Тёмный

TRC, NBC WASAFIRI DAR - MORO KWA SGR, “WANA JAMBO LAO DODOMA” 

TRC RELI TV
Подписаться 79 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@modenasayi
Mchongoko ni lini na hizo screen za ndani ya train you also need to display train route updates inaonyesha train iko wapi inakimbia km ngapi kwa map.
@selemankishema5780
Tunaomba hesabu ya mapato isiwe mambo ya DART
@avitusmwombeki2576
Tangu lini NBC ikawa NMB?? that should be penalized....
@kisutabora5914
Kwa wale wanaotoka airport na kutaka kusafiri na SGR wakiwa na mabegi mawili au matatu, mnapokeaje mabegi yao? Utaratibu ni upi?
@danieljoseph6309
Ni nbc sio nmb
@eddechriss2664
Ongezeni safari saa sita mchana pia saa sita usiku, miji mikubwa duniani huwa halali
@omarysaid8725
Mbona train ya mchongoko ipo tunaiona lakini haifanyi kazi au kimeo ndio tumesha pigwa kama kimeo muwe wa kweli mtuambie
@saidimwanyiro5147
Kuna mabingwa wa kujua kulaumu wapo nchi ambao hata tren hawajawah kupanda popote
@aishamsemwa-zu3eo
Dar kilosa shingap jamani tujuzane
@aliyahmed9328
Treni ya kisasa kituo cha kizamani , platform moja ya abiria watu wengi .. why hamuoni wenzenu kituo kikubwa kuna baraza ngapi za kukaa treni ...mtaliona hayo makosa mliofanya ikifika muda abiria wamekuwa wengi
Далее
#SGR: TRENI YA UMEME TANZANIA   (Film)
23:56
Просмотров 1,5 тыс.
"RELI YA SGR KUUNGANISHA NCHI ZA AFRIKA"
8:33
Просмотров 12 тыс.