Тёмный

Tanzania One Soul - Asante (Official Video) 

Chomoza Tv
Подписаться 215 тыс.
Просмотров 131 тыс.
50% 1

#Rugemtahaba #Hatunajambodogo #ChomozaTV
Kundi La Muziki Wa Gospel (Tanzania One Soul) Wamekutana Na kutengeneza Wimbo Maalumu Wa Kumuenzi Marehemu Ruge Mtahaba Aliyekua Na Mchango Mkubwa Katika Muziki Wa Gospel.

Развлечения

Опубликовано:

 

27 фев 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 269   
@fadhiliefron6356
@fadhiliefron6356 5 лет назад
Gospel singers... Worshipers let's get together like that..... In short nimesikiliza hii nyimbo nakuitazama Mara 10 bado hamu haijakata na mpaka chozi linatoka kwanza I like corporation like that but also this work mbarikiwe Sana.... Tuko wengi underground tunajifunza kwenu Kwakweli...example me there people in this group huwa natamani one day nionane nao just once.... Mnanipa hamasa kubwa saan kwenye kazi ya MUNGU hii tuifanyayo hasa uimbaji..... You 😅😅😅😅😅
@hunterisaias5853
@hunterisaias5853 3 года назад
i realize Im kind of randomly asking but do anybody know of a good site to stream new tv shows online ?
@sharifalopa8910
@sharifalopa8910 4 года назад
Wanadamu tunapanga na kukadilia ila mungu ndiye anaamua,anajua mwanzo wa mwanadamu na mwisho wake,I like it
@dyneyudoya9063
@dyneyudoya9063 4 года назад
Paul fundi nyie duuuuu🙌🙌🙌🙌
@happyshango8796
@happyshango8796 3 года назад
hata kwa hili bado tunasema wewe ni Mungu wa kuogopwa,,Mpokee rais wetu mtoto wako 💔💔💔Mungu ilinde Tanzania, tushike kwa mkono wako
@favourupendo5250
@favourupendo5250 3 года назад
I wish mngetoa kwa pamoja Wimbo wa Magufuli daah😭
@mussawilson6972
@mussawilson6972 5 лет назад
The part sang by Paul Clement (...Parapanda ikilia...) makes me repeatedly repeat it! Any one else?
@rebeccakishegena2820
@rebeccakishegena2820 5 лет назад
Mussa Wilson same here
@mussawilson6972
@mussawilson6972 5 лет назад
@@rebeccakishegena2820 😍
@allenmlelwa7950
@allenmlelwa7950 4 года назад
Kaua aisee
@goodluckjoseph3113
@goodluckjoseph3113 11 месяцев назад
Even me
@user-lz6kh7xj2v
@user-lz6kh7xj2v 3 месяца назад
Walter' Good luck,Paul,flora ,Joel👏
@hermanmidas3056
@hermanmidas3056 5 лет назад
pale nuru ijapogeuka Giza,nakuw kam mchez w kuigz #R I P RUGE
@belindagiliard8977
@belindagiliard8977 5 лет назад
Kama kuna kitu kimewekwa kwenye vinywa vya watanzania ni talent ya kuimba. Na ndio the biggest gift in the world. Nami natoa asante kwa kazi hii nzuri. Proudly Tanzanian
@richardernest4165
@richardernest4165 5 лет назад
Mung hawabariki
@gimmie4443
@gimmie4443 5 лет назад
Jaman huu wimbo bado unazunguka kichwani . mlifanya kwa uvuvio wa roho kwakweli
@shedrackdaudi7728
@shedrackdaudi7728 5 лет назад
ni faraja kubwa sana kwa waliogusha na uu msba asanten waimbaj wa injil kwa umoja wenu nmefarjika kwa wmbo huu
@kennethbernard9517
@kennethbernard9517 4 года назад
This is Good song... #Like_it
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 лет назад
Mungu awabariki sana kwa huu kwa ajili ya huu wimbo wenye nguvu
@napendamunisi6911
@napendamunisi6911 5 лет назад
Hakika yeye ni Alfa na Omega Mungu awatie moyo wote walioguswa na msiba
@petermasapa498
@petermasapa498 5 лет назад
God bless you so much!! Pamoja na huzuni ya kuondokewa, lakini siwezielezea furaha yangu jinsi mlivyokuja pamoja na kufanya wimbo huu wa kumuaga ndugu yetu, rafiki yetu na mpendwa wetu Ruge Mutahaba! Nawapenda sana Tanzanian Gospel Singers, tuendeleeni na moyo huo hata kama hatujapatwa na matatizo tusifu Mungu namna hiyo kwa pamoja na tutauona utukufu wa Mungu na kuwa mfano kwa mataifa mengine. RIP Ruge Mutahaba.
@jemamtewele218
@jemamtewele218 5 лет назад
God blesss, hiyo ni kazi ya mungu alioweka ndani yenu hakika Mungu awabariki
@kabiijano
@kabiijano 5 лет назад
R.I.P Boss Ruge...nilikua sijawahi kukuona macho kwa macho lakini nilikua nakufatilia vizuri kwenye vyombo vya habari. Nilipopata taarifa ya kifo niliunguza chapati kwa mshituko. Umeenda baba kazi umemaliza....
@patricaisapalo
@patricaisapalo 2 месяца назад
Wow am in l❤❤❤ with yo songs 🎵 😳 I like it
@anselmokidaboma9328
@anselmokidaboma9328 5 лет назад
kama angekuwa anasikia, basi huu ndio most favourite song yake kuliko zotee,,,,,,R.I.P. kaka Ruge
@marionsteven8198
@marionsteven8198 5 лет назад
Mungu amebariki na kukipokea kilicho cha thamani kama alivyokiumba kimerudi kwake kikiwa na uthamani uleule...kila chozi na neno la faraja Daima vimejenga Utukufu wa Mungu mwenyewe... Dunia na mbingu vimepaza sauti na imepenya mpka viliko vingine vingi vya thamani na viumbe wote wanamtukuza Jehovah...hakika na hali niliyojiona mfiwa nimefarijika sana na watoto wa Mungu hawa waliotumia karama na vipawa vyao Mungu awabariki sana na kuwainua R.I.P RUGE.😢😢😢😢
@tnerdaniel6198
@tnerdaniel6198 3 года назад
Tunaomba wimbo wenu wa pamoja juu ya Rais wetu JPM mbarikiwe
@ezekielpaulbundala348
@ezekielpaulbundala348 5 лет назад
Ni faraja kubwa sana, nimejisikia kububujikwa na machozi ya furaha kwa umoja huu unaotoa fursa kutumia vipawa vyenu katika kutoa shukrani na faraja. Mungu awabariki sana. Nimeguswa na nimefarajika.
@angeljustace4683
@angeljustace4683 5 лет назад
Sad but also nice this ppl can sing kwakeli rip Ruge wetu Mungu akupe kauli thabit
@lydiakatunguti1989
@lydiakatunguti1989 5 лет назад
Ezekiel Paul Bundala amen watanzania sote ni wamoja
@enigmachu8983
@enigmachu8983 5 лет назад
Walter, Paul & Joel 🙌
@obadianicco441
@obadianicco441 4 года назад
wameua hatari
@katotosumbe7782
@katotosumbe7782 3 года назад
Be blessed all 🙏. Msije mwacha Mungu hata Kama hatajibu Kama mtakavyo. Yeye atabaki kuwa Mungu
@auntyominde3565
@auntyominde3565 5 лет назад
Kenyan let's learn a lesson from tanzania
@deesy2329
@deesy2329 5 лет назад
that is the name of the country never start with small letter budy
@elizabethodhiambo4333
@elizabethodhiambo4333 5 лет назад
Learn what matangas song? Am sorry to asked
@bohochic4559
@bohochic4559 5 лет назад
And what's the lesson? Kuimba matangani ama?! When will you people stop comparing everything with tz, they got their own culture & kenyans we got ours... We will never be them.
@wandoloarnold975
@wandoloarnold975 5 лет назад
Fridah Ominde iwacho maber ndii
@auntyominde3565
@auntyominde3565 5 лет назад
Even your Kenyan songs are yack
@princelee2264
@princelee2264 5 лет назад
Chozi lanitoka jaman ruge tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi
@alexmayoka1314
@alexmayoka1314 5 лет назад
Barikiweni
@LilianMwamwaja
@LilianMwamwaja 5 лет назад
Mmeimba msg nzito na hakika wimbo huu umetosha kuwa mahubiri. Mungu Awabariki sana
@jestinabugeraha2583
@jestinabugeraha2583 5 лет назад
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.Amina
@anastaziaboniphace6640
@anastaziaboniphace6640 5 лет назад
Ruge ruge mimi ni kipepeo nashukuru kwa kuni inspired
@tullymwakipesile2077
@tullymwakipesile2077 5 лет назад
Kazi nzuri sana, Mungu akawazidishie pale mlipopungukiwa kwa upendo huu mlioonyesha. Maana halisi ya umoja na upendo mmeifundisha kupitia kazi hii. Rest in peace Ruge.
@kepherojwang4378
@kepherojwang4378 Год назад
I love this solidarity
@tusamoses3154
@tusamoses3154 3 года назад
Mungu awabariki
@oscarkijalo3191
@oscarkijalo3191 5 лет назад
Utukufu kwa Bwana Mungu Mwenyezi yote katika yote tunaungana tukisema asante, pumzika kwa amani mpendwa wetu Ruge
@jacksonmishwaro3638
@jacksonmishwaro3638 5 лет назад
This is more than just a song.. i wish muwe na series ya kutoa nyimbo as a gospel insperational team...Ruge amewaweka pamoja..Mbarikiwe sana
@gracegracegrace1827
@gracegracegrace1827 5 лет назад
Kweli hii ni ibada!! Na wasiimbe wakati wa majonzi tu
@fadhiliefron6356
@fadhiliefron6356 5 лет назад
😅😅😅😅😅😅feelings More but holly spirit on the work .....you guy's make Me cry
@gracenchimbi7973
@gracenchimbi7973 5 лет назад
R.I.P Ruge...kwakweli tumeumia ...kifo chake kitukumbushe na ss kujiandaa maana hatujui siku wala saa...Mungu awabariki kwa wimbo huu
@stephenmalilo9833
@stephenmalilo9833 5 лет назад
Wimbo mkubwa mnooooooo..........
@ChrisJG
@ChrisJG 5 лет назад
Paul Clement🙏
@ellyjoshua9337
@ellyjoshua9337 5 лет назад
Well done
@silvestermwakyosi9559
@silvestermwakyosi9559 5 лет назад
Pumzika kwa aman my br gospel for life
@naomilemi4717
@naomilemi4717 5 лет назад
God will remain the same. 🔥🌹👍
@danielsifael7493
@danielsifael7493 5 лет назад
Thanks goes to all musicians (gospel and secular) for the time, effort and strength they have devoted in composing a great song to comfort Tanzanians in this difficult time. Nice song... Safiri salama Ruge, msalimu Maulana... Tutaonana badae.. R.I.P Ruge
@atuganilemwandambo8283
@atuganilemwandambo8283 5 лет назад
No wrd can fit nw Mungu tupe moyo wakkumbuka kuwa IPO siku tutanyakuliwa R.I.P Ruge
@sophiatessia3914
@sophiatessia3914 5 лет назад
Oooh nimeshindwa kujizui kulia😭😭 R.I.P
@salomecosmas4367
@salomecosmas4367 5 лет назад
Rest in paradise Ruge utakumbukwa Mill kwa mchngo wako Asante yesu Asante jehova
@amosdaniel442
@amosdaniel442 5 лет назад
6:01 - 6:36 ni fireeee 🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
@rajacreatives4955
@rajacreatives4955 5 лет назад
mko vizur watumish🙌 RIP Ruge😔
@simonprosperity9573
@simonprosperity9573 5 лет назад
Mmefanyika baraka na faraja tele Mungu azidi kuudumisha umoja huu.
@irenemillius4907
@irenemillius4907 5 лет назад
Mbarikiwe sana wana wa Mungu kwa wimbo huu unafariji na kutukumbusha pia kwamba Mungu alianzisha na ndie anamaliza ,, wapendwa tuwe tayari maana hatuji siku wa saa
@georgetubei
@georgetubei 3 года назад
I was bitter....i was angry....i was lost....i have accepted it....thanks for the healing....Asante
@oiso650
@oiso650 5 лет назад
Good kwa umoja huu
@mimierasto1171
@mimierasto1171 5 лет назад
Ruge wewe Ruge, umetuliza baba 😭😭😭😭😭.Asante kwa Fursa, hakika ni maumivu yasiyoelezeka 😭😭😭😭😭.Rest easy
@hellenpascal9605
@hellenpascal9605 5 лет назад
Why am I crying like this....Ooh my God
@benjaminkiwelu79
@benjaminkiwelu79 5 лет назад
Paul and Joe ..... Indeed I feel a tear due to ur overexcite God bless ur all
@ibzanruheta
@ibzanruheta 5 лет назад
Amen, nimefarika Kwa wimbo huuu, R.IP ruge, ntakukumbuka pale uliposema ( I hate small dreams) dah hakuna namna
@jeremiahmwakyange2158
@jeremiahmwakyange2158 5 лет назад
Mungu tusaidie kujifunza Kuwa dunia nia tunapita basi tunatakiwa kujiaanda kwa kule tunakoelekea.
@dazinaagust5231
@dazinaagust5231 5 лет назад
Daaaah jamani hadi roho inauma daaah Mungu alimleta kwa kusudi hakika 😢😭 R. I. P Ruge
@shadrackmapunda8171
@shadrackmapunda8171 5 лет назад
Mungu wetu tunamuabudu na kumuamini, awabariki awatie nguvu na awazidishie msizimie mioyo kuyatenda yaliyo mema ambayo ni dhahiri machoni petu na usoni pa Mungu, Inauma sana. Ila ni ombi Langu Mungu atujalie Mwisho mzuri, tuishi kumpendeza na mwisho tufike kwake Mbinguni. Mungu amkumbuke Ruge na amrehemu.
@elkanakilumbe
@elkanakilumbe 5 лет назад
Hakika tunapaswa kumwambia Mungu ahsante kwa kutupa nafasi ya kuishi na Ruge...
@fanuelburra1829
@fanuelburra1829 4 года назад
Kaka jimi najua umehusika asilimia kubwa sana katika kuwaweka karibu hii timu ya Tanzania one soul ila naomba fanyanen bidii muendee kutoa nyimbo nyingi sana ubarikiwe sana
@fortunejohn1864
@fortunejohn1864 5 лет назад
Life is short. MUNGU awabariki watumishi kwa kumkumbuka mwenzetu alietutangulia
@priyanard4236
@priyanard4236 5 лет назад
daaah ...r.i.p Ruge....hii nyimbo inaliza sana....mbalikiwe watumishi wa Mungu, nataman nione mnatoa nyimbo mkiwa kwa pamoja kwa umoja
@mpokiminga6952
@mpokiminga6952 5 лет назад
najivunia wao ase Kazi njema Sana
@nicemarandu7603
@nicemarandu7603 5 лет назад
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu..mmeonesha faraja kubwa kwa watanzania...R.I.P Legend Ruge Mutahaba
@annastaziafesto3924
@annastaziafesto3924 5 лет назад
R.l.P Ruge
@jasminomary2225
@jasminomary2225 5 лет назад
Hii nyimbo adi najikuta nalia nikikumbuka kaka msiba wa kaka angu rest in peace brother samir en rest in peace ruge mutahaba
@margretdaff5840
@margretdaff5840 5 лет назад
Mungu naomba wimho huu ukawafariji wote walionguswa namsiba huu hasangu wakaribu japo wote tunamajonz
@baliakaduri1777
@baliakaduri1777 5 лет назад
So touching, hadi machozi
@gideonelias5379
@gideonelias5379 5 лет назад
Baada ya mazishi nauangalia huu wimbo inauma Sanaa best song in difficult situation😥😥😥
@onlinetembovevo7473
@onlinetembovevo7473 5 лет назад
So sensitive Wote safari ni moja ikifika tutalala Tupendane tuombeane
@HabilyTech
@HabilyTech 5 лет назад
Asante baba🙏🏻🙏🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
@gracegracegrace1827
@gracegracegrace1827 5 лет назад
Msikutane kipindi cha majonzi tu....laiyti mngejua jinsi mnagusa mioyo yetu mashabiki zenu mngekuwa mnaimba kwa nyakati za furaha Na majonzi!! Ninashindwa kuzuia machozi
@brightvatta284
@brightvatta284 5 лет назад
kazi nzuri sana, inafariji sana
@anithajulius2863
@anithajulius2863 5 лет назад
This z sooo touching...Guud job Gospel artists seriously dis z what we call unit...Huu wimbo ni faraja saaaaana kwakwell.....Ni maombi yangu kwa MUNGU aendeleee kuwainua katka kiila sehemu...uwiii wimbo umeshika hisia za wengi kwakweliiii
@tabithawanjiru793
@tabithawanjiru793 5 лет назад
Ruge rip..this is unconditionally love
@twalibhussein3229
@twalibhussein3229 5 лет назад
Dah.. Imenipa nguvu sana iii kitu..
@auntyominde3565
@auntyominde3565 5 лет назад
Aki Soo 😔 😔 😔 sad RIP ruge
@irenemuya3503
@irenemuya3503 5 лет назад
Daaaa haki nimeliiiaaaa daaah r.I.p ruge
@janethsangalali4147
@janethsangalali4147 5 лет назад
Mungu awabarikii kwa wimbo huu Rip mpendwa wetu Ruge
@amenyekibona8730
@amenyekibona8730 5 лет назад
poleni ndugu zangu,, hakika mwatupatia faraja kubwa,, Mungu ameruhusu hatuna la kusema,, R. I. P RUGE
@lydiakatunguti1989
@lydiakatunguti1989 5 лет назад
Amenye Kibona kwa kwel
@jenifalaurian8924
@jenifalaurian8924 5 лет назад
Pumzika kwa amani Ruge.Wimbo unafariji big up kwa kazi hii mbarikiwee
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 лет назад
hii nyimbo imeniliza kweli good work MUNGU MLAZE RUGE MAHALI ALIPO JICHAKULIA R.i.p ruge nipe mwisho mzuri MUNGU uyapangayo yote ni mema asante
@mohachibu0017
@mohachibu0017 5 лет назад
Natumae Allah AME mpokea kwa mikono miwili dua kwa sanaa
@uyanjoyakobo3772
@uyanjoyakobo3772 5 лет назад
Mungu tupe kujua kuzihesabu siku zetu, tupe mwisho mwema
@bahatimichael1256
@bahatimichael1256 5 лет назад
Mmefanya nyimbo kubwa sana Mungu azidi kuwainua
@fadhiliefron6356
@fadhiliefron6356 5 лет назад
Among of the word Jesus Christ leave to us as his children ni umoja ...nimepanda hii kwani mmeonesha neno LA Kristo..... Napenda umoja kwenye kazi ya Mungu ........tusizidiwe na mataifa on the issue of togetherness
@joycepongolela5338
@joycepongolela5338 5 лет назад
Ni jema ulioamua, uyapangayo yote ni mema, asante, asante kwa upendo wako, tutakukumbuka daima, umegusa maisha ya wengi...
@kipailamoses3319
@kipailamoses3319 5 лет назад
NENDA RUGE THE MENTOR ,LEGENDARY THE MIRROR ,ICON
@linahminja771
@linahminja771 5 лет назад
Mungu awabariki sanaa na sanaaa
@herrymardaimallya2966
@herrymardaimallya2966 5 лет назад
Oooh hallelujah mbarikiwe watumishi wa Mungu
@amossimon9056
@amossimon9056 5 лет назад
Wimbo wa Imani nguvu ya Mungu ikaonekane kwa watu wote waloguswa Amin
@thomaschoe1767
@thomaschoe1767 5 лет назад
Ruge Mungu akurehemu kaka upumzike kwa aman wewe mbele sisi nyuma yako
@irenlyne7853
@irenlyne7853 5 лет назад
Huu wimbo jman unafariji
@shamirik_
@shamirik_ 5 лет назад
hakika ni jema uliloanzisha ni jema ulilomaliza🙏🏾 hasantee mbarikiwe waimbaji
@samsonismael576
@samsonismael576 5 лет назад
R. I. P Ruge. You are the best, your legacy will leave forever.
@meckzeck
@meckzeck 5 лет назад
Wanne kuimba n nan!
@marthajulius2098
@marthajulius2098 5 лет назад
Kweli mmetugusa..Asanteni kwa kutufariji na kutukumbusha kuwa nasi tupo kwenye njia hiyo hiyo
@bettygichukimusic1063
@bettygichukimusic1063 5 лет назад
God bless you worshippers for coming together,May our almighty God comfort you all and Tanzania as a whole.RIP Ruge.
@chantobaraka1590
@chantobaraka1590 5 лет назад
Huu wimbo umenikumbusha msiba wa mama angu
@johnsonwanyangachika1585
@johnsonwanyangachika1585 5 лет назад
Asante jehova rip RUGE
@loyceleeyohana145
@loyceleeyohana145 5 лет назад
Kila jambo na wakati wake, wakucheka na kulia 😢😢😢🙏
@upendojoseph2970
@upendojoseph2970 5 лет назад
Jehovah awabariki mnooo kazi yake haina makosa R. I. P Ruge
@violetombeni1938
@violetombeni1938 5 лет назад
this song wow it really touching and amazing💕😍💕😍💕😍 we love you guys👫👬👭
Далее
Uongezeke Yesu | Boaz Danken
11:40
Просмотров 2,2 млн
Boots on point 👢
00:24
Просмотров 4,6 млн
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
(Video) THT- Asante Baba
4:29
Просмотров 155 тыс.
BWANA UNIFANYE TAYARI_Paul Clement
8:15
Просмотров 18 тыс.
Ephraim Sekeleti - Uniongoze [Official Video]
5:10
Просмотров 1,2 млн
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 53 млн
Walking can get boring 😎
0:25
Просмотров 26 млн
Пов: папа в семейном чате
0:13
Просмотров 2,7 млн