Bonge la ngoma napenda sana wasanii wenye idea tofauti tofauti kama hawa sio kila siku mapenzi mashabiki tunachoka.......mwanangu TOXIC umetisha kaka👊👊
Huu ukoo ndo ninaotokea Mimi ahahahahah 😁😁 #UKOOWETU @TOXIC FUVU we hili pin Kama ulinicholea mm kabisa Mana huu uko nikama ule ukoo wa mzeee naniliu ahahahahah 😃😃😃