hongera san dada kwa uvumilivu kwenye ndoa yako pia hata huyi mume nae alikuwa na akili alijua kakosea wap akabadilika na kulud kweny ndoa yake wachache san wanaojilud weng wao wanaendelea na maxzao na kumuona mke c lolote
Mwambie mumeo hakueshimu sana na tena hasikukosee hata siku moja maana hatakuja kupata mwanamke mstaalabu kama wewe❤❤❤mungu awaBariki kwa kweli 🎉🎉❤❤😅❤.
Duuuh hakuna kitu kibaya dunian kama ex wamtu kwani yee hurudi kwania moja tuu nayo nikuomba nakuvunja familia na kuimaliza furaha ya ex wake nakumwacha akiwa amefarakanisha nakuitenganisha famila bila kujali na kukaa kando aiangalie inavyoteketea