Asante sana cute ...lakini hata kama mm nakupenda naweza kukutaja kutumia hii dawa. Mm n mkenya napenda mawaida tako,shida n majina ya vitu haya fanani kabisa.
Kila mtu alipewa nyota yake na Mungu, hata majani nayo yalipewe Radha tofauti tofauti. Hapo Mimi kama Mimi naamini Kuwa Mungu kama amepanga iwe ni amepanga tu hakuna tofau na hapo,, Dawa ni Mungu pekee
asante saana kwa ushauri yako,sasa ikiwa ntapika hayo maji je ntaoga yote lwa mara 1 ili kseho nipike mengine ao ntacukua madogo madogo kwa yale ntakua nimepika?
@@esternkulikiye9893 ndungu yangu kwanza mapenzi ya kufsi siku zote haya faida utaambulia kulia wewe kila siku kisa nn mm niacheni nimtengeme mungu mafuta niache kupaka nikawana ngozi nzuri nitengeneze ili nipendwa sifanya upumbavu haka pepo ya wasiyo pendwa na wanaopendwa wate nja nimoja tumuamini mungu jamani
Mm ctaki hiyo majan ya maboga....nilidhan nafundishwa kupika mlenda for sure kama unapendwa unapendwa tuu....mtu asiwaze hela akuwaze wew akuuu chitaki hii mamboo.....kama wako ni wako tuuu akii mbona wazee wetu hawakufanya hiz mamboo aseee....pls do for yr self usitupoteze kiiman shindwa pepo utafika mbinguni umechokaaa.....
Mungu ndio kila kitu hiyo ni mboga ya kula acha kumdanganya watu na uchawi wako kweupe tena kwenye umati wa watu. Mboga hiyo inaongeza damu tumeambiwa tule tusitumie kwa vitu vya kijinga
Dada acha kuwapotesha wanawake wenzio, haipo dawa ya ivyo! Na nyie wanawake wenzangu mnamsapoti huyo aliye potea! Ili upendwe na mwanaume ni ukalimu tu kwa mwenza wako na kumuombea kwa Mungu.
Asante sana,ila swali langu haya maji yatakuwa hayohayo au kila siku inaandaa mengine mpaka siku 7zitimie?mtumiaji akiwa na majini au majini mahaba yatamfa?
My ex came back to me few days ago ❤️ i got help from a Relationship Restorer Dr Ben who was able to mend back my broken relationship and make my ex to come back and beg. For a second chance. He can bring your ex back, and he also do a lot of work also like financial problem, and court case,
Kama tupo katika ndoa lakn tupo mbali mbali kikazi ikatokea ugonvi je nikifa ya hivyo itafaa na je kila sku unachemsha majan mengine au unaongezea tu please naomba jibu mitihan ipo KATKA maisha
My ex came back to me few days ago ❤️ i got help from a Relationship Restorer Dr Ben who was able to mend back my broken relationship and make my ex to come back and beg. For a second chance. He can bring your ex back, and he also do a lot of work also like financial problem, and court case,