Тёмный

The Story Book: NI IPI SURA HALISI YA YESU ? 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 905 тыс.
50% 1

#wasafi #thestorybook

Опубликовано:

 

27 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,4 тыс.   
@nashonmwasumbi254
@nashonmwasumbi254 4 года назад
Hakuna haijuaye sura ya yesu Waamini gonga like p1
@ElikiSELEMANI
@ElikiSELEMANI Год назад
aha amazimgua
@user-vw8christophe
@user-vw8christophe 5 месяцев назад
Hayo ni maigizo tu
@user-vw8christophe
@user-vw8christophe 5 месяцев назад
@@ElikiSELEMANI hamna sura ya YESU hapo. Hayo ni maigizo tu
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 4 года назад
Jamal Mustafa leo nakupa sentensi mbili tu nadhani tutajifunza wengi. "Be a hero for one minute or coward for a lifetime"...Bro mwanzo tulikukataa ikiwemo mimi lakini ukakata kua muoga leo tunakuita shujaa. "If you want peace prepare for a war" Ulihitaji amani ,ukajiandaa kwa vita ndo maana kuna muda ulikua kimya kujiandaa na vita leo vita umeishinda na una amani. Hongera kaka
@kongajoe310
@kongajoe310 4 года назад
Kweli Jamal anasimulia vizuri sana
@alinanuswemaclean1871
@alinanuswemaclean1871 4 года назад
Daima usikubali watu wakushushe! keep fighting and prove them wrong! they will praise you... well done Jamal April....I always believe in Talent and Commitment
@ramazanitr8541
@ramazanitr8541 4 года назад
Fact bro
@martinezsiwale4419
@martinezsiwale4419 4 года назад
feyzal Yusuph Kabisaaa
@sabrinabakari5908
@sabrinabakari5908 4 года назад
Mm binafsi sikumkatia tamaa jamal April sababu nilijua tu ipo siku nitampa mia kwa mia na imetimia na tangia mwanzo nilikuwa namkubali jamal April
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 4 года назад
My friend nadhani ni bora utafute mada nyingine za kuzungumzia, wakristo wa kweli hamwamini Yesu aliyechorwa kwenye picha au sanamu, waaminio wa kweli hawaamwamini Yesu kwa sura umbo au wajihi wake, tunachoamini ni NENO LAKE. siyo rangi, kimo, wala.sura. na Yesu atakaporudi hatutampokea kwa kumwangalia sura yake wala mavazi, urefu, rangi ya nywele zake au ndevu zake, bali ULIPO MZOGA NDIPO WANAPOKUSANYIKA TAI. Na mwisho kwa taarifa yako YESU KRISTO WA NAZARETI AMEFUFUKA NA YUPO HAI. HAYUPO KABURINI. WALA HAYUPO KATIKA WAFU. Historia yako ni hatari, ya kishetani ya uwongo, isiyorandana na ukweli wa Yesu Kristo kibiblia wala nabii Issa katika uislamu. Pole sana unahitaji msaada wa Mungu kwa kuwa mpotoshaji na mjumbe wa iblis na shetani.
@Balozikijana25
@Balozikijana25 4 года назад
Kweli kabisa kaka
@ismaila.namanolo6158
@ismaila.namanolo6158 4 года назад
Ndio maana sisi waislamu kweny movie za kiislamu hakuna mtu aliegiza kuwq yy ni mtume Mohammad (s.a.w) kwakuogopa watu kunakili sura....Huyu jamaa ameeleza ipasavyo may be uwe umkoti vibaya
@mylaomary1622
@mylaomary1622 3 года назад
We weng wanaamin yes ndo Huyo muigizaj mnakalilisha mpaka watot
@godfreygodwin7510
@godfreygodwin7510 3 года назад
Ww io dini umeipata kuptia ukolon acha kujikta unaijua SNA dini..pia filamu ya yesu io ndio iliowapagawsha sna watu weusi
@saidmuhibu1306
@saidmuhibu1306 4 года назад
Nabii Issa au yesu nampenda sana na namuamini kama ni Mtume wa mungu ktk "chain" ya mitume waliotumwa na mungu
@muum5263
@muum5263 4 года назад
Kabisa yan
@jamsonpeter3917
@jamsonpeter3917 4 года назад
Muami sana naye atakuinua hautajuta kumuamini amen
@naftaliosango9575
@naftaliosango9575 4 года назад
Uko vzur kaka
@asueddy1465
@asueddy1465 4 года назад
YESU TUTAMUONA MBINGUNI, TUWE TU WATAKATIFU
@PstZephaniahkalohela
@PstZephaniahkalohela 4 года назад
Andika Yesu or YESU usiandike yesu
@danielelly8838
@danielelly8838 3 года назад
Kama unampenda yesu na unaamini ndiye mkombozi wetu gongs like hapaa!!
@RoseMarry-r9u
@RoseMarry-r9u 3 месяца назад
🙏
@micamathew2595
@micamathew2595 4 года назад
Bwana Mungu wa wote wenye mwili hapa duniani Yesu Kristo, nakupenda Sana, najua siku kazi yangu itakapoisha hapa duniani nitakuona, na nitaweza kujua jinsi sura yako ilivyo. Amen.
@priscajulius1070
@priscajulius1070 2 года назад
Amina
@albertpike5893
@albertpike5893 2 года назад
Yesu ni Mungu??? Wacha kufuru kijana
@micamathew2595
@micamathew2595 2 года назад
@@albertpike5893 1Yohana4:1-3.
@albertpike5893
@albertpike5893 2 года назад
@@micamathew2595 Hiyo say imesema yesu no mungu!! Soma John 20:17
@micamathew2595
@micamathew2595 2 года назад
@@albertpike5893 Yohana 14:6. Soma hiyo mpendwa, Yesu ni Mungu wako.
@elshaarawymuhabesh316
@elshaarawymuhabesh316 4 года назад
Nimesikiliza ili nijifunze kitu japo mm ni muislamu... Kuna mengi ya kujifunza zaidi ya haya... Asante jamal mustafa...
@hajjially1180
@hajjially1180 4 года назад
Nikweli kabisa
@anodendagambie1933
@anodendagambie1933 4 года назад
Iko pow
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 4 года назад
Jifunze kupitia kwenye kitabu cha mwisho kwa binaadamu. AL QUR'AN KAREEM. Takbeer
@khadijaahmad7689
@khadijaahmad7689 3 года назад
@@anodendagambie1933 anataka kujua kuhusu yesu sio isa
@EduKafro
@EduKafro 4 года назад
Watu wa Yesu dam dam tujuane.
@ltlmedia8480
@ltlmedia8480 4 года назад
Twende pamoja acha tuisikilize leo nimewai kuwa wa kwanza mazee Gonga like kama wampenda Yesu
@alfredbaraka2209
@alfredbaraka2209 4 года назад
WCB4LIFE 👑
@kahoribonga9280
@kahoribonga9280 4 года назад
Amen
@LudeShansee
@LudeShansee 4 года назад
Nmekukuta kwa sky na interview ya liliomy na uku upooo umetiasha mwamba
@zuchupreciousnana7370
@zuchupreciousnana7370 4 года назад
andrew lio
@bernadetanyendo5769
@bernadetanyendo5769 4 года назад
Amen
@allyhamadi4183
@allyhamadi4183 4 года назад
Duh nlikuwa nakuona hujui mwanzoni nmegundua unajua mno kuliko mtiga,unachimba sana duhhh🤔🙌🙌🙌🙌
@luccabosslugendo9722
@luccabosslugendo9722 4 года назад
Yan Leo kaharibu we ndo unasema umemwelewa?! We kwel huna tofaut na bundi mzee
@dullerahmedy6325
@dullerahmedy6325 4 года назад
Lucca Boss Lugendo acha majungu yako mzee baba kaharibu wap acha wivu Au chuk zko jamaa kaumiza sna leo hii tuache Chuki zisizokua na sababu yeyote 😎
@unrulyboss4219
@unrulyboss4219 4 года назад
I like ,uko sawa,napenda bwana.
@RashidRashid-ko2zh
@RashidRashid-ko2zh 4 года назад
Usirudie tna icho ktu kumfananish na mtiga hampati ata kidgo.yule Ni fundi
@alexmichael8950
@alexmichael8950 4 года назад
@@RashidRashid-ko2zhnendenim kamfuate efm
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 4 года назад
Makala,moja amazing aisee dah . Cjawahi comment ila leo sina budi
@iammusic3404
@iammusic3404 4 года назад
Yaani🔥🔥🔥
@luccabosslugendo9722
@luccabosslugendo9722 4 года назад
Imedhihilisha ulivo mbuzi Kuma wew sas stor Ina mashiko gan sas hyo??
@apostlepaulatura2113
@apostlepaulatura2113 4 года назад
Amen nishafundishwa nabeda mambo km.haya Ebenezer atusaidie
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 4 года назад
@@luccabosslugendo9722 ongera kwa matusi mazito endelea ivyo ivyo. Ila juwa iposiku.
@habibmohamed4766
@habibmohamed4766 4 года назад
@@luccabosslugendo9722 bangi hizo
@neemaedward1791
@neemaedward1791 3 года назад
Mungu ni Roho Sisi Sura haituhusu ,tunamwaminj Yesu na sio Sura wala mavazi , wew usiposhe Iman za watu
@kelyanjeremiya2533
@kelyanjeremiya2533 4 года назад
Dah.. mzee hongera sana umenifungua kwenye jambo nisilokuwa nalijua ama kweli ww ni genius na naamini kweli una uwepo wa MUNGU ndani yako Asante kwa elimu nzuri na mwenyez MUNGU azidi kukuongoza..🙏🙏
@ananiabaraka4067
@ananiabaraka4067 4 года назад
Ooooohoooo YESU alifufuka, unataka ushahidi mtafute Roho Mtakatifu kutoka kwa MUNGU atakujuza.
@jerrycharz25
@jerrycharz25 4 года назад
Kipindi jamal alipo weka story yake. Ya kwanza watu mlisema hammtaki wala hammuelewi lkn now karibia wote mnamkubali ..hii inafanya niamin kabisa kwamba ktk kufanikiwa mwanzo huwa mgum sanaa lkn ukijituma mambo huwa yanakja kbadilika
@kibeyoonline7443
@kibeyoonline7443 4 года назад
acha tu yaaan haya maisha
@princebabu6977
@princebabu6977 4 года назад
Mie mpaka leo simkubali kwakuwa napenda historia lazima niskilize
@theprogrammer3351
@theprogrammer3351 4 года назад
Mtiga Fundi ww... Huyu anaweza kwa nafas yake
@eliaalex8118
@eliaalex8118 4 года назад
mtiga ana xauti hatari
@tamranadiya2962
@tamranadiya2962 4 года назад
Unafiki unawasumbua tu
@Haleem_07
@Haleem_07 4 года назад
God is Allah only... 🔥 🔥 🔥 🔥
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 года назад
Apo umemaanisha Mungu ni Mungu tuu .inamana waarabu awana jina la Mungu
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 4 года назад
😂😂😂😂 umechanganya kiarabu na kiingeleza yote maana ni moja mungu ni mungu or Allah ni Allah or God is God
@nlylyn1443
@nlylyn1443 4 года назад
@@ikrissaidrissa8613 STRONG
@samxx411
@samxx411 4 года назад
@@ikrissaidrissa8613 Hapana God/Mungu ni wengi, inawezekana ni ng'ombe, mizimu, miti, mawe, moto itategemea na imani nyengine ila Allah ni Mwenyezimungu hana mshirika, hakuzaa wala hakuzaliwa, hakuna aliefanana nae, yeye ndie alieumba ulimwengu na kila kilichomo nae ana majina 99
@jamsonpeter3917
@jamsonpeter3917 4 года назад
Yesu hatatokea akiwa amevaa mwili kama Jamali anavyodhani ila atakuja kwa roho. Na kitakachomuona sio macho yetu ila ni roho zetu. Na hawa wakina Blayan na Robert woa wanaigiza tu kufwatia maandiko na mtu anacho amini si sura ila ni matendo . Sura haiwezi kutufikisha popote. Okokeni maana hakili Yesu hatumuamini kwa resurch ao kwa archeology bali kupitia Biblia takatifu. Sema Amen kama tuko pamoja
@alvinbexton6338
@alvinbexton6338 2 года назад
Acha uongo bna imeandikwa kila jicho litamwona sasa ww unaesema roho ndo zitamwona unamaana gani sasa
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 10 месяцев назад
​@@alvinbexton6338sio macho haya ya kawaida maana miili hii tulionayo itakua imebadilishwa
@anthonywill7892
@anthonywill7892 4 года назад
Anae amini Yesu ndio jibu la maisha yako Gonga like hapa
@mtitimtiti376
@mtitimtiti376 4 года назад
Jibu la maisha yako? Kivipi hebu tuweke sawa kidogo
@heartnsanya1182
@heartnsanya1182 4 года назад
Sio mungu bali ni yesu eti
@barakahamisi9870
@barakahamisi9870 4 года назад
Kivip yaaani
@maskartedu2422
@maskartedu2422 4 года назад
Brian Dickon ndio jibu tena?
@meddyjunior5925
@meddyjunior5925 4 года назад
Yesu ni binadam kama mimi na wewe na hawez kuwa jibu wala swali
@alinanuswemaclean1871
@alinanuswemaclean1871 4 года назад
Daima usikubali watu wakushushe! keep fighting and prove them wrong! they will praise you later and be their hero... well done Jamal April....I always believe in Talent, Hard work and Commitment
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 2 года назад
Allah akuzidishie kaka uzidi kuzindua watu kutoka usingizini na kuwatoa kwenye njia iliyopotoka
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 Год назад
Hamna usingizini ila ukweli unabaki ukibainika kuwa yesu atabaki kuwa yesu na wote waliyoigiza kila kitu walikitoa katika bibilia.
@juniorclifford4426
@juniorclifford4426 4 года назад
Umetusahulisha @mtiga.. acha tuendelee kukusuport" weka like👍
@danieljoseph8758
@danieljoseph8758 4 года назад
Hongera sana mwenyezi mungu ata kulinda Niamini lakin watu wabaya wataanza kukupinga na kukukwamisha lakin mungu hashindwi kama ww nini mmoja wa watu ambao mungu amepanga kukutumia kwenye kazi yake amini hamna atakaye zuia japo vikwazo lazma ukutane navyo lakin usiogope wala kukata tamaa HONGERA SANA KUWEKA WAZI UKWERI UNAOFICHWA KILA UCHAO
@shabanimwinchea2696
@shabanimwinchea2696 4 года назад
Huu mzgo umengusa mnooo,Jamaluch respect hii story umeresearch saaana big up
@ayeshanassoro9603
@ayeshanassoro9603 2 года назад
Mzungu
@edgeralves8186
@edgeralves8186 4 года назад
KAma umeipenda hii story gonga like hapa
@salimummbaga4347
@salimummbaga4347 4 года назад
Naombeni like kama umeielewa Jamal anachosema ni ukweli tuacheni kupotoshana Sisi Kwa sisi
@fadhilisanga2392
@fadhilisanga2392 4 года назад
The storybook inazidi kuwa tamu zaidi na zaidi
@nomatter1239
@nomatter1239 4 года назад
Wanaosem jamal mustafa anajuwa snn lik hp zimife 30 tt kam kwel jam anajuwa
@marthaallywatimu92
@marthaallywatimu92 3 года назад
Hahaha mpaka unachapia kisa kuwahi like😂😂😂
@apolinaryalfred9577
@apolinaryalfred9577 4 года назад
Wanayo ipenda the story book mpoooo
@faudhiakambona9170
@faudhiakambona9170 4 года назад
Tupo
@apolinaryalfred9577
@apolinaryalfred9577 3 года назад
@lilian mushy nitafute sup 0625515631
@eliudgideoneliud627
@eliudgideoneliud627 3 года назад
Tupo napenda sana
@jenijoseph7728
@jenijoseph7728 3 года назад
Unajua sana kuerezea vizuri sana
@tikonjoka5090
@tikonjoka5090 4 года назад
from Zambia
@ibrahimmnenwa9919
@ibrahimmnenwa9919 4 года назад
Kama umekubal kumaliza MB zako kama mimi kwa ajil ya uyu jama gonga like twende sawa😀😀😀🤣🤣
@agnesshegha613
@agnesshegha613 4 года назад
Nampendagaaa
@ivanlaizer724
@ivanlaizer724 4 года назад
Hahahaha
@evalinavenance4537
@evalinavenance4537 4 года назад
🤣🤣🤣
@aminihaji4856
@aminihaji4856 4 года назад
Jamal Mustafa. Talented. The story book.
@chichasam9032
@chichasam9032 4 года назад
Amuwezi mtigAAA MIAKA 1000
@stadiusrwiza
@stadiusrwiza Год назад
Yesu ali fufuka mbona kuna fuvu lake
@NissileStephen
@NissileStephen Год назад
Watafiti hao ni binadamu kama mm so cwez wahamin kwa makadilio yao iki ni kitendawili kikubwa sana. lakini cwez walaumu bali nawaombea kwa Mungu awabariki sana na waachane na kazi ya kukadilia sura ya Yesu bal wa muombe sana Mungu awabark wafike mbinguni waka muone yesu kwa uhalisia wake, Asante Mungu kwa kuniumba mm na wanasayansi wanao kisia sura ya mtoto wako tubark cc wote na utusamehe kwa dhambi zetu zote
@zaonline5363
@zaonline5363 4 года назад
Jamal Mustapha this man is geneous
@charitythegolden729
@charitythegolden729 4 года назад
IMANI YA KIKRISTO SI MUONEKANO WA KIMWILI WA YESU BALI UMUNGU ULIONDANI YA YESU.
@ladyubuyu4797
@ladyubuyu4797 4 года назад
Charity The Golden I wish ungewaeleza watu waliodhania kwamba Jamal anaikashif imani fulani kisa anaongelea rangi ya mwili ya yesu. Hapo ndio unajua mabeberu wanetutawala hadi fikra
@charitythegolden729
@charitythegolden729 4 года назад
@@ladyubuyu4797 Ni kweli, YESU Ni jina la kawaida Uyahudini lakini YESU KRISTO ambaye ni MUNGU hatuwezi kumfafanua katika mwili.
@josephlotto996
@josephlotto996 4 года назад
Uko vzr. U make wasafi TV on 🔥
@yohanaeliah9944
@yohanaeliah9944 4 года назад
MTU MMOJA AKANIAMBIA KWAMBA KWANINI UNAMWAMINI YESU HAUJIU KWAMBA YESU NI MZUNGU NIKAMWAMBIA SIKILIZA NIKWEELEZE HAYOYOTE SITAKI KUJUA NINACHOJUWA AMENIOKOA , NILIKUWA MTUMWA AKANIWEKA HURU NDIO MAANA NINA MWABUDU,
@donathasimon9292
@donathasimon9292 2 года назад
Ameniiii
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 2 года назад
Ulikuwa mtumwa? 😂
@Nailafussy-kg7qz
@Nailafussy-kg7qz 4 месяца назад
Yesu alikuwa mtu mweusi wazungu waliwadanganya
@paulmshabaha6356
@paulmshabaha6356 4 года назад
Genius jamal april
@kennedyacholajanyarwenya1126
@kennedyacholajanyarwenya1126 4 года назад
Glory be to God 🙏
@ceciliaeleuterymbangile7989
@ceciliaeleuterymbangile7989 3 года назад
You did a great job, I see pple worshiping other pple,a lot has to be done to transform the mind of people especially the ones living in rural areas
@ceciliaeleuterymbangile7989
@ceciliaeleuterymbangile7989 3 года назад
Wako na picha Za hawa and kneel before them and pray to them
@allansk1035
@allansk1035 2 года назад
@@ceciliaeleuterymbangile7989 That's crazy me as well before doing my research I used to think that is the real picture of Jesus Christ..but it was damn lie 🤥
@terrywatahi1203
@terrywatahi1203 2 года назад
True
@NissileStephen
@NissileStephen Год назад
God bless Brian and his family
@malikzafarani172
@malikzafarani172 4 года назад
King leo apo wasafi 🇶🇦🇶🇦
@abdallawaziri9212
@abdallawaziri9212 2 года назад
The best narrator of how Jesus/ Isa A.S looks like is Mohammed (S.A.W) he narrated how he is, He somehow knew that in later times people will have disagreements about the face of Jesus so He gave us a description.
@josephybaruti1250
@josephybaruti1250 4 года назад
Wasafi media big up
@raphaellazaro5324
@raphaellazaro5324 4 года назад
Hivi ameshindwa kuleta habari ya muhammad analeta ya yesu
@janethsembe7124
@janethsembe7124 4 года назад
Naangalia story huku napitia comments baas muruuuua kabisa😊
@idrissakasase3525
@idrissakasase3525 4 года назад
Hahaha
@idrissakasase3525
@idrissakasase3525 4 года назад
Nakubali
@fatnahsaleh860
@fatnahsaleh860 4 года назад
Story Book yaleo iko dop👌, big up Wasafi
@fpctsamariakahama5713
@fpctsamariakahama5713 4 года назад
Aisee huyu jamaa alisomea wapi kama sio utafiti wahaliayaju gonga like kama mjanja
@balomjeshi3827
@balomjeshi3827 4 года назад
Jamal April 💣💣uko makini brother
@luccabosslugendo9722
@luccabosslugendo9722 4 года назад
We mbwiga kwel makini gan sas hpo na hyo stor ya kiwaki?? Fara kwel nyote..
@costofamily4861
@costofamily4861 5 месяцев назад
Ukiwa mwombaji Mungu mwenyewe anaweza kujifunua kwako!!
@danielmlaponi9235
@danielmlaponi9235 4 года назад
Keep it man big mind strong story
@stevelouis2502
@stevelouis2502 4 года назад
Fata matendo ya Yesu Sula haita kusaidia Chochote na Iman ya Yesu ndy itakayo kusaidia ktk maisha yako msifate Din maana din haipeleke m2 mbingun
@jumakimtanange8177
@jumakimtanange8177 4 года назад
Tafuta na histori ya mtume muhamad S.W
@amaddee520
@amaddee520 4 года назад
Huyu hajui chochote
@naimanuran2663
@naimanuran2663 4 года назад
@@amaddee520 wacha utoto na unyamaze
@moseskilima1168
@moseskilima1168 4 года назад
Fanya yako
@carolynemachi5280
@carolynemachi5280 4 года назад
Yes kabisa naimfikie tunaisubiri tumjuae Muhammad pia
@Arya-me7cx
@Arya-me7cx 4 года назад
Hazardous my dear simshauri afanye ivo hata kidogo yani zote zitasimuliwa lakini kwa kumgusa S.A.W tutaangamia kabla ya muda. .
@Babaphanicemwenyewe278
@Babaphanicemwenyewe278 2 года назад
My God bless you nakuoenda mbure👏👏👏🙏
@mjuba
@mjuba 4 года назад
Jamal mustafa uko vizuri bro👍 Big up sana👊👊
@AliAli-by7vb
@AliAli-by7vb 4 года назад
Uko vizuri sana hadisi zako nazipenda kutoka Jordanie nizielewa
@dollarsamsony5187
@dollarsamsony5187 4 года назад
Gonga like kama unaamini Yesu ni Mungu
@husnabibikhadidjaomari9427
@husnabibikhadidjaomari9427 2 года назад
Wewe mbwa
@badimfinanga
@badimfinanga Месяц назад
Yesu sio MUNGU Bali mtume TU wa MUNGU kama Nabii NUHU, MUSA, IBRAHIMU NA MTUME WA MWISHO MUHAMMAD S.A.W
@badimfinanga
@badimfinanga Месяц назад
M/MUNGU YEYE NIWAPEKEE MMOJA ,HAKUZAA WALA HAJALIWA, NA HAFANANISHI NA CHOCHOTE KATIKA VIUMBE VYAKE( yaani binadamu na Viumbe wengine)
@tariqdasulley
@tariqdasulley 4 года назад
JAMAL STORY ZAKO USIMULII JUU JUU TU YANI UNACHIMBUA KABISA NDANI HUKO 🔥🔥🔥
@jacksonnyahiri4819
@jacksonnyahiri4819 4 года назад
Big up bro.... unaeleweka kinyama never give up we piga kazi c tutakusupport
@impixelmusictz3044
@impixelmusictz3044 2 года назад
Asante sana kaka jamali Mustafa ulichozungumza Ni kweli kabisa
@robinsonshoo6754
@robinsonshoo6754 4 года назад
Big up jamal
@devisshirima6780
@devisshirima6780 3 года назад
Ukitaka kuijua Sura ya Yesu wewe zama kwenye imani kwa ndani kabisa utaijua sura yake, ambapo utakavyoiona wewe sivyo watakavyoiona wengine !! Imani ni fumbo ambalo analijua anayeiamini pekee !! Na kama Mungu alituumba kwa mfano na sura yake basi kila mwanadamu anayo sura ya Mungu !!
@johnmwangi2435
@johnmwangi2435 4 года назад
Asante sana kwa hi story mkubwa
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 4 года назад
Aisee najifunza mengi san Kupitia the story book asante san
@trueonlinemedia64
@trueonlinemedia64 4 года назад
Mzee ukoseagi🔥🔥
@davidmaisely8899
@davidmaisely8899 4 года назад
Hongera umejitahidi kusimulia! Kitu ambacho binafsi yako huamini lakini umesimulia vizuri !! Wewe unaamini kuwa Yesu hakufa alipaishwa mbinguni kutokana na imani yako! Sisi twaamini alikufa akafufuka Swali langu kwako kutokana na simulizi yako Je! Wewe unaamini mwili uliokutwa kwenye jeneza ni wanani? ??
@jumashabani8474
@jumashabani8474 2 года назад
Yuda
@bensonbenjamini7072
@bensonbenjamini7072 4 года назад
Wanaopenda the story book kutoka dar mpo wangapi
@selemanikinyonyi7971
@selemanikinyonyi7971 4 года назад
Kwaiyo wapo 9 tu au mbona comment ninyingi, naona apo kuna like tisa tu
@masoudaliymnatuznguwa5098
@masoudaliymnatuznguwa5098 4 года назад
Hajui lolote kuhusu historia za mitume.soma qur an utaelewa kwa umakini.nabii issa hakufa ispokuwa miujiuza y m/mungu tu na kabla ya mwsho wa dunia nabii issa atarud dunian kutoka mbingun.
@jafaryabdallah7290
@jafaryabdallah7290 4 года назад
Ndo ukasome xx ajasem umfatish yey we muislmu gan xx
@lightnessshayo1783
@lightnessshayo1783 3 года назад
Mnajionaga nyie ndio wenye dini si msome dini yenu Sasa akasone Nani herufi hazieleweki zinanzia nyuma kwenda mbele acha ushambaa
@imakulatapaulo1806
@imakulatapaulo1806 4 года назад
Gonga like kama umekuwa wakwanza kuview
@nasraally4588
@nasraally4588 4 года назад
Qur an ndio inamtambua yesu kuliko MTU yeyote, hizi ni story tu!
@imakulatapaulo1806
@imakulatapaulo1806 4 года назад
@@nasraally4588 mmmh hatr
@sadiqabdullah1294
@sadiqabdullah1294 4 года назад
SubhanAllAh ukafiri mtupu 😢subiri ufe ndio ujuwe
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 4 года назад
Jamal upo vizur sana unachimba sana endelea kaka
@PaulNdonga-ns1vd
@PaulNdonga-ns1vd 4 месяца назад
ACHANA NA IZI IMAGINATIONS PICHA ZA YESU ... AMINI YESU KABLA UFUMANIWE NA MASHIDA ... ACHA SIASA MINGI HAPA KULE 😢😢😢😢 GOD WHO CREATED YOU , YOU WON'T SEE HIM WITHOUT JESUS .. BINADAMU WACHA MAMBO YA MWILI .. SPIRITUALLY , HUWEZI AMINI YESU NI NANI , UTASTUKA SANA KING OF KING ....
@abbaarnaud74
@abbaarnaud74 4 года назад
Kueni makini wa Kristo msibebwi na himani zaki dunia, akuna alieye muona Yesu kristo hata manabi mose habraham wote wakumuona
@nadialee6835
@nadialee6835 4 года назад
Thxs my brother
@reginamatondo4286
@reginamatondo4286 4 года назад
Tunaongozwa naimani tu acheni uchochezi
@dollyesey1478
@dollyesey1478 4 года назад
Imani yako ndo Allah, Imani yako ndo Yesu , imani yako ndo Mungu, uwe mkristo au Islam , Imani yako , uzuri wako wa kiroho , matendo yako na mengine mengi ndio itakayo kupeleka kwenye ufalme wambinguni.. Quran au Bible ni neno na mafunzo tu mbali ufalme wa mbinguni uko ndani ya roho zetu.. stop judging people
@samxx411
@samxx411 4 года назад
@@dollyesey1478 usipomsadiki Mungu wewe ni motoni tu usijitoe ufahamu Mungu ameweka wazi yepi maneno yake, yepi mabaya na yepi mazuri na zuri linajiweka wazi na baya pia lipo wazi Mungu amekupa akili ipo siku atakuuliza uliitumiaje akili yako
@lightnessshayo1783
@lightnessshayo1783 3 года назад
Tuko Makini kuliko unavyodhani 😂😂
@kelyanjeremiya2533
@kelyanjeremiya2533 4 года назад
MUNGU awe nawe pia mzee na azidi kukuongoza na kukubariki kwenye kazi ya mikono yako..🙏🙏
@plachidiusrenatus5834
@plachidiusrenatus5834 4 года назад
naombeni like za jamal jaman🤝🤝🤝🤝🤝💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼
@pudaboytz4956
@pudaboytz4956 3 года назад
Umetisha sanaa Jamal mustaph
@dramamusic3008
@dramamusic3008 4 года назад
Wasafi media
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 года назад
@4life
@alikarisa
@alikarisa 4 года назад
Cha msingi ni kuyaandama aliyo kuja nayo Yesu toka Kwa Mola mlezi wetu. Hii kutaka kujua anafananaje alikuwa mrefu mfupi. Yatatupotosha na yatatutoa ktk njia ya Mungu
@kipensiplatnumz6943
@kipensiplatnumz6943 4 года назад
Jamal ni Fire Kuliko Ata Yuda Mtiga.!
@iammusic3404
@iammusic3404 4 года назад
Kbs👌
@mohammedjuma5595
@mohammedjuma5595 4 года назад
Jamal fire kwa kutunga cy kucmulia
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 4 года назад
Uko vizuri jamaa Jaml, Mtiga alikua anatembelea upepo wako kwa kumtungia stori na mpangilio mzuri
@loneboy6656
@loneboy6656 4 года назад
Yoooo Jamal April anakubal Sana wat ur doing brother unatufumbua akili Lina nn bro hauogob ukamatwa na watuwasiojulikana???
@iammusic3404
@iammusic3404 4 года назад
Mtiga au?😂😂😂 Mana now Jamal yuko on fire🔥🔥🔥
@loneboy6656
@loneboy6656 4 года назад
Yeah bro uko on fire jamal
@luccabosslugendo9722
@luccabosslugendo9722 4 года назад
We bwege kabisa sas kwa stor gan mpaka ufumbuliwe akiri?? Na wasiwas utakua unatokea familia ya vilaza tupu!!!
@tenatanz
@tenatanz 4 года назад
Lucca Boss Lugendo huhuhu ww nahis mpuuuz
@gladysodinda4775
@gladysodinda4775 2 года назад
Yesu alifufuka hata kitabu Cha Quran surah Al Maryam ilitabiri atazaliwa kufa na kufufuka Mimi ni mkristo nmeshika hio Imani ...mengine Sina haja ya kusikia AMEN
@njikuhr1875
@njikuhr1875 5 месяцев назад
Huyu bwana anaitwa brayan deacon. Ni mnywaji mzuri sana wa konyagi
@bnztechnologies2676
@bnztechnologies2676 4 года назад
jesus is alive my friend hekima ya kibinadamu ni upuuzi kwa Mungu
@gidionimbona7420
@gidionimbona7420 4 года назад
Hongora San kijana
@rebeccamsechu6067
@rebeccamsechu6067 4 года назад
Sifaham kama story ilikuwa inamuhusu jamal(hakuna kinyongo juu yake)..kama ingekuwa ivyo angesema,,,,ni msimuliaji.. Basi tusikilize amesemaje..... *Sura ya Yesu* ndilo alilotaka muwaze lakini hamuoni japokuwa mnayo macho.. Mm naona hivi.. 1. Ilikuwa rahisi sana Yesu kuacha sura yake lkn hakufanya..kwann? Alijua mtaiabudu na nina hakika 100% hakuna aliyeipatia.. ...imeandikwa**anawajua waliowake nao waliowake wanamjua** NA HAWAHITAJI PICHA! 2. Yesu hakuwa na haja ya kushikamana na dini ...wala hakuileta....alifanya kwa wote maana yy ndiye dini...na ukitaka kwenda kinyume kumgawanya basi hunaye tena..
@jumashabani8474
@jumashabani8474 2 года назад
Yesu ni jina lake sio dini
@zawadigongo9495
@zawadigongo9495 4 года назад
Asante sana Jamal mstafa
@ey3022
@ey3022 4 года назад
Ukitaka kumjua YESU nan? soma Isaya 9:6 utamjua 2 💓
@allyseugendo
@allyseugendo 4 года назад
Hicho kitabu cha isaya kaandika yesu kaandika mtu kama wewe
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 4 года назад
Soma Qur'an Kareem kitabu chenye Tohaara
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 4 года назад
@@allyseugendo hawajui hawa majahili.
@ey3022
@ey3022 4 года назад
@@h.alshidhani8971 mtume alimuoa aisha akiwa na miaka sita inaonesha allah si mwenye hekima kwa nini aliruhusu mtume aoe kitoto
@ey3022
@ey3022 4 года назад
@@allyseugendo kwan quran iliandikwa na mkono wa allah au mikono ya wanadamu ambao walienda chooni kama wewe?
@glorymakena7811
@glorymakena7811 Год назад
Siku isi watu wameigeuza adi bibilia asifanani ukishoma bibilia kwa umakini bibilia sikona tofauti sana ,yaan ndunia imejawa na Giza sana nivigum kuelewa neno la mungu
@aselamer8261
@aselamer8261 3 года назад
Asante jamal kwa ufafanuzi
@selfaakinyi512
@selfaakinyi512 4 года назад
Nikweli, bill gram the former evangelism, from north Carolina he said Jesus was like Africa not a white man with long hair.
@hamisimbonde9216
@hamisimbonde9216 4 года назад
Selfa Akinyi good
@AsiaAbdi-uu4bs
@AsiaAbdi-uu4bs Месяц назад
Kama una amini yesu ata kukomboa gonga like ❤
@omarychussa5585
@omarychussa5585 4 года назад
Makina sana bro jamal...
@omarychussa5585
@omarychussa5585 4 года назад
Kazi nzur
@idrisarashidkasongo5433
@idrisarashidkasongo5433 4 года назад
Maelezo ya mwisho ndo sahii ila sio kufanana kwa picha ilioigizwa ila kwa sifa ulizotaja mwisho ulivomalizia ni sahihi lakin sio kwa move zilizoigiwa. Ila sipend kuulizwa nimejuaje bali kila mtu kaletwa dunian kwa sababu maalum na kwa makusudio ya Mungu pekee na sio wanadam wala viumbe wowote ila Mungu tu.
@stevelouis2502
@stevelouis2502 4 года назад
Tito 2 13 tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; Yesu ni mungu😍😍😍😍😍
@sohychances6747
@sohychances6747 4 года назад
Poleee Sanaa ila ndoulivyo karirishwaa wake up kma yesu NI Mungu bas na Abraham baba wa imani NI Mungu pia pamoj na mitume wengine
@stevelouis2502
@stevelouis2502 4 года назад
Jesus is God without him nothing will happen asiye mkubal yesu tayal amesha ukumiwa
@azizjuma7678
@azizjuma7678 4 года назад
Kasomeni acheni kulishwa matango pori
@ayyubbakari634
@ayyubbakari634 4 года назад
Miungu ipo miiiingi .mungu jua ,mungu ng'ombe kwahiyo kumuita bidadamu mwenzako mungu wala haistui
@samxx411
@samxx411 4 года назад
Iteni tu yeye ni Mungu ila yeye hakusema wala biblia haikusema kuwa Yesu ni Mungu
@Alemabrown
@Alemabrown 3 года назад
Yesu hafananishwi na yeyote Ila wanaoigiza wanafunza jinzi yesu alifanya KAZI
@alikhamis6326
@alikhamis6326 3 года назад
Ahsante kwa kusimulia uhalisia wa issa wa ukweli Allah akubarik
@lutalemwajosephat5039
@lutalemwajosephat5039 4 года назад
WCB for life
@emmanuelmagdarena405
@emmanuelmagdarena405 4 года назад
Nimekukubal hatimae.....👏👏👏
@salamakibuda5394
@salamakibuda5394 4 года назад
Kama wewe una ipenda the story book kama mimi gonga like
@tobiassuwi3036
@tobiassuwi3036 3 года назад
Wcb
@Kazimily_Music
@Kazimily_Music 4 года назад
Nakukubali mwamba 👊
@gablielsamwely1081
@gablielsamwely1081 4 года назад
Noma sanaaa jarmariii mzee wa story book nakubaliiii miaka yote
Далее
CORTE DE CABELO RADICAL
00:59
Просмотров 1,7 млн
The Story Book : Firauni na Kufuru Zake
44:34
Просмотров 1,1 млн