Тёмный
No video :(

TRAORE asema hawarudi ECOWAS kamwe! ECOWAS wafuta vikwazo kwa Niger! Mali! Burkina Faso! 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 126   
@rabiamenshoo1988
@rabiamenshoo1988 5 месяцев назад
ECOWAS ni vibaraka wa Mabeberu, safi Sana Traore
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 5 месяцев назад
Nakubali sana viongozi wenye msimamo big up sana hizo nchi
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 5 месяцев назад
Hakuna msimamo! Wamebadili mabwana tu. Awali walikua vibaraka wa France now wamekua vibaraka wa Putin na China
@FatmaRashid-bq6yx
@FatmaRashid-bq6yx 5 месяцев назад
Angalau hata hao warusi na wachina kuliko marekan na ufaransa
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 3 месяца назад
​@@MzeeKigogo_ Bora wachina na warusi kuliko hao ambao wajitazama wao tu kama wao.
@user-hp6eh6oi2o
@user-hp6eh6oi2o 5 месяцев назад
Asante ustadh smaa from PEMBA upembani nawakilisha🎉🎉🎉🎉
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 3 месяца назад
M'mungu atawalinda kwa imani zao na Nia zao madhubuti na kujitambua, InshaAllah.
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 5 месяцев назад
Dj sma upo vizuri
@user-ik4cp2kw8j
@user-ik4cp2kw8j 5 месяцев назад
Nakukubali sana Dj smaa unapotea sana ndg
@stevewanga957
@stevewanga957 5 месяцев назад
Ecowas ni wanafki sana ...
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 5 месяцев назад
Dj smart you are an expert when it comes to analyze Geopolitics and Military issues.Nakuvulia kofia mkuu
@user-wo6rk4vf2s
@user-wo6rk4vf2s 29 дней назад
Tutashinda kwa uweza wa mwenyezi mungu 🫡🇹🇿🌍
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 5 месяцев назад
Yaan nampendasan jama namuombea aishimyaka 1000buku from 🇧🇮 tunainjoi kwamakala zako bro
@bajosdamour2347
@bajosdamour2347 5 месяцев назад
Uko kuiombea inchi yako kwanza namattzo mlionayo naviongozi wahovyo wanaiua inchi
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 5 месяцев назад
@@bajosdamour2347 sinamuda wakuongea nawapuuzi kamaumechoka maisha kajinyong mimisio taipuyako kengew ,
@philipomasai9830
@philipomasai9830 5 месяцев назад
Huyu jamaa Ni mwamba Sana
@ms123ru
@ms123ru 5 месяцев назад
Amiino
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 5 месяцев назад
Sema Bwana Yesu asifiwe siyo bwana asifiwe wakristo hatunaga bwana tuna Bwana Yesu. Kama jina Yesu linakukera ni heri usiseme.
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 5 месяцев назад
Yes
@amaradiombera2198
@amaradiombera2198 5 месяцев назад
Asante sana dj
@jkifutu7936
@jkifutu7936 5 месяцев назад
Absolutely 💯 💯 💯
@JamesMalale-io1qj
@JamesMalale-io1qj 5 месяцев назад
Viongoz wa nchi zetu wajitambue waache kuwatumikia nakuwaogopa hao wamagharibi tujitegemeee kwan tunakila kitu makinikia yanachukuliwa kila siku harafu wananchi wanapelekewa vitenge wao wanachanua na watoto wao kwaupofu wananchi wanajiona wanapendwaa sana kupelekewa vitenge
@khamis9187
@khamis9187 19 дней назад
Viongozi wa kizungu ni wajanja na waongo kwa Africa, lakin viongoz wa Africa ni walafi wa mamlaka na waongo kwa wanaowaongoza....
@cocotz1892
@cocotz1892 5 месяцев назад
Mzee Fact
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 5 месяцев назад
ALLAH ajaãlie fikra za putin ziendelee dunia mzima, amiin.
@user-ex6sh1rl4d
@user-ex6sh1rl4d 5 месяцев назад
Yeah ni vizur ata zanzibar tutakomboka kutoka katika utumwa wa weusi wenzetu Tanganyika
@FatmaRashid-bq6yx
@FatmaRashid-bq6yx 5 месяцев назад
​@@user-ex6sh1rl4dloooo😂😂😂 wewe kua na aibu
@user-ex6sh1rl4d
@user-ex6sh1rl4d 5 месяцев назад
@@FatmaRashid-bq6yx kwan vibaya jaman ni ukombozi au mageuzi yawe kwa wengine kwetu sie kuwa na mamlaka kamili ni uasi!?
@franklukazula
@franklukazula 5 месяцев назад
Safi sana mkuu
@MgayaAdhumani
@MgayaAdhumani 5 месяцев назад
Urusi ni rafiki wa kweli wa africa
@daymadimbwala5227
@daymadimbwala5227 5 месяцев назад
Nakukubal sana mwamba
@josephkostans9128
@josephkostans9128 5 месяцев назад
Fact
@salumadam2862
@salumadam2862 5 месяцев назад
Umetisha sana dj
@flpcity9016
@flpcity9016 5 месяцев назад
😂Narrator/Msimuliaji anaongea ghafla kuku anawika kwa background
@alikibwana4657
@alikibwana4657 5 месяцев назад
Aslm Alkm nataka Sana mazungumzo ya direct lakini sikupat ni mm,Ali kutoka mombasa
@fredrickkagwa8853
@fredrickkagwa8853 5 месяцев назад
Kweli independence inahitajika kwa African countries. Let's be mature anyway 😮
@jeanpierreakilimalirutebez9503
@jeanpierreakilimalirutebez9503 5 месяцев назад
Hapo Kazi,yaani ni kama Shandrach,Meshach and Abednego ndani ya Bilbe Story. 😅
@user-kb8yw1up1k
@user-kb8yw1up1k 5 месяцев назад
Kweli kbsa br
@martinndunguru7103
@martinndunguru7103 5 месяцев назад
Fire
@talents7934
@talents7934 5 месяцев назад
Huyu Rais wa Nigeria yupo kama Nungu Nungu Hana Hata Aibu😢
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 5 месяцев назад
😂😂😂
@mao9622
@mao9622 5 месяцев назад
😂😂😂
@breymbasa3451
@breymbasa3451 5 месяцев назад
Sawa na muonekano wake
@walidahmad2534
@walidahmad2534 5 месяцев назад
👏💪👏👏👏👏
@khamis9187
@khamis9187 19 дней назад
Jumuia zote za bara africa kuanzia AU yenyewe na nyengine zote hawana wanalofanya zaid ya ufisadi, walishindwa kumtetea Gadaf badala yake waliungana na wazungu wakamuita gaid na kumuacha pekee ktk maangamizo ya muingereza na USA.
@hossanaassanemdulumdulu6731
@hossanaassanemdulumdulu6731 5 месяцев назад
Mrusi ndio rafiki wa kweri africa
@samweljikxo9259
@samweljikxo9259 5 месяцев назад
We need our Africa now
@allahisone6386
@allahisone6386 5 месяцев назад
MOR BLESSINGS ❤
@user-nn7uf1mr7x
@user-nn7uf1mr7x 5 месяцев назад
Sma❤❤❤
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 5 месяцев назад
ECOWAS wamechelewa sana maana kuwaunga mkono manyang'au wa magharibi itawatesa maisha yao yote
@jimmyselejimmysele2821
@jimmyselejimmysele2821 5 месяцев назад
Yes
@robertkoka537
@robertkoka537 5 месяцев назад
Ingependezaa kama ungekuaa unaweka ramani ya izoo nchi zilivyoo kaa kuna watu raman hawajuii kabisa
@user-hx2if3ep2m
@user-hx2if3ep2m 5 месяцев назад
Africa yangu ❤
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 5 месяцев назад
Kama mshauri wao atakua putin basi mchezo umeisha
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 5 месяцев назад
😂😂👏👏👏👏👏
@antonydorian1402
@antonydorian1402 5 месяцев назад
Asaante kwa uchambuzi mzur
@kwisa4899
@kwisa4899 5 месяцев назад
Nimependa ulivyo pangilia intro yako ya sala kaka unajua kusali🙏
@ShanilaKigula-qx9tu
@ShanilaKigula-qx9tu 5 месяцев назад
I appreciate sana huyu dj smaa huwa anafanya mambo kwa kimtanguliza mungu imani yangu hata unayotuchambulia nankutuwekea hku sns ni ya kweli na hayana hiyana wala ubaguzi ndani yake
@espoiraklonda8664
@espoiraklonda8664 5 месяцев назад
Ni ukweli bro.
@user-jq1ny9lx4e
@user-jq1ny9lx4e 5 месяцев назад
Africa is not only poor but also divided😂
@jeremiahmagau8623
@jeremiahmagau8623 5 месяцев назад
😂😂😂 hii ndo shida ya wajeda, yaani piga ua lazima watarudi, hapo akili zitawakaa sawa wakianza maisha ya kawaida hasa kwenye uchumi, unless wasiwe wanajali maisha ya raia wao. Kiufupi hamna nchi kisiwa
@user-iq1xn6bh5f
@user-iq1xn6bh5f 5 месяцев назад
Wakwanza jmn
@djsma255
@djsma255 5 месяцев назад
🎉
@tariquexplore
@tariquexplore 5 месяцев назад
Usitamke shalom tena paka ww
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 4 месяца назад
Achana nao ECowas vibaraka
@abdallahmakono541
@abdallahmakono541 5 месяцев назад
traore ukosawa chapa kazi wakireta cha kuretwa
@bishweko
@bishweko 5 месяцев назад
Kumuachia Bazum ni kutengeneza Uwasi wa wazi. Abanwe jera mpaka kifo
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 5 месяцев назад
Ili iwefunzo Kwa wengine
@claudekathobasimaki946
@claudekathobasimaki946 5 месяцев назад
❤❤❤
@nasrqmatimbwa6688
@nasrqmatimbwa6688 5 месяцев назад
Mi sijapenda wanamalizaje km watoto wakike, kingeamka kwanza zikapigwaaa
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 5 месяцев назад
🎉
@user-jq1ny9lx4e
@user-jq1ny9lx4e 5 месяцев назад
Nini kina watanya waafrica kuonekana wako pamoja kama sio rangi tu??? Vingine vyote tumekaa kukandamizana hakuna
@rashidiiddi2433
@rashidiiddi2433 Месяц назад
Lete vitu mtaalamu hujawahikutuangusha
@danielmussa6944
@danielmussa6944 5 месяцев назад
Issue ni kwamba sio tu ecowas kuna ccm,chadema na wanasiasa wengi tu ni vibaraka tunaangaka na demokrasia lakini sio mkombozi ni propaganda tu mkombozi ni sisi wenyewe
@user-ks5lb8wv3x
@user-ks5lb8wv3x 5 месяцев назад
Punguzeni salama mnamaliza Mb zetu tumefata hbr siyo salamu
@christopherdiu7851
@christopherdiu7851 5 месяцев назад
ECOWAS Ndo kwishnei...
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 5 месяцев назад
Kodi ya kutawaliwa??
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 5 месяцев назад
Nime shangaa nami
@JamesMalale-io1qj
@JamesMalale-io1qj 5 месяцев назад
Washilika wamagharibi wanyonyaji hawatakiwi kuendelea kutukalia
@alexshauri4899
@alexshauri4899 5 месяцев назад
Iyo ni interview ya ibrahim Traore niyakitambo kaka.
@djsma255
@djsma255 5 месяцев назад
Kwani kama ya mitambo maneno yake yanabadilika? Au interview Ina expire?
@benobollen347
@benobollen347 5 месяцев назад
Hata hiz nchi zetu zilizo chini ya koloni la muingereza na nchi zote zilizo chini ya jumuiya ya madola zote zinaendelea kutoa hiyo kodi kwa hiyo sio hizo tu zilizo tawaliwa na france
@omaryluhanga9387
@omaryluhanga9387 5 месяцев назад
Putin up
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 5 месяцев назад
Mungu ambariki Putin mungu aibariki urusi
@user-do5mp8zl1v
@user-do5mp8zl1v Месяц назад
Hakika nyie viumbe watatu mtashinda mue delee kuzibana na nchi zingine za africa kuwa kitukimoja na hizi ndioilikua fikra za gadafi kwahiyo sankara gadafi Magufuli hayo mawazo yeenu Mkuu Ibrahim Endelea kushikilia hapo hapo ili Pawe na Jamhuri ya muungano wa nchi za Africa's kupinga ubeberu mamboleo milele tupinge tuupinge vikali milele
@RAJABWADIGOGO
@RAJABWADIGOGO 5 месяцев назад
Amiyyn
@matukutajuma156
@matukutajuma156 5 месяцев назад
USITAMKE SHALOM KAKA😢
@djsma255
@djsma255 5 месяцев назад
Unajuwa mana ya shalom?
@MillardMushi-ce2bu
@MillardMushi-ce2bu 5 месяцев назад
tatizo lako jamaa hueleweki una ongea ama una ropoka?
@user-kd8ov8uu1q
@user-kd8ov8uu1q 5 месяцев назад
utalipa aje tax kwajili ulinikolonize iyo ni uwazimu
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 5 месяцев назад
ECOWAS masnitch wakuu😏
@baenimuhimafabrice
@baenimuhimafabrice 5 месяцев назад
Sasa kitu ambacho sijaelewa ni kwanini hawajiunge Na Guinée ijapokuwa wako karibu sana
@StephenMuta
@StephenMuta 5 месяцев назад
Rais wa Guinea Momady doumbou alioa mfaransa huenda akawa kibaraka
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 5 месяцев назад
Wakati sahihi ilikuwa haujafika hao viongozi wasaivi akina traore waliyaona na wakajuwa ni chuki ila hawakuwa na kauli nakila kukicha wanaona maraisi wao hawabadiliki ndipo wanapoona kupinduwa nchi Zanzibar ipo siku tutafikia huku nasisi juu ya muungano ila wakati haujafika
@dottomabula7253
@dottomabula7253 5 месяцев назад
Uje uongee HAMAS na Sweden kujiuga NATO
@HamzaMbasha
@HamzaMbasha 5 месяцев назад
hamas kujiunga NATo mzee umevuta ya wapi?
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 5 месяцев назад
Uelewa=Zero
@HamzaMbasha
@HamzaMbasha 5 месяцев назад
@@evaristmbuya6220 uje uongele na habari ya HAMASi Na Habari ya SWEDEN KUjiunga NATO
@nestor384
@nestor384 5 месяцев назад
Huyu narrator si mtu mwenye uwezo mzuri wa ku-narrate
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 5 месяцев назад
Hâta wewe inatakia ufunge Saumu ili ufuate yesu hâta biblia imetaja ramadhani mwezi wa kenda lakini nyinyi hamfuati mafunzo ya yesu christo waisilamu pekee ndo wanafuata mambo na mafunzo yoyote ya yesu
@adrianomaulaga1599
@adrianomaulaga1599 5 месяцев назад
Mbona mnaruhusiwa na dini yenu kuoa mke zaidi ya mmoja,mbona mnashirikiana na majini ni Yesu yupi huyo unaemzungumzia????
@MohammediKihimbwa-bj4pf
@MohammediKihimbwa-bj4pf 5 месяцев назад
P
@omaryluhanga9387
@omaryluhanga9387 5 месяцев назад
Marekani ni wajinga sana
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 5 месяцев назад
mambo ya magaidi wa hamas kule gaza usiyaongelee kabisa Taifa la MUNGU la ISRAEL watakusagasaga kabisa
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 5 месяцев назад
ZIP ur mouth and get knowledge please
@HamzaMbasha
@HamzaMbasha 5 месяцев назад
Aise Taifa la Mungu linalosaport ushoga taifa la Mungu linalowataka wakristo na waislam Taifa la Mungu linaloua watu Embu waafrika tuamke walioandika Bible ni wale waisraeli wa kale sio hawa wa sasa hivi hawa ni vibaraka wa Marekani vungua akili mzee wewe ni mtu mzima
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 5 месяцев назад
@@HamzaMbasha huna unalojua mashoga tangu zamani ni waarabu na waarabu ndio wameleta uislamu waafrika kwaiyo jua ya kwamba waleta dini yako ni mashoga wanafirana kule uarabuni mjomba na binamu wanaoana ni watu hao, na sodoma na gomora iliyochomwa moto na kugeuzwa majivu na MUNGU iko jordan ambayo ni nchi ya waarabu
@FatumaMuya
@FatumaMuya 5 месяцев назад
​@@HamzaMbasha❤❤❤comment
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 5 месяцев назад
Mashoga washapoteana apo tel Aviv Jesus soon atawapa gharika lile la al aqsa Cha mtoto 😂
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 5 месяцев назад
Kibaraka wa Putin.
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 5 месяцев назад
Baba yako kibaraka wanann unawashwa njooo ukunweee
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 5 месяцев назад
Wewe fredrick kibaraka mkubuwa wa mayahudi
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 5 месяцев назад
@@rukundorwiza5223 kivipi?
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 5 месяцев назад
@@MzeeKigogo_ we we hero wako ni kagame kibaraka cha western
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 5 месяцев назад
Asante sana dj
@richarddavidmk
@richarddavidmk 5 месяцев назад
Ass watafeli wakirudi ECOWAS na watakufa mapema sana hao wana mapinduzi..huo ni mpango wa ufaransa
@hamphr3y405
@hamphr3y405 5 месяцев назад
Na magu angekuepo bongo 🥲
Далее
Smoke 😱
00:26
Просмотров 1,9 млн
Can You Bend This Bar?
01:00
Просмотров 4,2 млн
Smoke 😱
00:26
Просмотров 1,9 млн