Тёмный

TRC YATAJA SABABU KUKWAMA TRENI MAENEO YA NGERENGERE, YAOMBA RADHI 

Crown Media
Подписаться 141 тыс.
Просмотров 4,9 тыс.
50% 1

Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@mimibusarachibu
@mimibusarachibu 6 дней назад
Mtu mwongo hanaga jibu la moja kwa moja!Nauli hujaulizwa,mbona unazungumzia;mimi sipendi hizi longo longo za wapumbavu
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba 6 дней назад
Kampeni za nini, Jibu shwali acha blabla my Dada, tutatoboa kweli jamani ?
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 6 дней назад
Mungu ulie Mbinguni utuondolee huu mkosi kwenye nchi yetu...mbona kila wakati treni inakwama??!! Hujuma zimeanza nn Mungu wangu kila siku ngonjera haziishi😓😓
@allysunday8614
@allysunday8614 6 дней назад
Kwanini treni ilisimama toa maelezo... acha porojo
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 6 дней назад
Huyu mbona hajibu maswali ya Waandishi. Longolongo nyingi sana !
@user-lm3kj3gn2v
@user-lm3kj3gn2v 5 дней назад
Daah' Shida kweli kweli.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 дней назад
Awamu hii ya sita upigaji mwingi Sgr angekuwepo alieianzisha wala hiyo kukwama isingekwama kuna upigaji mwingi sanamqma siyo nfuatiliaji pesa zinapigwa sanaaaa Mwamba kaondoka kila kitu hovyooo kabisa
@drickTouches
@drickTouches 5 дней назад
Kwahiyo kwa mujibu wa afisa uhusiano sababu za kukwama kwa treni ni; 1. nauli ndogo, 2. watu kuchangamkia huduma, 3. muda wa safari mchache mbali na sababu nyingine nyingi.
@drickTouches
@drickTouches 5 дней назад
Kwa mujibu wa afisa habari wa TRC sababu ya kukwama Ngerengere ni, nauli ndogo, muda wa safari kupungua, na wingi wa watanzania waliokimbilia huduma mbali na sababu nyingine.
@jacksonmzamu80
@jacksonmzamu80 6 дней назад
Aàaaah
@abdulrazaksaid1130
@abdulrazaksaid1130 5 дней назад
The question was straight forward don't know if she really understands the questions!?
@paolo4584
@paolo4584 6 дней назад
Hakuwepo mtu mwingine wa kutupa Maelezo yanayoeleweka kweli?
@DaudiMazengoMasterDTEM
@DaudiMazengoMasterDTEM 5 дней назад
Na kwa suala la sanaa mtakapoanza tumia, mchague nzuri zenye maadili siyo movie au nyimbo/commedy za ovyo ovyo tu. Station/Train iwe ni mfano wa darasa.
@user-lm3kj3gn2v
@user-lm3kj3gn2v 5 дней назад
aah' Yaani Afisa Uhusiano wa Shirika hawezi kujibu swali rahisi''''' Yaani anakuja kwenye chombo cha habari kuwaambia kwa nini treni nilichelewa ....lakini hajui sababu ilikuwa ni nini. Mmmh.
@FloraNyalusi
@FloraNyalusi 5 дней назад
Jibu swali kwa nini inakwamakwama
@vinny.morales
@vinny.morales 6 дней назад
Swali: Kwanini treni inakwama kwama sana? Jibu: Hdhdudbduygvzkaodyydvd dkshdvdbdhdyydd. Juhudi za Dr. Samia Suluhu Hasan... jdueyzvzieuegzvsjjdhv. Kazi Iendelee...hduegevejuheueueu
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 6 дней назад
"She talks a lot but she says NOTHING."
@eliud21savage48
@eliud21savage48 6 дней назад
Mpo vzur
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 5 дней назад
Kwani ngedere wameisha? Jibu tu ngedere hadi waishe ndo safari zitakua za uhakika
@mawazomakuu
@mawazomakuu 6 дней назад
Tunashukuru sana Shirika letu la Reli Tanzania kwa maelezo hayo mazuri yaliyotukuka. Kwakweli tupo katika kujifunza ninauhakika mambo yatakuwa sawa na tutakuwa na mfumo mzuri sana. Mungu awatie nguvu na muendelee kuhudumia watanzania. Nimepitia comments za watu za accounts nyingi humu. Inaonesha kuna mtu au kundi la watu lenye lengo la kuharibu image ya Tanzania. Tunatakiwa kuilinda image ya Tanzania kwa nguvu zote. Nimezipitia hizo accounts zinaonesha kabisa hawa watu hawapo na nia nzuri na Tanzania. Changamoto za aina hii zipo pote duniani. Na maelezo yametolewa vizuri kabisa na yameeleeweka.
@DaudiMazengoMasterDTEM
@DaudiMazengoMasterDTEM 5 дней назад
Dada wa TRC usieleze kwa hofu na kuzungukaaaaa weee. Matatizo ya kiufundi ni ya kawaid hata ktk nchi zilizoendelea. La msingi ni mawasiliano ya haraka tu. Pia ktk station zote mboreshe kitengo cha burudani. Sehemu zenu zingine za vituo niliona mwanzo mwisho au asilimia kubwa nyimbo au miziki ni ya kigeni/kizungu. Tutumie miziki/nyimbo/movie za utamaduni wetu ili kutangaza vyetu mana tren inatumiwa na hata wageni. Walu ndani ya train kuna movie japo nayo ni kama moja tu ya the Royal Tour ambayo kwa yenyewe peke yake haiwezi toa picha nzima ya Tanzania. Na utamaduni ni suala mtambuka hivyo watu wa sanaa wawasaidie namna yakuliweka sawa hili. Baadhi ya nchi kuna hata majina na kazi za magwiji ktk Elimu za kila namna(STEAM).
@maimunaahmed3477
@maimunaahmed3477 5 дней назад
Mwanza masafa yenu ni
@kwisa4899
@kwisa4899 6 дней назад
Mbona anazunguka sana kujibu swali usalama,ujenzi,control room ,Dereva anaweza kutambua wanawake bwana ,😂😂😂🎉
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 5 дней назад
Namshauri akagombee ubunge.
@BonfaceMwaipaja
@BonfaceMwaipaja 6 дней назад
Jibi swali
@vintz338
@vintz338 6 дней назад
Kiswahili ni nn? Unajua kiswahili kinaongelewa karibia dunia nzima Yan had India huko, lakin hi lugha inatumiwa na watu wa Tanzania, kiswahili ni lugha nzuri ,sis ni watanzania ,niseme tu kiswahili ni lugha, ndo anavojibu huy, hayupo direct nikama hajui changamoto ya sehem ya kazi yake,Yan Leo hii umuite mwalim umuulizr changamoto za ufumdishaji asijue?
@vinny.morales
@vinny.morales 6 дней назад
😂😂😂 pia tunapongeza juhudi za mama Samia Suluhu Hasan kwa kuwezesha ukuaji wa lugha ya Kiswahili. Hali kadhalika chama cha Mapinduzi kwa kupigia debe lugha hii.🚮
@ibrahimmbilizi1726
@ibrahimmbilizi1726 6 дней назад
Semeni ukweli acheni kuzungusha mambo
@wimranpatrick
@wimranpatrick 6 дней назад
Mnatia aibu kweli kweli
@kwisa4899
@kwisa4899 6 дней назад
Hii Treni aitoboi kama majibu ndio haya 😂😂
@reubenalfred9707
@reubenalfred9707 6 дней назад
Maneno mengi point hamna.! 😢😢😢😢😢
@mwin980
@mwin980 6 дней назад
Nina swali,kwanini nchi yetu inapenda kudanganya sanaaa. Swali na majibu ni tofauti inaonyesha huyu hajui hata kulitokea nini… Nikisikiliza serekali yetu vitu vingi ni pampapilipampa …
@cosmasmilanzi7117
@cosmasmilanzi7117 6 дней назад
Changamoto ni nini? HANA MAJIBU!!
@user-jf7is4fk2v
@user-jf7is4fk2v 6 дней назад
abiria na abilia jifunze kiswahili
@emmambofu3037
@emmambofu3037 6 дней назад
km 175 ambapo kuna sub station pale pana changamoto kubwa kona kali halafu na hata matengenezo ya hapo hayakuwa dhadidi mark my word.
@esromkanubo815
@esromkanubo815 6 дней назад
Jibu swali sio porojo
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 6 дней назад
Jamila jamani sasa huyu c wa chameleon huyu ni SGR
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 6 дней назад
😮😮😮2 much talking hamna kitu hapo
@eugenemtaza201
@eugenemtaza201 6 дней назад
Acha porojo dada Ayo mambo yooote tuna jua , tupe majibu ya changamoto.
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 6 дней назад
....hayo mambo na si ayo.....
@ibrahimmbilizi1726
@ibrahimmbilizi1726 6 дней назад
Ivi kwanini wasomi uwanatudanganya kwakupita mbali sana
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 6 дней назад
Hivi nasi Ivi....
@jiwekichwa2857
@jiwekichwa2857 6 дней назад
Acha kiswahili kirefu...
@user-jf7is4fk2v
@user-jf7is4fk2v 6 дней назад
dharura si dhalula
@vinny.morales
@vinny.morales 6 дней назад
Halafu huyu ndiye afisa habari wa shirika. Ila anachanganya R na L.. what a shame🚮
@gaspermatovu2899
@gaspermatovu2899 6 дней назад
Ngonjera hizo
@wimranpatrick
@wimranpatrick 6 дней назад
Mama hana dogo
@BonfaceMwaipaja
@BonfaceMwaipaja 6 дней назад
Anapoteza muda wako
@johnchatanda6759
@johnchatanda6759 6 дней назад
Sijaeleww chchte Swali:kwann treni inakwama ? Jibu : treni inakwama. Haahduuiqdbbxtyajn fkan. Hqhzgbhriwiwurhtjajabxshajohdbs Hqhabdeuiqjdnbaknzbdhw Chini ya raisi wetu samia suluhu hassan hjajsururiiwsjnx zjawkididjxnakwjeiurhdnanab Salim kikeeke : tunashukuri sana
@ChoroTesla
@ChoroTesla 6 дней назад
Mamae uchawa unaua professional za watu kmmmmk
@user-kh1tn6yr8b
@user-kh1tn6yr8b 5 дней назад
Afisa uhusiano sio mmbunifu kiukweli changamoto nyingi sana
@gibonykiyao9698
@gibonykiyao9698 6 дней назад
Non sense
Далее
ГОЧА ПРО NISSAN 400Z
00:51
Просмотров 44 тыс.
Merab vs Sean underway!! 🚨 #ufc306
00:23
Просмотров 1,3 млн