James Umenifurahisha Leo Maa shaa Allah Shukuran sna kwa kuwa na Moyo wa Imani Hivo Allah Akujaze Imani Dada victoria Dada lao Nimependa Sna hii kitu Japo Harusi hatujaiona ila shukran ,, Mwanzo Mgumu mwisho mrahisi Allah awahifadhi Daima penda nyie Nyote ❤❤❤ Bwana Harusi na bi harus Kheir kwnu Maya na Allen❤❤❤ Penda nyieeeeeee Watu wa Donta TV,, Kelvin, Loveness, Nelly ,shanaiza, Brown na candy ❤❤❤ Tina Alhamndulillah Nashukuru hapa hujaja kuharibu Pendo au Ndoa ya watu Kwel nashukuru sna Mjaliwe Kheir
Muacheni uyo kwanza haina aja atizame kwasababu hii movie haukoposti na jina la mtu umeposti Kila mmja atizame sasa yeye kama hapendi dontaplus sisi tuko tunaipenda sana natunakufatilia na tuna kusapoti pia muache aende uyo @@Dontaplus