Тёмный
No video :(

TAHARUKI: RISASI ZARINDIMA ARUSHA, WANANCHI WAKIPINGA NYUMBA ZAIDI YA 100 KUVUNJWA OLACITY... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 97 тыс.
50% 1

TAHARUKI: RISASI ZARINDIMA ARUSHA, WANANCHI WAKIPINGA NYUMBA ZAIDI YA 200 KUVUNJWA OLACITY...
Katika hali isiyokuwa ya Kawaida wananchi wa Kata ya Olacity jijini Arusha Wamelalamikia na Kupinga Kuvunjwa kwa Nyumba zaidi ya 200 katika Mtaa wa Olacity kati...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 215   
@nazarethally9509
@nazarethally9509 Год назад
Mkuu wa wilaya yupo vizuri sana
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 Год назад
Hongera sana mkuu.
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Год назад
DC ni msuluhishi Mzuri sana.
@marthamagota1536
@marthamagota1536 Год назад
Kanisa ni jicho la MUNGU ingefaa tuu waombe serikali wawapatie eneo sehem zingine
@akimuwaziri4089
@akimuwaziri4089 Год назад
yaan vichungaj vyasikuiz vinatamaa yapesa. Haviubili nenololote
@elirehemamaro4045
@elirehemamaro4045 Год назад
Did wasivunji wawaache hao wawe waumini wa Hilo kanisa nyumba 200 ni nyingi Sana jamani wasivunjiwe serikali ione busara kupatia kanisa eneo lingine unjenzi ni mfumu sana
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Год назад
Kweli
@edisonwazoellubua5253
@edisonwazoellubua5253 Год назад
Kanisa hili limedhulumiwa sawa kwa sababu ya upole wa uongozi wake. Eneo la chuo kikuu la Arusha na SDA Njiro, nayo yanapaswa yarudi. Eneo la Karatu lirudi. Si sahihi mali ya kanisa kuporwa kwa sababu ya waliojinufaisha mali ya kanisa
@aminamollel5725
@aminamollel5725 Год назад
Yaaan huyu Mzee was kabla jasho halijakauka(Mkuu was Wilaya) huwa si mnafiki, nampenda sanaaaaaa
@kaziiendelee4663
@kaziiendelee4663 Год назад
Haki mkuu 2a wilaya unafanya kazi yako barikiwa
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Год назад
Huyu mwamba ameongea point sana bila kupindisha pindisha maneno
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Год назад
hilo kanisa la kuzimu siokanisa la Mungu
@mtolela12
@mtolela12 Год назад
Nchi hovyo sana hii
@mushifumushifu2355
@mushifumushifu2355 Год назад
Ulitaka je ???
@doreenkaiza8037
@doreenkaiza8037 Год назад
Mungu wangu
@gilbertfuria5817
@gilbertfuria5817 Год назад
Global muifuatilie vizuri, huwezi kubomoa nyumba 200 Kwa ajili ya ............., Kanisa ni taasisi ya jamii haipaswi fanya ukatilii huu
@joshuabukuku-mx2pd
@joshuabukuku-mx2pd 9 месяцев назад
polen san dai selekali ban
@shabanikitula645
@shabanikitula645 Год назад
Kolumba nakukubali sana.
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 Год назад
Mungu wangu tutamkumbuka magufuli kila kukicha samia nchi haiwezi a awakes masikini sana tuu
@samwa9496
@samwa9496 Год назад
acha mdomo nyumba yako inakushinda
@kulwankuba2785
@kulwankuba2785 Год назад
Nimemkubali kiongozi upo vizuri Sana
@joelmataro8945
@joelmataro8945 Год назад
Ni Vizuri kununua eneo lililopimwa au lililopangwa, hapo huenda Wananchi walikamatishwa Viwanja bila kujua kama lina wamiliki, tujifunze hapa ukitaka kununua eneo fatilia kama liko halali na nashauri kununua eneo lililopimwa au lililopangwa na kuwa halali, maeneo kadhaa yamevamiwa na wenye nayo wakifatilia tunawaona wabaya, sidhani kama Mahakama itaonea Wananchi woote hawa lazima kuna shida pia kwa hao Wananchi.
@chinischinis6371
@chinischinis6371 Год назад
Hongera Sana mkuu was wilaya kwa kutaaa ujanjaujanja na kuwa muwazi kwakila upande
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 8 месяцев назад
Tanzania ya ujanja ujanja kesi inahukumiwa Kwa kiswahili nakara yahukumu Kwa kingereza
@iddiali8057
@iddiali8057 Год назад
Hapo hawa raia washazidiwa
@husseinmustapha6773
@husseinmustapha6773 Год назад
Uyo moja niasika mbaya
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Год назад
Dawa yao msiwape sadaka
@FaustinaWarioba-zq2tx
@FaustinaWarioba-zq2tx 9 месяцев назад
Hao wana kanisa wangeweza kupata sehemu nyingine
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Год назад
USHENZI HUU JAMANI MSIWAVUNJIE, KANISA TAFUTENI ENEO JINGINE.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Subuhanallah yani nyumba zivunjwe sababu ya kabisa mojatu. Selikali si. Mjitolee mkanunue eneo muwape Hao wanataka kujenga ilo kanisa Lao ukaimbe na kuchezea huko
@samwa9496
@samwa9496 Год назад
wake pamoja ili wapatowe eneo jingine
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 Год назад
Sasa kanisa linaubili nini Kama awajali watu wa Mungu
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Год назад
Ndy nipo hapa na Mimi nashangaa
@nelsonjonathan7660
@nelsonjonathan7660 Год назад
Tusaidiane kushangaa
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Год назад
Hapo sasa hilo ni kanisa dunia imeisha sana
@musason1680
@musason1680 Год назад
Kwan kabisa likihama Kuna shida gan halafu bado unasema tuheshim dini mtakuja kuamini haya makanisa n biashara
@zakiaramadhan6976
@zakiaramadhan6976 Год назад
😆😆😆
@gabrierlimbe7794
@gabrierlimbe7794 Год назад
Mkuu wa wilaya unajua sana unafaa kuwa rahis wa nchi Ongera sana, nipekupenda uamuz wako ubarikiwe kila sekunde ,
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Год назад
Aseee machaliii vipi tena
@nestohunter2851
@nestohunter2851 Год назад
Mwandishi Bora sana💥💥
@zuhuramwanafuno1851
@zuhuramwanafuno1851 Год назад
Jamani jamani Tanzania tumefika huku mmmh
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 Год назад
Hii nchi ni ovyo sana sasa kwa nn wakat Wana Jenga hawakuzuia Wala hwakufanya lolote Leo mtu eshagharamika amejenga kwa ajili ya maisha yake ndio unaenda kumfanyia kitu Kama hicho inaskitisha sana
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Hivi ushawahi kua na kise ya ardhi
@andreymalisa9852
@andreymalisa9852 Год назад
Utu kweliii kazi Kama kanisaa tu hawana utuu dadeq mm Ni nani niamini
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 Год назад
Pole jamani
@mersianantibakazi8474
@mersianantibakazi8474 Год назад
Nimekuwa Wa 2 comment.hivi mbona arusha kila siku matukio?
@deogratiusdominick8882
@deogratiusdominick8882 Год назад
Mmmmmhhhh hili sasa ni tukio la kadhaaa hapo Arusha
@gapserminja5215
@gapserminja5215 Год назад
Hilo kanisa litakalojengwa hapo halitadum🖐️
@lemalisanare4649
@lemalisanare4649 Год назад
Poleni sana jamani
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Ilo kanisa msikngie waache waimbe na. Kuchezea wenyewe nyue wote msilimu Muwe Waislam
@khalidhuwel9458
@khalidhuwel9458 Год назад
Inshaallah
@seraphinalameck1731
@seraphinalameck1731 Год назад
Yapo makanisa mengine yenye hofu ya Mungu wataenda uko siyo kusilimu
@agathathobias8690
@agathathobias8690 Год назад
Mbona huko kwenye kusilimu mnaambiwa nisawa kudai haki yako hata ikibid kutoa uhai
@chiefchacha2992
@chiefchacha2992 Год назад
Global msijesahau kutuletea muendelezo tafdhali
@jossejunior5668
@jossejunior5668 Год назад
Hamna namna😀
@hassanmatata9335
@hassanmatata9335 Год назад
Waziri husika ingilia kati simama na wananchi kanisa wapewe eneo lengine 🙏
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 Год назад
Waziri yupi sasa huyuhuyu mfupi au
@victorernest7702
@victorernest7702 Год назад
Hivi kwel kabsa kanisan moja ligharimu maisha ya watu 200 Kweli,, hebu serikal kuweni. Seriously 😳😳 basi na wananchi wenu,, kwann kila siku mnaibua mambo magumu kwa wananchi,, latozo hakikaa sawa mara trab na trat,, halijakaa sawa eti Leo sabato wanabomoa nyumba za watu😭😭,, Ika Sawa
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 9 месяцев назад
Tuko 480 waumini wao ni nyumba 200 tu. Lakini pia nyaraka zao ni feki wameahapigwa hao na watu wa ardhi😂😂😂
@godfreysamson3069
@godfreysamson3069 Год назад
Watu hawapoyi 😂 dah nomaa sana
@annakisiga889
@annakisiga889 Год назад
Ishauzwa hiyo
@robbyman6213
@robbyman6213 Год назад
Polen sana
@lucasmnyambwa7740
@lucasmnyambwa7740 Год назад
Mtamkumbuka mpaka mseme suu Magufuli. Yaani mkuu wilaya hajui mpaka zinavunjwa duuuh kazi kweli
@samwa9496
@samwa9496 Год назад
atajuaje mambo ya hukumu ya mahakamani
@allyflavour8005
@allyflavour8005 Год назад
Watu wa ardhi ifike pahala waweke maeneo yaliyo kuwa yapo miliki za watu kwenye Google
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 Год назад
Si muandamane nchi nzima kumtoa huyo malaya
@timbulosaid63
@timbulosaid63 Год назад
Muogope mungu wewe huwez muita malaya kiongoz wa nchi,halaf rais anahusikaje hapo?
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 Год назад
@@timbulosaid63 Raisi Anahusika kwasababu Hana Maamuz Sahihi kwa haya yanayo fanywa na watu walio kuwa Serikalini...Sikuzote Kwenye Familia Mzazi au Wazazi wakiwa hawajielewi Lazima Watoto wapotee kwa malezi bora...mfano hai kwa Jpm..Misimamo yake ilipelekea Viongozi wa Serikalini kuwa na Nidhamu..
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 Год назад
@@timbulosaid63 shauri yenu mtakuwa kama msumbiji hakuna jipya linalo anzishwa na yazamani hayaishi yeye ni kuwaletea watu mzigo wa ugumu wa maisha na kurembua macho na kucheza taarabu watu wanajichukulia tu mapesa kama yao huku wanakamua wananchi akili yake ndogo saana haitoshi kabisa kuwa kiongozi wa nchi natukana tena mpumbavu
@salimusalim3610
@salimusalim3610 Год назад
Ndomana ukawa na jina hilo ilawamekosea ungeitwa nguruwe panya
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Год назад
Hilo kanisa Gani lisilojali watu ... La wasabato Gani hao.... Nyumba 200...!? Mmm ..dini na viongozi wao wa siku hizi hawako rohoni kabisa
@yohanadmugesha4182
@yohanadmugesha4182 Год назад
Wasabato ni mapepo
@vamos842
@vamos842 Год назад
@@yohanadmugesha4182 Au co 😄. Sema wangepaswa kukaa na wananchi na serikari pia ikiwezekan wapewe eneo la kujenga kanisa pahala pengine. Ila co mapepo buana😄
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 Год назад
Watanzania tumefikia hapo..Mungu tusaidia.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 9 месяцев назад
Mbona fresh tu mimi napenda Sana maisha ya hivi.😊
@fuchijonas2179
@fuchijonas2179 Год назад
Siamini kama kanisa linaweza kufanya maamuzi ya kikatili kama haya, may be kutakuwa na watu wanatumia jina la kanisa vibaya kujinufaisha.
@lucaslabowa5054
@lucaslabowa5054 Год назад
You're very strong in thinking
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 Год назад
Kwan Kanisa ni kitengo gan
@zacharymoggz8637
@zacharymoggz8637 Год назад
Ila kweli
@muzdatsuleiman3186
@muzdatsuleiman3186 Год назад
Samia hafai kuwa rais naafe ulko
@apostlej.rministiryprophet2219
Hiyo Kanisa inatwaje ? Kanisa kama ni sabato hao ni wazee wa Sheria hawanaga huruma 😂😂😂. Na Kanisa ikivunja makazi ya watu Kwa vurugu washirika watakuja kutoka mji Gani 😂😂😂 Mbingu zipo karibu sana
@lameckmbele5901
@lameckmbele5901 Год назад
Ningekuwepo mm tungemuua kwa mawe
@thomaskitemi3283
@thomaskitemi3283 9 месяцев назад
Mh unafaa KUJA teuliwa kuwamkuu wa mkoa full hekima ubarikiwe
@jei_maimu6957
@jei_maimu6957 Год назад
Kipindi wanajengaa walikuwa wapi muda woteee huo Mbwaaaa
@mudighurayra
@mudighurayra Год назад
Uinawajua waswahili wee utawambia kama hawakuoni vileee
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 Год назад
Hilo kanisa Mimi ni mchungaji sijalierewa hilo kanisa
@mamalandynangy52
@mamalandynangy52 Год назад
Kujenga kulivyo kugumu hivi!! Dah mpaka. Nimeumia
@fatumafatuma1503
@fatumafatuma1503 Год назад
Duuh allah nijaalie mimi nimejengewa nipo mbali mungu asijenipitisha katka mtihani hii kz zilivyokua ngumu hivi jamn
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Год назад
Inaumiza sana nyumba 100 dah😢😢😢
@gililwise
@gililwise Год назад
Hilo kanisa halina haliongozi na roho ya Mungu kabisa. biblia inasema tafuteni kuwa na amani na watu wote.ombeni kulipwa fidia mkajenge sehemu nyingine maana hapo hamtakaa kwa amani.
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 Год назад
Wanazingua Sana watu wa hapa Arusha yaani wanajikuta wajanja kumbe laiti wangejua,. Waachwe Kwanza wawe Kama Dafur au Tigrey, ili wawe na adabu
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Год назад
Lakini angalini Arusha watuu watauwana njaa hii umvunjie nyumba mtuu kwa sababu ya kanisa mmmmmm tusubiri mwendelezo waa dockoment
@adhacho4490
@adhacho4490 Год назад
Kwa mungu kutakuwa na mengi sana kuna watu watachomwa moto mapaka basi yani
@laylayl5166
@laylayl5166 8 месяцев назад
Hakika sikuhizi mwenye pesa ndio mwenye hakiji kwasasa
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 Год назад
Huyo ni mshenzi, Tanzania inchi ya Amani
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 Год назад
Hata hivyo,Manispaa,watauzaje sehemu ambayo invisible wananchi..
@hasaabdi7199
@hasaabdi7199 Год назад
MAkanisa Ya Tanzania kazi yao ni kuhodhi ardhi mfumo kristo
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 Год назад
Magu alisema mtanikumbuka Leo ukokwenye nchi yko lakin unazalilisha
@mussafakiu5322
@mussafakiu5322 Год назад
Kwakua yeye hakuvunjia watu au
@kagondanathan3661
@kagondanathan3661 Год назад
@@mussafakiu5322 yeye alipo kuwa waziri wa ujenzi alivunja jengo la serikali, kamwe naludia tena kamwe magufuri asingeliweza kuvumilia uonevu kama huu
@demicratia4071
@demicratia4071 Год назад
hivi ndivyo risasi zinavyotumika
@maghanighanichali9519
@maghanighanichali9519 Год назад
Makanisa ni kama ni mali ya mungu.Mbona wanang'ang'ania mjini?Ina maana mungu yupo mjini tu?kwann wasiende kujenga njw ya mji?Au ndio wapiga hela?
@kelvinimasagasi7398
@kelvinimasagasi7398 Год назад
Kwanza mbona khawaja toa nots
@ummySheikh72
@ummySheikh72 Год назад
Tanzania uwanja wa vita haki ya chi Baba wangu! 😅 hatari
@amadembenzimbenzi9491
@amadembenzimbenzi9491 Год назад
Hii sio poa
@laylayl5166
@laylayl5166 8 месяцев назад
Jamani mbona wakati wa lukuvi haikuwa hivii dhulma hii imekuwa kubwa sana nyie mahakim huko mahakamani mnapokea nini lakini
@idrisanassoro4913
@idrisanassoro4913 Год назад
Mkuu wa wilaya namkubali xana
@user-du6su6mh1h
@user-du6su6mh1h 8 месяцев назад
ipo day haya mafunzo ya Risasi kwa wananchi watapambana nazo
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 Год назад
Good kuipa mahakama nafasi katika nchi jambo la neema sana.
@hassanmitau6925
@hassanmitau6925 Год назад
Haya ndio makanisa ya kishetani ,nabii eliya aliyasemea friimason
@vamos842
@vamos842 Год назад
😄😄😄
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Год назад
Wananch wasikubali Bora Hilo kanisa litafutiwe eneo lingne
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 Год назад
Hiyo taasisi kaeni naye kwa kuwa hao wamejenga c atafutiwe sehemu nyingine mbona inawezekana?.
@manchalijob9600
@manchalijob9600 Год назад
Kumekucha magufuli kaondoka kanisa ni nani kwa watu zaidi ya 200
@pescopenterprises2728
@pescopenterprises2728 Год назад
Pole sana hujajua nguvu ya kanisa ulimwenguni kanisa ndilo linalo simamisha tawala hapa duniani
@adiliwasanga4521
@adiliwasanga4521 Год назад
Wananchi wacha waisome namba hao walisema ccm mbele kwa mbele
@abbasmohamed5066
@abbasmohamed5066 Год назад
"SIKU NIKIFA MTANIKUMBUKA" ama kwel tunakukumbuka baba RIP MAGUFULI....najua ingekua ww ungetoa maamuzi ya kufikirika kibinadam kwa maslahi ya watanzania japo mahakama inamaamuzi yake ila ardhi pia IPO chini ya Rais mana icngeshindikana kutoa eneo jingine kwajili ya kanisa na kunusuru raia masikini walojenga nyumba zao kwa tabu...ama kwel uongozi unahitaji busara na maarifa makubwa mno!!
@jossejunior5668
@jossejunior5668 Год назад
Dini enyewe uhuni tu
@allyflavour8005
@allyflavour8005 Год назад
Wenye viti kwanini Wana tuhusu hivi vitu Kama palisha uzwa linauzwaje mala ya pili
@kelvinimasagasi7398
@kelvinimasagasi7398 Год назад
Nawaliopiga lisasi silaha zao zichukuriwe
@salumkhamis8495
@salumkhamis8495 Год назад
Hiiindio Tz.nchi yenye ,............ 😀😀😀
@nelsonjonathan7660
@nelsonjonathan7660 Год назад
Muandishi namuelewaga sana anaelewesha ipasavyo
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g Год назад
SERIKALI YETU YA HUNIJUI HIYOOO ISHA RUDI ☹️
@tamrikznz7583
@tamrikznz7583 Год назад
SERIKALI YA KISHENZITU HII.. WATU ZAIDI YA MIA MBILI WENDE WAPI SASA.¡¡¡¿ ETI KWA7BU YA KANISA¡¡¿ DAAH NOMA AFRIKA AFRIKA.
@neema_mollel
@neema_mollel Год назад
Bora jamani imestopishwa m
@yusuphpaulwaryoba8316
@yusuphpaulwaryoba8316 Год назад
😂😂😂😂huyo mama kanifanya nicheke
@obedpeter6874
@obedpeter6874 Год назад
Mambo mengine inabidi mawaziri husika watumie hekima nyumba zaidi ya mia mbili zibomolewe ili iweje?kanisa ilo kwanza lipewe eneo jingine na maisha yaendelee kwani mchingaji ajui apo atapoteza waumini pia?
@annakisiga889
@annakisiga889 Год назад
Duhu sda kweli jamn mbona mnafanya hivyo
@joycekelvin5434
@joycekelvin5434 Год назад
Si Haki Yao kosa lipo wapi
@neemaloy889
@neemaloy889 Год назад
Mwandish msomi hongera
@tujumaster8008
@tujumaster8008 Год назад
Jamani kanisa gani hili yani watu 100 kanisa moja watasali kinanani
@pungopungo411
@pungopungo411 Год назад
Wananchi wanalia mmeweka viharaza kwenye mabenzi .mna ubinafsi wakutosha. Mnajali watoto wenu tu .basi ikifikia siku za kuhitaji kuongezewa uraji waambieni watoto na wajukuu zenu wawapigie kura .acheni kusumbua walalahoi.
@musaissa7463
@musaissa7463 Год назад
Waondoke hao nyumba ya Mungu ijengwe,tena wafanye harakaaaaa🦿🦿🦿🦿🦿🦿
@zehrahaji1566
@zehrahaji1566 Год назад
Km nyumba ya Mungu basi Mungu huyo anahuruma kabisaa na watu wake Alafu atapata wapi wateja Wake ili wakipata pesa waende Kwa Ashura tabata
@mwitaagness455
@mwitaagness455 Год назад
Mhh jamanii km walijua kuna kesi kwann wasingeweka Alama ili mtu akiuziwa ajue kuna shda asinine ohooo
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 Год назад
Huyo Moja Alie piga risasi juu ni Nan serikali I? Jibu
@petersulle1937
@petersulle1937 Год назад
Kwani kuna mahakama ya wasabato? Kama watu walivamia eneo la kanisa yaani waachwe tu, watanzania tunapenda kuzungumza bila kufuata sheria, hao kanisa wamefuata taratibu za kisheria, nawashangaa wanaolalamikia kanisa,
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Год назад
Ngojeni hao wasabato waanze kuviziwa na wananchi
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 Год назад
Arusha vitaumana,Rais ataxame kwa jicho la pili
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Год назад
NA NYIE SERIKALI MLIKUWA WAPI HADI WATU WAMEJENGASI MNGEWAKATALIA TOKA ZAMANI? SASA HIYO HASARA NI YA WANANI? NANI ATAWASAIDIA KM C SERIKALI? WAONEENI HURUMA RAIA.
@pungopungo411
@pungopungo411 Год назад
Hati ya kanisa ifutwe kwaajili ya wengi tena maskini hawatakua na uwezo tena wa kujenga.mbona hii serekali inazidi kuingia polini kama kijiji kisichokua na mjumbe
@user-ny2bi8yj1o
@user-ny2bi8yj1o Год назад
Sasa kwanini wabomowe
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 Год назад
Mkoa huu ajee Chalamila.
@godfreysamson3069
@godfreysamson3069 Год назад
😅
@gapserminja5215
@gapserminja5215 Год назад
Mambwa hao kwani wakati zinajengwa walikuwa wapi waache ujinga🤫
Далее
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 19 тыс.
Nyumba ya Mama Mjane Yapigwa Mnada Ndani ya Dakika 5
7:36
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 19 тыс.