Тёмный

Taswira ya jamii zinazozurura barabarani bila makao rasmi almaarufu chokoraa nchini India 

KTN News Kenya
Подписаться 2,9 млн
Просмотров 67 тыс.
50% 1

Unapowaona raia wa ki-esia hapa kenya taswira ya senti na utajiri inakujia. Lakini je, wajua kuwa nchini India yamo matatizo chungu nzima sawia na hapa Kenya? Na je, wajua India pia ina jamii zinazozurura barabarani bila makao rasmi almaarufu chokoraa? Mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali katika pita pita zake mjini Mumbai India alishuhudia hali hii haswa
Watch KTN Live www.ktnkenya.tv/live
Watch KTN News www.ktnnews.com
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya

Опубликовано:

 

14 фев 2016

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@sammycharomwalili6728
@sammycharomwalili6728 2 года назад
Mungu amlinde Mohamed ali wetu kwa taarifa
@MM-ox4mf
@MM-ox4mf 6 лет назад
Mohammed shukran wakiwa Kenya pia wanajiringa sana
@mugzbrenda
@mugzbrenda 8 лет назад
Thank you Ali these guys mistreats us on our land
@faridabakari8511
@faridabakari8511 6 лет назад
Nkweli hata dubai tele saudiaa utafikiria nkwao doo nakwetu KENYA wajigamba shainzzzzzzz
@looruaoletendere1518
@looruaoletendere1518 Год назад
My tears couldn't stop falling when I see small children's and share young babies in reasons of asking food 🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️😥😭
@husseinkazungu5101
@husseinkazungu5101 8 лет назад
Muhammad Ali asante lakini ni fupi hii kanda
@hamishemed9179
@hamishemed9179 5 лет назад
Dah Muhammed Alli wewe ninoma mzee baba
@ericmayaka7040
@ericmayaka7040 5 лет назад
Ndio maana wakienda nchi zingine wanaishi huko milele na milele
@tinakaitsa7334
@tinakaitsa7334 3 года назад
Kwanza APA kenya
@erickimani9357
@erickimani9357 5 лет назад
Wamejaa hapa Doha
@zerodone5854
@zerodone5854 4 года назад
Dah uje na bongo!
@joyceshapata7203
@joyceshapata7203 8 лет назад
Dah Mohammed ali wewe ninoma sana.Yani umeamua kupekua wahindi sio.
@elizabethmwandoe2426
@elizabethmwandoe2426 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@ahmaduun6523
@ahmaduun6523 Год назад
nadhani kuna siku wahindi walimkera sana na kuijiringa ringa mbele zake ndio maana akaamua aende huko kwao haswa awakashifu, awatobolee siri zao, na kuwaonyesha kuwa wao si chochote si lolote wanaturingia na ilihali kwao kumeoza kwanuka na umasikini umejaa kupita kiasi.
@edwinbabayao3700
@edwinbabayao3700 8 лет назад
wakifika kenya wanaringa sana ilhali kwao kumeoza😂😂😂😂😂 that's why indian are all over the world........kwani hawajui kutumia family planing
@MohamedHassan-tx2gx
@MohamedHassan-tx2gx 7 лет назад
EDWIN BABAYAO that's why the don't worship God
@aishan.d6745
@aishan.d6745 6 лет назад
EDWIN BABAYA O
@samueljr9105
@samueljr9105 6 лет назад
Hata bara hindi ndiko kutokako nguo na wendao uchi wako
@ggfhrg7229
@ggfhrg7229 8 лет назад
Na venye wanaleta maringo kenya
@MohamedHassan-tx2gx
@MohamedHassan-tx2gx 7 лет назад
Ggf Hrg Never work for indian citizen
@tinakaitsa7334
@tinakaitsa7334 3 года назад
Nikubaya joo, APA kenya wamejaa , kujinyaa miungu watu
@ahmaduun6523
@ahmaduun6523 Год назад
Apana miungu yao hawa wahindi sana huwa ni ng'ombe, wanaabudu ng'ombe na mtu akishikwa anachinja au anakula nyama ya ng'ombe huwa amejitafutia balaa kubwa sana kwa maisha.
@khadijamahamed2154
@khadijamahamed2154 6 лет назад
at least they are more decent than the kenyan vershon
Далее
Usiri wa jumba la kifahari la bwanyenye Jimmy Wanjigi
2:39
Hamster Kombat 20 July Mini Game
00:13
Просмотров 10 млн
Tom🍓Jerry 😂 #shorts #achayanarmyfamily
00:14
Просмотров 12 млн
Shughuli za kibiashara kurejelewa kaunti ya Kisumu
5:46
Mume na mkewe wauwawa kwa njia tatanishi Magumu
1:55
THE STORY OF MOHAMMED ALI BY: NJORO
10:00
Просмотров 79 тыс.
JICHO PEVU 26th April 2015 Futari ya Sumu [Part 1]
58:19
Kesi ya Mohamed Ali
1:16
Просмотров 140 тыс.