Тёмный
No video :(

TOXIC FT KONTAWA - MWAKANI 

Toxic
Подписаться 57 тыс.
Просмотров 455 тыс.
50% 1

Vitu Vinavyokuja Mwakani
Producer - JayDrama
Director - Billy lenz

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 940   
@alfredbizimana7814
@alfredbizimana7814 Год назад
"Mwamba amehonga Kila kitu ila amebaki na kikohozi" Aliye iskia gonga like hapo🤟🤟🤟🤟
@hasheemomary4507
@hasheemomary4507 Год назад
😁😁
@sanchostylist...9719
@sanchostylist...9719 Год назад
Konde...😁
@enemwescumulus3379
@enemwescumulus3379 Год назад
Safi sana good idea
@nobertyohani5637
@nobertyohani5637 Год назад
😁😁😂😂😂😂😂. Nimesikia hapo
@triphonechami1037
@triphonechami1037 Год назад
Kuna Connection nyingi
@jordanjonas8009
@jordanjonas8009 Год назад
Wanangu wa TOX tujuane kwa like jaman 🔥🔥🔥🔥
@stephenmaroa6178
@stephenmaroa6178 Год назад
💯
@SEXYMOMO
@SEXYMOMO Год назад
📞
@officialmanji4438
@officialmanji4438 Год назад
Respect Sana
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Год назад
Huyu namkubal kitambo sana
@kephadonald3299
@kephadonald3299 Год назад
Huy mxenge nlikuwa cmjui lkn kumbe mnyama🔥🔥🔥
@salimally2823
@salimally2823 7 месяцев назад
Ndio mwaka tunaumaliza Ivi..Kheri ya mwaka 2024 wanangu,ila kweli kuna watu kibao mwaka wameshindwa kuumaliza,ukiwa mzee gonga like tukimshukuru Mungu
@dikaboy979
@dikaboy979 Год назад
Ewaaa nimewai nipen like zangu twende sawa
@roselaremigius8435
@roselaremigius8435 Год назад
Dah" kuna watu siwaoni mwakani" 🥺, so touching 2023 imetisha mapema sana. Well done Toxic&Kontawa👏👏❤️❤️
@ommymsomi4362
@ommymsomi4362 Год назад
The finishing part of Kontawa is so Touching
@arynxbaba9091
@arynxbaba9091 Год назад
saaana wallah Kuna watu mwakani siwaoni😭😭😭😭
@FutureProfitinc
@FutureProfitinc Год назад
Kabisaaa
@nzogyamkumbo1654
@nzogyamkumbo1654 Год назад
Ebwana kwa uwezo wa Mwenyenzi Mungu mwenyewe akipenda tutaonana mwakani...
@hassanidrisankingilea8827
@hassanidrisankingilea8827 Год назад
Kuna watu mwakani siwaoni🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Konga like twenzetu
@willinjowritter206
@willinjowritter206 Год назад
Mad combination..Kontawa is at the peak of his career.. much love and blessings from KENYA 🔥💯🙏❤️
@deogratiusjohn1871
@deogratiusjohn1871 Год назад
Kazi nzuri nmeikubal salute sana Mr sumu na kontawa Mzee wa champion sema nini heshima nyingi ziende kwa Direct Billy lenz kaz yako nmeiona usiihie endelea kupambana sana mshikaji...
@willinjowritter206
@willinjowritter206 Год назад
@@deogratiusjohn1871 uko sahihi kabisa kaka
@Addinjr8774
@Addinjr8774 Год назад
Huu wimbo unatakiwa uwe katika top 10 trending tukutane mwakani one love kwa Toxic
@killergravityyt4156
@killergravityyt4156 Год назад
Hii ngoma imetiii sana🔥🔥moja kali tutaonana mwakani, nipateni Kenya🇰🇪🌴👌
@clintonroimas4548
@clintonroimas4548 Год назад
Two Big brains in 1 track🤝🏼🍯
@joshuachristopher2356
@joshuachristopher2356 Год назад
CHRIXBURNA is here for you African middlechild
@clintonroimas4548
@clintonroimas4548 Год назад
@@joshuachristopher2356 Brodaaah
@sumbiasungwa8998
@sumbiasungwa8998 Год назад
This masterpiece deserves more than 100 millions views 🔥
@abdulali8228
@abdulali8228 Год назад
kuna watu mwakani siwaoni....my best line😢😢
@maxmilianmexades6684
@maxmilianmexades6684 Год назад
kontawa mg geee namkubali leo kesho huyu jamaa
@puzzleman7062
@puzzleman7062 Год назад
😢😢😢Naona mwakani kuna watu siwaoni😢. Dah umagusia sana hako ka vesii🤜💥🤛
@girah339
@girah339 Год назад
The message is delivered... Nahsangaa kwa Nini mama hashtuki...mzee Makmb,jmk...wanaarib nchi in shadows. ...Kuna mda nataman nipate bolm afu nimpoteze yaan ni maumivu...Mkopo nastahili sababu natokea familia duni...lkn watoto w matajir ndo wanawekew 100%, si hapo tu..deni lao kwa taifa saa hii 91 trillion, afu wanasema ni deni la taifa ...mi sielew...vx wanatembelea tena sauti ya mnyonge haisikilizwi...ni hofu zimetawala juu ya kesho yangu..maana mi ni kijana 24 yrs, najua naweza kupotezwa ila ...viongoz funguka bas....kifo kipo tu, behew mnaleta mtumba kama vile mnavaa mtumba yaan , si kwa mabaya ila kumbuka Allah yupo, tulitoka mavumbin na mavumbin tutarudi
@hdboytz2124
@hdboytz2124 Год назад
Hahahahaa Wale waliokua wanatembea na umeme alafu home Wakakosa LUKU ndio hao mwakani HATUWAONI daaah 😥😥
@sidebansakula6231
@sidebansakula6231 Год назад
Like zang kwa waliomuelewa KONTAWAA
@josenaphmwara9739
@josenaphmwara9739 Год назад
Oyaaaa weeeeeee.......nyie wajomba mnaona far kichizi Cause mi mwenyewe kuna wana siwaoni mwakani.....🎤💪💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@johnpresdar1394
@johnpresdar1394 Год назад
Daaah aise bongelachupa mwishon limetak kuniliz daah acha tuangalie mwakan itakuwaje
@pingumagongo1997
@pingumagongo1997 Год назад
😔Kuna watu mwakani siwaoni😔 hii nzito sana
@hdboytz2124
@hdboytz2124 Год назад
Hili ndio lile tuliokua tunasubiria sasa lime come big up brothers 💪 gang... Toxic ft Tawa..
@hermanmwachuya8327
@hermanmwachuya8327 Год назад
Vichwa vibovuu....toxiiiikiiiii@254 tunakubali
@odao450
@odao450 Год назад
Noma sana moto sana ...hope ungemix iwe sheng ... kiswahili & english... From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪likes wadau.
@officialmoody6246
@officialmoody6246 Год назад
Kama Unakubali #Toxic Ndo Mbadala wa Stamina Nipe Like Zake Hapa #Mwakani
@gaspermisana7710
@gaspermisana7710 Год назад
Toxic verse whoooop , " naona ad tanesco wamewasha mishumaa 😁" toxic killed this
@revelationtz7842
@revelationtz7842 Год назад
Wew ni kontawa uyo kaka (I respect TOXIC but I think Kontawa killed in this track )
@nzogyamkumbo1654
@nzogyamkumbo1654 Год назад
Namuona meneja wa dawasco asubuhi haogi Bali ananawa... 🔥🔥🔥
@ramadhankhamis6216
@ramadhankhamis6216 Год назад
mm sio mpenzi wa hiphop, daah mi naanza kuipnda hip hop leo sio tena mwakaniiiiiiii, kiufupi kwny hii ngoma kila mstar una neno moja au zaid kanye ujumbe mzito unaokisi maisha halisi ya hapa tanzania, hawa vijana wajengewe sanamu zao pale nyerere square, serikali iwanyanyue kimanagement nasio kuwaza kuzifungia ngoma kama hii, ubora wa hii ngoma nisawa na ile ya ALIKUFA KWA NGOMA, ya FA na ile ya STAREHE ya FEROUZ, ifike wakat tuachane na ngoma nitongoze kama unanitaka maana zinawaharibu vijana, ila daaah kontawa pambana sana mwakani nakuona unapiga kolabo na JAY Z.
@claudymvanda2525
@claudymvanda2525 Год назад
"Daah kuna watu mwakani siwaoni" huu mstari unamaana kubwa sana...km umeuelewa weka like 👍
@robinmdamu3938
@robinmdamu3938 Год назад
You never disappoint Tawa na Toxic☠️🔥more love from 25flow🇰🇪tuonane mwakani
@talibthetruth8709
@talibthetruth8709 Год назад
Super creativity and splendid 🥰
@iamemma5860
@iamemma5860 Год назад
Oyaaa hii ngoma iende billboard kmmk🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿🙌🏿hao jamaa watengenezewe sanam aisee✌🏿❤
@angelapeter8825
@angelapeter8825 Год назад
Kontowa na Toxic hiyo ni kazi mzuri bro endelea bro
@barakamwainuka2871
@barakamwainuka2871 Год назад
Dha! Si poaaa wanna mmetisha good idea👏👏👏👏👏👏👏
@dinocentmgani247
@dinocentmgani247 Год назад
Kontawa kaimba kidogo ilq kauwa kinoma salute tawa minachekaga sijaisikia kaka
@chrisbayona411
@chrisbayona411 Год назад
Ngoma moja creative sana kaka Toxic✊🏾, wakati umefika Uchukue nafasi yako kati ya Marap bora Tanzania
@robertnyaa3934
@robertnyaa3934 Год назад
Toxic Sumu, hujawahi kutuangusha bro, great Rapper✊✊🔥🔥💥💥
@morenobdi9187
@morenobdi9187 Год назад
Kbx nakubali kontawa anaona kwl😂😂😂😂 jeshi kaonga mila kitu kabaki na kikohozi
@khamissaid7712
@khamissaid7712 Год назад
Sema mshag #tox kuna kitu Amekisoma sana kwa roma uyu chalii dah nima big up tox # Kama kontawa #ndani ya nyimbo akili tu viva roma
@sidathmwanga547
@sidathmwanga547 Год назад
Dah hii ngoma iko pow sana ipo vyema asee nimeisikiliza zaid ya mala 3 🙌🔥🔥
@saidndaki9783
@saidndaki9783 Год назад
Best hip pop collaboration 🔥🔥🔥
@kirikuukirikuu5193
@kirikuukirikuu5193 Год назад
Toxic fuvu one of the best upcoming artist
@Yosemite6060
@Yosemite6060 Год назад
The song is touching..its hot 🥵 from Kenya wap like
@hakizimanadjuma167
@hakizimanadjuma167 Год назад
Uyu ndo TOXIC ninae mjua mimi: muandishi mzuri, ana flow zakikubwa alafu bado uyu jamaa ninoma sana
@jurcxonmwita5469
@jurcxonmwita5469 Год назад
Its nice before even listening😍😍😍😍
@yonasimoni2208
@yonasimoni2208 Год назад
wanaomwelewa kontawa tujuane kwa like
@FAMILYSIMBA
@FAMILYSIMBA Год назад
KIZAZI CHENYE TALENT NZITO....
@whitewolftv5447
@whitewolftv5447 Год назад
Mwamba anajua Yan hizi nyimbo huwa anatisha sana🔥🔥🔥🔥
@humtomreyson5032
@humtomreyson5032 Год назад
Tatizoo ndo ilii apaaa ni kubwaa palee wanapokutana vijanaa majinii wanaojuaaa kama majinii ✊✊✊✊✊🙌🙌🙌
@yohancabbaye7456
@yohancabbaye7456 Год назад
Oyah wanangu mwakan mbn Kama panatisha😂😂,,,,,,,toxic fuvu umetisha bro🔥🔥
@benedictalex6838
@benedictalex6838 Год назад
New trending hit song TOXIC & KONTAWA balaa zito hii ngoma mazee
@willey_brandtrue9966
@willey_brandtrue9966 Год назад
Mwakani .. kuna wengine hawaonekan!! Dah!! Inauma ila ngoma kali Inapenya sanaaaa
@zakariakasimila149
@zakariakasimila149 Год назад
Hata tukiitoa beat .... Huu mzigo ni 🔥🔥🔥🔥
@maswaladigitalplatform.7613
Hizi ndio nyimbo, na hawa ndio mifano bora ya wasanii.
@Yo_tune-tb5sn
@Yo_tune-tb5sn Год назад
Dah kunawatu mwakani hawaonekani mungu nipe nafasi yakuwepo mpka mwakani🙏🙏🙏
@directorkasope6338
@directorkasope6338 Год назад
Oyaaa hii atary🔥🔥🔥
@shedrackdaudi3403
@shedrackdaudi3403 Год назад
Wimbo wangu bora wa mwaka 🔥
@rizikisam6481
@rizikisam6481 7 месяцев назад
😢😢😢😢😢 apo kuna watu mwakani siwaoni dah kweli bwana kuna watu huu mwaka 2024 siwaoni. 😭😭
@jacksonmfyagidzi943
@jacksonmfyagidzi943 Год назад
ngoma kaliii xana mmeua wanangu
@tausikwayu3150
@tausikwayu3150 Год назад
Guys you kill it!!!!! This is the best song to close the year👌👌👌👌👌👌👌👌
@teddykithi7339
@teddykithi7339 Год назад
Inaeleweka mwanangu tawa🔥🔥
@lilmonitz4265
@lilmonitz4265 Год назад
Mwakani never disappoint my G 💥💥
@kefasonseth6842
@kefasonseth6842 Год назад
Huyu atakuja kuwa bonge la msanii mkubwa hapa tanzania kama unakubali gonga like
@franikenya6040
@franikenya6040 Год назад
from Kenya likes👍❤☣
@erickabel6201
@erickabel6201 Год назад
Hatimaye mmekutana nilikua naisubir sana hii collaboration. Ni hatariii8iiiiiiiiiii ❤️🖖🟫
@barretobacca9754
@barretobacca9754 Год назад
Good job guyz 🔥🔥🔥🔥 ngoma Kali sana. ❤️🇲🇿
@joannesmukasa7558
@joannesmukasa7558 Год назад
Mwana hip hop yoyote yule ACHUJI never BILA KUMSAAU #Byafa Ndimu#🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤👌🧠✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️🎛️🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸👌👌👌👌👌
@shwariahmad9249
@shwariahmad9249 Год назад
Aseee kumbe tuna watu wenye talent kias hiki vijana tushikane mikono kupush wale wanaojituma Kama Hawa leo naongeza rapa mwingine kwenye list ya best rapa toxic
@philradjivwardenofficiel1644
Big Up 😇🥰 This Is Good Vibes 🔥🔥 I love this Song ❤
@directorshasibu
@directorshasibu Год назад
Kaka Toxic, Hii Ngoma Ni Kali Sana 🔥..... Nakubalii Sana Kazi Zako Keep Going On Ipo siku Wataamini Kwa Unachofanya Bro 🙏
@kabadt3kabadt323
@kabadt3kabadt323 Год назад
Mmetisha wanetu
@neymaajuma
@neymaajuma Год назад
Big brain in one trackkkkk😂😂😂😂
@justinmuna8752
@justinmuna8752 Год назад
Broo una ticha sana tuko pamoja broo ❤❤❤❤❤❤
@ketsonempire
@ketsonempire Год назад
Combination hatarii Hiii...💥💥🔥🔥🔥. Mob love from 🇰🇪
@azaboicomedy
@azaboicomedy Год назад
MasterPIECE COLLABORATION
@chrisbaraka6854
@chrisbaraka6854 Год назад
Eeish!! When the king stands, y'all should sit down!!!..mad talent Toxic and Tawa...tuonaeni 254.
@shobimzawa
@shobimzawa Год назад
Ngoma kali sana wanangu, mikazo iendelee..!!
@hekimajohn3070
@hekimajohn3070 Год назад
Tox is the best artist in the world
@KirundoFilmsGroup
@KirundoFilmsGroup Год назад
Nimependa kila kitu mwakani big up
@mwinyiswalehe9564
@mwinyiswalehe9564 Год назад
Best much from this brothers more appreciation to them contawa ft toxic
@aloyceurio306
@aloyceurio306 Год назад
Duuuh msg Kali Sanaa, mmegusa sehemu nyingi 🔥🔥🔥🔥🔥
@abedymtore2707
@abedymtore2707 Год назад
you guys is untouchable much love
@fzlcomrajabu9514
@fzlcomrajabu9514 Год назад
Never disappointed 🤴 of rapper
@zackariarabieth4909
@zackariarabieth4909 Год назад
Ukweli kuhusu mwakani....."babe wako ana kibendi cha just a friend 🙌🏽
@americainog
@americainog Год назад
Ngoma ya mwana FA bado nipo nipo kwanza Nakubali jomba from+243🇨🇩🇨🇩
@hagaimadonda9145
@hagaimadonda9145 Год назад
When two insane meet💥🔥
@aloneswaggz1746
@aloneswaggz1746 Год назад
TOXIC IS DANGER 🔥
@stanzamobb4410
@stanzamobb4410 Год назад
Noma Mzee Baba
@mosamossile9113
@mosamossile9113 Год назад
Oyaa sio poa Nyie Wahuni wametisha umo ndani ni kwenzi juu ya kwenzi
@dladchalle9179
@dladchalle9179 Год назад
Another banger 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@amosjuma4362
@amosjuma4362 Год назад
Toxic X tawa wote n wakali sanaaaa hawa jamaa👏👏👏👏👏👏
@piusdamian594
@piusdamian594 Год назад
Mwakani huwenda ubabii wa Maandiko ya Mungu yakaukumba ulimwengu.Tukutane mwakani
@brekmohammed8044
@brekmohammed8044 Год назад
Hii ngoma kiboko duuuh,i say Tòxic na Kontawa wameuwa mwakani
@richardmloha1762
@richardmloha1762 Год назад
Hommie ✊🏻🔥🔥🔥🔥
@danieldaggo5064
@danieldaggo5064 Год назад
U kill it mzeeee
@jofreysaka132
@jofreysaka132 Год назад
Balaaaaa Zito buku mb10 🔝🔝🔝🔝
@bigwallettvkomango4390
@bigwallettvkomango4390 Год назад
Brother hongera sana nyimbo nzr na video Kali. But Kuna kitu kimemiss bro. Ili kupata utamu wa video Kuna vitu ungeongeza kdg. Kwanza pale unaangalia kwenye darubini mara ya kwanza kabisa ilibid utulie kdg kias kwamba Kuna vitu umeona. Pili. Kuna scene ilibid uzitumie hasa view ya kwenye darubini paonekane kipi unakiona hata mara moja. Mfano inaweza kuonekana sub Crip za video za harmonize akiwa na kajala anamhonga hyo gar uliyoisema. Au video za tanesco wakiwa na mishumaa. Tatu. Hakuna sehemu ambayo umechana mistari ukiwa unaangalia kwenye darubini inaleta view nzr na tofut. Yan macho yanakuwa bizy kwenye darubini huku mdomo ukiendelea kutoa maneno Nne. Huyo kontawa alivyochana amekosa utulivu kwenye darubini sehemu aliyopatia ni pale tu lIposema darubini inaona hata peponi. Bro jitahid video izungumze yenyewe hata kama mtu akizima sauti video unaielewa.
@thomasjohn2816
@thomasjohn2816 Год назад
Upo sahihi wafanyie kaz
@EMMAN57
@EMMAN57 Год назад
Respect brothers 🔥🔥🔥
@prijoseph4665
@prijoseph4665 Год назад
Duh mi sina neno wana mnauwa ila kontawa ni balaa na nusu💥💥
@davismcharless5880
@davismcharless5880 Год назад
Oya tawa.. unazengua .. mwakani kuna watu hatuoni vipi hahahahahahahaha utaanza wewe.. mbwa wewe.. sema vicha mmekutana alafu mmealibu mbaya wewe.. fuvu tunajua kabisa sio binadamu wa kawaida.. mwakani naona naona mkijukua osca na na BET.. 🙌🙌🙌🙌🙌 MNAKERAAAAAAAAAA wazee mwakani naachia ata jingle... mwqkani namuona paka.. mbuzi na yule dogo wa 90's wakiwapigia makofi na vinanda.. sema yule muuaji wa kisukuma mwakani atakua mmbishi sanaa
@w_media_house
@w_media_house Год назад
Creativity fam💪💪
@shadrackmwakilasa7059
@shadrackmwakilasa7059 Год назад
Toxic u kill it ma men 🔥🔥🔥
@AhmedSalah-wm6tq
@AhmedSalah-wm6tq Год назад
Oyaa Wanangu mmetisha sana bonge la goma la kila December mwisho wa mwaka zaidi ya mara 3 narudia hili goma
@YoungpJoseph
@YoungpJoseph 11 месяцев назад
Kila kitu ni muda tuu tazam mbele Big up mabro ambae mlifanya kaz imeenda 😎🌟
@BILLIONAIRE_KINGKONG
@BILLIONAIRE_KINGKONG Год назад
Ukisha mtaja harmonize kwa nyimbo ako unafanikiwa direct bro congratulations
Далее
TOXIC FT ONE SIX - KIFO (Official Video)
3:09
Просмотров 280 тыс.
TOXIC FT TREYZAH - NEW KING
4:28
Просмотров 100 тыс.
would you eat this? #shorts
00:29
Просмотров 1,1 млн
Kontawa - Akutana na  Shamba la maajabu huko Zanzibar
3:23
Kontawa : Mwalimu (official Video)
3:20
Просмотров 1,1 млн
TOXIC - SOUND YA BUFA EP 02
2:30
Просмотров 89 тыс.
Nacha Ft Centana - Kesho Yangu (Official Video)
4:55
Просмотров 247 тыс.
TOXIC - TOBO (Official lyrics video)
3:21
Просмотров 80 тыс.
Kontawa: Daktari (Lyrics Video) Based on story
3:24
Просмотров 418 тыс.
Young Lunya - Freestyle Session 6
6:30
Просмотров 377 тыс.