Тёмный

TENDO (Part 1) latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE | Filamu za Adam Leo 

Adam Leo Studios
Подписаться 148 тыс.
Просмотров 250 тыс.
50% 1

#Tendo #bongomovie #FilamuYaTendo ni filamu inayoelezea maisha halisi na changamoto wanazopitia wanandoa pale wanapokosa mawasiliano katika mambo muhimu yahusuyo Tendo la ndoa,.
Ni filamu nzuri yenye kuelimisha na kuburudisha pia! Usiche ku Subscribe baada ya kuitazama.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 367   
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Kuitazama muendelezo wa filamu hii bonyeza hapa mbele ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-wg8jWvVbYSE.html
@yangbabu
@yangbabu Год назад
Unajuwa kitu kaka yangu baadhi ya watu watona km iyo filamu niyakawaida tu watona kama hayo mambo yako kila siku niyakawaida lakini kitu ambacho mimi nimezingatiya hapo nikwamba yananikumbusha kuwa makini sana Na ndoa yangu yani ni ukumbusho kabisa yani filamu zako zinanikumbushaga sana kuwa makini Na kuchukuwa maamuzi sahihi ✌️Big UP sana bro.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Mungu akubariki na ailinde ndo yako.🙏
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Na ailinde ndoa yake.
@فاطمهكينيا-ذ8ش
@فاطمهكينيا-ذ8ش Месяц назад
Tafuta pesa kwanza mapenzi badaee
@ChristineNeema-u5j
@ChristineNeema-u5j Год назад
Hongereni nyote,hii filamu inamafunzo pia inafundisha tuchunge na marafiki ama mtu yoyote yule kwani sio wote wenye ushauri mzuri ..
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Kabisa kabisa.
@BrianKipngetich-e3q
@BrianKipngetich-e3q 2 месяца назад
Lo❤❤❤❤ the way you people doing great work
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 месяца назад
Thank you so much 😀
@BintiHassan-s1l
@BintiHassan-s1l 9 месяцев назад
Adam movie zko poa sana waweza babaaaa
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 месяцев назад
Shukrani sanaaa
@rehemshehoz8704
@rehemshehoz8704 Год назад
Adamu leo kapatikan 😂😂unavyopenda haya mambo leo hayako kbs akilini mwako sema nin nakukubal rafk angu 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Shukrani sana aisee, barikiwa!
@MohammedRidhiwan
@MohammedRidhiwan Год назад
Dah!!!!! Ww Adam lait ukimfariji mwenzako huenda mungu akafungua riski zako zaid ya unav fkiria, hem tenda km kwel rijaaal!!¡
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Sawa mkuu nitafanya hivyoo.
@mwanalimasaid2368
@mwanalimasaid2368 Год назад
Aisee Adam upewe mauwa yako tuu🌹🌷umeweza mtu wangu nakpnda bure❤🥰😍
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Shukrani mno🙏
@silaokal2074
@silaokal2074 Месяц назад
Mwanamme ni mapambo na mapenzi tu Adam!
@silaokal2074
@silaokal2074 Месяц назад
Mwanamke!
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 дней назад
Aisee sawa
@QueenJoseph-c6w
@QueenJoseph-c6w 8 месяцев назад
Nakukubari Sana mngon hunaga show mbovu
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 8 месяцев назад
Asante sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 8 месяцев назад
Asante
@janetymwakupha4784
@janetymwakupha4784 Год назад
Adam leo mwana mke anataka haki yake mpe bana 👑💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥😘
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Nimechoa kaka😂
@FestorMahika-mp7mu
@FestorMahika-mp7mu 4 месяца назад
Adamu hongera sana kaka💖💐💐💐💐💐🇨🇰
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 4 месяца назад
Asante
@CalebBabwanga
@CalebBabwanga 5 дней назад
Adam hadi umeweka nyimbo ya Gospel 😊😮
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 4 дня назад
😂
@ZuriathRajai
@ZuriathRajai 3 месяца назад
Adam uko vizur kaz zako nzur sana mungu aibaliki kaz ya mikono yako
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 3 месяца назад
Amen
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Год назад
Kwanza Pesa . Mapenzi Badae lovely
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Umeona ehh..
@AMOSIHAMISI-o4z
@AMOSIHAMISI-o4z 2 месяца назад
Mupe haki yaki hataki maisha mzuri
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 месяца назад
Yaani
@AhmedNado-z3v
@AhmedNado-z3v Год назад
Nitumie video kali za kizungu❤😮
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Kutoka wapi
@PascaliaKatawanya
@PascaliaKatawanya Год назад
Kazi nzuri bro🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Shukrani
@leylahkhassim-sy5vv
@leylahkhassim-sy5vv Год назад
Kazi nzuri
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asante sana.
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 3 месяца назад
Maelewano ndani ya ndoa hufungua milango ya riziki 😂❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 3 месяца назад
Ni kweli
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 Год назад
Wanawake . Tunachakujifunza hapa❤👏👏👏👏❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asante kwa kuliona hilo.🙏
@khadijak-f7n
@khadijak-f7n 10 месяцев назад
Saw kabsa Adam
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 месяцев назад
Sawaa
@LydiaGervas-q5m
@LydiaGervas-q5m 8 месяцев назад
Movie zako sichok kuzitazama❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 8 месяцев назад
Shukrani
@emillynatecho1252
@emillynatecho1252 Год назад
Mwanamke hataki maisha mazuri 😂😂 Bora tu umpe Haki yke
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Dah kweli aisee.
@AminaAssii-o3f
@AminaAssii-o3f 9 месяцев назад
Mi nataka Ile hamu Ile zuri balaa
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 месяцев назад
Shukrani
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 3 месяца назад
Pole sharife❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 3 месяца назад
Asante
@margymbeyu
@margymbeyu Год назад
Nzuri tu sana usikawie kutuwekea part 2
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Haya tunaiweka fasta tu
@yangbabu
@yangbabu Год назад
Bwana weee! Adam izi siku zote ulikuwa wapi tumekuwa wanyonge sana tumepowa
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Nimerudi sasa mtafaidi.
@nasranasrasaleh-eg9rv
@nasranasrasaleh-eg9rv Год назад
@@AdamLeoStudios hongera sana bro ❤
@emanuelyakon8945
@emanuelyakon8945 Год назад
ni moto adam napenda move zako sana hainipiti jamani
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Shukrani Emma
@mayarashidi2765
@mayarashidi2765 Год назад
Kazi mnzuri sana ongereni
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asante sana, enjoy sehemu ya 2 ipo tayari.
@SharifaHuseni-qs1me
@SharifaHuseni-qs1me 2 месяца назад
Huo ushauri utadondokea pua broo Adamu huyo rafk ako mshenzi tyu ushaur gan
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 месяца назад
Umeona eh!
@SharifaHuseni-qs1me
@SharifaHuseni-qs1me 2 месяца назад
Atar sana
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 3 месяца назад
Duuh huo ushaur noma
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 3 месяца назад
Nomaah
@monicamsile2284
@monicamsile2284 Год назад
Safi sana adam,nimewahi leo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Enjoy usiache ku share watu wajifunze.
@gseh9277
@gseh9277 Год назад
MAMBO NI MOTROOOOO❤❤❤❤ILA SAFARI HII UMETUEKEA WAPAKA MIKOROGO😂😂😂TULETEEE SALMA BWANA
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Salma anakuja
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Год назад
Hahaha hahaha 🤣🤣🤣
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Год назад
Dada unaua mume mtengee chakula mpe maneno mazuri uone kama penzi utopata 😂😂😂 kuingia tu penzi waaa
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Год назад
Na wewe adamu mpe mwenzio haki yake werawera😂😂😂😂😂
@mamaaanmar1261
@mamaaanmar1261 10 месяцев назад
We adamu. Sokwaku koromahuko. Embu mwenzio. Utamu. Bwana. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 месяцев назад
Hahaha dah aisee
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 3 месяца назад
Ngoja tuone matokeo number 2😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 3 месяца назад
Ipo tayari
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 3 месяца назад
❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 3 месяца назад
🫶
@Ambaryeh
@Ambaryeh Год назад
Kazi mzuri sana🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Shukrani sana
@Purityke-pt6lu
@Purityke-pt6lu Год назад
Adam unaweza sana 🔥🔥🔥
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asante sana
@AhmedNado-z3v
@AhmedNado-z3v Год назад
Tuletee movie kali bs
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Sawa sawa!
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb Год назад
Adam ❤❤❤🔥🔥🔥unaweza sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asante sana🙏🙏🙏
@HunterObey
@HunterObey Год назад
Great 👍👍👍🏿
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Thanks
@KangaiCarolyne
@KangaiCarolyne Год назад
Ushauri wako baya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asante
@sharifahemed6328
@sharifahemed6328 Год назад
Jaman kaka adam mpe furaha wajna wangu suala la umaskin au kufukuzwa kazi haliusian na mapenzi yy kakupenda na hali ulokuwepo nayo mpe furaha wajna wangu😊
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Hahaha mimi nimechoka sasa.
@DorcusLyambilo-ks5fp
@DorcusLyambilo-ks5fp Год назад
Mziki nmependa
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asante sana🙏🙏
@AhmedNado-z3v
@AhmedNado-z3v Год назад
Nitumie video kali za kizungu
@agnethanyaulingo
@agnethanyaulingo Год назад
Mhhhhh huyo rafik jamani hafai
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Umeona eh😂
@rebeccazagabe
@rebeccazagabe 4 месяца назад
😂😂 mbavu zangu miye 😂 uyu dd haki ya mungu ana jini mahaba si bure 😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 4 месяца назад
Jamani😁
@HumphreyAnaya-bb7xf
@HumphreyAnaya-bb7xf Год назад
Daaar
@emmyyussuf9234
@emmyyussuf9234 Год назад
Nzury xanaaa❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asante sanaaa🙏🙏🙏🙏🧡🧡
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 Год назад
Hahaha kazi nzri
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asante sana aisee
@hosianarichard8084
@hosianarichard8084 Год назад
Unanikosha kaka namna tu unavyoongea yani daaah najisikia raha, chukua maua yako 🌹🌹🌹🌹
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Shukrani nayachukua🙏🙏
@AlsoAlso-mq3pu
@AlsoAlso-mq3pu 9 месяцев назад
😂ukiomba,ushauri kwamtu,unayemwamini anakupotosha badala,yakukushauri jema
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 месяцев назад
Kweli kabisaa
@ChristineNeema-u5j
@ChristineNeema-u5j Год назад
Hasa mtu ambaye hajawahi kuingia kwenye ndoa huyu hawezi kukupa ushauri mzuri mara nyingi watu kama Hawa wanakupotosha kwa njia m'baya hasa kama ww si mtu wa kufikiri kwa nn amesema hivi wanakunasa kwa kutofikiria kwako❤️❤️❤️👏👏
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Umeona eh, umeongea kweli kabisa.
@ChristineNeema-u5j
@ChristineNeema-u5j Год назад
🙏
@EmJesho
@EmJesho 9 месяцев назад
😂😂😂😂 et kula ayo mapenzi jamani, lakini unakosea mnyandue arizike
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 месяцев назад
Hahahha daah
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 Год назад
Daaah jmn ulikua umepotelea wap Adam hadi kidogo nikate tamaa big up san walai😘😘
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Usikate tamaa, nipo na tupo m1.
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 Год назад
@@AdamLeoStudios❤️❤️😘
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
🧡🧡
@SofiaKazungu
@SofiaKazungu 9 месяцев назад
Nice work Adam much love from saudia Arabia really appreciate ❤❤❤🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 месяцев назад
Thank you 🙌
@HassanGuro-c9n
@HassanGuro-c9n 8 месяцев назад
❤kunywa maziwa yake❤😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 8 месяцев назад
Jamani😂😂😂
@AbdallahMalunga
@AbdallahMalunga 26 дней назад
Mpe haki yake kwanza ndo muanze kuzungumzia maisha yenu vizuri maana hawanaga subira wengine.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 дней назад
Kabisa aisee
@mayarashidi2765
@mayarashidi2765 Год назад
Kazi.mnzuri jamani
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asantee
@saum9697
@saum9697 11 месяцев назад
Nilikuwa napenda Sana kuangalia michezo yakizamani lkn skuiz Adam umeniteka😊asante
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 месяцев назад
Endelea ku enjoy🙏
@mwavitaiteriteka5065
@mwavitaiteriteka5065 Год назад
Uyo dem atakua anajin mahaba mmh mda wot anatak 😂😂😂yan hat swala la kufukuzwa kazi hajali
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Kila mtu anajali lake.😂
@SharifAbdullah-nm1ik
@SharifAbdullah-nm1ik 8 месяцев назад
Kumbe wanaume nao wananyima du
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 8 месяцев назад
Yaani acha kabisa
@AminaAssii-o3f
@AminaAssii-o3f 9 месяцев назад
Huyo rafiki hafai ni muislamu jina huyooóoo😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 месяцев назад
Umeona eh
@ngumbaohalimah65
@ngumbaohalimah65 Год назад
Tendo iko motroo❤❤❤ Adam vp slay danga iliishaa ama😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Itaendelea.
@mwanamgenimohammed7904
@mwanamgenimohammed7904 Год назад
Tumekumiss Adam 😘😘
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Nimerudi jamani endeleeni ku enjoy🙏
@halemamoon1782
@halemamoon1782 Год назад
Da pili hongera sana...sa huo ndo ushauri gan jmn😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Hahahah Pili miyeyusho😂
@rosefredy5398
@rosefredy5398 Год назад
Nilikumisi kaka adamu
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Nipo na mtaendelea ku enjoy.
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 3 месяца назад
Yatamsaidia kiafyaa😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 3 месяца назад
Ni kweli
@IbrahimmbarukKhamis
@IbrahimmbarukKhamis Год назад
Duh!hata mm pia adamu nisinge kubali walahi😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Umeona eh...!!!
@ghatikulwa
@ghatikulwa Год назад
Kaz nzur sana ila usituweke sana kaka
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Sawa sasahv siwaweki sana tena.
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Год назад
Yani ukovinzuli na kaziyako nafuraia Sana filam zako ongera kwa KAZI mzuli
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Shukrani sana
@mussapaulpaul
@mussapaulpaul Год назад
Move zurisana rakini mumejitahid 😅😅
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asante sana mno
@NurathAlly-c1c
@NurathAlly-c1c Год назад
Peter miyeyusho sana Yani unamshauri Adam atafute demu mwenye kishundu..😂😂 Dah..!! Kweli ushikwambi unaweza 😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Hahaha peter miyeyusho kwelk
@NuruMwakalas
@NuruMwakalas 11 месяцев назад
Ana kelele ka nguruwe
@saidiabdalahshabani941
@saidiabdalahshabani941 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂m sna chakuongea zaid yakuflahi2
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Shukrani sana endelea ku enjoy🧡
@sakiladuba551
@sakiladuba551 Год назад
Nice movie
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Thanks
@VerônicaBonefacioCosmeCosme
@VerônicaBonefacioCosmeCosme 9 месяцев назад
Mimi ndomaana sifagilii lafiki wa mumewangu
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 месяцев назад
Umeona eh😂
@user-Jaymoh
@user-Jaymoh Год назад
Bana mwachie ajichukulie basi🤣🤣🙈
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Eti eh
@ireneedwin37
@ireneedwin37 Год назад
Ujawai kukosea bro❤️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Shukrani sana
@anethwilliam1526
@anethwilliam1526 Год назад
Nzuli mwendelezo naomba
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Muendelezo upo tayari, andika TENDO 2 utaiona.
@brianntahena4216
@brianntahena4216 Год назад
Hujawai kosea🔥😍
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asante sana
@WakufaSalumu
@WakufaSalumu Год назад
Tayari
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asante.
@frolahdontefa6221
@frolahdontefa6221 Год назад
Aisee ni hatar sana kwakwel
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Nomaa
@halimaali3719
@halimaali3719 Год назад
😅😅😅😅😅😅m jamani kweli adam mimi halima 🇰🇪 kenya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Hahaha jamani Halima
@RaymondlucasSamson-ei7lx
@RaymondlucasSamson-ei7lx Год назад
Good
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Thanks
@josephsaruni31
@josephsaruni31 Год назад
Congratulations bro kazi nzuri
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Shukrani mno.
@Farthun
@Farthun Год назад
Adam bwana sasa kukoroma huko hata mm nimeshtuka jmni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ila hongera sana nilikumiss kwel
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Hahahha huo mkoromo nomaaa😂😂asante jamani mwenyewe huwa nawamiss pia🙏🙏🙏
@Farthun
@Farthun Год назад
@@AdamLeoStudios pamoja sana 🫂🫂🫂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Poa mkuu
@hadijarashidhamisi2207
@hadijarashidhamisi2207 Год назад
Adam leo 💞🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🔥👍penda iyo xana ilaa ......
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Shukrani🧡🧡🧡
@AhmedNado-z3v
@AhmedNado-z3v Год назад
Yeah iliotafsiriwa
@AhmedNado-z3v
@AhmedNado-z3v Год назад
Hongera sn ❤ movie nzr dear
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
@@AhmedNado-z3v shukrani sana🙏🙏
@agnethanyaulingo
@agnethanyaulingo Год назад
Huyu dada chupa imeamka na chai
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Hahahah haelewi wala haoni😂😂
@cresensiabraiton2249
@cresensiabraiton2249 Год назад
Hatakama kuchoka ndo ulalaji gani huo Adam🤣🤣kutupigia tuu kelele
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Hahahahah jamani nimechoka na kazi mwenzenu😂
@sylvia3999
@sylvia3999 Год назад
😂😂😂😂 Adam ningekuwa mmmmh 😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Ungefanyeje..
@sylvia3999
@sylvia3999 Год назад
@@AdamLeoStudios utakula kwa lazima
@KalistaEdward
@KalistaEdward Год назад
Hakuna anaye jua kuwamwenzake anampenda kias gan mungu Alifa nya siri 30:00
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Kabisaa yani
@jeanclaudekamanzi9678
@jeanclaudekamanzi9678 Год назад
Ebwana weee Unatisha Adam maana hako kawimbo ka kifaransa uloweka ndani hapo umenikumbusha mbali from 1:03 to 3:00. Nimekumbuka mbali aisee afu kitu kingine haunaga mba mba mba movies zako zote ni somo tosha!!! Hongera sana Adam endelea kutuburudisha?
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Shukrani mno🙏
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Год назад
Jamani Adam Mimi ningekupa pesa hili kufuta mawazoyako nipate kufikia kileleni
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Jamani jamani
@grice2075
@grice2075 Год назад
Adam bwana acha masiara mwenjio anahamu n ww 😅😅😅
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Mimi nimechoka😂😂
@josephsaruni31
@josephsaruni31 Год назад
Bro vipi Tunangoja Batuli part 2
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Poa poa mkuu, tukiitoa tutawapa taarifa.🙏🙏
@RehemaSaidi-ve1ib
@RehemaSaidi-ve1ib 8 месяцев назад
Adam ndoa zote zipo ivo cha muhimu ni kujitahidi kwa mkeo kazi isiwe sababu kwan yote ni majukumu yako kama mume
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 8 месяцев назад
Shukrani kwa ushauri dada🙏🏻🙏🏻
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Год назад
Mwanaume kama anapesa firingi za isia na mke zinapotea wanawakewengi awalijui Hilo pole adam
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Asante sana
@bahatikishiwa5955
@bahatikishiwa5955 Год назад
Adam mpelekee motohuyo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Год назад
Nimechoka na mambo ya kazi jamani😂
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 Год назад
Mapenzi ndio kila kitu
@KimutaiBett-gx3jh
@KimutaiBett-gx3jh 2 месяца назад
Magaindi. Xna wanawake
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 2 месяца назад
Acha kabisaa
Далее
SAKINA 2 - Latest Swahili Movie | Adam Leo | Bongo Movie
1:11:37
SAKINA - Latest Swahili Movie | Adam Leo | Bongo Movie
1:00:11
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 948 тыс.
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
Просмотров 5 млн
MUUZA KANDORO - OFFICIAL FILM EP 05
15:10
Просмотров 1,3 тыс.
MSAKO | FULL MOVIE |
1:08:44
Просмотров 198 тыс.
TETE (Official Swahili/Bongo Movie)
1:02:07
Просмотров 274 тыс.
JOTO | FULL MOVIE
58:49
Просмотров 135 тыс.
DADA WA KAZI MCHAWI (full movie)
1:00:37
Просмотров 1,1 млн
MAPENZI YANAUMA | Full Movie
42:04
Просмотров 160 тыс.
FIRST LOVE FULL MOVIE
1:18:03
Просмотров 1,1 млн