Тёмный

The Mboni Show - Nilisemwa sana kuhusu ndoa yangu, Nimeolewa nikiwa na umri wa miaka 40 

The mboni show
Подписаться 13 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@ellysilwani9287
@ellysilwani9287 4 года назад
Hongera mamii,hongera sana,wakati ulishafika mamii...Barikiwa sana!Mungu ni mwema,achana na maneno ya watu!usiishi kwaajili ya watu mrembo wangu,ishi maisha yako .
@kulolamasanyiwa3683
@kulolamasanyiwa3683 4 года назад
Hongera Mboni ,mie huwa nakupenda kiukweli unajiheshimu na kujikubali,mwenyeziMungu akutangulie katika ndoa yenu
@halimabakari4174
@halimabakari4174 4 года назад
Love u so much Mona.. madam mboni nmekuheshimu kwa uongeaji wko uko vzr na unajielewa
@aishasalimaishasalim1323
@aishasalimaishasalim1323 4 года назад
Dah ..nilikatatamaaha kabisa Kimbeinawezekana..ngojanitafute.. Ndowautoka kwamungu..asante mama Nimekuelewasana
@fatumaallyy3372
@fatumaallyy3372 4 года назад
Jamani kumbe kukata tamaa siojambo zuri kweli yote yanawezekana kwa mungu.
@salmamwamende7455
@salmamwamende7455 4 года назад
Hongera mboni ndoa hutoka kwa mungu huo ndio wakati wako hao wanakusema vibaya watasubiri sana
@deogratiusmfoy1989
@deogratiusmfoy1989 9 месяцев назад
Hapa natamani Mr. Paul wa Zuwena angekuwepo kwenye hii show bila kumsahau Bob Haisa.
@sandekanyamala2832
@sandekanyamala2832 4 года назад
Nimependa ndoa haina muda sahihi,ndoa hupangwa na Mungu. Pia mapenzi ya kweli hayachagui.
@gomanoelvira609
@gomanoelvira609 4 года назад
una moyo mzuri sana wa kusaidia wasiojiweza mungu akulinde
@swaumukareemu9247
@swaumukareemu9247 4 года назад
Da mboni nakupenda sana na hongera sana wanaokusema sijui umechelewa kuolewa wao sio mungu mwenyewe na saka pesa kwakwenda mbele mume ataletwa na Allah sitaki kukipilia ndoa eti kisa fulani kaolewa nataka niolewe nikaisha na huyo atakae kuja sio kuolewa tamaa mwishoe ndoa inakushinda
@faridaali3312
@faridaali3312 4 года назад
Monalisa black beauty,mboni pia very beautiful gorgeous 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 года назад
Mboni miaka ni namba tu izo kikubwa nikujitakicare nakujipenda,Mungu akusimamie kwenye ndoa yko,kweli usiolewe kisa miaka mshilikishe Mungu ,Mona uko vizuri kwenye interview ilove it
@ellysilwani9287
@ellysilwani9287 4 года назад
Mboni,uchangamfu wako tu,uko real! Miaka yote ,nakukumbuka sana mamii, Miss Mbeya 2000!Barikiwa!!!
@samniza1763
@samniza1763 4 года назад
Miss Kideleko au Handeni, Masimba ni mjomba wangu alikuwa anaishi vibaoni njia panda ya kwenda kideleko, ila sidhani kama ni Masimba wa Mboni ingawaje siwajui ndugu wengine wa mjomba Masimba zaidi ya mama mkubwa wana Majuma, na sijaishi Tanzania miaka mingi mno.
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 4 года назад
Wengi wame cram ndoa ni kwenda kuzaa tu na siyo companionship!
@rukiaurembo735
@rukiaurembo735 4 года назад
Napenda kuolewa
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 года назад
Swali la mtunisi zuri sanaa. Hongera dada mbonii kipindi kizuri nimejifunza
@josephinekimaro761
@josephinekimaro761 4 года назад
Mona uko vzr! Such a beautiful interview😘😍😍
@queenmichael8707
@queenmichael8707 4 года назад
Jamani mtu akae akijua akipata furaha ni faida yake mwenyewe na akizungukwa na huzuni ni hasara yake mwenyewe kwa hiyo mtu chagua maisha yako unayoona yanakufaa hapa duniani hakuna dunia nyingine.
@omarsaid4661
@omarsaid4661 3 года назад
Masha allah vzur sna.
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 4 года назад
Hujachelewa kwa sababu umeshazaa.Kama ungekuwa haujazaa ungekuwa umechelewa sana.
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 года назад
Hamjambo jamani Masha Allah hongera mwalimu na kina dada zangu kwa kipindi kizuri♥️♥️👌👍
@georgebushmissg2830
@georgebushmissg2830 4 года назад
You give me hope
@abidayassin5175
@abidayassin5175 4 года назад
Nimejifunza sanaaaaa
@revinastephen3365
@revinastephen3365 4 года назад
Wewe baba nimekupenda sana umeongea kitu sahihi mimi mwenyewe nina miaka 40 lakini ukiniona kama ndo nimemaliza kidato cha nne au niko kidato cha pili
@catherinejohn5157
@catherinejohn5157 4 года назад
hakuna mda sahihi wa kuolewa barikiwa xana na mboni huwezi kumpangia mungu.
@bupegwamaka3613
@bupegwamaka3613 4 года назад
Nashukuru kwa kipindi kizuri kimenifunza vitu vingi
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 4 года назад
Hongera sana mboni usijali maneno ya watu simamia maamuzi Mungu ndio anajua muda na wakati sahihi
@hadijakabona955
@hadijakabona955 4 года назад
Nimependa kumbe ata sie tulio kuwa na umr wa 29 inanipa moyo wa kuto kata taam allha akiamua bs itakuwa acha waseme one day yes
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 года назад
Hadija Kabona usikate tamaa na usiolewe kisa umri umehenda take your time mshilikishe Mungu
@ishaaisha7090
@ishaaisha7090 4 года назад
In shaa Allah...subra muhimu dada
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 4 года назад
Miaka 29 bado mnoo wala si ya kuzungumzia yaani
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 4 года назад
He we bado kabisaa unawaza usijipe tabu rizki ipo
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 года назад
Exactly dada MBONI KWA JIBU LAKO ZURI.♥️♥️
@sandrabernard751
@sandrabernard751 4 года назад
Niliwashangaa sana waliokua wanakusema woi. Kenya na nchi nyingine wanaoana watu miaka 50
@hellenalex9541
@hellenalex9541 4 года назад
I really enjoyed the show
@mwanammuni4638
@mwanammuni4638 4 года назад
Hongera sana Mboni!
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 года назад
Hamjambo ndugu zangu , HONGERANI sana mamangu amepigusa sana
@bintyj6496
@bintyj6496 4 года назад
Nice Mohammed umepotea kwl mbn sioni movie zko tena kaka
@husseinjongo7588
@husseinjongo7588 4 года назад
Monalisa ana amsha amsha huyoo😂
@fhvbvgkvgc8073
@fhvbvgkvgc8073 4 года назад
Kwani huyu mama mnene ni Coleta yule aki act na kina Ray...? Sipati pic wallah.
@fortunataangelo5575
@fortunataangelo5575 4 года назад
Wengine wame tendwa,, hawataki tena kuolewa,,, wamechoshwa na vituko vya wenzi wao
@carolynedorcas1552
@carolynedorcas1552 4 года назад
Kweli mama 👌👌👏🏻😹😹
@rukiaurembo735
@rukiaurembo735 4 года назад
Amiina
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 4 года назад
Sijaolewaa nko kenya
@ashurashaka6878
@ashurashaka6878 4 года назад
Umri wa kuolewa haijalishi ndoa inapangwa na Allah
@abdulkaole2011
@abdulkaole2011 4 года назад
kuna hizi media huporosha kizazi kijacho kutokana na wanayoangazia, but hii mboni atleast wameup the game. TZ, tendo ni sawa ratiba ila kuwe na kukubaliana si mmoja aamue.
@ruthchiduo8461
@ruthchiduo8461 4 года назад
Hongera mboni
@africa7479
@africa7479 4 года назад
Miaka 40 lakin bado kama mika 18 mfananishe huyu na gigy .....bado mboni upo mdogo tu wa gigy au wengine .....hongera sana..hata mona huzeeeki nakuombea nawew upate mume mwema
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 4 года назад
Sanaaaa
@africa7479
@africa7479 4 года назад
rehema msuya jahako wa kaa
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 4 года назад
@@africa7479 jedi jahako
@africa7479
@africa7479 4 года назад
rehema msuya mi nre wediii wetu
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 4 года назад
@@africa7479 haya na nrewedi
@kulolamasanyiwa3683
@kulolamasanyiwa3683 4 года назад
Mona hongera umeendesha interview vizuri ,
@ibrahimbashir4778
@ibrahimbashir4778 4 года назад
The tajiris 🔥🔥🔥🔥
@lovenesssarungi7518
@lovenesssarungi7518 4 года назад
Umeongea vzr dah Mboni
@khadijaamour7654
@khadijaamour7654 4 года назад
Watu wanataka stara tu mkojo wa halali basi mengine baadae
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@adelaidedaycareprenurseryk6324 4 года назад
No wapinzani wako hao buy sheet. They are enemy of progress wapotezee
@shadaelias4820
@shadaelias4820 4 года назад
da mbon nakupenda😘
@isunga1964
@isunga1964 4 года назад
Dah ngonja nami nitafute pesa kumbe 34 si kitu unanipa moyo Mboni ila kila siku wananiuliza ndoa lini
@jaclinedavid1356
@jaclinedavid1356 4 года назад
Usife moyo.Muombe MUNGU.yy sio mwanadamu.Atakupa.watu tumeolewa over huo umri wako
@isunga1964
@isunga1964 4 года назад
@@jaclinedavid1356 asante sana mamy nashukuru kwa ushauri wako 👏👏👏mungu akubariki
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 4 года назад
Sure
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 4 года назад
Achana nao hao tena ungewajibu hovyo
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 4 года назад
Waambie km Mwana FA bado nipo nipo sana
@aishasalimaishasalim1323
@aishasalimaishasalim1323 4 года назад
Wewweeeeeh🤣🤣🤣🤣✌✌
@bintiallymajid1295
@bintiallymajid1295 4 года назад
Wa miaka 29 akionekana km mzee atakuwa hana hela
@mariyamdotto2245
@mariyamdotto2245 4 года назад
Bintially Majid 😂😂😂😂
@ellysilwani9287
@ellysilwani9287 4 года назад
Mboni,uchangamfu wako tu,uko real! Miaka yote ,nakukumbuka sana mamii, Miss Mbeya 2000!Barikiwa!!!
@ashambengwa104
@ashambengwa104 4 года назад
Meona ee
@ashambengwa104
@ashambengwa104 4 года назад
Yaani ni kutoelwewa tuu
Далее
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
Dubai’s Homeless Model | Minutes With
13:10
Просмотров 1,9 тыс.
Divorce Mauritania Style | Unreported World
23:44
Просмотров 480 тыс.
Haile Selassie: King of Kings
25:29
Просмотров 1 млн
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
Language Review: Arabic
21:44
Просмотров 426 тыс.