Tangu nimeanza kufatilia Chanel hii. Nakutana na mafundisho makuu waziwazi hadi nafikia sehem nawaza kweli wote wanaosikia haya ufahamu wao unayaelewa hayaaa? Maana ni makuu mnoo. Mungu akubariki.
Natamani uwe pastor wng..cjui mahali kanisa lipo..naomba muweke namba kwaajili ya kuweka sadaka ..nmefunguliwa vitu vingi kupitia chanel hii na naendelea kupokea