Sheikhe alikua Mujahidina amejitoa katika njia ya Allah bila kuchoka. Ametunga vitabu vingi sana vyenye mafunzo mengi sana katika Dini. Tutaendelea kumkumbuka hatutamsahau
Allah ampe kauli thaabit sheikh wetu, mwalim wetu, amsamehe kila alipo kosea kwani hakika ya binaada ni wakoseaji , hakika tumepata pigo ila Allah ni mtengenezaji wakila kitu
Inna Lillahi Wainna Ilayh rajiuun siamini kabisa darsa ya lugha sasa basi Tena na vitabu alivyokuwa anavifundisha vimeishia njiani Allah Akbar Allah Ampe Kauli thabit Na amlaze pahala pema peppni
Hakika wakaskazini tumepata pigo kubwa Sana kw kuondokewa na shekhe wetu kipenz chetu mkumbusha watu juu ya masuala ya dini Mungu ampe kauli thabit Amtilie nuru katika kabur lake na sis atupe mwisho mwema
إنا لله وإنا إليه راجعون اللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الذنوب والخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس وأبدله دارا خيرا من داره وأهلا خيرا من أهله وجيرانا خيرا من جيرانه وزوجا خيرا من زوجه وأدخله الجنة ونجه من النار وقه عذاب القبر برحمتك يا أرحم الراحمين