Тёмный
No video :(

THE CLASSIC ASHA BARAKA :MWANAMKE MWENYE NGUVU KWENYE MICHEZO NA MUZIK TZ/30 YRS + KWENYE GAME/HSTRY 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 1,9 тыс.
50% 1

The Classic imekuletea Asha Baraka ambae nafahamika kama mwanamke mwenye nguvu sana katika muziki na michezo Tanzania,amemiiliki bendi mbali mbali za muzki mpaka sasa na pia kuongoza michezo katika ngazi za juu,hii ni shemu ya historia yake

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@victormkello9575
@victormkello9575 2 месяца назад
Oyah Kuvi umepigaje hapo😂😂. Nakubali mzee.
@rogersanga3235
@rogersanga3235 2 месяца назад
eeeeh...umetupia kaka
@sandromiyad8855
@sandromiyad8855 Месяц назад
Kutoka komoro nakufwatilia sn
@MackameHassani
@MackameHassani 2 месяца назад
Interview ilikuwa kali sn kali mnooo but nilichokuja kukigundua majuzi siku ya jumamosi ni kwamba Kuvi ukiachana kuujua vizuri muziki wa Hip hop kiujumla pa1 na bingofleva pia unaujua pia miziki mingine kiujumla especially muziki wa dansi. Kuna tm ulikuwa umeingia kbs deep kuelezea muziki wa dansi. By the way ilkuwa kali sn hii interview.
@Drepsama
@Drepsama 2 месяца назад
Jamaa nakukubali kinoma
@KuviFacts
@KuviFacts 2 месяца назад
Thnx a lot 🙌🏾
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 2 месяца назад
Kuvi mi fashion hatar sana
@tanzaniawomenyouthempowerm267
@tanzaniawomenyouthempowerm267 2 месяца назад
​@@KuviFactstuletee solid ground family
Далее
🤪Школьники ОЦЕНЯТ🔥
00:30
Просмотров 104 тыс.