Тёмный

TID ang'ara Kenya, wengi wajaa kumwangalia, Fid Q adai 'comeback' yake hakuna aliyeitarajia 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Развлечения

Опубликовано:

 

24 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 месяца назад
Kuna kitu kingine watu wengi hawajuwi T.I.D anaswali sana na Mungu siku zote ukimtegemea uwa hakutupi
@PatrickSaid-zz6gf
@PatrickSaid-zz6gf 3 месяца назад
Mungu na mzki wap na wap bab
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 месяца назад
Dini sio jela Kaka
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 3 месяца назад
Ukila unga je anakutupa😢😢
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 месяца назад
@@hezronjoseph405 Kabla Ya kutowa hukumu kwa wenzio jitazame wewe je ni mkamilifu
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 3 месяца назад
😅😅😅​@@PatrickSaid-zz6gf
@yazzgray9757
@yazzgray9757 3 месяца назад
Quiver milimani....ni one of the best lounges in Nairobi..big up Mzee Baba...
@Zaidiyanusumedia
@Zaidiyanusumedia 3 месяца назад
Nashangaa sana mbona simu oni Q-Chilla kwenye hizi media tour zingemasaidia pia kupata kitu big time
@Khalidniya380
@Khalidniya380 3 месяца назад
Kenyans where are u?
@user-sh6ch6ex1h
@user-sh6ch6ex1h 3 месяца назад
He's nearly to 50yrs..hamna kitu avute tu bangi
@aroundtheglobe8041
@aroundtheglobe8041 3 месяца назад
Kenya tunawapenda Sana TZ Ila nyinyi wachokozi sana😂😅
@DM_15
@DM_15 3 месяца назад
Apige hela chap chap ajipate awekeze jua la machweo kwake sasa
@maximillan8309
@maximillan8309 3 месяца назад
Kenya has the power to wake the dead
@mirajiiddy7385
@mirajiiddy7385 3 месяца назад
dah we jamaa bana
@songabaluku4153
@songabaluku4153 3 месяца назад
Hiyo "Who is this guy?" Ndio comeback?! Atoe hits bila hvyo hiyo meme yake inaisha value very soon
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 3 месяца назад
For sure
@marthamatiku5729
@marthamatiku5729 3 месяца назад
Wakenya wanapenda sana nyimbooo za Tanzania ukienda kenya ukikaaa asilimia 90 wanapiga bongo flavour Tanzania nyimbo ata za zamani mpya za akina diamond aslay alikiba lina nakadhalika
@adamsengo1869
@adamsengo1869 3 месяца назад
Ni sawa lakini malipo yake yamestahili jina lake?! Too much respect for my brother home boy TOP IN DAR
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 3 месяца назад
Hongera sana t I d pambana wewe ni wewe hakuna wewemwingine
@gilbertbusuku7445
@gilbertbusuku7445 3 месяца назад
🔝 top in Der
@classicwaisala6677
@classicwaisala6677 3 месяца назад
Mambo ya Mungu
@lorrineadhiambo5920
@lorrineadhiambo5920 3 месяца назад
Ila Wakenya ni warembo wow
@jumanassoromzee5417
@jumanassoromzee5417 3 месяца назад
Mwanetu wa kinonondon
@user-ui5zo9re8b
@user-ui5zo9re8b 3 месяца назад
Namimi namupendaga
@khalidibero
@khalidibero 3 месяца назад
Sasa hivi Q chief atasema TID anamroga
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 3 месяца назад
😂😂😂😂
@shabanigoodjopdjuma2927
@shabanigoodjopdjuma2927 3 месяца назад
T.I.D ukiachana music ndaniake anakipajicha comedy tazamahatakwaile movie waliocheza utaelew nafasinyi ni😂😂🇺🇸🇺🇸
@BABUNASHIMBI
@BABUNASHIMBI 3 месяца назад
Afu iyi sim ao mic😂😂
@user-tq5di6mv9c
@user-tq5di6mv9c 3 месяца назад
Sema nachokiona kwa sasa wakenya wakikukubali tuu wewe umetoboa
@user-lx2yc8tj5h
@user-lx2yc8tj5h 3 месяца назад
Mnyama
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 3 месяца назад
wakenya msije sema huyu wa kwenu 😂😂tunamuweza sisi watanzania
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 3 месяца назад
Upendo wanaonyesha hakuna anayemdai huyu
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 3 месяца назад
Hawamdaiii
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 3 месяца назад
Kigooo,kigoooooo, ni yeye,niyeyeeeeedeee
@SamsonSony-yc3iz
@SamsonSony-yc3iz 3 месяца назад
Who this guy passing around
@omarybakary1234
@omarybakary1234 3 месяца назад
🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 3 месяца назад
Tatizo nyie watanzania amuwapendi wasani wenu kila siku diamond alikiba , sahivi mondi amezima anaimba utopolo. Anataka apande ju ya meza 😂😂😂. Uku Mozambique tunawapenda sanaaa wasaniwenu na hata Kenya wanapenda sanaaa wasani wa bongo ila tatizo nyie wenye kwa nyewe ndio amupendani. Kuna interview Mr nice alisema kuwa anapendwa Kenya kuliko nyumbani
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 3 месяца назад
Hapo sasa😂
@RichardRutembesa-ns1kn
@RichardRutembesa-ns1kn 3 месяца назад
We Mwenyewe unajicheka !!! Jitekenye!!! Hata kwenye!! Visturi atapanda!!! We utabakia unakandia!! tuuu!! Jiangalie we Raia!!!
@evansogutu4167
@evansogutu4167 3 месяца назад
Akipewa milioni moja Kenya money...atakuja kufungua kiwansa uku bongo
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 3 месяца назад
Sio mbaya,ni msanii mzuri ila alijichanganya kidogo​@@evansogutu4167
@peninashungu6633
@peninashungu6633 3 месяца назад
Mbona mwenzie hayupo nae, mana ata oman amefanya shoo bila mwenzie washagombana hao
@aminnoour4788
@aminnoour4788 3 месяца назад
Mwenzie ukimtazama ata machoni mwake utamuona nimtu walawama yuko kama mwenye kulipiza kisasi . Na roho mbaya inamtafuna. A chif mumtazame vizuri
@pujimontanapachino4958
@pujimontanapachino4958 3 месяца назад
Kavunja kitu hapo wakenya walivyo na nongwa lazima wamlipishe 😂
@Mary_suip
@Mary_suip 3 месяца назад
Tid ni legend wa mzigi nani amkatae
@user-ut4yr3ih2n
@user-ut4yr3ih2n 3 месяца назад
TID wa kwetu Kenya ila kapotelea Bongo
@vumbakingvumbaking9571
@vumbakingvumbaking9571 3 месяца назад
Sasa q chief ita kuwaje SI kundi moja hawa jamaa asi muache mwenzie
@zahorjacob2730
@zahorjacob2730 3 месяца назад
Huu ni muda Tid mnyama kurudia girlfriend kwa kupita na mdundo ule ule ila uongezeke ufundi kidogo ktka beat ili kuweza kupata radha ya sumu kutoka kwa Jabar q cheaf,,maana naye anatakiwa aweke ufundi wake kwenye goma hilo remix ya kibabe irukeee mtaani mpaka kuvuka mipaka ya dunia
@elbarrey3305
@elbarrey3305 3 месяца назад
Apunguze kukata viuno kwa kaliba yake hafananiiii
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 3 месяца назад
kwenye coments kwenyewe watajazana wakenya
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 3 месяца назад
Umesemaa
@josephjohn2114
@josephjohn2114 3 месяца назад
Yule Last born simuoni kwenye hii show ....basi atanuna huyo maana kazi yake ni kulaumu wengine tu
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 3 месяца назад
😁😁
@Zenny89
@Zenny89 3 месяца назад
Mmh!!! Q Chief ataanza kununa mda si mrefu!!! Si mnamjua kibaba kile kinawivu😢
@josephjohn2114
@josephjohn2114 3 месяца назад
😂😂😂
@alibinjuma793
@alibinjuma793 3 месяца назад
Amepiga palepale panapo mshono
@chembejohn9605
@chembejohn9605 3 месяца назад
Tid mnyama....warioba. hamia kenya kiukwel jmaa wanamapenz y ukweel n ww toka ukifnyaa colabo n naziz. ..
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 3 месяца назад
Hoyaaa❤
@mozasalum8742
@mozasalum8742 3 месяца назад
Mbona q chief hayupo 😅😅😅😅😅 ataanza vita
@noelyrajabu105
@noelyrajabu105 3 месяца назад
Umewaza kama mm maana hili bichwa lina makolokolo😂😂hachelewi kumtupa mwenzake
Далее
Ах как прекрасно
0:17
Просмотров 30 млн
🤣🤣❤️
0:26
Просмотров 2,5 млн
There’s A Starman #superman #shorts #memes
0:26
Просмотров 59 млн