Тёмный

"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 1,2 млн
50% 1

"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
WABUNGE wa jamhuri ya muungano wa Tanzania wameanza kujadili bajeti lkuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2020 / 2021 iliyowasilishwa bungeni jana juni 11, na waziri wa fedha, Dkt Philip Mpango..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Опубликовано:

 

11 июн 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 701   
@neemaruben6531
@neemaruben6531 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tulia ww nikupashe aliskia agonge like hpa
@halimsadiaabdullahi502
@halimsadiaabdullahi502 2 года назад
I love the way tanzanian leaders express themselves . This cannot happen in Kenya my freind , you will be shocked to realize that your coffin has already been bought awaiting your last day . I dare this to happen in Kenya . Congratulations tanzanians people .
@juliusloth4193
@juliusloth4193 3 года назад
Ambao tunasikiliza baada ya uchaguzi like nyingi kwangu
@gkplexus2855
@gkplexus2855 3 года назад
😂😂😂😂
@saidichilyenga2847
@saidichilyenga2847 3 года назад
Najaribu kulike mala11 hazikai
@prophetgeorgeanointed1onli706
@prophetgeorgeanointed1onli706 3 года назад
Kura mliiiba mkiona Kobe kainama anatunga sheria Usijisifu ujinga
@brunopayu5428
@brunopayu5428 3 года назад
Kessy aliangukaaa kumbe alikuwa mwongo
@joanbajuta6283
@joanbajuta6283 3 года назад
@@brunopayu5428 n
@saidali7331
@saidali7331 4 года назад
Wabunge muko na shida sana nyinyi mambo ya kifamilia hayahusu kuzungumzwa humo, hata Leo mukitombana huko majumbani kwenu mutakuja sema bungeni jana tulitombana na mke wangu au na mume wangu wacheni upuuz huo tumewatuma bungeni mukaongelee kero za wananchi sio mipasho, mukomee na huo ujinga wenu,
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 года назад
Umenifanya nicheke maswala ya kut........
@mahewasamwel398
@mahewasamwel398 2 года назад
Hahahahaha
@festogalole7527
@festogalole7527 4 года назад
Mh vijiji vyote namanyere vina umeme kweli, mzee acha uongo, ipanda, mkole mwambao wa ziwa pamoja na wampembe, wana namanyere gonga like km unaungana nam, kweli wabunge nkasi tunao tena wako makini na yao duu n hatari sana
@zeranchimbi2808
@zeranchimbi2808 3 года назад
Kessy umeshaoneshwa kazi na Aida oyeeeee
@rebekantiha4131
@rebekantiha4131 3 года назад
Umeon babe alijiharibia mwenyez tatz ni mropokaj mm ni ccm ila huy anaboa saaaan
@relaxationalmoments7029
@relaxationalmoments7029 4 года назад
Baadhi ya wabunge wa viti maalumu wanakwama sana kuhusu taarifa za kweli. Wanachukua taarifa za vijiweni zisizo za kweli wanakuja nazo bungeni, hawaendi site, matokeo yake kwa kweli ni kukwama sana tu! Wangebadilika ingekuwa vema sana.
@lawmaina78
@lawmaina78 4 года назад
Ha ha ha povuuu, ila mzee ameeleza vizuri sana, takwimu anazo.
@peterkatumain2299
@peterkatumain2299 3 года назад
Kweli bro
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 года назад
Hay mazuri yote puumpaka chini...huyu mzee alikuwa mpuuzi Sana ndani ya bunge...ya kwapi sasa..
@dafrodhaelias8944
@dafrodhaelias8944 2 года назад
Natokea Nkasi ameongea ukwl 👌👌👌👌 Barabara ni kama zote
@godymbanyi1878
@godymbanyi1878 3 года назад
Pamoja na kejeli zote, huyo mama alimpiga chini Kessy
@andrew29468
@andrew29468 2 года назад
Kweli
@armortempore9251
@armortempore9251 2 года назад
@@andrew29468 Malipo hapa HAPA
@b.anyondo1640
@b.anyondo1640 4 года назад
Kessy punguza mzuka Baba hao ni wanawake misemo mingine IPO kwenye kanga zao watakuharibia siku
@burudanitv874
@burudanitv874 4 года назад
Et mzuka 😂😂😂
@faikamohamed3699
@faikamohamed3699 4 года назад
🤣🤣🤣🤣
@sifamushi1747
@sifamushi1747 3 года назад
Washamkomesha...
@jimmysameji4746
@jimmysameji4746 4 года назад
Duu aisee! Hii haijakaa poa. "Mwanamama kaachana na mumewe baada kupata ubunge"!!!!
@makenebartazary2236
@makenebartazary2236 4 года назад
😂🤣😂🤣😂🤣 ni shidaaa
@ulimwengu5599
@ulimwengu5599 4 года назад
watanzania mnapenda umbeya sana.Yaan upupu wote aliosema Kessy umebeba wa kuachana na mwanaume!.
@davinaheven4794
@davinaheven4794 4 года назад
Kessy ana kipaji, anajua kusuta na hata taarabu tu aweza huyu. Kaa! Ndoa yake nlinakuhusu Nini Babu! Lete sera tu. Unachamba Kuzidi Dr. Kumbuka
@magynzioka1122
@magynzioka1122 3 года назад
Hahaha tz kila mtu mchambaji😀😀
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 3 года назад
Na hiki ndcho kilichomuangusha
@leeaglepropeller4549
@leeaglepropeller4549 4 года назад
Kama unatokea Rukwa na unajua kuwa hakuna jimbo lililo nyuma kama Nkasi ,ndo utajuaa kuwa huyu mbunge hafaii kabxaaaa ni mropokajiii tuuu
@liliansamson674
@liliansamson674 4 года назад
Le Eagle Propeller acha upotoshashi wewe unadanganya humu kwa kudhania wana Rukwa hatumo humu, mpumbavu mkubwa
@mobisamabera5196
@mobisamabera5196 4 года назад
Mzungu uko vizuri vipi!? Brainwashed Idiot
@masuaugustine7503
@masuaugustine7503 4 года назад
Bunge sasa limekua lamipasho na mbowe kalewa sijui tumewatuma icho wanachokifanya uko
@gregoryntibani6640
@gregoryntibani6640 4 года назад
Kessy kafanya kazi. Usipotoshe umma kwa uongo wako. Tunapajua sana Nkasi. Namanyere ya zamani siyo ya leo.
@ericksimbeye3256
@ericksimbeye3256 4 года назад
Ndugu Jimbo la nkasi linamaendeo Sana hata haliwezi fikia kalambo,,,
@onesmocharles5801
@onesmocharles5801 3 года назад
Waliokuja baada ya muhuni kupigwa chini tulike apa🤣🤣
@donardmsomi8451
@donardmsomi8451 3 года назад
Hahahaha aliambiwa tukutane kwenye uwanja wa Kupiga kampeni akaanza kumupa vijembe... Duuuhh siasa hii siyo ya mjomba wako.
@onesmocharles5801
@onesmocharles5801 3 года назад
Noma Sana🤣
@gkplexus2855
@gkplexus2855 3 года назад
😂😂
@dismaschama5858
@dismaschama5858 3 года назад
Mzeee kumbe uliambiwa mapema,,,, hahhaha nenda kavue samak ziwan sasa
@allykamanga4366
@allykamanga4366 3 года назад
Amepita nani kweny hilo jimbo
@ibrahimusheshe7856
@ibrahimusheshe7856 4 года назад
Safi kabisa baadhi ya wanawake ndio tabia zao pumbavu kabisaaaa😀
@sadatisabihi3818
@sadatisabihi3818 2 года назад
Ahhahahaaha
@tilitokisoka1944
@tilitokisoka1944 4 года назад
Hekima ni muhimu sana hasa kwa watu wazima
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 года назад
Hahahahah Mh Kessy we ni noma ila kwa maelezo yako nimekuelewa sana umetoa takwimu nzuri sana hakika huyu mbunge haelewi chochote kinachofanywa na serikali kwenye jimbo lake.
@washingtonndeda4051
@washingtonndeda4051 3 года назад
Watching from Kenya
@kigahedavid2178
@kigahedavid2178 4 года назад
Ila Wabunge wengi ni bendera Kufuta upepo leo tumepata Rais mzalendo na wenyewe wanajifanya wazalendo sasa hata hatuwaelewi
@siwemaadam2
@siwemaadam2 4 года назад
Rais Magufuli toa onyo kwa watu wanaongoza kubeza wenzao bungeni. Bungeni ni mahali pa kuwafundisha vijana wetu nidhamu za kazi sio ujinga kama wa mzee Kessy. Mwisho watu wa Nkasi tumechoshwa na wabunge wa aina ya Kessy bungeni. Vijana wa Nkasi nafasi hiyo iko wazi. Kessy ni mbunge mdhalilishaji hatakiwi arudi bungeni msimu ujao.
@gabrielgodwin7465
@gabrielgodwin7465 4 года назад
My favorite MP ever Ana trend kuliko hata wasanii wa Bongo flavor 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤣🤣🤣
@magynzioka1122
@magynzioka1122 3 года назад
Uyu die yule wa pilau kuku
@nataldesantos3054
@nataldesantos3054 3 года назад
🔝😇😇 matokeo yake Chiniiii! Daaah siasa noma Sana
@pauljohn6393
@pauljohn6393 3 года назад
Waliokuja hapa baada ya huyu mchizi kupigwa chini tujuane!
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 3 года назад
Ahahahaha amepata balaa🤣
@ephremmtuya3094
@ephremmtuya3094 3 года назад
kwa kweli ndiyo maana amepigwa chini
@maryoswad7022
@maryoswad7022 3 года назад
😂😂😂😂😂duuuu amemuacha mume kwa kupata ubunge
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 года назад
@@maryoswad7022 yahni hakika dunia ina kwenda kasi sana
@kambiyusufu7709
@kambiyusufu7709 2 года назад
Yani😅😅😅
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 2 года назад
Mzee kessy tumia busara ya utu uzima uliofikia...ccm hamtamfikia Aida...huyu ni another level
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 4 года назад
Mzee, kinywa Machine ya Cherehani😊😊😊
@seifmassoud2686
@seifmassoud2686 4 года назад
Yani wabunge ndani ya bunge baada ya kuzungumzia mambo ya nchi itaenda mbele vipi wanapigana vijembe tena Wanaume wanashindana na wanawake na kujipigia kampeni Shida kwa kweli
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 4 года назад
Kama mtu kaachana na mumewe hayo ni mambo yao ya ndani yanahusu nini hapo bungeni si mahala pake. Shame on you mr kessy
@burudanitv874
@burudanitv874 4 года назад
Ikumbukwe tu mwanaume akiwa na pesa ataka na mkewe hta kma demu uyo hana hela lkn mwanamke akipta laki 3 tu ttzo ndani
@evalineemmanuel8178
@evalineemmanuel8178 3 года назад
mzee mzima haata aibu jaman uyo sisaw na mwanae mbon watu awanabusar wal heshima mbunge mzima ten mwanaume anamipasho km mwanamke uko bungeni akun nidhamu jmn
@peterjohn1969
@peterjohn1969 4 года назад
Safi mueshimiwa kesi ao wamama wabunge wakisha pewa ubunge wana ona wana weza kulala namwana ume yoyote mpaka kuwakimbia waumezao wenyewe wakiacha wanaonekana wana onewa
@jorampaulo7008
@jorampaulo7008 4 года назад
Peter John ulitaka waje kwako mwenye kibamia
@jafaribori601
@jafaribori601 4 года назад
PUMBAVU KABISA Yaani kapata ubunge akaona MUMEWE HAENDANINAE!!! HUYO NI MSALITI IPO SIKU AIKISHAWISHIWA ANAWEZA KUUZA NCHI HAFAI KUWA HATA MJUMBE WA NYUMBA KUMI
@eventelias3566
@eventelias3566 4 года назад
Kweli kabisa
@emmyally5335
@emmyally5335 4 года назад
ahhahahahahahahaha niache jafari
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 года назад
Yaani mmm anatisha
@peterbenerd7367
@peterbenerd7367 4 года назад
Tafadhali eshimuni ndoa za watu
@juliusmkopekwa336
@juliusmkopekwa336 3 года назад
Sasa uko wapi
@makutwioberd9542
@makutwioberd9542 3 года назад
Ally kessy jeuliyake imeishia wapi hatimae mungu kampigania aida hakika aida amemshinda kwa kishindo pia mungu alikua nakusudio lake kutuondolea mwarabu huyu na kutuletea dadayetu kipenzi aida j kenani
@Mwigaa95
@Mwigaa95 3 месяца назад
Hakika bunge lilikuwa lime chemka sana yaani 🔥🔥😀😄😄 sio sasaivi uchawa uchawa tu mara ana upiga mwingi mitano tena 😄
@emmymmota9967
@emmymmota9967 4 года назад
Acheni ujinga tunataka kujua nnchi yetu inaendelea VP kiuchumi,,,, tuliwachagua muongelee mambo ya ndoa bungeni!!? Ilo nibunge LA matusi,,,, jieleweni
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 4 года назад
Hivi nchi hii hakuna wasomi wa kutuwakirisha!!
@jonathankizindo2817
@jonathankizindo2817 4 года назад
Wanaoongea sana ndiyo wanaonekana wazuri hatari wasomi wa wakujenga wana nafasi finyu
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 2 месяца назад
Mama Samia mchukue uyu dada awe mbunge wa CCM mana Ana confidence ya kutoshaaaa
@walawioutreach4055
@walawioutreach4055 4 года назад
kwa umri nilio nao nimesikiliza mabunge mengi hili la sas linatia aibu na fedheha na kumkufuru mungu matusi ni dhambi,spika endelea kuwa mkali bunge lako halina maadili,wapiga kura wenzangu tuwe makini uchaguzi unakuja ,hakuna kosa baya kama kukosea kuchagua mwakilishi wako,MUNGU AWASAMEHE.
@polloz77
@polloz77 4 года назад
DJ Mbowe hanawala mzigo wote hawa wabunge wakike kina mdee na wenzake mpaka wanawacha waume zao Cheza DJ Mbowe
@elizabethmhinga4730
@elizabethmhinga4730 2 года назад
Ukweli wako umekuponza Baba, pambana kivingine Mungu yupo
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 4 года назад
Wafuasi wa mlevi oyeeee Tujuane apa👍👍👍
@letshikuku39
@letshikuku39 4 года назад
😂😂😂😂😂mwaka huu Mbowe atakoma au atazidi😂😂😂😂 si kwa mipasho hii
@kibwanamohammed5836
@kibwanamohammed5836 4 года назад
wakati wenu utafika za vichwa vibovu utafika atuwezi watu wasitalabu wakipata?nchi itatulia ngoja amalize mkabila mwezenu
@dennisungonella205
@dennisungonella205 4 года назад
Hawa wabunge Ni kudhalilishana tu, yaani personal issues zinatawala zaidi kuliko maslahi ya nchi.
@georgefesto8455
@georgefesto8455 4 года назад
Jamani huyu mzee kwa umri wake hana cha kupoteza,lolote atakalo ongea yuko sawa tu. Pia nahisi atakuwa kalelewa zaidi upande wa Mama,si kwa mipasho hiyo. Ila wananchi tuwe makini sana kuchagua watu wa kutuwakilisha. Naona umefika wakati tuangalie na umri.
@saidismailhamad3229
@saidismailhamad3229 3 года назад
Ukweli unaumaeeee mkipata ubungetu mnaachanana waumezenu wanawakee vitimbi kuliko shettan mlaaniwa wakipata haooo
@violetmageto7134
@violetmageto7134 3 года назад
Am finished 😂😂😂😂hivi bunge letu la Kenya likoje.... Naomba tu niwe raia wa kitanzania mumenifurahisha
@caesarfranc
@caesarfranc 3 года назад
Let's switch places
@violetmageto7134
@violetmageto7134 3 года назад
@@caesarfranc sure
@barakamanga5502
@barakamanga5502 2 года назад
Naomba niongee kuhusu serikali za mitaa, kule Mimi nilifuatilia mwanzo mwisho, ccm milivuruga uchakuzi, mkashinda isivuo takiwa, hapo siwasifii, maana taangu kujiAnfikisha liona kituo Hadi kituo, na baadhi ya maeneo wanao andikisha walikuwa Wana sema sikufahanu na mtu anae kataliwa ni mtu amezaliwa maeneo hayo wanamuona ,anasoma chekevhea,shule yasingi ,sekondali, na kilasiku tunao vijana kwenda kujiAnfikisha wanaambiwa hatukujui wewe SI mkazi waeneo hili, Sasa ,form za wapinzani mulileta mizengwe, hapana ,na mtumikia Mungu ktk hili mbunge umejigambo ziro,
@obbandaadieri4702
@obbandaadieri4702 3 года назад
Pls can Kenyans learn from Tanzania , responsible people ever, a working Parliament ,
@mkenyamzalendo4130
@mkenyamzalendo4130 2 года назад
Responsible aje kuwadararisha wanawake kijianzia ndio tusome. Mbona kaingisha maisha ya kinyumbani ya huyo mbunge mwanamke?
@katemachanda7035
@katemachanda7035 2 года назад
@@mkenyamzalendo4130 Zaidi ya uzalilishaji je hukusikia takwimu ya kazi alizozifanya!?? Ndio mwenzio anakisema hapo, huyo Mzee kazushiwa jambo akapanick lkn maelezo yake mengine yamebeba ni jinsi gani alivyo responsible.
@aminaissa9709
@aminaissa9709 3 года назад
Jamani bungu la Tanzania noma tulia nkupashee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kessy mwisho sana
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 4 года назад
Oyoooo 🤸🏿‍♀️🤸🏿‍♀️🤸🏿‍♀️🤸🏿‍♀️Bungen Kumenoga 🤣🤣🤣
@mussabulugu6319
@mussabulugu6319 4 года назад
Huyo mama kapata ubunge tu kamuacha mme .sasa akipata urais atachinja watoto wake
@josephjila957
@josephjila957 4 года назад
Kazi kweli kweli
@EvelyneChacha9
@EvelyneChacha9 3 года назад
Tulia nikupashe hujui chochote😂😂
@zaharasaid7765
@zaharasaid7765 4 года назад
Jaman waheshimiwa wakat mnajadili hayo msisahau wananchi wa mkalamo tunateketea kwa uchelewaji wa madokta kufika sehemu yao ya kaz
@youngloyclassic3173
@youngloyclassic3173 4 года назад
Eti wao wanasutana Tz yetu hii ila tutafika tu
@shebbybongo567
@shebbybongo567 3 года назад
Maneno hayo ndio yamekuponza, imekula kwako
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 3 года назад
Jamani Bunge mbona mnakuwa hivyo mnashushuana sana. Heshimuni ba atakidogo.
@mashashijumanne4791
@mashashijumanne4791 4 года назад
Uko vizur Mzee Kessy!
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 4 года назад
Mzee zima povu sasa ya nyumbani kwake yanakuhusu nini ongea haoja ilio pigwa ukiona hivyo nikweli kama sio kweli asinge toka povu hivyo
@karimabdul3928
@karimabdul3928 4 года назад
Mambo ya mtu binafsi sio ajenda za Bunge jamani wacheni kupotezea taifa muda.tanzania unahitajika kupaaa juuu afrika na dunia. sasa Kwa mijadala ya Nani kawachwa na Nani tunarudi nyuma
@dullahmobileshop8624
@dullahmobileshop8624 4 года назад
Nomaa
@simonzelote5998
@simonzelote5998 2 года назад
Hata hivyo mwanamke Ni kiumbe chenye uwezo wa kubadilika haraka Sana akipata nafasi kubwa anaweza hata akakutoa uhai wako ndo maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili
@johnbosconagalau1586
@johnbosconagalau1586 3 года назад
Noma sana kapata nafasi akaona akale bata na masela
@tumainimapesa6870
@tumainimapesa6870 4 года назад
Binge limekosa muelekeo waheshimiwa hawajitambui inasikitisha sana
@mkemia_magege5816
@mkemia_magege5816 2 года назад
Spika Ndungai alijimuacha Kessy azungumze yote🤣😂😂🤣🤣 duh! Kessy akaona hisiwe kesi ngoja amnyooshe huyu Dada.🤣🤣😊 Uzalendo ulimshinda akaona haitoshi na lile la Mume wake akampa.😂😂🤣🤣😁😄😅🥰
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 3 года назад
Kessy umeona faida ya kuwa mtu wa majungu Bungeni, bado Lusinde na Msukuma.
@twitysaalim2608
@twitysaalim2608 3 года назад
Kaulewe ww sasa kimekuuma masikini njaa tupu pole sana mwarabu mfupi jmb bunge km lako kubari tu umetolewa kalehe vijukuhu tu sasa
@phabianbiseko7173
@phabianbiseko7173 2 года назад
Mungu msamehe huyu mzee
@mahewasamwel398
@mahewasamwel398 2 года назад
Akusamee wew
@evamlay8997
@evamlay8997 4 года назад
Hivi wana sema buge tukufu bunge tukufu unaweza kuongea upumbavu kama huo mahali patakatifu ukafanye ni sehemu ya kumdhalilisha mtu kweli mungu anakuona wewe nimzee amba huna hata hekima
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 3 года назад
Huyu mzeee alipaswa ashindwe kabisa haiwezekani umtukane MTU mambo yake ya private mbungeni hata kama ameachana na Mume inakuhusu nn upuuz tu
@farajinkindwa3888
@farajinkindwa3888 3 года назад
hongera
@salmanyambwe2861
@salmanyambwe2861 4 года назад
Hongera
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 4 года назад
Huyu mzee si mpendi hata kumuona ya ovyo sana huyu sidhani kama mwaka huu atapita
@dedanmwasongwe1675
@dedanmwasongwe1675 4 года назад
Ndugai anakenyua meno kwa maneno machafu anayotemwa bungeni
@ahmedmngwali6698
@ahmedmngwali6698 4 года назад
E ndio mm napenda sana kuskiliza hii mipasho mana nikisema nijitie hasira nitazulumu lakini hivi vimondo wanavyotupiana wabunge najifurahisha
@jejufima4887
@jejufima4887 4 года назад
Kessy kapaniki.. huu mchezo nomaa Sana eti mkakutane kwa mbowe
@reubenmuganyizi4712
@reubenmuganyizi4712 4 года назад
Kiukweli, mbunge Kama huyu hafai, Mimi ni mwana ccm, lakini huwa sishabikii huyu Mzee, huwaanatukana tu.hana hoja, Eee jamani yaaani naomba Mungu asirudi bungeni hana staha kwanza amezeeka, akacheze na majikumu
@jimmysameji4746
@jimmysameji4746 4 года назад
Mzee wa mjini huyo.Kaniacha mbavu sina
@hamisimussa2228
@hamisimussa2228 4 года назад
@@reubenmuganyizi4712 wewe sio mwana ccm
@janekikoti2179
@janekikoti2179 4 года назад
@@reubenmuganyizi4712 Wewe ni chadomo tu usiseme ni ccm acha uongo
@reubenmuganyizi4712
@reubenmuganyizi4712 4 года назад
Una maanisha kila mwana ccm, ana shabikia ujinga?au matusi?wote hatuko hivyo Kama wewe" jifunzeni kukua usiwe na fikramgando, kwa kila kitu. ,hivi kwa huyo Mzee kesy "Kama kijana unajifunza nini kwake, cha kujenga Taifa letu. Uwe ccm au chama kingine tumejifunza nini?
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 2 года назад
Hapo hekima liko wapi kwa wakuu naona kama mambo ya uswahilini wanawake wanaposutana hii inashangaza sana!! tunaelekea wapi?wa tz ee mungu tusaidie
@ashamnyambu4056
@ashamnyambu4056 4 года назад
Babangu Kessy unachamba hatar,unamzidi Mwarabu wa Kizaramo aisee😂😂😂😂
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 4 года назад
Kapata ubunge tu kaona mume sio kitu tena c wamana funuana hovyo hovyo wenyewe kwa wenyewe
@musamusa6374
@musamusa6374 4 года назад
huyu mama ni jirani yangu ajamuacha mumeo bana
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 года назад
😃😃napita watamaliza wenyewe wamesema tutakutana
@pleonardkashatila4555
@pleonardkashatila4555 3 года назад
Na wamemalizana kamwamngusha kessy
@hizahiza9126
@hizahiza9126 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tulia wewe nikupashe aliyesikia agonge like
@blacknature3691
@blacknature3691 4 года назад
Huyu pumbavu kweli kama kaacha mume wewe inakuhusu nini wala sio siasa hiyo mzee mshenzi kwanza huna uasili ya tz tafuta kwenu wapi
@ramadhanahmad1183
@ramadhanahmad1183 4 года назад
Mambo hayo siri zinafichuka. Lkn mmeyataka wenyewe. Mnaongpa bosi kavamiwa kumbe kaenda geto lengo kuichafua serikali. Mmechokoza nyuki ngojeni ziwatafune. pumba nyie.
@mobisamabera5196
@mobisamabera5196 4 года назад
Messy piga tu kelele na msisimko kijinga tu, emotions wachia vijanaa! Mkashinda uchaguzi gani, kulikuwa na uchaguzi?? Kuiba Tu na vitisho!
@ibrakratos834
@ibrakratos834 3 года назад
Tulia upashwe....hio sio hasira ni ukweli
@judyngowi391
@judyngowi391 4 года назад
Huko nkasi mmekosa watu ? Mnamlete Huyu mwehu bungeni
@amnemasiku3515
@amnemasiku3515 4 года назад
Kwakweli wabunge hatuna tanzania.wanaume mmepewa makoromeo.lakini kama hamna.
@joramyosia612
@joramyosia612 2 года назад
Aaaah mateso ni makubwa sana kwawatu wahali ya chini Mheshimiwa kesi hiyo mipasho haitusaidi tunaomba ukweli mafuta hayakupanda bei? Ifute kauli
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Kessy ni mwehu!!!!
@zengomichael8238
@zengomichael8238 3 года назад
Duh! Ugali jamani uache tu😂😂😂
@judyngowi391
@judyngowi391 4 года назад
Mbona watu wazima lakini adabu hakuna? Na spika wao anatetea haya, yaani watu wammnatafuta sifa, wanajua wakitukana watapewa uwaziri,
@lemjikayugwa9992
@lemjikayugwa9992 3 года назад
Mwanaume.anabishananamwanamke
@valentinemtei2927
@valentinemtei2927 4 года назад
Anaongelea mambo ya undani wa watu, hakanywi na spka, au ya mwaka, udhaifu wa kina
@azmiabdallaazmi5931
@azmiabdallaazmi5931 3 года назад
Nyinyi wabunge munatatua au muna sumbulia au hizo pesa ni za kwenu au ni za wananchi
@washingtonndeda4051
@washingtonndeda4051 3 года назад
This Tanzanian Members of Parliament are just hilarious.
@allanmnzava8216
@allanmnzava8216 2 года назад
Hili ni Bunge au kikundi cha taarabu na mipasho?
@bikidude9743
@bikidude9743 4 года назад
This man has to meet Adan dwale from Kenya I thing drama can be more drama in the house
@joshwakaunda5052
@joshwakaunda5052 4 года назад
Kweli kabisa
@ruhumakhadija8772
@ruhumakhadija8772 3 года назад
Jamani nakupenda bure mweshimiwa kesi
@idrissatuppa3997
@idrissatuppa3997 3 года назад
Mzee umepigwa chini nenda ukalime.🤣🤣🤣🤣
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 3 года назад
Akalime
@berthandollo3227
@berthandollo3227 3 года назад
Lopo lopo tu
@omaryntagala3740
@omaryntagala3740 3 года назад
Yeah
@irowpach
@irowpach Год назад
People are going to join us
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 4 года назад
Hivi huyu alikuwa anasema Tulia ndio kaachana na mumeye.?
@catholicvibemusic3151
@catholicvibemusic3151 3 года назад
DAWA YA ALKALINE kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... . Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo. 1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia 2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo 3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk 4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka 5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha 6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility) 7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika 8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU) 9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume 🔟 Inarutubisha mayai NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA Epuka aibu hii tumia" ALKALINE " ndio kiboko yao Karibuni sana ofisini kwetu msaada zaidi Wasiliana kwa 0622945360 /whatsapp 0719174248
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 4 года назад
Serikali za mitaa mliwapora wapinzani kwa kutumia nguvu za Dola.
@petermakaumutuku9150
@petermakaumutuku9150 3 года назад
Ubunge wangu Kenya tunataka mbunge Kama wewe...
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 4 года назад
Mzeee yupo powaa sana
@mwandisimfukwe1661
@mwandisimfukwe1661 3 года назад
Tukutane kuleee nimeipenda ntu chaliiiii🤣🤣🤣
@hangoomary7073
@hangoomary7073 2 года назад
Kwahili lakumuacha mume msg send kwa mwanawake wote wenye tabia hiyo, wewe mzee iv kamuacha kwa kutendwa inje na waume wengne Au talaka kabsaaaa
@mussaissa6796
@mussaissa6796 2 года назад
DU!! Yaani kupata Ubunge tu Kaachana na mume Halafu anakuja kuropoka nini hapa!! Pambaaaaaaafffffffffff
@davidheche839
@davidheche839 4 года назад
Ndugai umeharibu sana Bunge letu, wajinga watakupongeza ila kiukweli huu muhimili wa muhimu umeunajisi sana
Далее
Good deed #standoff #meme
00:15
Просмотров 504 тыс.
▼КОРОЛЬ СОЖРАЛ ВСЕХ 👑🍗
29:48
Просмотров 432 тыс.
BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa
11:41
Просмотров 663 тыс.
Good deed #standoff #meme
00:15
Просмотров 504 тыс.