To be honest, for the past 6 months i haven't gone to church, praying became a challenge, Bibilia sisomi, uchumba wangu ukaisha, sasa nkapatana na hubiri hii, and I receive in the name of Jesus son of the Living God I'm now aware what has been happening to me, and I reclaim my grounds in Jesus' Name Amen. God deliver me. More grace to you Apostle.
Apostle, praise God, nikiwa mdogo, babangu alileta mganga nyumbani. Tulijanjwa familia nzima, mikononi na mwilini. Sasa Baba alikufa. Ila nauliza tuliopaki tufanyeje.
Barikiwa mtumish nimeiona Leo hii naomba maombi kwa ajili ya mume wangu eliya lemson sinkala kalogwa mpaka mwisho mtumishi naomba omba kwaajili yake imefika hatua nahis imani yangu inayumba
Asante mchungaji, ni lini utafika Kenya nipate ukombozi?, Niko na bangili nilivalishwa na Mnganga baada ya kupigwa vita kila mahali nilienda adi sasa nikaambiwa nisiende kanisa ya kuabudu kwa ngoma coz wanakemea mapepo kwa sauti kuu. Nikienda tu mafuta kazi bila sababu. Nateseka hivyo tu sina la kufanya.
Apostle hapa nilipo hirizi zimezidi, nazivunja vunja na kuziharibu katika ulimwengu wa roho Ila duuuh ! Kazi kweli kweli.........niombeeni.... mwingine kaiweka kabisa mbele ya duka langu la biashara 🙄🙄🙄....