Тёмный

TUMAINI AELEZA MAISHA ya SABAYA GEREZANI ALIVYOMSAIDIA KUTOKA na KUFUTIWA KIFUNGO cha MIAKA 60... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@subirajohn728
@subirajohn728 Год назад
Sabaya ubarikiwe Sana Bro! Umefanya kazi ya kumpendeza Mwenyezinungu!
@malecellacaezaryj2414
@malecellacaezaryj2414 Год назад
Ni vema kusikiliza hizi kesi za kisheria hata ukipata muda hudhuria mahakamani kuona mwenendo wa kesi. Utajifunza mengi, hongera brother kwa ujasiri. Pole pia
@fatimahants1526
@fatimahants1526 Год назад
Pole sana kwa mitihani uliyopitiya, mungu huonyesha mwanga na njiya panapo giza
@GeraldSwai-ty1hr
@GeraldSwai-ty1hr Год назад
Sabaya mungu akubariki sana Kwa kuwasaidia watu wenye uhitaji wa kisheria
@monicajohn6270
@monicajohn6270 Год назад
❤ huyu kaka anaongea point sana
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Год назад
Glory to God pole sana mdogo angu
@gukawafly
@gukawafly Год назад
Justice for all thanks you for that Kenyan man have knowledge very where
@saitawilson7307
@saitawilson7307 Год назад
Sabaya for life
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Год назад
Mwenyezi Mungu hulipa kwa wakati,pole sana kijana
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 Год назад
Tumain mungu akufanikishe katika kila hatua kijana mdogo umepitia mengi
@tato8979
@tato8979 Год назад
Pole sana kaka
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj Год назад
Nasubir jmni sehem ya 4🎉🎉
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Год назад
POLENI SANA NDUGU C WOTE WANAOFUNGWA WANA MAKOSA. MUNGU ATAKULIPA.
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Год назад
Mgemuliza kutokana na miaka Aliyo fungwa ndio lazima wafungwa wenzako wakueshimu na yeye Alipata kueshimiwa na kupata kuelekeza watu kama nyapala Alipata kwa ndagani??
@bensonjohn9633
@bensonjohn9633 Год назад
Tume za Haki za Binadamu ni Wahuni kama Wahuni Wengine Tu. Huwa hawana Msaada kama Huna Pesa. Nimeshuhudia Watu wengi wakilalamikia Hii Tume.
@bebebebe5677
@bebebebe5677 Год назад
Jaman mzee ana frah had rah
@nururaymond5
@nururaymond5 Год назад
Hawa majirani zake walomfunga kisa mimba.., Mungu anawaona mimba tu ndio mumfunge na kuzicheleweshaa ndoto zake.. U-Binadamu uko wapi?
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Год назад
Mmm Mungu atalipa wanaofanya makosa kweli hata hawafungwi mimba kwani alimbaka? Kunawatu wanaikili hawairudii aridhi
@dppd4219
@dppd4219 Год назад
Uonevu mwingui sana
@cmantz8837
@cmantz8837 Год назад
Alafu haka kamchongo kakusakiziana wanafunzi kapo sana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
First to view and listen
@fatmamachelenga4621
@fatmamachelenga4621 Год назад
huyoo mzee nimempenda jins anavyofurah
@isayamwanjalile2270
@isayamwanjalile2270 Год назад
MUNGU ni mwema sana
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 Год назад
Yaani ningekuwa mimi wanipige miaka 30 halafu waniachie baada ya miaka 6 halafu nishangae mtaani. Haiwezi kutokea. Tena nianze kuzubaa zubaa mbele ya kamera, HAITATOKEA. Hapo mwanzo ni Kibera, kuelekea Machakos.
@JokhaSalehv
@JokhaSalehv Год назад
Kweli yule msichana alipozaa tu. angepimwa mtoto. Igetokea mtoto sio wake. basi angeachiliwa masikini.
@kitwanabuggatti8480
@kitwanabuggatti8480 Год назад
Tia kweli xaxa uyu maria mwanang😂
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Год назад
Serekali imchunguze huyo jaji itakua anafunga watu wengi wasio na hatia
@aishaalbalushaishabalush8291
kwa serkal hii ya sasa ingekua ya 5 sahiz wasingekua na kazi wote waliokua wanauchafua uongoz wa 5 kwa rushwa
@QwQw-tr7gy
@QwQw-tr7gy Год назад
Kaka angu nae kapata kes ya kusingiziwa nae anatoka mwez wa kum
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Год назад
Mungu HALALI daima, na haki imetendeka, poleni sana
@jonsjones2580
@jonsjones2580 Год назад
dah kuna mda watu wawe na ubinadamu aseee imagine 2004 adi leo na hana hatia.
@godsoncharles135
@godsoncharles135 Год назад
Mwenye namba ya huyu kijana anaehojiwa naiomba hata kwenye email ataweza kunipa msaada fulani hivi
@dppd4219
@dppd4219 Год назад
Jamani ajitokeze mtu amsaidie huyo aliyemtaja naye awe huru
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
SABAYA YUPO GEREZAN
@FrankMfinanga-jj1fd
@FrankMfinanga-jj1fd Год назад
Alishatoka
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 Год назад
Ifike hatua Sheria ichukue mkondo wake
@aishaalbalushaishabalush8291
angekuwepo hai mwenye awam yake walifunga watu bila ushahid kamili nadhan hao majaji na mapolice waliokuwa wakihusika na swala hili wangekua hawana kazi sema sasahiv awam hii inalea majinga yaliyopo kwenye mfumo wa serkalin ila magu asingekubali hao walihukim huyu kijana wabaki kazin tena walikua wanamchafulia uongozi wake ambao alikua hataki kumdhulum mtu yeyote zaid ya kuwajibisha waizi na wahalifu wa mitaan
@SalumBakar-ob7in
@SalumBakar-ob7in Год назад
Unarejea mazungumzo yangu
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 Год назад
DUUUUH, KUMBE HATA YALE YANAYOSEMWA JUU YA AKINA BABU SEYA KUMBE NIYA KWELI EEEEH.. 🙄TUME YA HAKI ZA BINADAMU HIVI MNAYASIKIA HAYA 👆☝️ 🙄KWANINI MKO KIMYA HIVI JAMAANI, KWANINI HII TUME ISIWE CHINI YA VIONGOZI WA DINI, NAHISI HAO WANAWEZA KULIA NA WANAOLIA KWA USAHIHI
Далее
Three NEW MAPS in Update 0.31.0 Nightmare | Standoff 2
01:48
MISSION IMPOSSIBLE [59]
21:52
Просмотров 32 тыс.
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
Просмотров 92 тыс.