Тёмный
No video :(

THE CLASSIC MH TEMBA: NLITOSWA JESHINI/NILIZAMIA KENYA NIKADAKWA/KUUZA SHATI/MIAKA 27 NDANI YA GAME 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Toka Kiumeni TMK jina la Mh Temba linasimama na heshima kubwa katika tasnia ya Rap na Bongofleva,Mcheza kikapu aliekua na ndoto za kua mwanajeshi lakini zikayeyuka na kuibukia kwenye muziki,hii ni sehemu ya hadithi ya maisha yake.

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@madiesyd
@madiesyd 2 месяца назад
Majaniiii....Temba hapa!
@shabanshaban1259
@shabanshaban1259 2 месяца назад
napenda sana Interviews zenu ila upande wa Sound mnatakiwa kuboresha kdg nashauri watu wa Sound wajaribu kusikiliza vipindi vingne ili kuja kuboresha kipindi chetu, Ahsante
@Anuaryomary-su9cd
@Anuaryomary-su9cd 7 месяцев назад
Muulize Temba alishawahi kuishi Zanzibar
@brianbrayoo1590
@brianbrayoo1590 6 месяцев назад
Daah, i remember KISOKI..great boller #jiteute 4life
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 6 месяцев назад
Temba moja ya msanii wangu bora anaendana na kila wakati
@tajirilmole3092
@tajirilmole3092 6 месяцев назад
Temba mwamba mwanaume mbado tuko nyuma ako
@mikemutabuzi3665
@mikemutabuzi3665 7 месяцев назад
Dah Temba, Hizo ngoma mikono yangu pia backyand, Rest in peace my bro Complex, Nimefurahi sana Temba umenikurupua huku Big up Temba, Mungu akupe Uwezo ndugu yangu Temba kitu nafurahi ni kwamba huwa husahau yaliyopita, Mungu akuongoze ndugu yangu.
@stevewanga957
@stevewanga957 7 месяцев назад
Mbona fupi hii interview...much love from 🇧🇭
@kachboy254
@kachboy254 28 дней назад
Toothpick kwa miaka zote❤😂😂😂
@bukuruyassini
@bukuruyassini 7 месяцев назад
Inaish na story nzuri
@ikabako2454
@ikabako2454 7 месяцев назад
Temba anajua sana !
@khalidgugu4964
@khalidgugu4964 7 месяцев назад
Vingunguti, ukumbi ulikuwa unaitwa "Mazuri Hall"
@wakikuba7
@wakikuba7 7 месяцев назад
Tunamta matonya
@MohamedTuga-dn9su
@MohamedTuga-dn9su 7 месяцев назад
Interview mbona fupi hii
@husseinthakeem4758
@husseinthakeem4758 7 месяцев назад
Et
@user-bq2zn1wy1q
@user-bq2zn1wy1q 7 месяцев назад
Hiyo issue ya mpakani wewe na jamaa mmoja tall anaitwa Kuber nakamura ulisumulia tukiwa Jiteute .Ulisema Kuber alivaa kijanja mkaonekana nyie siyo wanakijiji.
@niggahoodthemc9156
@niggahoodthemc9156 6 месяцев назад
✊🏿👮🏿‍♂️
Далее
УГАДАЙ ЕДУ ПО ЭМОДЗИ! #shorts
00:57
Просмотров 136 тыс.
Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
55:54
Просмотров 60 тыс.
MH TEMBA | MPENZI NAKUMIND
5:01
Просмотров 21 тыс.