Тёмный

TAMBUA NAFASI ULIYONAYO - PASTOR SUNBELLA KYANDO 

Pastor Sunbella Kyando
Подписаться 36 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Kila mtu kuna kitu ambacho Mungu amekiweka ndani yake.Kuna nafasi ya wewe kukaa na kupitia hiyo ndipo baraka zako zilipo.Watu wengi wanateseka na kuhangaika kwa sababu hawajui nafasi Mungu alizowapa,na kwa sababu hawajui na kukaa katika nafasi zao,nafasi zao zimekaliwa na watu wengine.Ndio maana kuna vitu ambavyo sio vya haki vinavyotendwa na watu waliokaa katika nafasi fulani.Swali la kujiuliza,ni nani kawaketisha hao katika hizo nafasi?na ni nani ambaye kwa haki alitakiwa akae hapo?nini kimemzuia kukaa?
Je, mahali ulipo ndipo unapotakiwa kuwepo?
Unaposikiliza neno hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando Mungu akafungue ufahamu wako ili ujue ni nafasi gani iliyo haki yako na akuwezeshe kukaa hapo.
#PastorSunbellaKyando#Ukuta#Yeriko

Опубликовано:

 

2 сен 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@petermunuo1657
@petermunuo1657 11 месяцев назад
Amen mtumishi barikiwa sana
@elishasoka6692
@elishasoka6692 2 года назад
ninaachilia mafuta mabichi ya roho mtakatifu katika maisha yangu ya kiroho na kimwili na mambo yangu yote ninayoendelea kuyafanya ivi sasa kwa Jina la yesu rohoo mtakatifu ukayakamilishe.
@samkipandula
@samkipandula 2 года назад
Kwakweli Pastor yaan mafundisho yako yana kweli ya Mungu kabisa...aise Mungu azidi kukutumia sana sana
@marianyahenge9529
@marianyahenge9529 8 месяцев назад
Ninapokea kusudi lako Mungu Katk jina la yesu
@marianyahenge9529
@marianyahenge9529 8 месяцев назад
Nimefikiria Sana pastor umeniamsha
@user-fb5do6tp1o
@user-fb5do6tp1o 11 месяцев назад
Amen asante kwa mafundisho mazuri
@marianyahenge9529
@marianyahenge9529 8 месяцев назад
Amen pastor
@neemasaidisaid1791
@neemasaidisaid1791 2 года назад
Amen amen amen amen. Naiwekwangu kwa jina la yesu
@jemaaloyce8096
@jemaaloyce8096 Год назад
Amen
@innocentcareen818
@innocentcareen818 11 месяцев назад
😢😢😢 nisaidie Mungu nifike
@yoshuamakoyeyoshuamakoye1663
Amina
@annnduku9879
@annnduku9879 Год назад
Glory
@P.W.I.P.I_MINISTRIES
@P.W.I.P.I_MINISTRIES 2 года назад
Umetibua maji yaliyokuwa yametulia ndani yangu. Nmesikiliza nmekosa utulivu kabisa. Thank you Lord 🙏
@samkipandula
@samkipandula 2 года назад
Pastor ubarikiwe Sana!
@jeremiahsemei
@jeremiahsemei Год назад
Glory be to God
@annnduku9879
@annnduku9879 Год назад
Powerful
@judithjackson6083
@judithjackson6083 2 года назад
Ameeni😪😪😪
@silenceneverson8648
@silenceneverson8648 2 года назад
listening from South Africa man of God may God bless you
@billionairetz256
@billionairetz256 2 года назад
Holy Holy Holy
@raphaelmirambo248
@raphaelmirambo248 2 года назад
Unapatikana Kanisa gani dady hapa Dar
@ibrahimvedasto614
@ibrahimvedasto614 2 года назад
That's true
@dianayesse3904
@dianayesse3904 2 года назад
Hello daddy... Man of God please I need tuzungumze nakwama baba yangu😭😭😭
@pastorsunbellakyando
@pastorsunbellakyando 2 года назад
0657173322 karibu sana tumia hiyo namba pia karibu sana kanisani
@happinessmtani7621
@happinessmtani7621 2 года назад
barikiwa Baba
@user-tg8ct1nt5y
@user-tg8ct1nt5y 2 года назад
Ameen 🙏
@ivanfaustin9717
@ivanfaustin9717 2 года назад
Leo ni Siku yangu
@revocatusngomele4905
@revocatusngomele4905 2 года назад
🙏🙏🙏🙏
@OS-pf6op
@OS-pf6op 2 года назад
🙏🙏🙏
@patrickmwenda382
@patrickmwenda382 2 года назад
Praise be to the Lord
@Jk-ht8rr
@Jk-ht8rr 2 года назад
Nafuatilia nokiwa qatar naomba kuwasiliana na mtumishi
@pastorsunbellakyando
@pastorsunbellakyando 2 года назад
0657173322
@mwaumark4372
@mwaumark4372 2 года назад
Hello man of God? My name is Mark Aron from Nairobi Kenya. How can I make appointment with you?
@pastorsunbellakyando
@pastorsunbellakyando 2 года назад
Use this Number +255 657 173 322
@ladyjackline429
@ladyjackline429 2 года назад
Amen
Далее
Вопрос Ребром - Субо
49:41
Просмотров 1,4 млн
Чистка пляжа с золотом
00:49
Просмотров 369 тыс.
SADAKA YA AGANO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
24:16
Просмотров 20 тыс.
HOFU NI PEPO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
16:49
Просмотров 11 тыс.
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Просмотров 76 тыс.
WALIOITWA KWENYE FAMILIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:41
Faida ya Kukaa Kimya -  Pastor Sunbella Kyando.
20:06
Просмотров 121 тыс.