Mshukuruni Mwenyezi Mungu aliyewajalia mkapata mlicho nacho lakn pia na Diamond Platinumz aliyetumika kama daraja la KUWATOA,mpeni sana heshima anayostahili
Huu ni ushamba na ulimbukeni tu!,,mabaunza wa nini sasa? Kwani amekuwa kiongozi wa nchi?,,kweli masikini akiinuliwa tu kidogo hujiinua zaidi na matako hulia mbwata!!!.