Тёмный
No video :(

#TAZAMA 

Daily News Digital
Подписаться 221 тыс.
Просмотров 2,3 тыс.
50% 1

Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya.
Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi amesema kuwa Muhimbili ni moja kati ya miradi saba mikubwa ya Serikali iliyoidhinishwa, hivyo itabomolewa na kuanza ujenzi upya.
“Lakini itakwenda kwa awamu si kwamba itajengwa kwa wakati mmoja. Awamu ya kwanza tutaanza upande wa makuti kisha katikati na tutaenda na mbele. Tutaona hospitali nyingine mpya ambayo itakuwa na ukubwa kama huu wa sasa lakini majengo yatakuwa ya kisasazaidi,” amesema Prof. Janabi.
Prof. Janabi amesema kuwa gharama ya kujenga upya hospitali hiyo itakuwa ni zaidi ya Sh bilioni 600 ambazo wamepatiwa kama mkopo nafuu kutoka benki ya Exim na utaanza kulipwa baada ya miaka 25
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 5   
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 11 месяцев назад
Tulichelewa wap kumpa Prof janab muhimbili kaibadilisha Sana na muda c mrefu hatuwend Tena INDIA kutibiwa na mungu akubarik San Prof janab
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 месяца назад
Maono ya Prof janab yafanyiwe kazi
@user-uj8lh8fj4j
@user-uj8lh8fj4j 4 месяца назад
Hongera rais wetu nani kama mama tunataka majengo ya zaman yote yabomolewe kuacha kwa vizazi vijavyo Ndo nini bomoa yote tunataka tz mpya
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 11 месяцев назад
Tulichelewa wap kumpa Prof janab muhimbili
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 11 месяцев назад
Tunahitaji Africa nzima ije itibiwe muhimbili na Dar es salaam ijengwe hospital ya Rufaa ya mkoa wa Dar es salaam na ijengwe hospital ya Kanda ya Dar es salaam na muhimbili iwe hospital ya Taifa na Africa nzima
Далее
Avaz Oxun - 10 yillik yubiley konsert dasturi 2023
2:52:33
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Просмотров 14 тыс.