Pastor mafundisho yamen fungua sana maan nilikuw na mawaz meng hadi sielew nifany chaguz gan kwa mgang au nifanyaj. Maan hat majirn wanan shaur nitafut mtaalam ila sas Bora Ni mtumaine MUNGU
Asante sana kwa ushauri mchungaji mimi hapa nilikua nimekata taama kimaombi juu ya ndoto chafu niliomba na kufunga lkn ndio nazidi kupambana kiroho ,ndoto za nyoka, majeneza, kupigana na majitu mamba ngombe kuku nyoka panya lkn sai nijitia nguvu nakusimama tena
Nimekaribishwa kwenye Makambi ya Kinondoni 2022 "online" na mdogo wangu, Nicodemus Nyang'ura, nikiwa hapa New York. Ni wakati wa furaha kubwa za kiroho nikikumbuka kuwa Makambi yangu ya mwisho yalikuwa mwaka 1957! Tuzidi kubarikiwa.