Тёмный

Swali nzito la wakristo kuhushu Mungu kuwa binadamu la jibiwa kwa wepesi na mwalimu wakiisilamu 

Salim Daawah Kenya
Подписаться 49 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@Hi_20206
@Hi_20206 8 месяцев назад
Asalaam to all my muslim brothers n sisters..never forget to say free free palestine🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh my sister free Palestine
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 8 месяцев назад
Maelezo/Ushahidi wa Usama Al Ghaz aliyeongoza kikosi cha Al Qasam katika tukio la october 7 kwa Mayahudi. Maelezo/Ushahidi huu ameuandika tarehe 10/01/2024 na kuomba usambazwe ili kuufikia ummah wa kiislam. Anasema : Tulipata maagizo ya kujiandaa na vita ya kufa na kupona muda mchache tu. Tuliswali swala ya alfajir kwa jamaa. Tukomuomba Allah swt atupe ushindi. Baadhi tulirudi baadhi walipata shahada. Kwa hiyo tufan ya Aqsa ndio mwanzo wa msumari wa moto kwa mayahudi na kwa kila dhalimu. Ushujaa huu ni ukumbusho wa kuwatoa waislam katika jela za mayahudi na katika jela za watawala katika biladi za kiislam na mateso wanayoyapata kutoka kwa watawala madhalimu. Kwa tukio hili Mujahidina wametuma jumbe 14 kwa ulimwengu. (1)Watu wa Gaza msihuzunike kwa kutengwa na Ulimwengu. Mitihani mnayoipata ina ujira mkubwa mbele ya Allah, na msimamo wenu na imani yenu kwa Allah ndiyo siri ya mafanikio. Mmepoteza watu wenu na mali zenu lakini bado mnasimama imara. Ninyi ni ukuta imara. Ambao mmewasilimisha watu kwa msimamo wenu. (2)Mujahidina wanapambana na madola makubwa na kwa uwezo wa Allah watashinda. Dola kubwa zimeogopa nguvu kubwa ya Uislam inayochipuka kutoka kwetu. (3)Tunawalingania mujahidina mwenzetu tuendelee na msimamo huu tusijekuipoteza jihad kwa kijitumbukiza katika mitego ya baadhi ya wanasiasa kama wa Iran. Sisi tupo imara na nia thabiti na tunaukaribia ushindi (4)Tunawalingania vijana watafuta elimu wa Gaza na wafanyao daawah Wajiunge na Jihad. Je ninyi hammpendi mola wenu? (5)Enyi ummah wa kiislam! Jihad yetu siyo Jihad ya utaifa. Bali ni jihad ya kiaqidah ili kuikomboa Al Aqsa na njia ya kuelekea kusimamisha Khilafah kwa njia ya Mtume. Basi nufaikeni na tufan al Aqsa na mbebe jukumu pamoja nasi. Waislam ni ummah bora. (6)Kwa wanazuoni wanaotoa fatwa. Tunawaambia njooni mpigane jihad pamoja nasi mtapata darja kubwa. (7)Kwa watukufu wengine wa Ummah huu. Njooni tunyanyue silaha ya Yasin pamoja nasi(yasin 105). (8)Kwa watawala vibaraka. Khiyana na usaliti wenu umewekwa wazi nanyi mwisho webu umekurubia. (9)Kwa taasisi za kimataifa za haki za binadamu zinazoeneza fitna za kijinsia na nyinginezo tunawaambia fikra zenu zimeshayeyushwa na tufan al Aqsa. (10)Kwa Iran na wafuasi wake. Msaada wenu kwa watu Gaza hautafuta khiyana yenu kwa watu wa Syria.Tunajiweka mbali na kuuliwa Suleiman, Mousavi, Wissam al Taweel. Sisi sio ninyi wala ninyi sio sisi. Muhanga wetu ni kwa ajili ya Allah swt. (11)Tunawashukuru watu wa Palestina kwa msaada wenu wa hali na kuunga mkono juhudi yetu. (12)Kwa wapiga debe wa kimataifa wa haki za binadamu tunawaambia: Tuliwakataa tangu zamani na sasa tunawakataa zaidi. Haki za binadamu zitapatikana ulimwenguni pindi waislam watakapokuwa na Khalifah wao. (13)Tunawashukuru watu wote wasio waislam kwa mchango dhidi ya uadui huu. Ima maandamano, kususia bidhaa za Mayahudi, au uchambuzi wa kisiasa wenye lengo la kutunufaisha. (14) Hatuna ushirika na Iran. Silaha tunatengeneza wenyewe.Silaha chache sana ndio zilinunuliwa. Maelezo hays yameandikwa katika uwanja wa jihad na ni kati yangu na mujahidina kutoka kusini, Kati, na kaskazini ya Gaza. Namwomba Allah ajaaliye ujumbe huu uingie katika nyoyo za watu na kuleta natija. Hakika Allah amenunua nafsi na mali za Waumini ili awalipe pepo (9:111)
@isahbarasa
@isahbarasa 8 месяцев назад
Wasalam alaikum waramtulah wabarakatu reheema ya mwenyezi Mungu iwajalie walimu wazuri
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
Aamiin amiin amiin sote
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 8 месяцев назад
​@@salimdaawah123Allahumma Aamin thuma Aamin 🤲🏾
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 8 месяцев назад
Allah amtagulie Kila jambo lenu apa n kesho akhera
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
Aamiin amiin amiin sote
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 8 месяцев назад
Allahu Akbar walilahi lhamd
@RubanzintwariJeanclaude
@RubanzintwariJeanclaude 8 месяцев назад
asaramuaraikum Mungu awazidishiye irimu ishallah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 8 месяцев назад
Walkm mslm warahmtullah wabarakatuh nshkr kumuona tena
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
Masha Allah
@munaalinoor4421
@munaalinoor4421 8 месяцев назад
MashaAllah mashekhe wetu Allah awazidishie ilm na awalipe kwa hii dunya na akhira..ameen
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
Aamiin amiin amiin sote
@abdallahnassor2945
@abdallahnassor2945 8 месяцев назад
​​@@salimdaawah123Sheikh Salim Mimi Nina Swali Moja Jee Sisi Waislamu Tunafaa Kuingia Kanisani Tukasikiliza Wanachosema
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
@@abdallahnassor2945 haifai maybe uwe umeenda kuwalingania
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 8 месяцев назад
wakristo wanashangaza sana kama jambo likitajwa kama hawalitaki utasikia hilo agano la kale lakini wakati huohuo mengine wanayatumia kwa sababu hiyo wanayoita Injili haiwatoshelezi.
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 8 месяцев назад
Masha Allah
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 8 месяцев назад
Masha Allah mashekhe wetu Allah awazidishiye ilm na awalipe kwa hii dunya na akhira
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
Aamiin amiin amiin sote
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 8 месяцев назад
Asalam aleikum warahmatulahi wabarakatuh
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@fatumahamisi1604
@fatumahamisi1604 7 месяцев назад
Asalam Alykum walimu wetu, mashallah mashallah mashallah mashekh wetu mungu auongoze uislamu uziti kunawiri,tuwaombee ndugu zetu wapalestine jamani mungu awape wepesi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 7 месяцев назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin Allah ainusuru Palestine
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 8 месяцев назад
😂😂 masha Allah nimechelewa kufika huku kumbe mambo ni ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥 wazee wa tatu wame patana wana furaisha kweli ana ambiwa usi pambe pambe kama nisanam sema 😂😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 8 месяцев назад
❤❤
@saumbliz8983
@saumbliz8983 8 месяцев назад
MashaAllah
@AlhajiSaidi-uo8zl
@AlhajiSaidi-uo8zl 4 месяца назад
tz
@cabdisiciid6504
@cabdisiciid6504 8 месяцев назад
mashallah
@badmanno.1650
@badmanno.1650 8 месяцев назад
Na hivyo ndio mapastor wanazidi kila siku.. Mtu anaongea ongea tu.. Bila maandiko.. Na Wakristo hawasomi Biblia.
@yussufosman3695
@yussufosman3695 8 месяцев назад
Kujeni Rongai
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
Inn shaa Allah
@nayef3903
@nayef3903 8 месяцев назад
Wengine wanapoteza muda kimakusudi wasiruhusiiwe
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
Inn shaa Allah
@Sal.0
@Sal.0 8 месяцев назад
TabarakAllah Team. Kijana ame uliza, kati ya Quran na Bibilia, a some ipi? Answer: "Quran ni Kitabu Ki Moja na ni Maneno ya MwenyeziMungu, ALLAH". "Na Biblia, ni STORYBOOK x 66, za WaZungu"! Na ni POROJO za WaZUNGU, wa 1611AD. Sasa, Kijana, wewe chagua!
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
Ni kweli kabisa
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 8 месяцев назад
😂😂😂 ALLAHU AKBAR hustadhi Hassan wasema hutaki kuulizwa maswali ya kanisani kila siku unasema tuulize maswali yetu hawao Wana uliza maswali ya kwako Waka ulize wachungaji huko kanisani 😂😂😂
@Jingajinga64
@Jingajinga64 8 месяцев назад
Mzee Ali wakati wa kubaki nyumbani kulea wajukuu umefika 😅😂
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 8 месяцев назад
Wakristo wengi uku nje wananaiambia old testament haina maana,sa sjui siwaelewi hapo
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 месяцев назад
Wakristo wengi hawajielewi Allah awaongoze waione haki na waifuate
Далее