweza kuwateka kwa kauli na weredi tu, sasa kinaongea kama kimemeza nini sijui
@alhaminyangusi8035
@alhaminyangusi8035 2 года назад
Nawaonea huruma wasanii watakaokubali kuongozwa na stive kwasababu wanaharibu maisha Yao wenyewe.
@abdallahkhamis9227
@abdallahkhamis9227 Год назад
We ongea clip yako ipo mezani Kwa Naibu waziri kuanzia Jana jioni
@husseinkazungu5101
@husseinkazungu5101 2 года назад
Steve is active
@salumsalim7564
@salumsalim7564 2 года назад
Dah hii mashine hana tofaut na polepole
@ngache46
@ngache46 2 года назад
Ubalozi wa Malawi unamhusu eeeeh
@bahatimwangoka649
@bahatimwangoka649 2 года назад
Siasa imeingia kwenye Music na hapo ndio shida inaanzia
@djkayumba
@djkayumba 2 года назад
Tatizo sio uchama Wala mambo unayo ongea ni broken kikubwa je?? Una sifa moja wapo ya hicho ulichopewa?? Maana watu wanaogopa kutiwa aibu pia angalia Katiba Ina sifa yako nakama hamna achana na hiyo kazi
@enockkibona7522
@enockkibona7522 2 года назад
Hakuna anayetaka kutugawanyisha brother Steve ispokuwa watu baadhi hawataki uwe msemaji wao ndivyo ilivyo kauli ya kusema watu ama mtu anataka kutugawanyisha umeongea wewe,kifupi ambao hawataki uwaongoze waache wamchague mtu wanayemtaka alafu wewe waongoze hao wengine wanaotaka uwaongoze nadhani hapo itakua poa ila usiradhimishe Kuwa msemaji kwa wanamziki wote...
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 2 года назад
Usisahau kuna wanamziki wanamtaka kwahiyo bwana ambao hawamtaki watajua hawajui
@majijabombassa6890
@majijabombassa6890 2 года назад
Hongera Sana kwa Mimi tu unafaa sanaaaa zngine chuki tu pga kaz mzee baba
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 года назад
Aibu Steve Nyerere nenda uko kajambe mbele unatafuta gia ya kuingia bungeni huingii labda kwa goli la mkono lkn raia mwema hakupi kura yake wote ulowataja wana taaluma ya uwezo wa kuongea na elimu kubwa ww huna lolote Steve huna koromeo ww unajiona km Mwalimu Nyerere kwendaaaa hutakiwi kaa chonjoo
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 года назад
Mzee wa busalah stive
@SamirBSam
@SamirBSam 2 года назад
Chapa kazi kaka Steve achana nao.
@azizairakoze1230
@azizairakoze1230 2 года назад
Tanzania kaziipo naona mze kapata mhaho hakubali kuondoka nishida
@abdillahmtindo6918
@abdillahmtindo6918 2 года назад
Huna sifa ya kuwa msemaji wa mwana muziki huna tokaaaaaaaaa Ila duh njaaa mabya kwely alikuwa ananyemelea hapo bx kaipata mhhh njaaaa itakuuwa atukupendi Wala atukutakiiii tokaaa
@sefaniambilinyi7080
@sefaniambilinyi7080 2 года назад
Kwani lazima uwe msemaji usijilazmishe kwa kudanganya watu wazili hamna Sheria inayo mbana kuwa na taaruma frani Ila lazima awe mbunge wa kuteuliwa au kuchagulia ndo atakua wazili lakini PS paraments secretary lazma awe na taaruma husika sasa wewe fata Sheria yenu inasemaje umekiuka na uwe msemaji pigeni kula ili upite kidemocrasia
@girah339
@girah339 2 года назад
The man Steve, ana maneno ambayo kiongozi hapaswi sema , yupo ignorant na personality alonayo hapaswi kabisa kushikiria uongozi if so ataishia in regret coz he likes complaining . Watu wanalilia uongozi ila brother it's hard to manage responsibility of a leader.
@dgt6303
@dgt6303 2 года назад
Huu mjadala ulivyoibuliwa umesaidia pakubwa mno kuujua uwezo na busara za aliyekuwa anateuliwa. Daaah Mwanafa na wasanii wengne mliona mbali.
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 года назад
Huna lolote kwendaaaa vijitu vifupi huwa vibishi sana hutakiwi unang'ang'ania nn,kwanza una maneno meng sana mbk yanaboa
@roseamos9930
@roseamos9930 2 года назад
Kimeumaaana
@joshuambogela8143
@joshuambogela8143 2 года назад
kajamaa aka kame wazidi sana akili kuna watu walikulupuka naona kana upiga mwingi sana
@frankrobertkomba2318
@frankrobertkomba2318 2 года назад
Hamna hajajibu hoja za msingi zilizozungumzwa jana,moja kamati ilitumia vigezo gan ambavyo katiba imevisema tivu yake hana.kikubwa anaotaka kuwaongoza hawamtaki.sasa yeye ameenda personal sana hasa kwa fa na wakaz
@mussamwambene7910
@mussamwambene7910 2 года назад
Safi nyerere
@athumanimbagala8107
@athumanimbagala8107 2 года назад
Kama movie yani,ninecheka Sanaa,nawaza Kama angekuwepo na mkojani apa ingekuwajee
@innocentbugobola2234
@innocentbugobola2234 2 года назад
Ww acha ubaguz hii Kaz aikufai kwanza unaHasira alafu unaonekana Majungu Sana dah et watu wametulia wanakusikiliza aaah
@ngasikajoel9576
@ngasikajoel9576 2 года назад
Steve acha usanii kwenye professional intelligence ..hiyo nafasi haikufai in real fact..
@wahapahapa3279
@wahapahapa3279 2 года назад
Hapa ndo stive anataka kuchukiwa nakwambia uyu kwa wasanii wa kizazi kipya hatoboi Maana wao ndo wananguvu iyo miziki mingine yote hawana nguvu
@agnesssanga6544
@agnesssanga6544 2 года назад
Mbona Steve yuko pouwa tu watu mnawivu jmn khaaa kwan nyie mnataka nan awe msemaji jmn
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 2 года назад
Tena anafaa haswa
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 года назад
Mbona stive uko poa sana
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 2 года назад
Wanamuandama sana sana, ila mtafuteni munae mtaka ili tuone itakuwaje
@moriscollins4494
@moriscollins4494 2 года назад
Nikimsikiliza sitive huwa naanza kupata hasira bora nisile au kuvaa nimlipie mtoto wangu ada mana shule ni kitu muhimu sana na ndio mana vitabu vya dini vilijua hilo.....Tulipe ada jamani
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 2 года назад
Mi kwa kweli najiuliza sana kweli hiyo ndo hekima kuongea hivyo? Kaka huna busara wala hekima hata mimi ningekuwa mwana muziki ningekukataa, kwa ufupi unatia aibu
@philimonambilikile6645
@philimonambilikile6645 2 года назад
Huwezi pendwa na wote piga kazi utambulike zaidi
@jafariimduduu9264
@jafariimduduu9264 2 года назад
Mm wooote nawaona kenge mliokosa mikia stiv anafaaaa kabisa
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 2 года назад
TUPISHE MZIKI UNAWENYEWE. UMEINGIA PASIPO KUHUSU HAFADHALI HATA UNGEKAA KIMYA
@meemetympingo
@meemetympingo 2 года назад
Nguvu moja sulet Steven nyerere
@josephelius8196
@josephelius8196 2 года назад
wew bhana si utoke kwani lazima uwe msemaji kwani huna kazi nyingine ya kufanya mjini khaaa
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 года назад
Mwana fa, puwa wakazi, puwa Nay wamitego, puwa kalapina, puwa Diamond platnumz, puwa Nay wamitego,puwa waliopinga wote mapuwa.
@alextanzania
@alextanzania 2 года назад
Puwa Dunia Wa Dunia
@csungo8471
@csungo8471 2 года назад
Napenda anavyosisitiza kama mwalimu Nyerere. You deserve it 💪💪
@broganbig6651
@broganbig6651 2 года назад
Msanii ni kioo cha jamii Lakini kwasasa wasanii wana tuyumbisha Ni vizuri kukaa pamoja na kuzungumza mtu kama hatakiwi ziwepo hoja kwanini hatakiwi , hoja zinapotolewa zinatakiwa kusikilizwa zikionekana zinamashiko basi vizuri kufuata hoja na si kupigizana kelele
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 2 года назад
Umeongea vyema Sana
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 2 года назад
Ona Sasa washaanza taarabu😁
@chamzurykashamba1134
@chamzurykashamba1134 2 года назад
Huyu ndo Tivu ake
@frankyohana208
@frankyohana208 2 года назад
Ungekua na kazi ya kufanya" usingekua unang'ang'ana hvyooo...""
@seouliteawon8903
@seouliteawon8903 2 года назад
Wajumbe wa Iringa Mjini waliona mbali..!!!
@saidawadh8292
@saidawadh8292 2 года назад
Mr 2 au 2 proud sugu inamfaa nafasi iyo
@abimerickikibiki5223
@abimerickikibiki5223 2 года назад
Kazaa baba vizurii
@eagleculturetv4692
@eagleculturetv4692 2 года назад
kwa game ya bongo hapa ni bora akabak steve mana utim ni mwngi mnooo
@fredmankaingu446
@fredmankaingu446 2 года назад
Steve piga kazi mzee wameze wembe
@veenpoul900
@veenpoul900 2 года назад
et unataka kuharibu mkate wangu duuh,,,,acheni tivu aendeleeeeeeeeee
@kirundumweteni2072
@kirundumweteni2072 2 года назад
Bongo move wamekuchuja na hukuifanyia maajabu sasa una kashfa ya kumgombanisha Ry na marehemu kanumba, kiufupi tafuta maskani ya kupiga soga sio kwenye mziki watu wamesotaaa wee halafu wakuchukue huna Rank yeyoote. Huna maajabu
@aminamayala8373
@aminamayala8373 2 года назад
Sasa kama hutakiwi ,usifosi, kwanza kazi yako ya kusimamia misiba inakufaa sana,
@issamahiro7563
@issamahiro7563 2 года назад
Ume[potea jamaa yangu. ulipooleta uchama tu umepotoka.ww nenda kwenye kazi yako ya ukuwadi tu
@mwajitajunior7633
@mwajitajunior7633 2 года назад
Mmh Bongo Balaaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@fransalbat1800
@fransalbat1800 2 года назад
😂😂na hang'oki sasa
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 года назад
Mmmmm!! Hiv Msemaji wa muvi jamqn atakuwaje msemaj wa bongo fleva jamqn Ukweli usemwe Steve hakustahil freva anaijua!! Ach kulalama. Bwana weeee sio kila katiba ipo vzr Kama. Vp wabak kuwa mkusanya michango ya wana muvi bas
@nimrodmareges3131
@nimrodmareges3131 2 года назад
Una fit sana Stev acha waseme
@josephatjames9893
@josephatjames9893 2 года назад
Kaka nakubari kazi zako
@djumaally5536
@djumaally5536 2 года назад
Mbona mwamba yupo vizuri tu mbona anajua na uzalendo wa kweli
@jacklinejacksone1165
@jacklinejacksone1165 2 года назад
Uyu awaongoze wa taarabu mbongo freva awakutakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii😂
@suwedwakil4392
@suwedwakil4392 2 года назад
Huuu ndiyo uswahili sasa !
@nikolausmuhamaly1571
@nikolausmuhamaly1571 2 года назад
Wabongo tulitupiwaga jin gan lakin du!
@benjaminkangolo2017
@benjaminkangolo2017 2 года назад
Tupo maneno msemaji wetu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jeffersonsimon477
@jeffersonsimon477 2 года назад
Hebu kwanza nchekeee hapo🤣🤣🤣
@pascalgasper403
@pascalgasper403 2 года назад
Hapo Ni Uongozi Shida,, Yani Watu Wanataka Mtu Wa Kuwaongelea, Kwa Hiyo Watu Kama Hawakutaki Kwa Nini Ung'ang'anie,, Kwa Mtazamo Wangu Hapo Upigaji Hela,, Na Huyu Antaka Hela Tu Mpumbavu Huyu,, Alafu Anaongea Kama Mwalimu Nyerere, Huyu Akamatwe Atufai Kwa Kweli 😅
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 года назад
Hahahaaa wewe huzitaki unipe miye
@jacksonhantik7597
@jacksonhantik7597 2 года назад
Hiv ww ulikuwa unalijua hili linaloitwa shirikisho?au ushawahi kusikia kuhusu msemaji?ninachoona hapo ni roho mbaya tuu za watu
@pascalgasper403
@pascalgasper403 2 года назад
@@jacksonhantik7597 Huyu Alikula Pesa Za lambilambi tunamjua
@009biafra8
@009biafra8 2 года назад
Eti akamatwe
@annabubelwa4543
@annabubelwa4543 2 года назад
BASATA mjitafakali kwa hili isee , otherwise mnachokitengeneza kitawachafua wenyewe
@SampleKiller99
@SampleKiller99 2 года назад
Shida nyingine anachanganya siasa na muziki..; angepaswa kujibu hoja zao kwa hoja na katiba ya shirikisho la wanamuziki.
@ngasikajoel9576
@ngasikajoel9576 2 года назад
Very ignoring brother stay calm fanya kazi zako za ukuwadi tu kwa wazee na hao sisters wa kuigiza tunajua sana .. school yenyewe huna
@mwigakatumpula6852
@mwigakatumpula6852 2 года назад
Poor poor poor 😥🙌😀
@vumisungwe7405
@vumisungwe7405 2 года назад
Usitoke kaka
@davinaheven4794
@davinaheven4794 2 года назад
Steve ni anafaa kuwa Mwenyekiti wa Misibiba tu.
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Komboa fikra... Heshimu kazi za wengine... Comedian ni Rais (Zelensky). Comedian ni Governor (Arnold Schwarzenegger)... Unasemaje sasa?
@aisharevelian6933
@aisharevelian6933 2 года назад
Na kwenye misiba ni tapeli anakula rambirambi ndmn hata kwa film wamemkataa
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Arnold Schwarzenegger ni actor producer maarufu... Aliwahi kuwa Governor wa California... Just kukwambia usiwachukulie poa Comedians, wale ni Watu serious.. Nchi nyingine zinatambua thamani yao na uwezo wao...
@davinaheven4794
@davinaheven4794 2 года назад
@@j.c.maxima816 Hana uwezo huyo Amolo! Abaki na kamati za misiba. Swala sio u comedian. Wala hatudharau taaluma ya mtu, maana ni kazi inampa kipato halali. Usitafute huruma. Shida ni IQ yake ndogo kush nehi. Wako watu weenye uwezo zaidi ya Andunje wataweza kuingiza. Yeye abaki kuazima magari na kuwa mtu kati aka Kuwadi
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Sitafuti huruma ya Mtu... Steve ni Kiongozi, ni mtu mwenye akili, na ni mzalendo pia... Anajua anachokifanya, ana sifa zote... Wale Wahuni wote wanaomkejeli hawana akili kuliko yy... Na wengi wao hawamzidi elimu... Tuheshimiane... Kila kitu chini ya jua kina mwisho! Hela itaisha... Ubunge utaisha... Hela sio kila kitu... Hii dunia tunapita tu... Ee Mungu tusamehe Watz...
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 2 года назад
Ukweli wauma,,,, Kawaambia ukweli,hil;jambo limechukuliwa ki ushabik,Fulani hamtaki Ni wangu,nami simtaki,,,i
@michaelmsigala8539
@michaelmsigala8539 2 года назад
Huna sifa bwana kwanza ukiachana na sifa wemwenyewe huna usiliasi kabisa hapa kwa shirikisho tumepigwa
@nicklassshaypanga8794
@nicklassshaypanga8794 2 года назад
Babu ni hiviii hutakiwa mzeee achia kitiiii hichoooo acha uganganiziiiii
@kilunjupolinah343
@kilunjupolinah343 2 года назад
Mimi nakukubali Steve wetu achana nao chapa kazi tu. Lakini nina swali, hivi hiyo puwaa ni ipi?
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 года назад
Kwani Kabla Yamsemaji Huyo Msemaji Mwingine Alikuwa Nani.
@Mimy_keys
@Mimy_keys 2 года назад
Mbona Mwamba ana Busara sana tu 🙌Tuone hivyo vigezo basi ili tuelewe 😂😂😂 Maana Kuwa Msemaji sio lazima awe Mwanamziki 👏👏👏
@chandedon2811
@chandedon2811 2 года назад
Rastaa hutakiwiiii
@jamesdadu6736
@jamesdadu6736 2 года назад
Steve unatimamu sana..nimekuelewa sana
Далее
when you have plan B 😂
00:11
Просмотров 7 млн
small vs big heart 💖 #tiktok
00:13
Просмотров 5 млн
How to get Spongebob El Primo FOR FREE!
01:36
Просмотров 13 млн
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Просмотров 25 тыс.
when you have plan B 😂
00:11
Просмотров 7 млн