Hii Tabia ya kutoa pesa wa Tanzania mumetoa wapi? Kuja Nairobi ndio utajua pesa ni nini? Utachekesha watu na haupati hata mia. Watu wanaakiangalia tu 😂😂
Watanzania wanakuwa na viherehere waonekane wanahela mtu kaja kuchekesha badala mumuache achekeshe mnajifanya kupeleka hela Kenya ukishapokea Kiingiilio ndyo bas lete vichekesho