Тёмный
No video :(

TAZAMA WASANII WA ZAMANI WA BONGO FLEVA WALIVYOJIKUMBUSHIA ENZI ZAO MBELE YA WAANDISHI WA HABARI 

Dar24 Media
Подписаться 727 тыс.
Просмотров 155 тыс.
50% 1

#Bongolegends #muziki
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Опубликовано:

 

8 апр 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 365   
@kishhilz5370
@kishhilz5370 2 года назад
Daah big up sana tanzania legendary artists we always remmbr u and love u🇹🇿💫💥👌
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 2 года назад
Noma sana legendary. Yaani sauti kama wimbo wa studio. Hakuna tofauti. Naomba tu hilo tamasha liandaliwe vizuri na sounds ziwe vizuri. Wasifanye blayback na watumie muda mwingi kuimba kuliko kusema "pega kelele" na kuwanyoshesha mikono watu.
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 года назад
Ukitaka liwe zuri snaaa wa watafute. Masta j.. NA p faki hapo itatisha sanaaa
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 2 года назад
@@user-po8hz7xw9j Hao wataenda kufanya nini?
@tedychijinga105
@tedychijinga105 2 года назад
Weweeeeeee
@pamilamussa2749
@pamilamussa2749 2 года назад
Picco ,,PNC, mbonakama vile bado wapya 💪💪💪💪💪 Walioweng bado Wanavipaji vyao vyazaman
@saimonpeter9189
@saimonpeter9189 2 года назад
Dah kweli kilikuwa na vipaji kweli
@kingwilliam1807
@kingwilliam1807 2 года назад
Wapya kabisa
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 2 года назад
Mpaka leo huwa nasikiliza nyimbo zenu,hizi zingine hazina nafasi
@asumaathuman6094
@asumaathuman6094 2 года назад
Adi lahaaa
@bedanchimbi4371
@bedanchimbi4371 2 года назад
Hawa ndio waliimba mziki, big up, hadi hivi sasa huwa nasikiliza nyimbo za zamani tu
@hamisilutungu7293
@hamisilutungu7293 2 года назад
Mko vizur sana wakongwe mmetulia Sanaa...nilitaman sana kumuona prof jay Mungu ampe uhau ligendary wetu....
@omarsalimmarjanmj1474
@omarsalimmarjanmj1474 2 года назад
the best of all times tbt ya kishua kikweli Tunawatambua had huku Kenya🇰🇪
@mohamedyally9912
@mohamedyally9912 2 года назад
Oyya awa jamaa kama unawakubali ttujuane
@williamkajala8005
@williamkajala8005 2 года назад
Big up, Mnanikumbusha Kitambo kidogo hua nikisikiliza hizi nyimbo najisikia Nasikilizia Muziki sio sasa Matusi kilakona, Mungu Awabariki Sana Muziki konk
@bugybuster5788
@bugybuster5788 2 года назад
Mziki wa zamani kweli.nyny ndy mmeufanya mpk umekubalika maana nikikumbuka kipind bongo flavour inaaza ulikua unaonekana mzik wa kiuni ingawa ulikua na Maudhui mema na maana kubwa xx huu mziki ungeanza kwa mfumo wa nyimbo za sasa usinge toboa kwa 7bb ya kujaa kwa matusi wazazi wasingekubali waimbe watt wao tunakubali nyimbo za leo kwa 7bb ya vinanda na bit lkn sio kufundisha mema unafundisha mabaya sanaa
@FrankBoozerFitnition
@FrankBoozerFitnition 2 года назад
This is LEGENDARY 🔥🔥💪💪
@devothasimbi1055
@devothasimbi1055 2 года назад
Nakupenda bibu kizee.chicha limemkolea hizo nyimbo zimenifurahisha sana ningekuwa bongo ningeshuhudia.
@bahatimalundi3593
@bahatimalundi3593 2 года назад
Acheni bangi mnaweza
@millangtonwillfred4451
@millangtonwillfred4451 2 года назад
Hizo nyimbo tulishawadanganishia watoto wakike Sana enzi hizo dah mmenikumbusha mbali sana
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 2 года назад
Legendary tunawahitaji na nitauzuria la msingi tujitokeze kusaport bongo fleva
@antonykhamati6387
@antonykhamati6387 2 года назад
Talent never fades!
@johnrichard5482
@johnrichard5482 2 года назад
👋👋👋Daaah Sio POA... I Wish Niwepo Kwa Kweli...✊✊ Old is Gold🎧🎤📻
@mussaharun7257
@mussaharun7257 2 года назад
Mziki haujaharibia nyakati imewakataa kwa sababu wengi wenu mlishindwa kwenda na hitaji la muda. Msipondee mziki wa sasa kwa sababu unafanywa na waliokuwa na mashabiki wenu. Tunawapenda sana na mnapojumuika na kuunda umoja mtafanya pia mashabiki tuamke na kuanza Kuja kwenye show zenu
@mduduonline8116
@mduduonline8116 2 года назад
PASHA saut mzur broh na EP yako inafanya poa #DEDE ni 🔥🔥🔥
@massgalinga165
@massgalinga165 2 года назад
Mambo
@christopherkimea8514
@christopherkimea8514 2 года назад
That's is the music ma pipooo!!!I can't wait 14-5-2022🔥🔥🔥🔥🔥
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 2 года назад
Solid ground family The best all the time.:- Muhogo mchungu kabeba mbuzi Ichi kipande kiliniuwa sana.
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 2 года назад
Wananikumbusha mbali sana hawa jamaa....walikuwa na mziki mzuri saaana hakukuwa na matusi wala nini.
@dinagod173
@dinagod173 2 года назад
Woooh wooh duuh mmenikumbusha mbalii sana ma legendary😍
@raphaelsikumbi5517
@raphaelsikumbi5517 2 года назад
Mmenikumbusha zamani du safi sana endeleeni kuwa wamoja
@Kijosh854
@Kijosh854 2 года назад
Dis is real music we wait for it coming soon 🔜legendary music
@mussamo545
@mussamo545 2 года назад
Dah Mnanikumbusha Primary School Asee Mziki Ulikuwa Mziki😄
@eliaikawilhelm3541
@eliaikawilhelm3541 2 года назад
Big up kwa malengendary wote nawakubali mpaka kesho🔥🔥🔥🔥🤸🤸
@landmadvd5795
@landmadvd5795 2 года назад
nakupenda san cctaa
@amosikondo778
@amosikondo778 2 года назад
Nomaaa sana I wish ninge kuwa tz
@janaakimu6171
@janaakimu6171 2 года назад
KEEp the good Music alive 🎻🎶🎻🎶 🎻🎻
@iamdjgunz1414
@iamdjgunz1414 2 года назад
Hii kitu nilikua nilikua naiwaza sanaa ije itokee siku moja. thaaanks God
@isayaenock1644
@isayaenock1644 2 года назад
Ouwoooooooh oooooooh kitambo sana love sana hii song
@husseisalimumaula3867
@husseisalimumaula3867 2 года назад
Huu ndio ulikua mziki saluti kwa malegenderi ni vyema sana
@yunusrnb5227
@yunusrnb5227 2 года назад
DAAH nmefurahi Sana,JAPO hzo nyimbo naziskia NILIKUWA shule ya msingi🤣
@hamisfufuru6294
@hamisfufuru6294 2 года назад
Mezi B Pinguna deso Dully sykes G Love Disco levels DJ venture,Bakai,Rang king,Steve B,John dilunga,Shirko,Enrico,na mika mwamba, Sunday shomari,abbu sadic ,seba Maganga, Disco la mbowe silent IN, Mjomba lindu,mjomba zafara Wapi KBC,Imamu Abasi, Jose mtambo,LWP,kindunbwendubwe FDC, MABAGA FRESH,PDP, Gangwe mob,Zaharan na suma G,uswailini matola,jimy jeshi,maxmalon Masoudmasoud, Msafiri Kondo,wateule nasongesha, Zey B,GK,proffesor jay,jay D, Unawasahau vipi Complex na Vivi,steve 2K,johnmjema ooooooooooooh mungu wangu namtoto wa dandu Wapo wengi wengi sana Stara thomas Banana zoro,neck bragers
@mesela1724
@mesela1724 2 года назад
Salamu za Amani
@muhammadrashid9645
@muhammadrashid9645 2 года назад
Mez b ametangulia RIP kwake mwana wa Dom
@rooniegraphics8469
@rooniegraphics8469 2 года назад
Kweli Kaka wapumzike salama wengne
@dilmosdewi5901
@dilmosdewi5901 Год назад
Gk mchizi wangu
@petergemela8316
@petergemela8316 2 года назад
Jaman hata kingilio naona km ndogo kwa show
@kevindon3863
@kevindon3863 2 года назад
Balaaaaaaa 💥💥💥💥💥💥💥,, 🔥🔥,, I wish ningekuwa dar
@matronafrank9838
@matronafrank9838 2 года назад
Mmefanya vizuri kk zangu nmewamiss sana
@denismakweba3870
@denismakweba3870 2 года назад
Duuuuh nilijua sauti ya Josline pekee kumbe ni wasanii wote,wanasikika bila filter! Hongera nyote nami nitakuwepo 14/05/2022 hpo
@giantechnology1160
@giantechnology1160 2 года назад
mm ni music producer sikufka apa bila kusikiliza tune zenu mwaka 1999,2001....2010 ninyi ni walim wangu napenda milichofanya na kujenga mpaka sasa kumekuas pakubwa sana bili ninyi mm nisingekua apa nawapenda sana na ni legancy kwa tanzania nawaheshm mno tuko pamoja tunakuja
@mtummoja6882
@mtummoja6882 2 года назад
Homgereni sana mmenikumbusha mbali
@rosekaiza2716
@rosekaiza2716 2 года назад
Nimefurahi sana jaman mmenikumbusha mbali sana mpaka nimelia kwa furaha!
@nuranzubail8134
@nuranzubail8134 2 года назад
Amalila gawe galiheihi
@louisbusingye743
@louisbusingye743 2 года назад
Bushi party. Daah! Shukran kunikumbusha. Mziki halisi uliopendwa na wote kwokote!
@Qqambaa
@Qqambaa 2 года назад
Mwenye hajui Hawa wasanii basi hajui muziki
@djgaswamitulingaeehog9196
@djgaswamitulingaeehog9196 2 года назад
Comment yangu inasema hivi waendelee hawa walikuwa na mziki wao wenye ubunifu wao Sasa hivi watu wanafanya miziki ya watu haileti picha nzuri tz kwa nini wasouth na wanaigeria wasiige mziki wetu hawa wasanii wapya wabadirike hawa wa zamani ni mfano wa kuigwa
@abubakarnyere1792
@abubakarnyere1792 2 года назад
Daah kumbe mpogo aisee , nouma sana
@diwanikatayankonko2671
@diwanikatayankonko2671 2 года назад
Ooooh tamu sana itakuwa hii..kawafundisheni madogo utam wa Bongo flavour
@fredykyando1977
@fredykyando1977 2 года назад
Mngetembea nchi nzima bado mziki mzri ni wenu huu wa sasa unazingua kinoma.
@josephjohnmagesa8256
@josephjohnmagesa8256 2 года назад
PNC 💯pasha Yuko vilevile
@mselemkombo4834
@mselemkombo4834 2 года назад
Daaaa nimejikuta nakosa la kusema nimekumbuka mbali sana
@mkangyailutashaggy7207
@mkangyailutashaggy7207 2 года назад
Nyie ndo mlikuwa najua, zaman hizo hakun kuchez na hela za mama zetu
@davidbahati3748
@davidbahati3748 2 года назад
Pasha pasha pasha , pico pico pico Sound ground family wimbo wao wa happy Birthday utaishi milele na milele
@yayananajota5838
@yayananajota5838 2 года назад
I do remember all this guys in tz thos days, 🤔🇰🇾
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 2 года назад
Tume wamiss sana vimiziki vya sasa havieleweki havina ujumbe mfike na mikoani wa jameni
@sentitanomiseyeki8544
@sentitanomiseyeki8544 3 месяца назад
Nakubali ❤
@anitherjustine6802
@anitherjustine6802 2 года назад
Hawa ndio wasanii sasa sauti nzuri sana big up
@redstararoni6633
@redstararoni6633 2 года назад
Nakupali wasani wazamani sana wazinikuhimba apenda amini sana azindi kuhimba ndofurayangu
@japhetjohnson8493
@japhetjohnson8493 2 года назад
unyama saanaa aisee'' mlikuwa mnaumiza sanaa aiseee daaaah💪💪💪
@agnesmbukilo1197
@agnesmbukilo1197 2 года назад
Jamaniiii Hadi raha
@sharifarashidy1721
@sharifarashidy1721 2 года назад
Aisee ni nomaaaa.
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 2 года назад
Jaman naomba Mungu ningekuwwpo dar mbn ningekuja Mana nyimbo zote taaam🥰🥰🙏
@mwanamkuuhamza3219
@mwanamkuuhamza3219 2 года назад
Noma maze
@greysonjohn9778
@greysonjohn9778 2 года назад
Hongereni mnatakiwa mzunguke mikoani mtapata kitu kizuri na washabiki tutapata kitu kizuri
@chamijoseph9344
@chamijoseph9344 2 года назад
Hii ndiyo bongo fleva ya kweli achana na kina naniiii sijamtaja mtu mie.
@philippoh5765
@philippoh5765 2 года назад
Tatizo lenu wakongwe new generation wana appreciate mlichokifanya ila nyie mkipata nafasi ni kuponda tu kizazi kipya mnafel
@janetnadauson2988
@janetnadauson2988 2 года назад
Aise nyie ninoma mungu awaweke wote nawambea uzima mkovizuri zakale nidhaabu mungu awabarik natamani mrudi Tena jaman🙏
@aishahusseni3352
@aishahusseni3352 2 года назад
Nawpenda sana jamani nimefurahi sana dah izo ndio nyimbo nzuri
@giftgerard2846
@giftgerard2846 2 года назад
Oya wanajua kinoma ooooh my g can't wait
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 2 года назад
Aisee wamenikumbusha mbali sana kipindi hicho nasoma secondary daftari nilikuwa nalijaza mistari ya nyimbo
@patrickKitambo
@patrickKitambo 2 года назад
Wabongo wanaakili sana ni serikal tu ndo hatuna
@beatricshadrack321
@beatricshadrack321 2 года назад
Hatariiiiiiiii nitakuja, muziki ulikua zamani jamani
@remygiusalfred9106
@remygiusalfred9106 2 года назад
Safi aise
@kenyancontent2546
@kenyancontent2546 2 года назад
Fire
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 2 года назад
Mmetisha mpaka nimejikuta nasasahau kama kunawasanii wengine kma akina mond ,
@jbabajabir2000
@jbabajabir2000 2 года назад
Ebana Pico ni noma Sana Nyie ambao hamuelewi ni watoto wajuzi kausheni
@emmanuelsteven5707
@emmanuelsteven5707 2 года назад
Nimekubali sana
@joycembepera4607
@joycembepera4607 2 года назад
Firee
@mwanamkuuhamza3219
@mwanamkuuhamza3219 2 года назад
Tumekubali
@berthamatinde5088
@berthamatinde5088 2 года назад
Mnanikumbusha vitu vizuri...nice
@pascalntandu1217
@pascalntandu1217 2 года назад
Ahsante, mmenikumbusha mbali acha tu.
@ismailjuma1452
@ismailjuma1452 2 года назад
Nimependa tuu Kwa kweli mpk machozi yamenitoka enzi hizo Diamond Jubilee nilikuwa sikosi kwa kweli
@simplissamba1943
@simplissamba1943 2 года назад
My artist ni pasha, joslini, pnc, pico n.k ila sijaskia kiingilio jmn
@rosendauka128
@rosendauka128 2 года назад
Kiingilio very cheap 5000tsh .....sikawahi hudhuria matamasha ila hii nitakwenda
@edithajoseph1789
@edithajoseph1789 2 года назад
Long time nikiwa na mtoto mmoja
@kamaromatiri5038
@kamaromatiri5038 2 года назад
A hatanamimi ningekuwa nikokaribu ningehuthuriya tamashahilo kbs maana hizondio nyimbo sahihi zenye latha
@irenemcha2569
@irenemcha2569 2 года назад
Jamaani mludi tena kah mziki wa zamani ilikuwa mnzuri sana.
@sandalalutubija235
@sandalalutubija235 2 года назад
Jaman nimependa sana mtu akizalau mziki wazaman bas fanya uzalau pia umli wa wakubwazako
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
I wish ningekuwa bongo🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
@mamaspapasrehabcenter
@mamaspapasrehabcenter 2 года назад
Pole mamy..🙏🤒
@user-dz2rr8hh2d
@user-dz2rr8hh2d 3 месяца назад
Jamani adila nikumbuka nilikua naibiwa na mchumba wangu nitimpenzi ya josilin
@mnhamaproducer4987
@mnhamaproducer4987 2 года назад
Amina nakukubali sana
@octavianiburuno5645
@octavianiburuno5645 2 года назад
nimependa sana
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 2 года назад
Kiingilio Cha elf5 ni Kigodo sana Kwa sauti za dhahabu kama hizi.
@kulwakajoro3047
@kulwakajoro3047 2 года назад
Amazing sanaaaaaa
@bahathmuro7145
@bahathmuro7145 2 года назад
Kiukweli nimejickia raha sana sana sana sana sana sana sana sana sana nkikumbuka enzi za dedication
@winydavid9373
@winydavid9373 2 года назад
Amazing sanaaaa
@nashongwanko910
@nashongwanko910 2 года назад
Daaaah mpaka nasisimkaaaa
@estomiailomo7844
@estomiailomo7844 2 года назад
Ningewashauli mtembee inchi nzima ingekuwa powa Sana mngeludisha mashabiki wenu kwani mziki wenu unaelimisha na kubuludisha
@sefuramadhani3372
@sefuramadhani3372 2 года назад
Kazi mmefanya kubwa sana ongera kwenu mziki ulikuwa zamani sasa hivi nimatusi tu
@massgalinga165
@massgalinga165 2 года назад
Noma san
@msemakweli371
@msemakweli371 2 года назад
Fanyeni Live Music with Band Lkn mkipanda CD mtajishusha wazee
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 7 месяцев назад
#wasanii wazamani mulikua vizul sema ndio lvo kila kitu nawakati wake
@oscarpelesi18
@oscarpelesi18 2 года назад
Hawa ndiyo walikuwa wanaimba na ndiyo walipasua pori la kufanya muziki huu ukubalike bongo!
Далее
Classic Italian Pasta Dog
00:20
Просмотров 1,1 млн
HAWA NDO WASANII WASOMI ZAIDI TZ! DIAMOND JE?
12:23
Просмотров 432 тыс.
CHEKESHA : MTANGA YAMEMKUTA NA WATOTO WA MJINI
14:17
Просмотров 137 тыс.
WIKI 10 ZA MAANGAMIZI : BOSHOO NINJA NA NYENZA EMCEE
14:14
Classic Italian Pasta Dog
00:20
Просмотров 1,1 млн