TAMKA MANENO HAYA ALFAJIRI MARA 12 UTASHUHUDIA PESA ZIKIMIMINIKA KWAKO KIMIUJIZA utafanikiwa kuliko #fafanuomedia #knowledgeforyourfuture #tujengemahusiano @FAFANUOMEDIA
Asante san kaka vitabu tuna kaa navyo ila maarifa tulikosa Asante kaka kwa maarifa naamini umetutoa kwen upofu wa ufaham mistarihii tunaisomaga kwa mazoea kumbe inanguvu kubwa,ubarikiwe sana na kuongezeka .
Uwe unaweka picha nzuri peke yake sio kuchanganya na mapicha yanayotisha wengine huwaza vibaya Mara mtu anajicho kwenye paji la uso Mara macho Yana rangi Weka picha tu ya binadam wa kawaida sio hiyo mipicha ,japo n mambo ya Mungu unaelekeza lakin picha zinakinzana pls badilisha kaka
Baba yetu uliye mbingun Jina lako litukuzwe ufalme wako uje Mapenz yako yatimizwe Hapa dunian kqm huk mbingun Utupe leo rizik zetu Utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea Usitutie majaribun bali utuokoe na yule muovu Kwakuw ufalme ni wako na nguv na utukuf hata milele ameeen
Mbona kama unafundisha wakristo peke yao mana hayo maneno yako yanatoka kwenye bibilia mbona hutoi na mafundisho au maelekezo ya imani nyingine au ww ni mchungaji tukupuuze ss wengine