Тёмный

TID na Q CHIEF wamchana HARMONIZE, MARIOO, wamtania MR BLUE, washangaa kutoswa IFTAR ya IKULU 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 49 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 263   
@NUSRATRAJABUMTANDIKA
@NUSRATRAJABUMTANDIKA 6 месяцев назад
The way TID talks about GOD 🥹❤️ binadamu kosa vyote ila usikose hofu ya mungu wallah 😢
@jayaznrisac699
@jayaznrisac699 6 месяцев назад
Sahihi
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 6 месяцев назад
Katika interviews ambazo mzee kigogo ametulia na ameachana na zile wenge basi ni hii moja wapo,,gonga like kama umeligundua hilo
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 6 месяцев назад
Sisi wenge zake huwa zinatufanya tucheke kabla ya kuhojiwa tu lazima ucheke😅 big up kigogo
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 6 месяцев назад
Kabisa mzee! Tid kapoa Sana humu! Ila wametisha Sana
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 6 месяцев назад
Kwakweli, tena wote wawili 😂😂😂
@kayjuma2629
@kayjuma2629 6 месяцев назад
TID is a natural comedian wallah, nadhan akipewa kipindi kwenye media Fulani atashine vizuri Sana. Ni content creator na pia anaweza kuweka trends za maneno mtaani
@TomJohns_TJ
@TomJohns_TJ 6 месяцев назад
Alipewa kipindi DStv, Maisha Magic Poa, alikuwa na Chid Benz, hawakufanya poa. Nadhani yuko vizuri iwapo akihojiwa aina fulani ya maswali, hapo ndiyo anaweza kuchekesha.
@hajilubwaza3412
@hajilubwaza3412 6 месяцев назад
Uko sawa na namkubali sana
@hajilubwaza3412
@hajilubwaza3412 6 месяцев назад
Nahisi vhila alikua anajidai sana kipindi
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 6 месяцев назад
​@@TomJohns_TJ Wee kumbe aliwahi
@IsaacParuz
@IsaacParuz 6 месяцев назад
SNS mmetumia nini Hadi Hawa jamaa wamekuwa na utulivu kiasi hiiki kwenye interview!😂 safi sana hii ni Kwa sababu ya respect yenu media au watanagazaji wakiwa serious na smart basi hata interview inakuwa smart. blessings
@awadhally1052
@awadhally1052 6 месяцев назад
Mwezi wa Ramadhan huu hawajalewa.
@hansmosses9422
@hansmosses9422 4 месяца назад
We ujaangalia mpk mwisho
@mzamilyginga7321
@mzamilyginga7321 6 месяцев назад
Versace ya qchief ni matokeo ya kumuagiza vitu bodaboda...😂
@saidesanto1120
@saidesanto1120 6 месяцев назад
SNS mi naomba like zenu mana nawafuatelien sna
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 6 месяцев назад
TID is great comedian😂😂😂
@PatrickMpitabakana
@PatrickMpitabakana 6 месяцев назад
Tangu ni subscribe iyi channel hiyi ndio interview yakwanza inayonikosha roho.the legend's on the top
@onekisstv8412
@onekisstv8412 6 месяцев назад
Apo TID kama sio yeye vile subili Kichaa Kipande 😂😂😂😂 sasa
@alibinali_
@alibinali_ 6 месяцев назад
Naangalia nikiwa Qatar 🇶🇦 hao jamaa nawakubali sana TID and Q CHIEL The Greatest all time GOAT 🐐
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 6 месяцев назад
Nyie kenge mna sauti melody na knowledge but the only thing makes u to be down by now is ... Muache chuki ubinafsi na wivu wa maendeleo... Mkae mtambue kuwa mlikosea na kucheza wakati wenu but stil mnaweza kurud na kuwa something else again ... Waswahili wanasema funika kombe mwanaharam apite
@uchebetz7284
@uchebetz7284 6 месяцев назад
I like dat.comment big up brother kwa good opinion
@NUSRATRAJABUMTANDIKA
@NUSRATRAJABUMTANDIKA 6 месяцев назад
Na kama kuna mtu anamchukia TID de way his funny aisee huyo mtu anahitaj maombi tena makubwa 🤌
@brunobalama6046
@brunobalama6046 6 месяцев назад
😂😂...mwanzoni mwa interview walikuwa wapole had nkashangaa but kadil mda unavyoenda mashetan yanapanda kichwan
@kingndinyo9764
@kingndinyo9764 6 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hawa wazee funny kishenzi nilitaka nishangae
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 6 месяцев назад
😂
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 6 месяцев назад
Awa ni kama aki na paw paw
@salimaahamad2323
@salimaahamad2323 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 6 месяцев назад
Niliangalia mwanzoni nikakoment wameongea kwa busara mpaka wanaweza pata ubunge, nilivyomalizia mpaka mwisho nikagundua i was wrong, awa jamaa wapewe kipindi kiitwe The interviewers😅
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 6 месяцев назад
Hiii combination mkimchkua na chid benz mmemaliza
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 6 месяцев назад
Qchief anavyoongea kwa busara na bashasha, angestuka mapemaaaa kwenye siasa angekuwa mbunge ka professor😅😅
@jayfourtv115
@jayfourtv115 6 месяцев назад
Mnajua mpaka mnajua tena kiukweli ndio maana wasanii wa studio wanawafanyia figisu msisikike Ila kila hatua dua mungu atawaleta kwenye muda sahihi mtasikika mtavuma tens sana sana zaidi ya sana
@ahmedsalumomar5002
@ahmedsalumomar5002 6 месяцев назад
Hiii interview ikaekwe makumbusho for sure 😂😂😂
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 6 месяцев назад
Nilikuwa natafuta comments za ndugu zetu wakenya 🇰🇪 vp hawajapita huku 😂😂😂 (NO HARD FEELINGS)
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 6 месяцев назад
Mki fail stop blame game, you guy's are bitter, you wasted your time.
@aminsalum5731
@aminsalum5731 6 месяцев назад
TID NA Q MPEWE KAZI CROWN FM
@IssaHussein-d4e
@IssaHussein-d4e 6 месяцев назад
Idea nzuri sana inabidi waifanyie kazi. Jawa jamaa wana content wakipata media kama hio itakuwa poa sana
@gthirty
@gthirty 6 месяцев назад
Kabisa wako na kitu hawa jamaa
@Isy9146
@Isy9146 5 месяцев назад
mmh
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 6 месяцев назад
Kunamadini nimeyachukua na nimejifunza kupitia nyinyi point sanaaaa hasa upande WA marezi Kwa watoto❤❤❤❤
@IDV630
@IDV630 6 месяцев назад
From Rwanda Hao weshimiwa tunawapenda
@Thekidp3702
@Thekidp3702 5 месяцев назад
TID ,Q CHIEF&CHID BENZ .These guys 😂😂😂😂😂😂 i wish wangefanya podcast pamoja
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 6 месяцев назад
Mwenyezi Mungu awape umri mrefu
@wardakhalid292
@wardakhalid292 6 месяцев назад
Guys are funny, I love the whole interview 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼😍😍😍
@rasmbegu
@rasmbegu 6 месяцев назад
Nyie mnachekesha sana heshima kwenu mmetisha sana nimependa
@MaulanaAbdallah
@MaulanaAbdallah 6 месяцев назад
TID nakutambua broo since day 1 mzee wa girlfriends
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 6 месяцев назад
Interview imeanza from 0-100 real quick
@kuringemartin1203
@kuringemartin1203 6 месяцев назад
Bros are actually smart, just clearly been through a lot!
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 6 месяцев назад
SASA AKILI MNAZO,,,MNAJICHETUAGA NINI
@iddiramadhanismaiyl2649
@iddiramadhanismaiyl2649 6 месяцев назад
Kuna mahala q chillah kakuita fred waaa kama umemsikia hahahahah!! Gonga like mwenzangu ulosikia q chilla akimuita sky walker fredwaa!
@geniusplus8586
@geniusplus8586 6 месяцев назад
Untambua kama Sky anaitwa Fred?
@AgathaMatambula-lf7fv
@AgathaMatambula-lf7fv 5 месяцев назад
Ila TID kanichekesha jaman 😂😂😂
@NasmaIlandu
@NasmaIlandu 6 месяцев назад
Ila interview za kigogo lazima ufurah
@Isabella-ww8ks
@Isabella-ww8ks 6 месяцев назад
Nimejua kucheka walh😅😅😅😅😅😅😅
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 6 месяцев назад
wakali waburudani ❤
@martingachare6844
@martingachare6844 5 месяцев назад
Tid,q chief are such a vibe much love frm the 254
@buanaquendaabdalaabdala8260
@buanaquendaabdalaabdala8260 6 месяцев назад
Nimependa sana 🇲🇿
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 6 месяцев назад
Wanaanzaga wapole ila mwisho sasa, watavuruga kila kitu, hahhhhhhhhh
@paulmutailuka2417
@paulmutailuka2417 6 месяцев назад
Nilikuwa nasubilia sana hii enterview kaka sky umetisha mnyama na Qchilla wanajua sana OLD SKULL YA BONGO! Nimecheka sana mnyama yupo funny sana.
@mohamediyakoub3397
@mohamediyakoub3397 6 месяцев назад
The students of SHABANI ROBERT HIM SELF
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 6 месяцев назад
Mungu awabariki
@LaurentMtachi
@LaurentMtachi 6 месяцев назад
Tid ni comedian mbaya sana
@tituskaponda9343
@tituskaponda9343 6 месяцев назад
Brother sky is trying hard to go with the flow of these 2 fools. Yaani they are now the ones asking questions 😂😂😂
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂interview kali yaan hutamani hiishe😂😂
@mubarakhassan2618
@mubarakhassan2618 6 месяцев назад
Tid atakipaji cha uchekeshaji yan anaye muchukia huyo ajijuw ni ibiris
@osca_kitomari_journalist
@osca_kitomari_journalist 6 месяцев назад
TID mnyama! Napenda Sana life style yake🔥🔥
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 6 месяцев назад
Umenikumbusha song la q chillah nilipokuona more fire
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 6 месяцев назад
SnS Watafute Ramadhan Brothers Tuna Iman Wana Kitu Cha Kutueleza Lkn Uko Wanapopita Hawatuwaelew Kabsa Kwa Maswal Wanayoulizwa
@uchebetz7284
@uchebetz7284 6 месяцев назад
Walisha hojiwa ingia RU-vid
@georgenjoroge6243
@georgenjoroge6243 6 месяцев назад
Kenyan guy in the states here: TID is one of the best interview ever. He's so funny, so naturally confident, so allergic to bullshit. Respect to the legend!
@LeilaSadik-o1w
@LeilaSadik-o1w 6 месяцев назад
QCHIEF RUDISHA MWILI WANGU TID MIMI MZAMBIA NAWAPENDA SANA
@abdallahmakumbato6688
@abdallahmakumbato6688 6 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅 mmetisha sana mkipata kipindi crown tv mtapata mashabiki sana
@vincent9132
@vincent9132 6 месяцев назад
Love this two man for real ❤
@swalehtv
@swalehtv 6 месяцев назад
These two Gentlemen.. musician by birth. 1.Now its time to open a music academy for their legacy(tafuteni investors) 2. Do a life band,well branded as you enjoy ur life ya uzeeni. ..much love 💙 brothers.
@SamiaNassor-y4j
@SamiaNassor-y4j 6 месяцев назад
Undisputed LEGENDS 🤝
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 6 месяцев назад
I love your English TID sijui mbna watanzania wengine hawashiki kiingereza kabsa
@uchebetz7284
@uchebetz7284 6 месяцев назад
Sio ila hawapend kuuzungumzia
@petrojacob6070
@petrojacob6070 6 месяцев назад
Uzungu mwingi mno
@uchebetz7284
@uchebetz7284 6 месяцев назад
Lakin siumeelewa lakin
@mrromantic8889
@mrromantic8889 6 месяцев назад
Chiler amekufaaaaaaaaaaaa yeeeeeyeyeeeee😂😂😂😂😂😂
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 6 месяцев назад
It's true now days hakuna rhymes za Kweli.matusi nyimbo hazina vina wana changanya changanya
@jumalihumbo5314
@jumalihumbo5314 6 месяцев назад
Hofu ya mungu nan amegundua kwa kigogo🎉
@seltricking26
@seltricking26 6 месяцев назад
😂😂😂😂 Hawa watu shida kabisa
@mikegifted6036
@mikegifted6036 5 месяцев назад
Jameni Tid umenichekesha.
@shuuhamad3514
@shuuhamad3514 6 месяцев назад
Wanyama wawili Hatar Nawakubal kinoma
@saidalghafri3111
@saidalghafri3111 6 месяцев назад
TID kaka Leo unaongea vema kabisa
@RafaelKaswahili
@RafaelKaswahili 6 месяцев назад
Hawa jamaa wanamasihala lakini wanazungumza vtu halisi saana kwenye muziki kunawasani wanaimba utumbo saana aisee😅😅
@svt3
@svt3 6 месяцев назад
Utumbo ndio unahitajika sokoni ona namna wasanii siku hizi wanafaidi
@Tanafa-j9q
@Tanafa-j9q 6 месяцев назад
Kaimbe wewe kenge wee
@RafaelKaswahili
@RafaelKaswahili 6 месяцев назад
@@Tanafa-j9q Afya ya akili ndio tatzo ulilonalo
@BHALEEALI
@BHALEEALI 6 месяцев назад
daah hawa watu ni watu smart sana ukiwaskiliza utacheka na hapo hapo unapata elimu kubwa ya mtaa
@habari254
@habari254 6 месяцев назад
Interview mature sana !
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 5 месяцев назад
KICHEKO NNACHOCHEKA KWENYE INTERVEW ZA HAWA JAMAA NA MCHOZI JUU❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@stevewanga957
@stevewanga957 6 месяцев назад
Wanatalk sense wasanii wa studio ndio wamejaa sai no wonder ngoma siku hizi hazikai sana 😂
@malkavoice2570
@malkavoice2570 6 месяцев назад
Hizi ni shida guys
@Tibumakamb
@Tibumakamb 6 месяцев назад
Asee awajamaaa nawakubalii since day 1,bado masanamu yao tu yawekwe
@AlexanderNimbona-lj4ln
@AlexanderNimbona-lj4ln 6 месяцев назад
Tid Legend✊✊✊💪💪
@ConstanceKarisa-yq7qc
@ConstanceKarisa-yq7qc 6 месяцев назад
Hawa wafungue media jamani😂😂😂😂
@RichWise671
@RichWise671 6 месяцев назад
Actually These Guys are naturally powerful and experienced on the mic 🔥🔥🔥💝🙌😊
@PeterMalima-fc4tf
@PeterMalima-fc4tf 6 месяцев назад
Nilivyokuwa mdogo Kuna Ngoma ya Qchief nilidhani jamaa kweli ni yatima
@voisaclassic1866
@voisaclassic1866 6 месяцев назад
Kuna mtu humuelewi q chillah kama Mimi asee
@StevenAsunga
@StevenAsunga 6 месяцев назад
Tid bhan😅
@vumbakingvumbaking9571
@vumbakingvumbaking9571 6 месяцев назад
Sema wazee bangi muachie vijana sasa mfanye kazi
@1salema1
@1salema1 5 месяцев назад
26:27 comedy gold
@dattymanne
@dattymanne 6 месяцев назад
very funny interview😛😛😛😛
@allycantara3873
@allycantara3873 5 месяцев назад
Umeskia kazi hyo 😂😂😂😂
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 6 месяцев назад
Sky umecheka sana leo😂😂😂😂😂hawa jamaa ni zaid ya vomedian
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 6 месяцев назад
Comedian
@nassorokatuga3507
@nassorokatuga3507 6 месяцев назад
Kipindi Bora kabisaaaa nimeanza mwanzo mpka mwisho bundle lilisha na nikajiung
@himidiwekabuje8402
@himidiwekabuje8402 6 месяцев назад
😂😂😂😂wap msechu
@salmaheri971
@salmaheri971 6 месяцев назад
Noma sana wazee 😂😂😂😂
@HassanAbdallah-f6o
@HassanAbdallah-f6o 6 месяцев назад
Hii ndio interview pendwa mwaka 2024😂😂😂😂
@lapozzydone5203
@lapozzydone5203 6 месяцев назад
Nimenjoy sana hii interview
@queenmilan2024
@queenmilan2024 6 месяцев назад
MBONA UNAWALAZIMISHA KUONGEA? I HOPE UMEWALIPA PESA NZURI KUFANYA INTERVIEW.
@mainawilliam6418
@mainawilliam6418 5 месяцев назад
TID is a big thing
@selemanimadeha4658
@selemanimadeha4658 2 месяца назад
Kosa lilianzia pale alipowauliza eti mbona wapole sana leo😂😂😂😂😂
@dattymanne
@dattymanne 6 месяцев назад
mitama ya shingo😃😃😃
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 6 месяцев назад
Mbona sijda ya brother tidi iko juu pale utosini 👀
@mpokimwaipungu8480
@mpokimwaipungu8480 6 месяцев назад
Think the best interview
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 6 месяцев назад
Madawa Yanaharbu Sana Vipaji Mtafka Mbali Sana Kama Mafanikio Yenu Mtayafanya Katika Kuwekeza Na Sio Kufanya Starehe
@Chazubainvest
@Chazubainvest 6 месяцев назад
God is good all the time
@marshallskogallo
@marshallskogallo 3 месяца назад
hapa vocals ziko very powerful
@mrromantic8889
@mrromantic8889 6 месяцев назад
Ukimuulz sholo mwmba😅😅😅😅
@ibwaydigo
@ibwaydigo 6 месяцев назад
Ma legendary 😂😂😂
@LeilaSadik-o1w
@LeilaSadik-o1w 6 месяцев назад
WAPENZI WENU WENGI MITAANI VINGEREZA AWAVIJUI JIVUNIENI LUGHA YENU KISWAHILI
@raymoshmikidadi87
@raymoshmikidadi87 6 месяцев назад
Ndio wajifunze taratibu.. Ujifunze kujiongeza katika maisha sio kulalamika
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 6 месяцев назад
Acha kulalamika, jifunze kiingereza dogo
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 6 месяцев назад
Huo upuuzi wakutaka kuwa mzarendo ndio unaofanya wasanii wetu wakubwa washindwe kutoboa kimataifa ... Watu wameingia ktk sanaa ya muziki kujiokoa kutoka ktk hali ngumu ya kimaisha na sio uharakat wa kutangaza lugha hiyo kazi ya serikali
@uchebetz7284
@uchebetz7284 6 месяцев назад
Rud shule
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 6 месяцев назад
@@uchebetz7284 Kabisa, wabongo tunalalamikia kila kitu😃
@NUSRATRAJABUMTANDIKA
@NUSRATRAJABUMTANDIKA 6 месяцев назад
From IG to here because of TID woii 😂😂😂😂
@pitbullfamily4499
@pitbullfamily4499 6 месяцев назад
😈😈Réal talk show 🙌🏾🙌🏾💯💯
Далее
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
Вопрос Ребром - Серго
43:16
Просмотров 738 тыс.
TID : WEMA SEPETU / ANANUKA MDOMO
33:37
Просмотров 306 тыс.
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45