Тёмный

Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga 

COSTECH Tanzania
Подписаться 2,5 тыс.
Просмотров 29 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@MsafiriMsedi
@MsafiriMsedi 15 дней назад
Nimefurahi sana kuona serikali yetu kwa sasa inawainua wabunifu, pongezi kubwa kwa Bwana Masele Jilala, Tanzania ya viwanda inawezekana.
@benedictojagadi647
@benedictojagadi647 6 месяцев назад
Napenda sana ubunifu huo naomba niwe mwanafunzi wako ikikupendeza
@amanijampion3045
@amanijampion3045 3 года назад
Hongera Mzee kwa uthubutu. Hakuna kitu kigumu bali uthubutu na kujitoa
@komangohill5957
@komangohill5957 3 месяца назад
Safi sana uko na roho ya kujitegemea
@simeontwiyogohe2727
@simeontwiyogohe2727 6 месяцев назад
Nice idea. Endeleza ubunifu huo
@josephkivuyo5712
@josephkivuyo5712 2 года назад
Mtoto akizaliwa vizuri, na akakua vizuri, na akawa kwenye mazingira ya kazi anazozipenda ni zaidi ya phd. Ubongo tulionao ni sawa na mtu yoyote yule duniani. Mfumo wa elimu ya Tanzania ni mbovu sana, Unachofanya ni kuharibu miaka ya watu. Ingetakiwa elimu iwe kwa vitendo. Na sio mtu anasoma theory mpaka anakuwa mzee. Akikutana na kitu halisi hawezi chochote na vyeti vyake vyote.
@leoninga-y8i
@leoninga-y8i 2 месяца назад
Nataka hiyo trakta inauzwa kiasi gani na wapi?
@deodartngaiza6664
@deodartngaiza6664 5 месяцев назад
HUYU MZEE NAMPONGEZA SANA, JAMANI MTU MWENYE AKILI NA UBUNIFU HUU MUBWA APEWE UWEZESHO ILI AFANYE MAMBO MAKUBWA ZAIDI. HONGERA SANA MZEE.
@Worldunite
@Worldunite 7 месяцев назад
Elimu ya mwafrika iko juu sana, sema tu wakoloni wametulisha ujinga
@kisinza6077
@kisinza6077 3 месяца назад
Mtalaumu wakoloni mpaka lini? Wakati ni ujinga wenu waTZ? Mnabeba madafyari 12 ukimaliza form4 huwezi hata kulinda Kwa geti Kwa mzungu, huwezi hata kuendesha pikipiki, huu ujinga mkoloni kafanyaje? Mnala,imeisha lugha ya kufundishia wakati Katiba yenu na Sheria pia kanuni mnatungiwa kiingereza, mkoloni kaharibu Nini? Wanakuja wawekezaji wanasema bizaa zao zinafaida kubwa hivyo Bei ishuke Ili watu wengi wanunue mnasema Kuna Bei elekezi, hapa mkoloni kaharibu Nini? Msiposimama kuibadilisha wenyewe TZ yenu hakuna mtu atawabadilishia. Mitaala ya elimu ni mibovu inatoa wanafunzi vilaza. Mtu anamaliza Form6 Hana lolote ambalo kama ataidhia hapo anaweza kufanya Kwa alichokisomea zaidi ya kusoma na kuandika,,, yaani anaingia chuo ndiyo anachagua asome Course gani! Na anamaliza chuo anaenda kuwa mwanafunzi Tena wa Course aliyosomea apate uzoefu. Msimlaumu mkoloni akili yenu imelala sana.
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 года назад
Mkituletea Habari za watu kama Hawa jitaidini muwe mnatoa namba za simu🙏.
@daudmajama9428
@daudmajama9428 4 месяца назад
Hongera
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 8 месяцев назад
😂 mwabeja sana watanizangu wasukuma
@KoleYasini
@KoleYasini 3 месяца назад
Mpeleni NIT au nyumbu.
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 6 месяцев назад
Hongera sana wewe ndio Mwisraeli uliyepotea potea huko North Africa. Rudi kwenu Ulaya Mzee hapa bongo hutoboi. Great Thinker
@stephanSandika
@stephanSandika 4 месяца назад
Hivi ndy vitu vya kuposti
@huku_tz
@huku_tz 5 месяцев назад
Mzee yupo vizuri huyo
@mohamedleonard760
@mohamedleonard760 2 месяца назад
good
@J4UPro
@J4UPro 7 месяцев назад
Safi sana
@KoleYasini
@KoleYasini 3 месяца назад
Unga unga mwana..
@NanaMaembe
@NanaMaembe 2 месяца назад
VP WEWE MZEE UNAPATIKANAJE?
@petrombwelwa451
@petrombwelwa451 4 месяца назад
Naona namba yake ndipo code ilipo😂😂
@huku_tz
@huku_tz 5 месяцев назад
Tupe namba zake tumjue
@Worldunite
@Worldunite 7 месяцев назад
Waliosoma hawawezi ubunifu
@joelibethueli5408
@joelibethueli5408 2 года назад
Nambayakomzee tukupigie
@emmanuelanderson2344
@emmanuelanderson2344 5 месяцев назад
Nahitaji kupata namba ya cm ya huyu mmbunifu
@nsajimwasege68
@nsajimwasege68 10 месяцев назад
Wako wapi hawa watu? Kwa nini hamuwasaidii kuanzisha viwanda? kwani kuna tofauti gani ya trekta na gari hizi na vile tunaagiza nje? Waafrika tuanze kujiamini sasa,tuanze kuwaamini watu wetu,tuwawezeshe ndipo tutakuwa huru na kuheshimika duniani!
@elishamwita2276
@elishamwita2276 2 года назад
Sasa mbona namba aujaweka
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 7 месяцев назад
Unahitaji kumfahamu uyu jamaa mi nimekutana naye Ana kwa Ana Tatizo nikikupa namba yake itakuwa sio POA chakufanya Ni kumtaftia Ela ya smartphone ili aje store namba zake
Далее
Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki
4:00
ОНА БЫЛА ПЕВИЦЕЙ🤪
3:13:12
Просмотров 1,1 млн
KILIMO CHA TIKITI BILA MVUA KIKO HIVI
3:07
Просмотров 1,6 тыс.