Тёмный

Nyumba ya Mama Mjane Yapigwa Mnada Ndani ya Dakika 5 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 91 тыс.
50% 1

Nyumba ya Mama Mjane Yapigwa Mnada Ndani ya Dakika 5......
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@joelnassari105
@joelnassari105 6 лет назад
Pole sana mama Mwenyenzi Mungu amekusaidia waliopga mnada wataenda segerea soon
@pendokatindasa2281
@pendokatindasa2281 5 лет назад
Umetangaza vizuri.
@priscacharlescharles9014
@priscacharlescharles9014 6 лет назад
Pole sana mama angu
@thauratali3656
@thauratali3656 6 лет назад
Pole sana mama
@jeninunu9177
@jeninunu9177 6 лет назад
kamata hao wote wahalifu waliouza nyumba ya huyo mama mjane bila kupoteza wakati na kuwatia ndani hali wakihojiwa kabla ya hukumu kwani hao ni majambazi, wanyang'anyi na waoneze kwa akina mama na watoto. Pole sana dada na jamaayo
@zuhuraally171
@zuhuraally171 6 лет назад
Mungu akusaidie mama yangu
@ramadhanisuleymani9071
@ramadhanisuleymani9071 6 лет назад
Aisee muda wote hata sisi kwenye manye manyumba yetu tukae tayari kuuzwa.chakufanya ngoja nitafute mgobole wakija tuu nawanyooshea mzee.
@veronicamatin4977
@veronicamatin4977 6 лет назад
Mama pole sana matapeli niwengi tutakuombea mama wataldi baridi pole sana wanaotamani nyumba za wakina mama zetu marikia wa Nguvu!
@imanimgaya6607
@imanimgaya6607 6 лет назад
"buyer be a ware" "conduct search b4 your buy such land"- kwasisi tulio soma land law hua tuna tumia hizo statement
@nabiigsevenmwasomola
@nabiigsevenmwasomola 6 лет назад
ili kupata habari njema za ufalme wa mbinguni bonyeza kushoto kwa maandishi haya barikiwa
@gladnessjohnson301
@gladnessjohnson301 6 лет назад
g7somola@yahoo.com gseven
@jacquilinemahumbi5950
@jacquilinemahumbi5950 6 лет назад
g7somola@yahoo.com gseven ok
@Ambweneonlinetv
@Ambweneonlinetv 6 лет назад
😂😂😂😂😂 aliyenunua hyo nyumba kapigwa changa la macho
@jaquilinekivunge331
@jaquilinekivunge331 6 лет назад
jaman huu uonevu sipendi naumia. ila mama utapata haki yako.pole mum.
@upendoambelemwakilembe8987
@upendoambelemwakilembe8987 6 лет назад
pole mama
@mikemnyamwezi7856
@mikemnyamwezi7856 5 лет назад
Ni upuuzi, we unanunua nyumba pasipo kupitia kwa Mwenyekiti wa serikal wa mtaaa...! We mkali...!
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 6 лет назад
Wanaitamani hiyonyumba yahuyomama
@maduhujoseph3557
@maduhujoseph3557 6 лет назад
Semeni vizuri haiwezekani nyumba yako iuzwe wakati hudaiwi
@frankfrank459
@frankfrank459 6 лет назад
Jasho la mtu halipotei bure dada yangu utapata haki yako, ila haijaeleweka ni nani aliyeinunua, benk, campuni, au mtu binafsi manake imekula kwao
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 5 лет назад
Mtihan
@idreamfoto
@idreamfoto 6 лет назад
Huu Utapeli Kabisa Yaani Kaah! Mnada Gani Wa Kiwizi Wizi? Msaidieni Mama Huyu Tafadhali
@fautz9778
@fautz9778 6 лет назад
Hee jmn mbn binaadam tupo hv
@rashidsuleiman2663
@rashidsuleiman2663 6 лет назад
yaani mnada mpaka wanaoishi ndani wameuzwa
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 6 лет назад
Jaman watu wana roho ya ajabu
@larickmtui2852
@larickmtui2852 6 лет назад
Wahuni hao
@daudhenry913
@daudhenry913 6 лет назад
Mmhu hao waloandaa mnada wakamatwe wote
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 6 лет назад
Hao walioendesha mnada hawana akili kabisaaaa na shule kichwani hakuna
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 6 лет назад
huyo alonunua ni nani anunue nyumba bila ya kuangalia ndani? hii ndio Tanzania ya Magufuli?
@larickmtui2852
@larickmtui2852 6 лет назад
Amyass Yassin mambo yakihuni na serikali ya magufuli yanahusiana vip?
@imanimgaya6607
@imanimgaya6607 6 лет назад
"buyer be a ware" "conduct search b4 your buy such land"- kwasisi tulio soma land law hua tuna tumia hizo statement
Далее
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Просмотров 1,9 млн