Тёмный

TAZAMA MIJENGO ya BILIONEA wa MADINI MAREHEMU MATHIAS MNAGA wa ARUSHA.... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 104 тыс.
50% 1

TAZAMA MIJENGO ya BILIONEA wa MADINI MAREHEMU MATHIAS MNAGA wa ARUSHA..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY: shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@jakelema6325
@jakelema6325 3 года назад
Ukiokoka yaani kumpokea YESU awe Bwana na Mwokozi wako hautakutana na adhabu ya milele,,,fanya maamuzi yako leo
@EsterGaoga-i4c
@EsterGaoga-i4c 19 дней назад
😂😂 hakika uk katik qhasaraa kubwa
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 года назад
Mungu ampumzishe kwa amani
@tusajigwemathias9185
@tusajigwemathias9185 3 года назад
Kweli nchi na vyote tuvijazavyo ni mali ya Bwana!! Vinavyoonekana na hata visivyoonekana vyote ni vyake
@pedrorachidekalamaga9233
@pedrorachidekalamaga9233 3 года назад
Rip Matias mungu amlaze maali pema 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@sumayyahally866
@sumayyahally866 2 года назад
Pumzika kwa amani bb mungu akueke pahara pema peponi amini
@hassanjongo4309
@hassanjongo4309 3 года назад
Zanzibar
@consolathakimario1350
@consolathakimario1350 Год назад
Poleni
@Hamy1109
@Hamy1109 3 года назад
Taarifa ya uongo hii. Mtangazaji kuwa makini sana.
@Ax-xpress
@Ax-xpress 3 года назад
Kwa nn hii taarifa imekuwa ya uongo tena??
@kevinjohn4507
@kevinjohn4507 3 года назад
kivipi tena Mdau embu tupe taarifa maana hawa Waandishi wetu ni shida kweli
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 3 года назад
Kumbe hata gold crest ya mwanza ni yake???? Duuuu kweli duniani tunapita tu
@Hamy1109
@Hamy1109 3 года назад
Sio Hoteli yake. Lile jengo ni la Taasisi ya serikali.
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 3 года назад
@@Hamy1109 sawa sawa
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 года назад
@@Hamy1109 Atakuwa ye ni mtoa huduma ya hoteli, majengo kapangisha ya serikali. Km huku dar pale millennium tower, majengo ni ya PSPF na hotel ni seashells, mtu binafsi.
@Ax-xpress
@Ax-xpress 3 года назад
Rest in enternal peace Mangi...
@kisangarehema8359
@kisangarehema8359 3 года назад
Familia poleni
@isacklaurent8948
@isacklaurent8948 3 года назад
dah inahuzunish kwel ila polen familia jmn
@platnumzkawiche1861
@platnumzkawiche1861 3 года назад
hilo ghorofa lilianza kujengwa2012 nikiwa darasa la saba na sababu za kuzuiliwa kuendelea kujenga nikwasababu pembeni yake limepita mto wa maji
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 3 года назад
Kweli kbs ata mm nlikuwa la Saba ngarenaro
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 года назад
Wachagga wana pesa sana
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 года назад
Mr Nice ni mchaga pia?
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 года назад
@@RuzoOwzy yeah
@victormushi6641
@victormushi6641 3 года назад
MMMH
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 года назад
@@nilansaid2927 Ngoja ni-google utajiri wake, nijue km ana pesa au lah.
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 года назад
@@RuzoOwzy huyo Mr Nice hana maajabu
@MwanahijaShehe
@MwanahijaShehe 6 месяцев назад
Antoni joshua
@alimakame9692
@alimakame9692 3 года назад
Abdillah
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 года назад
Hiyo Hotel ilisimamishwa sababu ilijengwa kando ya mto pia kuna ghorofa nyingine refu hivyo hivyo upande wa pili wa barabara kando ya mto na lenyewe limesimama na lenyewe ni la mchimbaji wa Tanzanite
@ebenezernnko8251
@ebenezernnko8251 3 года назад
RIP 😭😭
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 3 года назад
Tujiandae sana na kiroho.
@bohkekatowa9131
@bohkekatowa9131 3 года назад
Mimi najuwa kuna mwanasheria msomi sio mwandishi msomi,rekebisha hilo
@faridaahmedi2359
@faridaahmedi2359 15 часов назад
Mwandishi msomi mavi matupu, eti amefariki akiwa na umri wa Miaka 50 kweli we msomi unaujakika? 71 toa 24 unabaki 53 huu ndo umri wa bilionea wenu. oOoOO mwandishi msomi wa nyoko
@eddybrokaliieddybrokalii196
wachaga hingeren kwa kuwekeza nchini
@yunismahanga2871
@yunismahanga2871 3 года назад
Pesa na majumba nimali ya bwana
@eduwadmolle7657
@eduwadmolle7657 3 года назад
Vp
@zakarialema9926
@zakarialema9926 3 года назад
M,amakweli
@deodatusrweyongeza2880
@deodatusrweyongeza2880 3 года назад
Tunapita
@hassanjongo4309
@hassanjongo4309 3 года назад
🤔🤔🤔🌶️
@hellenmgungus2935
@hellenmgungus2935 3 года назад
Kama alikuwa bilionea mbona mwili umegomea sauzi hamna hale ya kusafirisha
@glorymanga3650
@glorymanga3650 3 года назад
Shida haikuwa pesaa bali tu ndege hazikuwazinaruhusiwa kuja
@olympiatenga6352
@olympiatenga6352 3 года назад
Anayesema mwili uligoma sababu ya kukosa pesa ni mpumbavu aangalie huo umati marafiki watano tu wangetosha kumleta acha kuandika vitu ambavyo hujui kichwa Wala mguu
@hassanjongo4309
@hassanjongo4309 3 года назад
Zanzibar
@MwanahijaShehe
@MwanahijaShehe 6 месяцев назад
Antoni joshua
Далее
Mcdonalds cups and ball trick 🤯🥤 #shorts
00:25
Просмотров 1,6 млн