hellow!!!wellcome to my official youtube channel CHANDE ENTERTAINMENTS CHANNEL....HERE YOU WILL SEE ALL MY MOVIES,BONGO MOVIE TANZANIAN MOVIES....THANK YOU
Kaka mie nishabiki wako wanguvu sana nafatilia sana Kaz zako lakini kaka shida ipo sehemu Moja . Ipo kwenye "Ending " nihapo tu kaka ending Bado inachangamoto kaka
@@tinnyboy8105we vipi alo sema twaongelea kuhusu mziki apa ni nan😏kma auna cha kucomment pita kma aujui cha kuandika we vipi kma ujui tunajikuta nani basi endelea kutuongea vibaya kma autaki tuangalie move za tanzania tafuteni mahali mzikeke kwa block wakenya wasiangalie mpka izo nyimbo zenu😏😏
Ucjial mungu ana sababu naww na yupo pmj naww nakuombea Sana Kama unatoa song na message Kama hii kwji yetu eeee mwenyezi mungu akulinde kwaji yetu na family yako🤲🤲🤲😭😭😭😭😭😭😭
Heshima ni pesa tu hakuna kingine nisingependa kuwa.mnyonge hata siku 1 hata kam sina. Ela mm najiamin kuzitafuta najua ila apo kweny dharau hapan punguzeni dharau nyie wanawake wenye pesa
Napenda movie zako ila uyo mwezake amesema vibaya sana eti wanawake nikama buzi wana wake atufanane piya wanahume awafanane pote kuna wabaya wasiyo jihelewa na pote piya kuna wazuri wanaho jihelewa
Huyu demu aliemsaliti Chande performance yke n mbovu sn yan bado anahitaji waalimu wamfunze namna ya kuigiza, muangalie Chande na uyo Haji Adam wanaigiza ila unaona km n uhalisia na c maigizo ila uyu demu bado sn na hata huyo mwanawe Haji Adam pia performance yke sio nzuri sn by the way good job just pull up ya socks🧦 🎉🎉🎉
Hemedi chande nakupenda sana vile ambavyo unaiigiza kaka safi sana🎉❤❤❤ love you upo romantiki love na jamii inajifunza mengi kupitia nyie mfike mbali sana. ❤❤❤