Merry popote ulipo nimeoa lakini nikiskiza huu wimbo nakumbuka ata tulipokaa pale Florian sec nikijaribu kukufanya uwe wangu peke yangu ila ndo ivo haijawa rizki umeolewa nimeoa!! Nakukumbuka sana merry wangu
Ndio naanza mahusiano yangu na mpenzi wangu... Ila full painful... Ngoma kali sana.. Wanawake sio watu wa kuaminika kivile... Pipi ya kijiti tu ishamptoa akili..