Тёмный
No video :(

Sura Hii Ukiisoma Nyakati Hizi 2 Unaondosha Shida Zako Zote Hata Kama Una Madeni - Sh Othman Michael 

QIBLATEIN ONLINE
Подписаться 47 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

#QiblateinOnline #sheikhothmanmichael #2024
Follow Us On:
INSTAGRAM: / qiblatein_onlinetv
FACEBOOK; www.facebook.c...
RU-vid; / @qiblatainonline

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 111   
@shamsahemed932
@shamsahemed932 15 дней назад
ALHAMDULILAH ALLAH AKULIPE SHEKH!!MIMI NIPO HAPAHAPA DAR!!NIMEFATILIA MAELEKEZO NILIKUWA NATATIZIKA NA NDOA Y ANGU YA UKEWENZA WENYE MADHILA!!ALHAMDULILAH KWA DUA YA NABII YUNUS ALLAH KANIREKEBISHIA MUME WANGU!! NA AMENIREJESHEA HADH YANGU,,NAKUPELEKEA MMOJA KATIKA WAKEWENZANGU KUNILAZIMISHA AJUE NINI NIMEFANYA HAD MUME AMEKUWA ANISIKIZA!HALI MATARAJIO YAKE YEYE KWAMBA MIMI NITAONDOKA!!!! HAKIKA "FAMAN YATAWAKKAL ALA LLAH FAHUWA HASBUHU!!" ALLAH AKULIPE KILA LAKHERI NA AKUWEKE MBALI NAKILA SHARI" TUZID KUJIFUNZA YENYE MANUFAA!;PASI NA KUMSJIRIKISHA ALLAH!!
@AishaMubaraka
@AishaMubaraka 17 дней назад
Assallam aleikum warahmatullahi wabarakatuh mimi Jina langu Aisha Mubarak kutoka Kenya nifanyie Dua sheikh kwangu Hua nafatilia vipi die vysko online Allah akupe kher inshallah akuzidishie Imaani🙏🙏
@babamansur422
@babamansur422 5 месяцев назад
Asalam aleykum sheikh niko Kenya naomba unifanyie Dua pamoja na wanangu Mimi ni ABDULKARIM kioko MUMINA na mke wangu Fatma Binti hamisi.wanakungu wako shuleni ningependa wafanye wizuri madrassa na school Khalid ABDULKARIM ,khamisi ABDULKARIM na hajra ABDULKARIM shukran.
@jumamusa1781
@jumamusa1781 Месяц назад
Juma mussa naomba uniombee dua ya riziki
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 2 месяца назад
Asalaam Alaykum warahmatullah wabarakaatu Sheikh mm naomba dua zako inshaallah
@NardatNyere
@NardatNyere Месяц назад
Masha Allah 8:07
@user-is5pk5tq5t
@user-is5pk5tq5t 5 месяцев назад
Asalam alaykum sheikh kwa djina naitwa lokombo mohammed inchi ya congo nina shida naitaji maombi inshallah
@NardatNyere
@NardatNyere Месяц назад
Assalamualaikum warahmatullah shekh mm naomba uniombee Dua Allah anijalie mtoto kwa rehma zake
@user-cn6qw4yg8h
@user-cn6qw4yg8h 5 месяцев назад
Asalam aleikum, kwajina naitwa Amina Ali Naomba uniombee na mm
@user-mi3wq7st2x
@user-mi3wq7st2x 5 месяцев назад
Allahuakbar shekh umeongea maneno makubwa na matamu allahakbar yarabby akulipe kheri hapa duniani na kesho akhera wallah shekh nakupenda sana kwa ajili ya Allah jallajallal
@ZakiaSalum
@ZakiaSalum 5 месяцев назад
Maa shaa Allah hasbiya Allah shekhe Allah akulipe kwa kila jema ufanyalo na ndo iwe sababu yakuipata pepo yake pamoja na wazazi wako nami nahitaj dua zakia Muhiddin salum
@kufulanikufulanibacar-uj4tf
@kufulanikufulanibacar-uj4tf 6 месяцев назад
SHEIKH OTHMAN MAICHAEL MIMI NIPO MSUMBIJI ASANTE SANA KWAMAWAIZA. YaKO
@AZIZAKAPITA-hn4dy
@AZIZAKAPITA-hn4dy 2 месяца назад
Asalaam aleykum shekhe, naomba unisaidie kusoma kisomo hicho Naitwa Aziza Kapita mwaruka
@user-oj1yp1tt1t
@user-oj1yp1tt1t 4 месяца назад
Mimi mariam from namuomba mungu anijalie nije Tanzania nifanyie tiba inshallah mara nateseka kiukweli
@RashidMsangi
@RashidMsangi 5 месяцев назад
Asalam alehkum shekh Othuman naitwa Rashid mzaliwa wa kilimanjaro naomba uniweke katika Dua hiyo kiukweli nahitaji sana kupiga hatua nimiliki Mali nisaidia ndugu na jamaa lakini njia siiyoni shekh,tafadhali shekh
@user-xu1qg4sm6e
@user-xu1qg4sm6e 5 месяцев назад
allah akulipe kheri 🤲🤲🤲
@camillas.edrees6155
@camillas.edrees6155 5 месяцев назад
Salaam Aleikum warahmatullah wabarakaatuh,,Jazaakallah kher hutuombea Maasha'Allah Tabaarakalla h nahitaji kusomewa Biidhnillah
@HADIASHAAMEHAMAD-kj7kx
@HADIASHAAMEHAMAD-kj7kx 5 месяцев назад
MASHAA Allah Allah akubariki. Na mm Sheikh niombee dua nadaiwa fedha nyingi it niombee dua sana nikipe by HAMAD SHAAME
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 5 месяцев назад
❤❤❤❤Masha'Allah shukran xan sheikh Othman ❤❤❤❤❤❤❤Masha'Allah Alhamdulillah
@buhitexmohamed4785
@buhitexmohamed4785 5 месяцев назад
Mashallah naomba dua kwa familia yangu kw ndoto za kula nya ma mfulilizo mara harusi mara mjaba kwa sanduku nisaidie shekh langu
@NgawejeIdie-cw9lg
@NgawejeIdie-cw9lg 6 месяцев назад
Kwama jina naitwa Ngaweje iddi Abdullah nimwanafunzi wa kidato Cha nne ninaomba uniombee kufaulu mtihani wangu wa kidato Cha nne mwaka huu 2024 inshallah
@MajuvaMajuva
@MajuvaMajuva 5 месяцев назад
Mashaallah Mungu akuzidishie baraka jina langu zahra omari ninamatatizo yangu
@biashaqtr-xd2mf
@biashaqtr-xd2mf 6 месяцев назад
Mashallah Alhadulilahi mashallah Alhadulilahi Allahu akupe maisha marefu.
@AbrahamManzi-db4gx
@AbrahamManzi-db4gx 6 месяцев назад
Allah 🙏 Akbar allahuma amin YA Salam ya Salam ya muhibu liazizi ya Cheikh Allah allahuma amin YA Rabi Lialamina Allah apokee maombi yetu wa hadha awww
@SaudaMfaume
@SaudaMfaume 6 месяцев назад
Aslm alukm maalim nafatilia san mawaidha yak dua zak insha allah atufanyie wps
@user-ti1ok8jf6u
@user-ti1ok8jf6u 5 месяцев назад
Inshaallah tunashkuru kuwa hutudajau kutuombea allah ukuzidishie kilalarheri naafya njema
@user-zy3ol5pd3v
@user-zy3ol5pd3v 6 месяцев назад
Mashallah tabaraka Rahman shehe mmi nipo oman nina matatizo makubwa naomba unifanyiye duwa muda wote vitu vinanitembeya mwilini jina langu Amina mtumwa
@user-vu9mc8pf9k
@user-vu9mc8pf9k 6 месяцев назад
Aslm alykum sheikh mungu akujaze kheri natwa Sarah abdi naomba unifanyie Dua Niko mgonjwa na mashida mingi TU ya rizki nitashukuru sana
@AhAu2-oi5wn
@AhAu2-oi5wn 4 месяца назад
Ahsante Shekhe
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 6 месяцев назад
Maishallah!!!!!! ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH YA Allah HOTUBA MUAFAKA.
@SaudaMfaume
@SaudaMfaume 6 месяцев назад
Aslm alykm maalim niombee na mm duwaa insha allah
@user-lg6go2df8w
@user-lg6go2df8w 6 месяцев назад
Asalam alaikum cheikh wetu Allah akuhifadhi sana akuondolee kila zito akujalie uwe miongoni mwa wale watakao jaliwa kuipata pepo yake naitwa amina usisahau kuniweka katika dua zako😢changamoto nilo nazo ziniondokee nipo kenya
@user-cd9my5cp9n
@user-cd9my5cp9n 5 месяцев назад
Mashallah ustadh mawaidha mazuri yenye manufaa kwetu
@farris_2549
@farris_2549 Месяц назад
😢🎉
@AbrahamManzi-db4gx
@AbrahamManzi-db4gx 6 месяцев назад
Awww habari zenu huko bwana Cheikh mnaomba samahani sana nisomewe duwa ya kuondokewa na ufukara yani umasilini wakupindukia
@WinnieLema-w3c
@WinnieLema-w3c 18 дней назад
Kwa jina naitwa aisha naomba uniimbee nipate rizki na niondolewe mazito yote
@user-vl4md8rj6i
@user-vl4md8rj6i 6 месяцев назад
Mashaallah mola akube maisha marefu
@noornasir4378
@noornasir4378 6 месяцев назад
Assalaam aleykum maalim. Shukran sana kwa mawaidha yako yenye manufaa kwetu na ntajitahidi sana na hicho kisomo cha surat yasin na surat Al waqiah biidhnillah. Mimi jina langu Nuru Bint Jumaa nakuomba uniombee dua pamoja na wanangu na pia dada yangu ni mgonjwa yupo kitandani kapata stroke miaka 2 na miezi jina lake Zena bint Jumaa. Mungu akuzidishie afya njema na elmu zaidi na zaidi ili tufaidike. Wa salaam aleykum warahmatullah wabarakatu
@hamzaabdallah1969
@hamzaabdallah1969 6 месяцев назад
Mungu awajaalie shufaa
@noornasir4378
@noornasir4378 6 месяцев назад
@@hamzaabdallah1969 Allahumma amiin yarabbil Alamein
@allykakozi1555
@allykakozi1555 6 месяцев назад
Allaah atamuafu dada zena kwa uwezo wake INSHAA ALLAAH
@Dada-vk5nd
@Dada-vk5nd 6 месяцев назад
Mimi ni skukuu jumaa nipo Kenya sheikh wngu in Sha Allah mungu akulipe kheir
@AbrahamManzi-db4gx
@AbrahamManzi-db4gx 6 месяцев назад
Bwana Cheikh ufukara umezidi kuniandama sana kabisa naomba msada wa duwa nisomewe hii Wike kabla ya kuingia Ramadhan Kareem
@user-nm5fx5lm3f
@user-nm5fx5lm3f 6 месяцев назад
Maashallah sherkh utafunza mengi Mungu akuzidishie umri n afya uzidi kutusaidia nifanyie mi pia
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 6 месяцев назад
Kheri sana.
@user-sc3il2fj4t
@user-sc3il2fj4t 6 месяцев назад
Ishaal Inshaalah allah akulipe kwa kutupatia erimu
@rukiyajama3492
@rukiyajama3492 6 месяцев назад
Mashallwaa Mungu akupe maisha marefu
@Kondoa805
@Kondoa805 6 месяцев назад
Jàzakallah
@nasrahassan2260
@nasrahassan2260 6 месяцев назад
Masha allah masha allah❤❤❤
@abdullahiahmed5247
@abdullahiahmed5247 6 месяцев назад
Jazakhaallah!
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 6 месяцев назад
Shukran
@user-ds3os5qv4o
@user-ds3os5qv4o 6 месяцев назад
Inshaaallah
@AbrahamManzi-db4gx
@AbrahamManzi-db4gx 6 месяцев назад
Awww Hi 👋 bwana Cheikh
@user-br1zg8yf3v
@user-br1zg8yf3v 6 месяцев назад
Mashaallah
@assaneanliassane4680
@assaneanliassane4680 6 месяцев назад
Al-hamdulilay kwa mafunzo
@mosesisomanga
@mosesisomanga Месяц назад
moses isomanga naomba uniombee sala ya kupata riziki katika kazi yangu
@narutonaruto4303
@narutonaruto4303 6 месяцев назад
Shukrn
@user-gd6kt9hu3t
@user-gd6kt9hu3t 2 месяца назад
Asalama alaykum shekhe mm na soma kila asubuhi
@mwajumasadick8688
@mwajumasadick8688 4 месяца назад
Naitwa mwajuma sadick inshallah naomba Dua ya kufunguliwa ridhiki amina
@narutonaruto4303
@narutonaruto4303 6 месяцев назад
SHU
@snellaniyonkuru9989
@snellaniyonkuru9989 6 месяцев назад
Assalam alkum warahmatullah wabarakat .Sheiher nakuomba Nami uniombeye naita snella
@rizikikuphenya1253
@rizikikuphenya1253 6 месяцев назад
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuhu sheikh uthman Michael mimi naitwa Riziki Hassan niko Kenya
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 6 месяцев назад
Mimi mariamu Jeremia
@salummnguruta4518
@salummnguruta4518 5 месяцев назад
Baada ya waqiya ukirudi kwenye yasin unaendelea tuu au unapiga Bismillah
@SalumMwinchum
@SalumMwinchum 4 месяца назад
Mim naitwa salum natokea tanga muheza naomba fadhira zako shekh
@user-ip7yj4sr6g
@user-ip7yj4sr6g 6 месяцев назад
Kwamajina naitwa rahma hothuman
@nyanzirahamza9613
@nyanzirahamza9613 6 месяцев назад
shkran
@ashaally4914
@ashaally4914 5 месяцев назад
Aslm Alkm shekh mm nataka dua ila nipo znbar
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 6 месяцев назад
Sheikh twaitaji mali wengine tuna dreams za kufanya ila zina kheri ndani yake na mapato madogo kabisa 😢😢😢😢😢 hadi wadhania ni laana
@user-ru6jt4vd6q
@user-ru6jt4vd6q 5 месяцев назад
Asalam aleykumu,,naomba kuandikiwa sura hii tafadhali
@adilarashid5145
@adilarashid5145 6 месяцев назад
Naitwa khalid saleh Abdullah naomba dua
@user-ug6rq2vg4w
@user-ug6rq2vg4w 5 месяцев назад
Mi Niko. Kenya ni someye pesa
@RozaliaEmanuely
@RozaliaEmanuely 5 месяцев назад
Asalam alaykm. Shekh kina langu ni shabani ramadhani salimu naomba nifanye dua maisha yangu ni magumu
@swabrinakichwa1305
@swabrinakichwa1305 5 месяцев назад
Assalam aleykum sheikh.. naitwa Swabrina Salim Kichwa naomba na mimi uniweke katika dua ili mambo yangu yanifungukie Inshaallah… ikiwemo kuweza kupata kazi inifae mimi na wazazi wangu na mengine mengi yaliyomema🙏
@hamismohamed3541
@hamismohamed3541 6 месяцев назад
Mimi khamis Mohamed said
@user-nb5py9lk7o
@user-nb5py9lk7o 6 месяцев назад
Asalam aleikum Sheikh
@user-nm5fx5lm3f
@user-nm5fx5lm3f 6 месяцев назад
Naitwa binty Niko kenya
@user-im9cg1gl6z
@user-im9cg1gl6z 6 месяцев назад
As salaam alaikum shekh! Mi naitwa nazzir sued Niko kwenye uchimbaji mwaka wa 7 lakini naogelea kwenye madeni mtaji uliisha karaska namba niombee DUA Inshaa Allah ili nipate!
@jumamusa1781
@jumamusa1781 Месяц назад
Kwa jina naitwa juma mussa naomba uniombee nipate ridhiki 6:54
@AbrahamManzi-db4gx
@AbrahamManzi-db4gx 6 месяцев назад
Kwamajina yangu nayitwa Ibrahim Karume Rajab Abed Kigali Rwanda na Jina Wana niita Master Kenyatta Mwamba naeshi inci ya Rwanda na Mimi Natoka kati ka Kabila ya Wa Nyamwezi nazaliwa Tambora Cemcemu mtaa wa utusi
@user-ey5pc8dc5h
@user-ey5pc8dc5h 6 месяцев назад
Naoomba uniombee dua naitwa mwajuma saidi
@user-hz9cg2uv1l
@user-hz9cg2uv1l Месяц назад
Sh samahani nahitaji no ya sim yako nina shida kubwa
@Kondoa805
@Kondoa805 6 месяцев назад
Samahani ninaswali langu je naweza kusoma hizo sura kwa mda mwingine tofauti na huo mda magharibi na isha ..
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 6 месяцев назад
Kaka yangu hadith ya mtume muhammad( saw) inasema kwakmb ukisoma suratu Waqia wakt wa usk bas umaskin utakingwa nao na kipind kigumu cha maisha, sasa inaman unaweza kusoma wakt wowot wa usk yan kuanziya maghrib mpk 10 usik wakt wowote kuanzy muda huo
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 6 месяцев назад
Na pia mtume muhammad saw anasema ukisoma suratu Dukhan yan sura ya 44 ukisoma usiku Allah atateuwa malaika 70000 wakuombee msamaha kwa mola wet asbh
@SaidFupi
@SaidFupi 2 месяца назад
Samahan akhy hii yaasin na waaqiya kweny mubin kuna dalili?​@@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 2 месяца назад
@@SaidFupi quran ni miujiz ya kil kit
@user-ug6rq2vg4w
@user-ug6rq2vg4w 5 месяцев назад
Kuwa jina Ibrahim Hasan ni ombaye pesa na WAnawake wema na watoto na piya janaa
@user-yx6lc6om9b
@user-yx6lc6om9b 6 месяцев назад
Naitwa zawad Paul naomba unisome Kuna vitu vinanitembea mwilin
@maimunalinga3517
@maimunalinga3517 6 месяцев назад
Mtafute sheikh jaffer yuwapatikana mtoro atakusaidia sana kisha urudi kwa sheikh akufanyie ruqya
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 6 месяцев назад
Hakuna sura inayoondosha shida acha uongo mshirikina wewe.shida haziwezi kuisha make ndo mitihani aliyoleta allah kututahini alafu unataka kuwadanganya.waswahili wanasoma sura yasin mbona hawashibipaka wanapigania pilau we vipi.na dawa ya deni ni kulipa siyo kusoma yasin wakati unakopa ulisoma yasin we fala kweli
@user-xx6ls7wy5s
@user-xx6ls7wy5s 6 месяцев назад
Duh najina lako lote Hilo Mohamed bado unapinga anayosema mtume kweli kikubwa Imani tu ndg pungumza mihemko na jazba katika mambo ya dini fanya km unavyo elezwa ukishindwa pita hiviii
@hamzaabdallah1969
@hamzaabdallah1969 6 месяцев назад
Alafu anatukana jaman sas yeye anaetukana na anaesema muongo nan fala duh allah amsamehe
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 6 месяцев назад
@@hamzaabdallah1969 endeleeni kubebewa akili na hao mashehena mm hawanibebei akili kama nyinyi narudia hakuna sura inayoondosha shida.shida kwa binadam haziishi ni mitihani kutoka kwa allah kalieni ufala tu.
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 6 месяцев назад
@@hamzaabdallah1969 wewe na akili zako kama shida zinaweza kutoweka kwa kusoma aya tu mwislam gani angebaki na shida dunia hii tumieni akili kuna vitu vingine ni vya kutumia akili ya kuzaliwa tu.duniani tumeumbiwq shida shida ni sehem ya maisha yetu ni mitihani toka kwa allah mali ni mtihani umaskini ni mtihani afya ni mtihani watoto ni mtihani fungueni macho.
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 6 месяцев назад
@@user-xx6ls7wy5s jina langu halikuhusu kifupi hakuna aya inayotoa shida rafki yangu shida ni sehem ya maisha ya kila siku ya mwanadam ni mitihani toka kwa allah sasa wewe msikilize huyo shehena alaf kimbilia kukosoa jina langu kama itakusaidia
@Haremkingarito
@Haremkingarito 6 месяцев назад
Hivo sheikh AmirAli Bhaloo wa Dsm
Далее