Ujanja Sio kuwahi Ujanjaa Kupata, Kwel WALLAH Allah AJALIE salama salimin kwa wanao penda huumia Sana Allah awahifadhi na awalinde Wote wanao penda kwel wanaumia
Polee brown,, Wanaume Kwann lakn wakipewa Kitumbua Tena wakisikia mtu atasema basi wanakubali kula kula tuu kwani akisema kuna nn Mtu anae kupenda atakusamehe tu,, na wanao penda na Ndio wanao umia
Sasa ww brown unaogopa nn xx kuambiwa Victoria wkt kujitetea ni rahic tu hapo ona xx umekua mtumwa wa mapenz mwisho wack umemuumiza mwanamke anaekupenda kwa dhati