Тёмный
No video :(

Tgun Tozzy - Awarudisha watu kwenye Ndoto Katika Listerning Party 

TGUN TOZZY
Подписаться 27 тыс.
Просмотров 446 тыс.
50% 1

Listerning part of Ndotoni (Kwenye Ndoto)song that writened and perfomed by Tgun Tozzy,
This is the perfomance f Bongo star search Compitition
‪@TGUNTOZZY‬
Catch Up With Tgun Tozzy on:
Instagram:tgun_tozzy
TikTok:Tgun_Tozzy
Facebook:Tgun Tozzy

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 622   
@graciouskazuri2327
@graciouskazuri2327 Год назад
Ni wangapi wamerudilia hii nyimbo mara 100 tukutane kwa likes...song 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯💯💯🔥
@aboudjuma523
@aboudjuma523 Год назад
Mie nadhan mpaka Sasa ni more than 100😁
@sadikiibrahim3517
@sadikiibrahim3517 Год назад
Mm mara yote lakini kwenye ndoto😂,likes muhim Cana🔥
@stellajoseph9334
@stellajoseph9334 Год назад
Mie mmoja wapo
@hamisaadam7358
@hamisaadam7358 Год назад
Uongoooo ni uongoooo
@fatmajuma2400
@fatmajuma2400 Год назад
Yaan me nmeirudia ad basi, anajua Kwa kweli
@HamisiKisime-or9jz
@HamisiKisime-or9jz 9 месяцев назад
Dah, e bwana eeeeh!
@djkiin2544
@djkiin2544 Год назад
Nomaaaaa saaaana,,,,,,, nimekubali huyu mwana,,,,, achia like kama umependa
@Kilifianoxy254
@Kilifianoxy254 10 месяцев назад
🔥🔥Love from +254
@user-bk4lc6sq8t
@user-bk4lc6sq8t 9 месяцев назад
❤❤pomoja sana
@bahatiunami3526
@bahatiunami3526 10 месяцев назад
Jamaa anajua jamani
@ZawadicharlesCharles-oc8po
@ZawadicharlesCharles-oc8po 8 месяцев назад
Nice sana😂😂😂
@user-lr6tq6ed8i
@user-lr6tq6ed8i 9 месяцев назад
Umetisha broo
@arolamuganyizi5972
@arolamuganyizi5972 7 месяцев назад
Unatisha sana tgun
@veronicanywage8717
@veronicanywage8717 9 месяцев назад
Ur so smart wish u more prosperity
@jumasiri1537
@jumasiri1537 8 месяцев назад
😊sna bro nimewea
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 10 месяцев назад
Big up tu sn 🎉❤❤❤
@labanirungu
@labanirungu Год назад
Uyu chalii n kwere.anaua mbaya
@shamimlinda6849
@shamimlinda6849 8 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤ your talented
@salimamleci2834
@salimamleci2834 9 месяцев назад
Much love madame Ritha
@masterbosco8781
@masterbosco8781 Год назад
Mdogo wangu TGun umeua sana mwamba sema kiukweli wewe ndio Icon ya sumbawanga.
@zilfazizou6107
@zilfazizou6107 Год назад
Namfagilia kbs mciz wangu ngoma kal sana
@lightnessgirangai8007
@lightnessgirangai8007 Год назад
We ndy mshindi wa bss walikufanyia fitna tu
@aminaasia-jl8fk
@aminaasia-jl8fk 10 месяцев назад
Minamuona viwango vingine
@ibrahimwaswa3995
@ibrahimwaswa3995 Год назад
Nimerudia mara elfu Moja na bado sitosheki kusikia hii wimbo,,,,TGUN nakukubali sana.. watch you from Kenya
@user-lv5jd3xn7e
@user-lv5jd3xn7e 7 месяцев назад
2024 wangapi tuko hapa🔥🔥🔥
@mahuvesebastian1916
@mahuvesebastian1916 Год назад
Nimesikiliza zaidi ya mara 3 nice song.....kwenye ndoto hiyo song nimekuandikia mimi
@RehemaMwaim
@RehemaMwaim 10 дней назад
Tukutane kwenye ndoto ❤
@directorwizard7310
@directorwizard7310 Год назад
Nina zawadi yako ukija home Swax nafurahi sana kuona Swax tumepata mwakilishi ambae ana represent vyema Swax God Bless you brother
@TGUNTOZZY
@TGUNTOZZY Год назад
Seen brother😂😁
@husseinsony9964
@husseinsony9964 Год назад
Naagalia hii hki kipindi Kwa ajiliyako dongo nkukubali San from Kenya 254
@SalomeBeforemhelela-tf3ru
@SalomeBeforemhelela-tf3ru 5 месяцев назад
❤❤❤hongera Sana brothar
@christianngao5608
@christianngao5608 Год назад
Tisha sana dogo namkubali huyuuu
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 Год назад
Sio sili anaimba nimeludia mala kaza daah mwaaaaaaaaaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@robertndumis2278
@robertndumis2278 Год назад
More love from 🇰🇪 Mwana FA uko wapi ndo huyu dogo hapa amekuwakilisha
@eunicesemanuel7895
@eunicesemanuel7895 Год назад
Kaza mwanangu umeshatoboa teali
@ibrahimdaniel3953
@ibrahimdaniel3953 Год назад
Aloooo 4 really this song my friend ume uwaaa tena sio kwa bahati mbaya ume uwa kikatili sanaaaa
@stellalupondo8472
@stellalupondo8472 Год назад
Mungu pamojaaa na wew kakahata nakuombeaaaa ufikeee malengo yako na ufikeeee mbali zaidi ya zaidi juuu sanaa aminaaaa
@daudilazaro7609
@daudilazaro7609 Год назад
Tgun tozzy wew ni mshindi wa bongo star serarch 2022/2023
@samsonmwamatepela1600
@samsonmwamatepela1600 Год назад
Mwambie harakati dunia nzima swax tutarudi
@user-zq7kv7tk3g
@user-zq7kv7tk3g 5 месяцев назад
Naomba namba tgn
@yusr9319
@yusr9319 Год назад
Jamani nizuri nyimbo yako
@AbibaSalleh
@AbibaSalleh 3 месяца назад
Piga keleleeeeeeeeee ❤️
@lenakay9724
@lenakay9724 Год назад
This guy deserves to be the winner 💪 this season,,,big up bro💥💥 Have watched it countless times
@swedymohamedy5937
@swedymohamedy5937 Год назад
Umeua 💯💯💯
@kredihamisi6316
@kredihamisi6316 Год назад
🙌🙌🙌🙌🙌❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@alfredmnema7466
@alfredmnema7466 Год назад
Jamaaunaweza😇
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 9 месяцев назад
Pumzi nimeitoa na kurudisha🎉🎉🎉🎉 unajuwa kweli hii inatoka moyoni mwangu🎉🎉🎉🎉🎉
@rachaeltz.music.health
@rachaeltz.music.health Год назад
Bongo stasachiiiiii huyuuuu mshindiiiiii wetuuuuuuuuuu uwiiiiiiiiiiiii Kama unasema huyu Ndo mshindi gonga like hapa
@Paul-bj6rq
@Paul-bj6rq Год назад
brothers wewe noma sana
@seangraceswt8037
@seangraceswt8037 Год назад
Nakubali sana
@marcelobony9925
@marcelobony9925 Год назад
Gun kwa kweli...bunduki
@potwebahari2023
@potwebahari2023 Год назад
Since day one nakusikiliza kwenye UNI TOUR kipindi unawakilisha chama letu maandishi matatu NIT nlijua we ni fundi🔥🔥 naamin katika kipaji chako Big up tozzy
@ibrahimabdullah9904
@ibrahimabdullah9904 Год назад
Ujawah niangusha Tgun tozzy Hakuna pingamiz ww ndo mshind wa bss
@maombijustin5169
@maombijustin5169 Год назад
Dogo umechana bonge la wimbo mzuri pia bss utachukuwa ushindi kbs
@athanasndomba4546
@athanasndomba4546 Год назад
Bonge la kitu.. Likes kwa walioikubal hii ngoma🔥
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 8 месяцев назад
Ashinde tu jmn
@christopheronjiri781
@christopheronjiri781 Год назад
Much love from kenya tgun,, ur a star bro
@adrophinaansila2804
@adrophinaansila2804 Год назад
Naona raha tuu mfipa mwezako nipo hapa nakusaport
@dommykatey3037
@dommykatey3037 Год назад
From 254 kijana ametisha kila siku na watch hii rap countlessly since last week
@rahmambugi1950
@rahmambugi1950 Год назад
Unaimba kama mwana FA hongera sana unajiamini kichiz, ni zaid ya msanii
@shawal5360
@shawal5360 Год назад
Uyu jamaa respect huyu ndo mshindi wetu mwaka huu kwenye ndo madam Rita alinitaka miiii
@saidishaha5948
@saidishaha5948 Год назад
Mm nmeirudiaa zaidiii ya maraa 10
@sophiarajab6467
@sophiarajab6467 Год назад
Bonge la nyimbo Hilo bro, I'm your number 1 fan, congrats from kenya 🇰🇪
@Christina-ng1ql
@Christina-ng1ql 8 месяцев назад
Anasathili tunzo
@shabanjabiri2087
@shabanjabiri2087 Год назад
Dah uyu jamaa ni noma sana umetisha mzeeeeya💥💥💥
@stellabianca3328
@stellabianca3328 Год назад
Nomaa sana🔥🔥🔥 umesema kwenye ndoto we ndo sponser nakubali tka 🇰🇪🇰🇪
@user-iv9dh6kv9g
@user-iv9dh6kv9g 8 месяцев назад
Oyaaaa hii ngoma ipo RU-vid n platform zingine n je kweny google ipo jmn naitak ss hv jamaa katishaa sana kipaji hikii
@vivianokalinda8697
@vivianokalinda8697 9 месяцев назад
Awe ukuomba ningosile, tuwakilishange kuko
@Mbaley
@Mbaley 8 месяцев назад
Uyu mwamba ni mwanamuziki hâta kama hakupita
@farhadtwalbe680
@farhadtwalbe680 Год назад
Am a Kenyan bt kwenye ndoto mm mtanzania
@njeringugi7939
@njeringugi7939 Год назад
Kwenye gari Ngoma inapiga kinoma Buda 🔥🔥🔥🔥🥰3hrs nasikiza hii nyimbo @Tgun tozzy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥
@TGUNTOZZY
@TGUNTOZZY Год назад
Ayeee
@happynkya9770
@happynkya9770 10 месяцев назад
wow❤❤❤
@mwanaidian2994
@mwanaidian2994 Год назад
Nyanda za juu kusini oyeeeeeeeeeeeeeeeee.
@marysaituni4584
@marysaituni4584 Год назад
One love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪❤️
@Jilanilucas
@Jilanilucas Год назад
Kwenye ndoto huu wimbo nimeuandika mm...hii ngoma ni Kali Tgun big up saana broo💯💯💥💥
@hadijashafii9716
@hadijashafii9716 Год назад
😂😂😂😂
@jasminejamali7858
@jasminejamali7858 Год назад
Wow
@EmmyKilleo-ri1pu
@EmmyKilleo-ri1pu Год назад
Wachawi mshaanza kuja hamkawiii why usingeimba😂😂😂wewe
@ahmedybabu4387
@ahmedybabu4387 Год назад
Kiufupi jamaa anajuwa mungu ajalie kazi yake
@wegesachacha6052
@wegesachacha6052 Год назад
Mwamba huyu apa buana unajua had unajua tena 😘
@WinnerclassicSasha
@WinnerclassicSasha 9 месяцев назад
Nakubali san. Mtu wangu goma Kali sana mpaka nimeludi kusikiliza Tena. You am good
@malonyrashidi1915
@malonyrashidi1915 Год назад
Mwamba umetisha nakukubali ili goma nakusupport toka 🇶🇦all the way from 254🇰🇪
@seamax2548
@seamax2548 Год назад
Mwana unaweza you are already a winner 🏆 you deserve it much love from Mombasa 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-jc6mb5bw9x
@user-jc6mb5bw9x 9 месяцев назад
Vizur sana, sijawah kukometi hata siku moja ila hapa very very muc
@denisdeuterius9138
@denisdeuterius9138 Год назад
Umetisha sana
@eliudelison6303
@eliudelison6303 Год назад
You killed it Beother, one love Tgun tozzy
@user-yn4yf7mm7e
@user-yn4yf7mm7e 10 месяцев назад
Jamani jamani congratulations 👏👏💐 nimeipenda Kaka angu umeimba vizuri sana Yani hii nyimbo nimeiskia Leo lakin nikama naijua mungu akuongoze kwenye mafanikio yako🙏
@user-vu4so8ti8r
@user-vu4so8ti8r 10 месяцев назад
Dog noma Respects ❤
@user-ds3os5qv4o
@user-ds3os5qv4o 6 месяцев назад
❤❤❤🎉🎉 nice god bless you 🙏
@almachuskaiza-yk7yh
@almachuskaiza-yk7yh 4 месяца назад
Wawooh munguu akujalie
@SaraLema-ee1kk
@SaraLema-ee1kk Год назад
Wooooooooooooooow
@ayrunyjtayruny279
@ayrunyjtayruny279 Год назад
Nimesubiria sana hii Ngoma irekodiwe since unitalent🇲🇿
@basharmkula9547
@basharmkula9547 Год назад
Jamaa katixha ndotoni
@dullahjavic5147
@dullahjavic5147 Год назад
I just keep watching dis every morning before even having breakfast
@valeriamgani4524
@valeriamgani4524 Год назад
Umeimba viźur umechangamka sana usikate tamaa endelea mazao utayakuta mbele
@m.jmamambondoc.c2399
@m.jmamambondoc.c2399 Год назад
Uyu ndo mshidi wa mwaka huu
@abdoulshakurbinmakka4610
@abdoulshakurbinmakka4610 Год назад
Daaah ! dogo ni mkali sanaaaaa bila ubishi,siyo tena kweny ndoto TGUN🌋
@user-dx4ow8vq1c
@user-dx4ow8vq1c 10 месяцев назад
Mamae❤❤❤❤❤❤
@anicetmrosso122
@anicetmrosso122 2 месяца назад
Big up mkuuu
@goldenb--tz
@goldenb--tz Год назад
Sumbawangaaaaaa🙏✈️✈️✈️✈️✈️to the trending uyu ndo mwambaaaaaa🔥🔥🔥🔥
@nockigona5160
@nockigona5160 Год назад
jamaa unaweza
@zemootv01
@zemootv01 Год назад
Umeua brother nouma sanaaaaaaa💪👌
@idareyoutodream6030
@idareyoutodream6030 Год назад
This guy is super creative Am sure this year his a game changer
@ummuswabra9535
@ummuswabra9535 Год назад
Mm naipenda sana nyimbo ya tgun hana mulipomtoa kwenye top 4 nilisikitika kabisa huyo ndio likua afaa awe mshindi this year ya oll star
@arbogastemiykimario2721
@arbogastemiykimario2721 10 месяцев назад
Nani yupo hapa now
@ester723
@ester723 Год назад
Bonge la nyimbo
@cliffordbaraka1917
@cliffordbaraka1917 Год назад
duuùuuh we mwamba mkali syo kdg aisee biguuuuup brooo
@lucaszacariaszacarias3894
@lucaszacariaszacarias3894 Год назад
Mm sijui mala ngapi kwakweri ya sikumbuki
@billionairemedia5379
@billionairemedia5379 10 месяцев назад
Oyaaaah daah nimekukubali ww ni bonge la star unaweza
@FreshDango_MrMoney
@FreshDango_MrMoney Год назад
Representing EAST AFRICA much love from Nairobi Kenya 🇰🇪🔥🙌🌍
@user-cl9dz6kk7u
@user-cl9dz6kk7u 7 месяцев назад
Daah katusua hii kwenye ndotoo🇴🇲🇴🇲🤣🤣🤣🤣
Далее
Fivara - Hii Sio Freestyle 2 (Official Video)
2:21
Просмотров 8 тыс.
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
TGUN TOZZY NA ASAGWILE WAANGUSHA DUET YA KIBABE
5:16
Просмотров 273 тыс.
SNAKE BOY | ep 35 | SEASON TWO
30:48
Просмотров 127 тыс.
Dakika 10 Za Maangamizi  -  T-Gun Tozzy
14:01
Просмотров 117 тыс.
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
Просмотров 995 тыс.
LEONARD SUNDAY EASY
6:29
Просмотров 89 тыс.