I liked the way they sang happily regardless of their political issues, this is important, I would be happier if Professor J was there, thank you Madam President for having a great team.
I love the way tanzanians appreciate their own hadi president amekaa anawaskia... salute to you people 👋 Nice performance guys all this artists have been my childhood favorites from Nako 2 Nako soldiers,joh making,nikii wa pili,ay,and my main favorite mwana FA
Kwasasa maisha ya shabadilika lkn Kuna wengi mbon wanafanya kama hawa lkn wanaishia Julia njaa tu Ila hao wapiga makelele ndo wasanii wenye pesa kubwa na wanatembea na walinz kwa usalama wao
Yaaani sugu umewaheshimisha wasanii wenzako jamani wa zamani ila Badoo wapo juu jmn mpk Sasa awa ndo waligendally was mziki wakiongozwa na Queen ladyjaeedy
I always love hip hop song hawa wengine wabana pua kila verse mapenzi mapenzi mapenzi weka kule thus why ukija kwangu usiniulize cjui Niweke nyimbo za hawa wanaojiita bongo flava utapata tabu sana na mpaka sasa cjui heat song ya bongo ni Ipi zaidi nikisafiri ktk basi Zuber the Trans from dar to Mza
Ingetumika nguvu kama hii kuutangaza utalii wa nchi yetu ingependeza zaidi kuliko kugharamikia filamu ambayo wengi wa 🇹🇿 wamekua wakiifikiria kinamna tofauti kabisa.
We unajua ni nchi ngapi zimeangalia hiyo filamu ya utalii na unajua ni watalii wangapi wameshakuja Tanzania mpaka Sasa epuka kulaumu usichokijua Fanya uchunguzi usikurupuke sisi Wana Arusha tunaona matunda ya hiyo filamu
Hao ndio wasani wanao wakilisha nchii sasa Kama mlikuwa hamjui mavazi uimbaji wao muonekano vyote hivyo vimebeba bendera ya Tanzania 🇹🇿 nakuonesha ualisia na tamaduni za watanzania hongereni sanaa