Тёмный

THE CLASSIC MCHIZI MOX:MIKASI ULIKUA WANGU/MAJANI HAKUNIKUBALI/MJ ALIKUBAL/WATU KIBAO/TULIZAMIA SAUZ 

KuviFacts
Подписаться 12 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Moja ya Rappers wa muda mrefu Mchizi Mox anasifika zaidi kwa sauti ya kipekee nchini alifika kwenye meza ya The Classic mwaka 2021 na kupiga stories kadhaa kuhusu yeye,Wateule na kadhalika,Je wajua kua wimbo wa mikasi ulikua wake na alimpatia rafiki yake Ngwea?tazama sehemu hii fupi ya mahojiano yetu.

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@GodlistenAlen
@GodlistenAlen 4 месяца назад
Sema mchz ni mchz kweli. Ujambazi mwingi. Eti Tonny Akili Mbaya.
@IddoMbogo-c2u
@IddoMbogo-c2u 8 месяцев назад
Yaani mimi hawa ndio huwa nawasikilizaga sio hao wa sasa hivi
@westcijosh
@westcijosh 6 месяцев назад
Hata mimi
@KabasaGerald
@KabasaGerald 8 месяцев назад
Wasanii wazamani walikua vizuri sana kwenye kila kitu, tunzi, interviews yani wanajua wanachozungumza
@bernardfrank5654
@bernardfrank5654 4 месяца назад
Wangekua hawa vijana wa saivi ungekuta ameshaongelea anatumia gari ghani, sijui saloon bei ghani.. yani interview nzima hamna kitu..
@TheMastertz
@TheMastertz 2 месяца назад
Mchizi ana sauti inaitwa Gruff, ama Rough and Grimy😂...kama sikosei Busta ndo alirap haya maneno!! Jamaa mtu poa SANA.
@jameskilasa759
@jameskilasa759 8 месяцев назад
Mpka leo kuna jamaa yangu anaitwa mchiz mox
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 8 месяцев назад
Bro tulete ROHO 7 kamuombe Jeshi akiwa likizo ufanye naye interview Lkn HARD MAD mtafute huyu jamaa muhimu sana mlete hapo mjengoni
@komboruga4271
@komboruga4271 4 месяца назад
Umenigusa
@sadiqadam7971
@sadiqadam7971 8 месяцев назад
Graveyard, Makumbusho. That's what am talking about bro
@blaynchich9765
@blaynchich9765 2 месяца назад
186 hatari xaana 🔥
@pauljosephtarimo2279
@pauljosephtarimo2279 4 месяца назад
Hapo 2005 fiesta Arusha Uzinduzi wa Album ya Ferooz ulitisha sana pale tripple A
@owenchimela4527
@owenchimela4527 6 месяцев назад
Mchizi mox ana vingi vya kusimulia sisi madogo wa zamani tunafaidi vingi sana
@kyannickk2be
@kyannickk2be 7 месяцев назад
hizi nzuri sana tunapata kufahamu mengine hatukufaamu tukiwa shule enzi hizo sasa watu wazima, ina inspire hii..
@qimlaw6723
@qimlaw6723 8 месяцев назад
Salute kwako sauti ya zege .
@maufijose2294
@maufijose2294 6 месяцев назад
Vipaji Halisi Vya Muziki 🙏
@VisualsByEnokaOti
@VisualsByEnokaOti 8 месяцев назад
Napenda classics za kuvifacts zinavyonipa feeling za zama zile
@KingMuta
@KingMuta 8 месяцев назад
Mchizi Mox × Darassa × Ben Poul na Mdada mmoja.
@spartachize122
@spartachize122 2 месяца назад
Mziki kitambo bana hawa wa sasa ni balaa tu😊😊
@FaridiIbrahim-ix6hb
@FaridiIbrahim-ix6hb 3 месяца назад
Nawakubali sana hamna baya
@GoodluckLameck-nh9tq
@GoodluckLameck-nh9tq 8 месяцев назад
Wasanii wa zamani nilipenda kazi zao
@mrambathomas9529
@mrambathomas9529 3 месяца назад
Dah! Mwamba ise sio poa yaani burudani mwanzo mwisho.
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 8 месяцев назад
Mwanangu MCHIZ MOX
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 8 месяцев назад
Legend🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@danieldavid4733
@danieldavid4733 3 месяца назад
Wenye roho safi
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 8 месяцев назад
Long life 🌄
@jumakabota1231
@jumakabota1231 8 месяцев назад
Daaah fupi sana hii
@nyotamy3678
@nyotamy3678 8 месяцев назад
Oiii✊🏽
@MOJAPROMO
@MOJAPROMO 8 месяцев назад
🔥🔥🔥
@nyuniclick9422
@nyuniclick9422 17 дней назад
Kuvi hiyo Remix tupia audio
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 8 месяцев назад
Huyu sauti mpaka sura kama darasa mbona
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 8 месяцев назад
Muulize Nay Ile style yake mbona kama ya Ibra upupu wa fagio la chuma
@hassanmaliki2260
@hassanmaliki2260 5 месяцев назад
Upupu ile style yake ni kwere mzeya nay anafit lakn bado kwa yule mtoto
@BwaxyWaMicha
@BwaxyWaMicha 8 месяцев назад
After hii tuletee Bahati wa mikasi brother
@francistadayo1569
@francistadayo1569 8 месяцев назад
Hayupo bongo huyo Raa! P...yuko USA 🇺🇸
@tumpemsyani-io7pv
@tumpemsyani-io7pv 8 месяцев назад
​@@francistadayo1569daa aisee kweli nakumbuka
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 8 месяцев назад
Ni kipindiii bomba ila muda wake hautoshiii
@stangebo177
@stangebo177 8 месяцев назад
OLD SCHOOL BOY
@ramadhaniali1102
@ramadhaniali1102 5 месяцев назад
Bro jabir unajua sanaa kaka
@KuviFacts
@KuviFacts 5 месяцев назад
Asante sana fam
@muddylikwena128
@muddylikwena128 2 месяца назад
Yani bonge la idea kuwaleta malegendary sehemu kama hizi
@jumamofu9573
@jumamofu9573 2 месяца назад
Mi niache nifanye vitu vyangu😂😂😂
@farajiissa560
@farajiissa560 7 месяцев назад
Huyu jamaaa wa shat ya njano kaongea kihisia watoto wa makumbusho walikua wanakula bata
@mzadomwongozo3671
@mzadomwongozo3671 8 месяцев назад
Mtoto analaana😂😂 RIP Ngwair
@mackjr5291
@mackjr5291 8 месяцев назад
Mlete Jose mtambo
@Munyama675
@Munyama675 6 месяцев назад
Mtambo ameshafariki
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 6 месяцев назад
​@@Munyama675duh nilikuwa sijui wale fun with sense
@mariamisack_hardcore2010
@mariamisack_hardcore2010 3 месяца назад
Mmmh jamani siyo kweli​@@Munyama675
@mariamisack_hardcore2010
@mariamisack_hardcore2010 3 месяца назад
​@@othumanlorenzo260Yupo buana
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 5 месяцев назад
Haina part2?
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 8 месяцев назад
Inaonekana kuna kipande mmekikata majani alikuwa kapewa zake hapo
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 6 месяцев назад
Hakika Ali taikun hakopeshi
@meshackdauda4315
@meshackdauda4315 4 месяца назад
WALIKUA siyo WANAFIKI ,na KAZ walifanya kubwa san
@ChitwekoKanakono
@ChitwekoKanakono 8 месяцев назад
Kuva interview za kibaba zote zinaingia robo robo nn mbaya
@KuviFacts
@KuviFacts 8 месяцев назад
Brother pole hizi interview tulifanya miaka 2 iliopita bahati mbaya Channel ilifutwa so hivi ndo vipande tumebaki navyo tu kaka
@kulishaandry5730
@kulishaandry5730 8 месяцев назад
Pole sn , ila mnatisha mbaya ​@@KuviFacts
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ 8 месяцев назад
Big kwann unavaa unavaa mask wakati wote?
@KuviFacts
@KuviFacts 8 месяцев назад
Kipindi hiko nlitoka kuumwa Covid mkuu
@bongomastory791
@bongomastory791 8 месяцев назад
Nilijua ni Mimi tuu sipendi anavyovaa Mask kama dharau Kwa wenzie vile
@bongomastory791
@bongomastory791 8 месяцев назад
Nilijua ni Mimi tuu sipendi anavyovaa Mask kama dharau Kwa wenzie vile
@KINGDOWN-rx8sy
@KINGDOWN-rx8sy 7 месяцев назад
p
@prosperndelwa4560
@prosperndelwa4560 7 месяцев назад
𝐨𝐥𝐝 𝐢𝐬 𝐠𝐨𝐥𝐝
Далее
Mezani na MARLON LINJE #19
2:58:42
Просмотров 57