Af kidogo nisahau.. leo imefanyika atleast 2h and half afu hot mwa mwi🙏🙌🔥 can't wait for the next episode.. afu mtufanyie tena mambo yenu ya lisaa limoj😢
Shout out to switi😂😂😂😂😂😂..... Another good episode, guests mmetisha sana. Inasikitisha tu siasa za nchi hii ni chafu sana it's hard kufaidi akili kubwa kama za Shamira kwenye uongozi
Kwan kucheat ndio iwe sababu yakusema hafurahii ndoa yake,wewe kama wako anacheat kwa kukuonesha pole yako but others wanacheat na hujui na huoni dalili and respect their wives sasa wasijisemee mazur Yao
Kipindi kikali sana sijajutua mb zng ni kirefu na nikizuli sana shamila amependezesha sana na tbway yupo vzur anajibu maswali kwa akili sana kipindi ni kizuri sanaaaaaaaaa
Why do people use the word hustling kwenye politics? Kwan kuongoza watu ni mchongo? So ulali usiku na mchana ili uchaguliwe? Ukapate hela au ukaongoze watu??