hakuna kitu ambacho napenda katika maixha yangu kama kuigiza endapo mungu akijaalia nikapata nafax nitaxhkul na nitafanya kilicho bola mungu awajaalie nyie wote ad hapo mlipo fkia na nitazid kuwaombea 😭😭😭
Nilikua nishaanza kumkataa mkojani kwa movie zake ila kwa hii tahariki amepandisha soksi juu Iko sawa bingwa Wacha watu wataharukike mi nasema aiiiiiiiiiiiiiiiiyyyyy
Kazi iko powa sana kwann haipo kwenye tv? Mbona kule kuna. Kazi mbovu kabisa ukiangalia azam wanachambana tu hakuna la maana dstv ndio mashoga kibaoooo