Kila lilopanga kwangu si aibu kunifika Hakika si kosa langu mola ameshaandika Atakalo liwe kwangu siwezi kuliepuka Yote alonipa mungu mimi nimesharidhika Katu si uwezo wangu kufanya ninalotaka Wivu wa nini wenzangu roho juu kujiweka Mashaallah💓💓❤️
Mashaallah hawa wa zamani mbona nyimbo zao zilikua naujumbe tosha yani ukiwa she waweza kusikiliza wala hamna matusi hawa watu mungu awahifadh kwa juhudi zao nzuri