Тёмный
No video :(

Swahili: Fadhila kwa Wazazi 

Swahili Taarab
Подписаться 191 тыс.
Просмотров 145 тыс.
50% 1

Swahili music by Mchinga Sound Tanzania

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 85   
@razackhamis4375
@razackhamis4375 4 года назад
Dohhh 2020 njoon hapa kama huna hiana na hii ngoma 👍🏻 hapo juu
@rehemaabushir7789
@rehemaabushir7789 6 лет назад
Daaaahh unanikumbusha marehemu baba yangu huu wimbo yupo wapi baba yangu aje ale matundani yangu ya masomo aliyonisomesha babaaa nitakukumbuka daima baba yangu
@sangomamourice3251
@sangomamourice3251 5 лет назад
Rehema Abushir bahati mbaya wazazi wetu hawakutufaidi km tulivyowafaid
@aishaabdj8913
@aishaabdj8913 5 лет назад
huruma jamani nawakumbuka wazazi wangu tulopoteza wazazi km mmi weka like
@julithamuhale7271
@julithamuhale7271 4 года назад
Mwimbo mzuri Sana yaani naupenda mno! Nakushukuru Mungu kwa baraka zote! Mchinga sound Mola awabariki popote mlipo!
@clemencemillanzi6750
@clemencemillanzi6750 5 лет назад
nilitamani kuiona raha ya wazazi inakuaje, lkn waapi, hakika wewe ni Mungu imekupendeza niishi hivi. R. I. P my parents
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 лет назад
Baada ya kizazi Cha akina gurumo kikafuata kizazi hiki kwenye dansi baada ya kizazi hiki yakafuata madudu Sasa,gonga like hapa Kama unakubaliana namimi
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 лет назад
@Fredy Lucas 😜😜😜
@arafatswai2990
@arafatswai2990 7 лет назад
Dah! ni miongoni mwa wimbo usiochuja REST IN PEACE MY PARENTS
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 4 года назад
Enzi hizo Mheshimiwa Mudhihir Mohammed Mudhihir akiwa naibu waziri wa habari na utamaduni. Muumin Mwinyijuma. Rogert Hegga Katapila Rosh Mselela ..... ....
@zuhurajuma1521
@zuhurajuma1521 4 года назад
Rest In Peace my lovely dad.Too bad
@imanmsafil4436
@imanmsafil4436 5 лет назад
jaman huu wimbo tangia 2003 hadi waleo naupenda mno daa.
@chikukitambi689
@chikukitambi689 7 лет назад
jaman hii nyimbo inanikumbusha wazaz wangu wametangulia mbele za hali mwenyez mungu awarehemu
@clemencemillanzi6750
@clemencemillanzi6750 6 лет назад
du pole sana, inauma Sana sbb tupo wengi
@ezekieljacobmsilombo2758
@ezekieljacobmsilombo2758 4 года назад
Uyo trafiki aliyekaa by now kazi atakua hana gonga like kama unakubariana na mimi
@salmaomari7295
@salmaomari7295 2 года назад
Atanishauri nani 😭😭😭😭2021asante mungu
@nyabisemaro2095
@nyabisemaro2095 6 лет назад
Mungu Akurehemu Mama Anguuu Mzazi wanguuuuu Nilikuwa nakupendaa Sanaa Ila Munguuu Amekupendaaa Zaidii Japo Nilikupenda Sanaaaa Saaanaaaaa
@clemencemillanzi6750
@clemencemillanzi6750 6 лет назад
unaweza kulia pale unapoon wenzako wakienda kwao, hupokelew na wazaz wao, alaf mim na ndugu tu, hakika wew ni mungu
@nyabisemaro5574
@nyabisemaro5574 5 лет назад
Yaaaaaaaani clemence Millanzi Kuna Maumivu Makubwaàa Sana ndg yangu
@chikukitambi689
@chikukitambi689 5 лет назад
Nawakumbuka sana wazazi wangu kwa nyimbo hii pumziken kwa amani mwenyez mungu awapunguzie adhabu za kabur
@husnajohn7466
@husnajohn7466 5 лет назад
Kama na wewe yatima km Mimi gonga like tujuane
@boitumelomotau7913
@boitumelomotau7913 5 лет назад
Husna John uihhhjhjjj
@damianamapunda5546
@damianamapunda5546 3 года назад
Wezazi ndiyo kirakitu hasikudanganye mtu
@doreenremey392
@doreenremey392 6 лет назад
Huu wimbo hua naupenda toka niko mdogo miaka ya 2004 jmn mpk leo naupenda
@nyabisemaro5574
@nyabisemaro5574 5 лет назад
2000
@comradejonasrwegoshoramwal5727
Nyimbo nzuri. nakumbuka nyakati hizo
@bahatiyussuphu4407
@bahatiyussuphu4407 6 лет назад
Mchinga sound mngeludia hata ngoma hizi hizi tu maana kipindi hicho nikisikia ngoma hizi natafuta sehemu kwanza ya kukaa mpaka wimbo uishe.
@khayratchigalika3029
@khayratchigalika3029 3 года назад
😂😂😂😂😂🙆 nimecheka hadi machizi umenifurahisha eti natafuta sehemu nakaa kwanza
@charlezsoncharlez3453
@charlezsoncharlez3453 6 лет назад
Daahh! Golden Sounds.
@festohingi7879
@festohingi7879 6 лет назад
Wazamani ni wazamani tu asante mchinga
@emanuelkitundu7179
@emanuelkitundu7179 2 года назад
Safi Sana mchinga sound
@soplisjoachim5884
@soplisjoachim5884 6 лет назад
nikilia sana ni kama ninamkufuru mungu eeee. ....nabaki na uchungu mwingi moyoni , pengine nilitaka kuwapa fadhila wazazi wangu kumbe naye mungu alipanga yake .......! Wimbo mzuri , maudhui mengi na sauti nzuri safi sana bwana rogert katapila
@daudymakala4202
@daudymakala4202 5 лет назад
Nakumbuka kipindi nipo Morogoro dumila nauza chipsi ndo ulikuwa wimbo wangu wa kila siku kuna ujumbe ndani yake
@magesamatiku7919
@magesamatiku7919 5 лет назад
Ulazwe mahali pema peponi Mama yangu Mary Joseph. Ulinitoka ungali bado nikitegemea ushauri na nasaha zako.Uliniacha katika wakati mgumu ambao mpaka leo mambo yangu si mazuri . Nitakukumbuka milele mpaka siku tutakapo onana
@andrewgeorge4749
@andrewgeorge4749 7 лет назад
Hongera sana maana wimbo huu umenilea kimadili mpk leo hii najitambua maana haikuwa rahisi kbs ,kwa kumwachia mama yangu jukumu la kunilea Mungu aibariki kaz yenu hapo hamkupata mafanikio ya kibiashara kama ss lkn malez yenu kupitia wimbo huu umenilea kimaadili
@pendochris4576
@pendochris4576 7 лет назад
Aaaaa huzuni nilionao kutokwa na wazazi ee ifananishwe na kitu gani ee,😭😭😭
@sangomamourice3251
@sangomamourice3251 5 лет назад
asante kwa kila kitu ulikua wakati mzuri sana kumbuku aaafi nashukuru kuushuhudia wimbo huu ukiwa kwenye ubora akili zangu zikiwa timamu
@feruzihassan8387
@feruzihassan8387 5 лет назад
Good music still bang like yesterday
@kefawales8187
@kefawales8187 5 лет назад
Kama turejeshe siku nyuma ili tupate miziki mizuri tena namna hii, this days music was real a music
@amospetro3828
@amospetro3828 5 лет назад
Mchinga sound super form aiseee,muumin,katapila,roshselela,Adolf mbinga,
@zezungu2445
@zezungu2445 4 года назад
Yatima n yule aliye fiwa na wazaz wake na pia bado anaumri chin ya miaka 14. Kama umezid hapo ww sio yatima. Utakuwa umefiwa na wazaz tu.
@ambrocendomba5738
@ambrocendomba5738 7 лет назад
Dah huu wimbo ni balaaa na una maadili mazuri na ya kutosha.
@husseinomary3229
@husseinomary3229 7 лет назад
meaningful! so sad! 😔 😔
@timekanda1231
@timekanda1231 3 года назад
nyimbo za zamn zinaish kwenye nafs ze2 daaah nimemkumbuk xn mwimjuma
@khajikalangwa6388
@khajikalangwa6388 6 лет назад
Siku hizi mko wapi bana siwasikii kabisa ,tungo zenu zinanikumbusha mbali saana.
@lizzygold2484
@lizzygold2484 6 лет назад
Sio powa kipindikire mudhihiri 🐤🐤🐤🐤🐤🐤🐤🐤🐤🐤🐤
@geofreyjulius6195
@geofreyjulius6195 4 года назад
Rest in peace my Mama
@matimbwistan4117
@matimbwistan4117 7 лет назад
Yaani naguswa na hii wimbo maana nilitamani sana pale kipato changu kinapoongezeka wazazi wangu wote wangekuwepo ili niweze kulipa fazira zangu, lakini mmoja alishatangulia.
@magesamatiku7919
@magesamatiku7919 5 лет назад
matimbwi stan Kumbe na wewe ni mhanga kama mimi?
@faustinendaro5632
@faustinendaro5632 5 лет назад
Kuna nyimbo ata zikimaliza miaka 100000000 bado zinaishi achana na tetema iokote
@administratorcitizencolleg9688
@administratorcitizencolleg9688 4 года назад
Safi sana, zama zetu
@ladsonmshana9920
@ladsonmshana9920 8 лет назад
da! mchinga enzi hizo ni nouma
@fatmada2327
@fatmada2327 8 лет назад
naipenda sana hii nyimbo ni nzuri
@leilamarandula2550
@leilamarandula2550 4 года назад
Machozi yananitoka jamani nimewakumbuka wazazi wangu mungu awape kauli thabiti AMINAA
@boxertwalb5333
@boxertwalb5333 5 лет назад
Namkumbuka broo wa kitaa Godfrey Milanzi enzi izo anaimba nyimbo yote sisi wadogowadogo tunafurahi tuu daa i wish ingerud Mabibo yetu angarau masaa tuu
@halimayusuf7985
@halimayusuf7985 6 лет назад
Mchinga soundi mupo juu
@maxlupapa4468
@maxlupapa4468 5 лет назад
duh hakika rogart hega unajua sn fundi
@rehemakaiza103
@rehemakaiza103 7 лет назад
naukubali sana wimbo huu
@sangomamourice3251
@sangomamourice3251 5 лет назад
sauti nzuri umahili mkubwa inshallah
@nyenzenyenze4677
@nyenzenyenze4677 5 лет назад
Huu ni zaidi ya wimbo
@joxephfundi9008
@joxephfundi9008 4 года назад
Old is gold
@alexjuma9991
@alexjuma9991 8 лет назад
mchinga sound safiiiiii
@sumahtanzania4991
@sumahtanzania4991 6 лет назад
Penda sana mwinjuma
@dennisdaud1866
@dennisdaud1866 4 года назад
Jaman baba kaondoka mm ndo angalau Mambo Sasa mazur ,RIP my father
@erickmpagama21
@erickmpagama21 6 лет назад
Long time this song I remember
@jamesseleli3554
@jamesseleli3554 4 года назад
Mipango ya Mola haina makosa siwez kusahau jinc nilivyokupenda wazaz wng ila mwnyz mungu kawapenda zaid
@nkubaliswasitasita9171
@nkubaliswasitasita9171 5 лет назад
Yakale Nidhahabu nimekubali. lakini viduku vyakisasa eti shusha mwanza nyegezi et inamainama mujue wakisasa munatuuzi.
@abuathumani1955
@abuathumani1955 6 лет назад
Ujumbe Mzuri
@mohamedmalela8964
@mohamedmalela8964 4 года назад
Still hit
@babaaste7919
@babaaste7919 8 лет назад
Rogat hega catapila
@asassin2472
@asassin2472 6 лет назад
Imma Zakaria i
@maxlupapa4468
@maxlupapa4468 4 года назад
rogart hegga we fundi
@rojalitanda4462
@rojalitanda4462 5 лет назад
Yaaaani haya mambo sijuwi yameishia wapi
@emmanueldismas5568
@emmanueldismas5568 8 лет назад
Mko juu sana lkn kwann mmefarakana..?
@TheDadidady
@TheDadidady 8 лет назад
Rogart hega caterpillar
@gulwetv8801
@gulwetv8801 7 лет назад
TheDadidady sasa nimebaki mkiwa wazazi sina. mliua apo nilikuwa darasa la pili
@bunyonyatv4454
@bunyonyatv4454 8 лет назад
Bigapu
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 6 лет назад
Drums za marehemu Gabi katanga ni hatari
@saulymachichimi6126
@saulymachichimi6126 6 лет назад
😢😢😢😢
@markoroggers3499
@markoroggers3499 6 лет назад
Sio gabi katanga ni Michael liloko Miki kijagajaga drum boy
@hadijakheri9029
@hadijakheri9029 5 лет назад
rp maama yangu mungu akupe kauli thabiti
@maxlupapa4468
@maxlupapa4468 4 года назад
Fundi rogart hegga
@ramadhanjulius8253
@ramadhanjulius8253 6 лет назад
😢😢😢😢
@mohamedwaziri3342
@mohamedwaziri3342 7 лет назад
muumin
@emmanueldismas5568
@emmanueldismas5568 8 лет назад
Mko juu sana lkn kwann mmefarakana..?
Далее
Taarab: Viumbe Wazito
17:01
Просмотров 1,2 млн
Nawashukuru Wazazi Wangu
7:10
Просмотров 1,6 млн
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 20 тыс.
TARERE 6/ 9/ 2024  HII IMETOKEA IJUMAA
20:48
HASSAN MBUCHA
7:55
Просмотров 58
Remmy Ongala ~ Narudi Nyumbani
6:01
Просмотров 1,7 млн
Orchestre Maquis Original - Wakati Nilikuwa Mdogo
6:21
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Просмотров 320
Taarab: Sibadiliki
17:16
Просмотров 984 тыс.
Mbaraka Mwinshehe - Mtaa Wa Saba
8:53
Просмотров 2,9 млн