Тёмный

TOXIC FT ONE SIX - KIFO (Official Video) 

Toxic
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 296 тыс.
50% 1

KIFO LYRICS VERSE 01
Nilishajua Nikifa Nitaona Sana Masnitch....
Baba angu ni Swala Tano ila nnje kumbe anabinti....
Rafiki yangu na Demu Wangu wajaa lana wote wananchit....
Mkeka nlobetig Kabla Sijafa Naona umetik....
Natamani Hata Nngerudi ila Mwili Hautamaniki....
Au Kama vipi naomba Hata nkatoe Hela Home Mama Anadhiki...
Niliacha mdogo wa kike nkahisi Mama atamkomboa...
Kumbe niliacha anamimba leo amekwenda kuitoa....
Kinachoniuma sio Poa...
Alompa mimba Muuza sumu ya Panya na dawa ya Madoa...
Hakuna ndoa it Means....
Alifanya kwa akili yake najiuliza ama alilewa ama ni dhiki ama tamaa akampitia ibilisi...
Vituko vyangu na utani na ucheshi ndo vifanafanya mtaani kwetu watu wengi wakikumbuka wanimiss....
Ata ex wangu kaipost ile picha yangu mbaya kuliko zote ety kuniwish mi nirest in peace...
(CHORUS)
Verse 02
Na siku ya Kufa imewekwa Fumbo ambalo huwezi ukafumbua.....
Ndomana ukifumba macho huwezi tena Ukafumbua.....
Utapambwa kwa mazuri japo Ubaya wanaujua.....
Na wema wako unazidi ubaya wako unapungua....
Simu Yangu inapigwa sana siwezi Pokea...
Na niwale wasojua kitu kilontokea....
Yule jamaa anayenidai ananifokea....
Missed call na message zote Why you Don't care!!....
Na akijua atakwenda kwenye msiba afu nako hakuna hata wakumlipa hali Ngumu...
Atawachanganyia stress nyengine kuniwaza mimi, Deni lake sijui nani atajivika hili jukumu....
Labda angejivika mjomba ila naye anamsomesha binamu...
Yupo chuo hana mkopo wala bum.....
Ooh Dah sina Tena cha kusema zaidi ya Kuaga Goodbye Muda Wangu umeniishia kuishi humu....
(CHORUS)

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 768   
Далее
TOXIC FT KONTAWA - MWAKANI
4:10
Просмотров 472 тыс.
Toxic - Ukoo Wetu (Official Video)
2:40
Просмотров 186 тыс.
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37
ОНА БЫЛА ПЕВИЦЕЙ🤪
3:13:12
Просмотров 1,1 млн
VENDYY - SEL GOD (OFFICIAL VIDEO)
3:47
Просмотров 991
TOXIC - JINAI (Official Video)
2:18
Просмотров 371 тыс.
Kontawa: Daktari (Lyrics Video) Based on story
3:24
Просмотров 426 тыс.
Rapcha - Interview (Official Music Video)
3:13
Просмотров 682 тыс.
TOXIC FT TREYZAH - NEW KING
4:28
Просмотров 148 тыс.
Dakika 10 za Maangamizi / Toxic
10:58
Просмотров 624 тыс.
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37