A friend of mine used to play this song back in high school days and we all hated it but now i feel like crying every-time i listen to it. my favorite 😭😭 Nostalgia is a bad thing!! Thank you Iddy.
@@caljersilverhabor464 Painful endeed. We used to wish we were adults and now that we are adults we wish we're young again. Life sucks!!! Thank God for music like this
Kiswahili kitukuzwe! Tumemaliza kusherehekea siku ya Kiswahili duniani, waafrika wote tafadhali kienzi na kujivunia Kiswahili chetu tukipigia upatu na trumbeta kufikia watu wetu wa asili ya kiafrika waliotekwa nyara na kusakamwa huku ughaibuni kwenye utumwa. Nderemo, vigelegele na vifijo kutoka kwa watu wangu vipungiwe hewani. Salamu salaami kwa waafrika wote, amina.
Yusuf achana na mambo ya watu,wewe fanya kazi zako aza music,hawo wanasema eti wuko Hadji ni ni Hidja,siyo wewe,wewe M:.Mungu alikupa kipaji akiona kama ndo maisha yako,na kuonya fanya kazi,pepo siyo yawo ni ya ule alikupa khakiri hiyo ya music,asante tuko wote
This amazing song brings me memories of the first day I stepped in Mombasa in 2003. To me it was like a signature tune that everyone needed to listen while in the Coastal towns of Africa.
Inanikumbusha ñdani Equatorial Grili Mtongani kwa Azizi Ally ndio ilikuwa maskani yao kundi hilo maarufu LA mziki wa taarabu ñchini kabla ya kuhamishia makao yao Traventine Hoteli Magomeni ukiacha Mzee yusuphu mwenyewe wakali wengine walikuwa Marehemu Mariam Hamis ambaye badae alienda New Zanzibar stars Modern taarab na pia zena Mohamedi ambae Alienda East Africa Merod
Huu wimbo huwa inanifurahisha sana. Yanikumbusha ligizo na starehe zenye huwa ninapata kule pwani Mombasa. Kwa hawa wasanii ninasema shukrani na hongera sana kwa kazi njema.
Nyimbo zote za Zanzibar stars zinanifanyaga nikukumbukage Sana miss ayecha Sada maana wakat nimefall in love with you ndo nyimbo nilikua nazickiliza ucku kujiliwaza, still in 💜 with u mama Salha....
Dah huu wimbo umenikumbusha mbali sana nika nikiusikia huwa hisia zangu zinanirudisha enzi zangu na mume wangu kipenzi enzi za mapenzi yetu kabla ya kuwa mume na mke
Greetings from Sweden well i don't understand the languages but the song is very sweet end the clip is very clear too end there ladies also are beutefel I'm in Sweden are well like to visit this country